Ndaro hana madini kama reonard ck ambazo watu humuona kaweza anakua kaanza leonard hivo anakuja anaangalizia kwa reonard sasa leo kaanza ataangalizia wap
Aki I love ur work my pple, coz ua teaching pple through comedy, its a great idea frm u ppl, am watchin from 254 and I like it keep it going my buddies♥️♥️👍👍
Wakenya hatuchekeshwagi kiurahisi hivo ila hawa wawili wamenikunywa kweli, Ndaro na Leornado nawaombea nafasi kwa Churchill mje show moja tu mujiongeze
😂😂😂 uyu jamaa mshenzi sn alafu n creative sn na km huelewi nd hakusanuwi tena, eti "nikilewa naweza ata kuangukia kwenye tope" akimaanisha kua ktk mapenzi ukiingia topeni haifai😂