Тёмный
No video :(

ROMY JONS: Nilisali miezi 3 mfululizo niache POMBE, nilikuwa nalia, ilikuwa too much | CHIMBO 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 17 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Опубликовано:

 

28 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 40   
@saidabdulkadirmjahid8255
@saidabdulkadirmjahid8255 3 месяца назад
Naamini katika kuskia mkojo usiku ni Mungu amekuamsha uombe , chagua ni lako. RJ the Dj keep going! Laser focus. Natamani sana nikuone level za kina Dj Snake na Diplo.
@nassoromussa4440
@nassoromussa4440 2 месяца назад
Romy very inspiration for new generation
@Elitespeakerman-m2k
@Elitespeakerman-m2k 2 месяца назад
Im proud to be a drunkard .and sijutii .Wee Rommy umeacha tu pombe kwa vile huna ubavu tuachie sisi wenye ubavu tuendelee kunywa and im a very hardworking woman .ngoja nijipe maua yangu🎉oyooo
@JayLEONCY
@JayLEONCY 3 месяца назад
skip to dakika ya 18:10 yaan dakika za mwanzo jamaa wanajitqmbulisha tu
@vibetz9991
@vibetz9991 3 месяца назад
Powa
@dcampafrica
@dcampafrica 3 месяца назад
Asantee
@jojigeorige1056
@jojigeorige1056 2 месяца назад
Dah 😂😂 nili drag sana hadi kufikia mitaa hii, i wish ningechungulia kwanza comments... ila yap nimemuelewa sana Dj...
@jojigeorige1056
@jojigeorige1056 2 месяца назад
... interview nzuri. Motivation talks za kutosha.. Great
@MohamedMohamed-ry6lt
@MohamedMohamed-ry6lt 3 месяца назад
Honest ni aina nzuri ya interview hongereni sana
@salmaabdu5011
@salmaabdu5011 3 месяца назад
Ati kwa nini duu njia ya.otoni unataka vijana wapotee pombe ni shetani hatutakiwi kutumia kabisa Romi uko vizuri Allah akusaidie
@Abu-Hamza254
@Abu-Hamza254 2 месяца назад
Uyu msee kipara ana sauti sawa na mbosso🇰🇪🇵🇸
@Tribalking-l6d
@Tribalking-l6d 3 месяца назад
Interviewers mnabonga sana. Tunataka msikia interviewee zaidi
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z 3 месяца назад
uyo hakuwa mnywaji....si afadhali ww muda wa kufanya kazi unao una maendeleo...ni mlevi unayejielewa...uku tunao wale akikosa pombe anaumwa....na asipate hela....
@Mwananchii
@Mwananchii 3 месяца назад
To be honest, Sky Hawa jamaa zako wanabore sana!! Nusu wanaongea wao nusu wanafanya interview. Too many interventions!Mpaka anayehojiwa anapoteza flow! Huyu Romy angehojiwa na mtu anajielewa angetoa bonge la interview.
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti 3 месяца назад
Hiki ni kipindi cha redio, kina format tofauti! Video ni mbadala tu ila show inaruka Clouds fm, hivyo si kama mahojiano ya kawaida
@Mwananchii
@Mwananchii 3 месяца назад
@@SimuliziNaSautikama ni hivyo sawa maana sijawaelewa tokea nilivyoangalia show ya Haika!
@restitutakisamo7607
@restitutakisamo7607 2 месяца назад
Dactor anafungua hospital yake.hapo sijawakubali mnavyosema,mwanasheria pia anafungua ofisi yake,na anakuwa na watu watakaokuwa chini yako
@MsabilaAlly-mv4ji
@MsabilaAlly-mv4ji 2 дня назад
Watangazaji wanaongea sana kuliko guest
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 3 месяца назад
Alice ulivyosema kuhusu hujawahi kufanya kazi posta umejishusha kaka...usiseme vitu kama ivyo ..wakati watu wanakuona mtanashati na unadeserv kufanya kazi ofisi za posta..alafu ukisema unataman kufanya kazi huko unajishusha Mzee baba
@user-nq4md3sj6d
@user-nq4md3sj6d 3 месяца назад
khaaa! kwani posta ni nini???
@luckiiinuswe1725
@luckiiinuswe1725 3 месяца назад
Haujamuelewa umekurupuka
@IMANWILLIAM-bl2ui
@IMANWILLIAM-bl2ui 2 месяца назад
Sio Alice ni Harris, Alice ni wakike
@sophiakassim6784
@sophiakassim6784 2 месяца назад
​@@IMANWILLIAM-bl2ui😂😂
@sophiakassim6784
@sophiakassim6784 2 месяца назад
​@@user-nq4md3sj6dkwa kweli
@kalengashoppingcenter1108
@kalengashoppingcenter1108 2 месяца назад
Kwa mwendo huu SnS mnetisha
@ndikumanamoussa4103
@ndikumanamoussa4103 3 месяца назад
Nc🇧🇮
@esthermakelemo2864
@esthermakelemo2864 2 месяца назад
Kweli Alice amejushusha sana,kumbe hata yeye bado anakaushamba flani
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 3 месяца назад
Nadhani kuomba au kusali hakukuachishi pombe. Pombe inaachwa na maamzi ya mtu husika. Ukisema kua ulikua unaomba mungu miezi 3 ili uache pombe, hapo unakua unajua kua Roman Catholic wanakunywa pombe, Jehovah witness wanakunywa pombe. Anglican wanakunywa pombe. Na kunywa sio dhambi Musa alikua anakunywa, Ibrahim alikua anakunywa, manabii wote kwenye bibilia walikua wanakunywa. Hata Yesu alikua anakunywa ndo maana kitendo cha kwanza alibadirisha maji kua pombe, soma Matayo 11:17-19
@mudrikramadhani32
@mudrikramadhani32 3 месяца назад
Wewe unajielewa kweli wewe?
@nadhifamustapha7557
@nadhifamustapha7557 3 месяца назад
Hahahahah ss bibilia nacho ni kitabu cha kufuata mmekiwekea mambo mnayoyataka ya mungu mmeyatoa 😅😅😅😅 ili muendelee kudanganyika
@Isabella-ww8ks
@Isabella-ww8ks 3 месяца назад
Acha kupotosha watu wewe Yesu alikunywa pombe wapi hilo andiko ulioosema nitajie wp yesu alikunywa pombe nawapi alibadilisha maji kua pombe huijui biblia wew
@loningoletayo8453
@loningoletayo8453 2 месяца назад
Kunywa pombe ni sawa ila ukikikuta mtu imefika sehemu anaomba kuacha pombe ni kwamba imekidhiri ,yaani imepitiliza na hapendi kufanya hivyo
@sophiakassim6784
@sophiakassim6784 2 месяца назад
​@@mudrikramadhani32😂😂😂 hajielewi
@esthermakelemo2864
@esthermakelemo2864 2 месяца назад
Vilevile sauti Yako Alice kapiga sijui umepata changamoto gani
@Rojo_Rojo
@Rojo_Rojo 3 месяца назад
Mimi ndo dereva
@nassoromussa4440
@nassoromussa4440 2 месяца назад
Kuna kitu Cha kujifunza kutoka kwa Rommy kwamba maamuz sahh yanahtaj uharaka
@MohamediKalanje
@MohamediKalanje 2 месяца назад
Rj bhna kuacha pombe ww ni uongo bhna sitaki 😂
Далее
😭Телеграм УДАЛЯЮТ❌
00:50
Просмотров 130 тыс.
The Fan’s Fang Skin🔥 | Brawl Stars Sneak Peek
00:16
Salama Na Romy Jons Ep 14 | PLUG Part 1
26:08
Просмотров 122 тыс.