Тёмный

Round Up: Birthday Girls - Lyyn afanya party kama HARUSI/ Wema apewa GARI na Aunty na MABUSU juu! 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 4,5 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 109   
@asinathasinath5090
@asinathasinath5090 5 лет назад
Eti amekuaa kichekeshoo 😂😂😂😂😂😂hakiamungu nimecheka
@asinathasinath5090
@asinathasinath5090 5 лет назад
😂😂😂😂😂god mungu anakuona jmn mbavu zangu eti chondechonde gari ikiludi imechubuka iyo unailipaa 😂😂😂😂😂😂🔥🔥🔥
@shahamtindo
@shahamtindo 5 лет назад
Wameupamba huu mwezi.. kila siku sherehe..
@shahamtindo
@shahamtindo 5 лет назад
Happy birthday
@aisatahaisatah2612
@aisatahaisatah2612 5 лет назад
Bbysky hata mim kweli uyo uzungu wakukisi namwanamke mwenzangu siwezi
@alicesamson6316
@alicesamson6316 5 лет назад
Mimi uwa na kiss pia
@susanruo8087
@susanruo8087 5 лет назад
Hahahahhhaaa,bora hii round up imerudi maana si kwa kuongeza masiku huku 😂😂😂😂😂.. I really missed this guys
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 5 лет назад
Niko pamoja na god,urafiki wa kupeana gari lenye thamani kubwa kiasi hicho mmmm hapo ninamashaka pia msisahau ile story yao ile 🤐 wacha nipite simoooo🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️
@zainabual_tz5623
@zainabual_tz5623 5 лет назад
Ahsante Kaka #sky😂😂 wanawake wa mjin... 😊
@solangebaguhe5330
@solangebaguhe5330 5 лет назад
Nawapenda saaaaana. Nilikuwa nilisha wa miss from germany
@alicesamson6316
@alicesamson6316 5 лет назад
Yani rafiki yangu wa kike nampiga bisu kabisa
@saidahj2543
@saidahj2543 5 лет назад
Fundi bishoooo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hutaingia mbinguni wallai🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@dn.n4983
@dn.n4983 5 лет назад
Jamani kapigwa chini mnachekesha sana hii kali
@annitabobo5438
@annitabobo5438 5 лет назад
LIBRA RULES entertainment! AND AM HAPPY TO BE ONE OF THEM 10/10
@fatnahsaleh860
@fatnahsaleh860 5 лет назад
Godfrey ila wewe noma Wallah😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂. Mbavu zinauma. Ila unaongeye fact 👌👌👌. Anyway welcome back Round Up
@mdmubrak8152
@mdmubrak8152 5 лет назад
Kiss yamahaba jaman
@hopechidera
@hopechidera 5 лет назад
27:08 watu huwa wanarafikiana bali sio kwa kiasi hicho,kiukweli urafiki ukiwa wakubusiana kwa lips mara moja hiyo inamaanishaga mapenzi ya jinsia,sasa kwa mwanaume na mwenzie ni ma #homosexuals na mwanamke na mwenzie ni ma #lesbians,urafiki wa Aunty na Wema kwa kiasi hicho watakuwa ni ma lesbians tu,na kama sio basi wenyewe wanajua siri yao ya kubusiana kwa ma lips.
@chainbre275
@chainbre275 5 лет назад
Sky hakuna urafiki kma huwo huwo wao nitofauti yani kwa Yale mabusu lol
@emmahnjoki4414
@emmahnjoki4414 5 лет назад
welcome back my dearest team i missed u all n thank u so much for coming back watching from Qatar,I Cant kiss a lady on her lips
@aisatahaisatah2612
@aisatahaisatah2612 5 лет назад
Namim mwanangu kazaliwa mwizi hu
@susanruo8087
@susanruo8087 5 лет назад
Sio kwa mwanamke tu mbali mpaka kwa wanaume Yeyote " straight " and I repeat " straight " you can't be comfortable doing some romantic things with you fellow woman or man. But if kuna kasoro fulani, basi ndo ivo Auntie anambusu mwanamke mwenzake midomoni direct. But as a straight woman me I can't event stand that. Yaani ata nitatapika tu
@najmagudeh203
@najmagudeh203 5 лет назад
Sitaki na wema wangu jamani kukiss nikawaida sana
@zabibunduwimana4612
@zabibunduwimana4612 5 лет назад
Fundibisho weye😂😂😂unajuwa kunichekesha
@aisatahaisatah2612
@aisatahaisatah2612 5 лет назад
Gody umenichekesha hahahahahahaha
@zainabual_tz5623
@zainabual_tz5623 5 лет назад
Msimchukulie poa wema wangu jaman...🙄 Msisahau Ni gar mbili...👌🤸🏻‍♀️
@shahamtindo
@shahamtindo 5 лет назад
dah! kuna watu wanamchukulia kawaida wakati hawamfikii hata chembe
@zainabual_tz5623
@zainabual_tz5623 5 лет назад
@@shahamtindo Utazani wema wanakaa nae...na apo haja waonesha nyumba zake mbona watasema sio zake watanzania bwana kazi wanayo
@solangerobloxadoptmir2015
@solangerobloxadoptmir2015 5 лет назад
Yes am happy ur back love u guys alot
@beatricechristian9257
@beatricechristian9257 5 лет назад
Duuuuuh! Nimecheka sana eti kuna kidume kasaidiwa majukumu 😃😃😃
@bosslilyg4390
@bosslilyg4390 5 лет назад
🤣🤣 ila Godfrey unaongeaga ukweli mtupu, na ukweli sikuzote watu hawautaki, nakumbuka ulikataaga kuhusu king bae wa zari kwamba hayupo watu walikataa sasa watakuelewa, na kuhusu gari ya zawadi ya Wema pia unakataa 🤣🤣 ila watu ipo siku watakuelewa fundi bishoo 🤣🤣🤣🤣
@jayzablon7281
@jayzablon7281 5 лет назад
Welcome backkk you guys had been missed a lot thank you to bring roundup again
@chainbre275
@chainbre275 5 лет назад
Sky wacha kutuonea bna hmm mambo ya wanawake apana hiyo kiss ilikua deep snaa kwn siyo kawaida kbsa
@aminaabdallah3644
@aminaabdallah3644 5 лет назад
Welcome back Round upp lol we miss you guys 😍😍😍😍
@shahamtindo
@shahamtindo 5 лет назад
hiki kipindi tulikimiss sana
@silverman6930
@silverman6930 5 лет назад
Wema she is a Lesbian period
@hadijapazia8255
@hadijapazia8255 5 лет назад
September girl 👌👌👌🔥🔥🔥🔥
@princesspripro1120
@princesspripro1120 5 лет назад
Yani nawapenda balaa from Kenya
@mariejoseeali9535
@mariejoseeali9535 5 лет назад
Welcome back kabisa tulikuwa tume wa miss kweli
@bujsaudaselemani5562
@bujsaudaselemani5562 5 лет назад
Mimi kweli siwezi na gari siyo yake
@khadijalubuva2629
@khadijalubuva2629 5 лет назад
Godfrey na lodhery..mko sahihi kabisa iyo gari wameomba inarudishwa shoo rom.na kuhusu kiss itakuwa yale mambo ya Diana sasa hivi karudi kwa aunt kaachana na Diana ..hahahaahahahahah
@zainabual_tz5623
@zainabual_tz5623 5 лет назад
Welcome back #Round up nawapenda wana #Sns...💯😍
@AGAIN_MEDIA
@AGAIN_MEDIA 5 лет назад
Tulikuwa tumesha wa miss kweli
@najmagudeh203
@najmagudeh203 5 лет назад
Nime wa miss jamani mbona mnapotea ivo
@latriciah01augustino67
@latriciah01augustino67 5 лет назад
Ila Godfrey 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@hadijakapombe7018
@hadijakapombe7018 5 лет назад
🤣🤣🤣🤣God we mwehu jamani..niliwamis sana yaan mno jman😍😍😍
@marylouisebumoleke4677
@marylouisebumoleke4677 5 лет назад
yani mnaamaanisha wema hata gari hana? apo hamna ushauri mnaponda tu watu acheni kukejeli watu fanyeni kazi ipaswavyo team wema gongoni like apa kama mnakubaliana na mimi
@bujsaudaselemani5562
@bujsaudaselemani5562 5 лет назад
Hahaha nimecheka yani nilikuwa nimewa Miss kweli
@zennakailo8106
@zennakailo8106 5 лет назад
Ile gari ni fake 😂😂😂😂na Wema hawezi kubadilika anaujinga mwingi sana
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 5 лет назад
Happy birthday Lordherry
@silverman6930
@silverman6930 5 лет назад
I can’t stop creasing here guys I’m in tears 😂😂😂😂😂😂😂
@khadijalubuva2629
@khadijalubuva2629 5 лет назад
hahahahhaahahha# Godfrey ww yaani napendaga unavyoongea ukweli ..wema sepatu kwisha.
@alphonsinawilondja7695
@alphonsinawilondja7695 5 лет назад
I miss you guys
@lilianjeremia1024
@lilianjeremia1024 5 лет назад
Nimecheka jmn😁😁😁😁😁😂😂😂 mimi sina rafiki ambae nawez kumpiga ma kiss ivyo kwanza siwez😂😂😁😁😁 alafu mimi naungan na god ilo gari sio lake
@nicolekipenzicawatu5432
@nicolekipenzicawatu5432 5 лет назад
Mamaaaaaa sijameza mate nilivyo kuwa nawamiss❤
@shahamtindo
@shahamtindo 5 лет назад
dah!
@alphonsinawilondja7695
@alphonsinawilondja7695 5 лет назад
We wait for party 2 guys
@marylouisebumoleke4677
@marylouisebumoleke4677 5 лет назад
kazi yenu kupondana tu iyi Round up ya leo imeniboa kbs nisiwafichi
@elizabethkaroli3799
@elizabethkaroli3799 5 лет назад
Wafanye yooooote kifo kipo palepale
@khadijalubuva2629
@khadijalubuva2629 5 лет назад
kiss izo labda zimeanza kama za Diana kimari ..
@bosslilyg4390
@bosslilyg4390 5 лет назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Gody jamaniiii🤣🤣🤣
@alphonsinawilondja7695
@alphonsinawilondja7695 5 лет назад
Mbona kawaida tu
@sumaiyamihrma7852
@sumaiyamihrma7852 5 лет назад
Godfrey mbona unateseka jamn😅😅😅😅😅😂
@asinathasinath5090
@asinathasinath5090 5 лет назад
❤❤❤❤❤❤❤👏👏🙏walipendeza
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 5 лет назад
Niliwamisi sana jamani
@alphonsinawilondja7695
@alphonsinawilondja7695 5 лет назад
Sometimes muna weka fujo guys
@annitabobo5438
@annitabobo5438 5 лет назад
Diamondplatnumz bought that car mark my words!!!!
@ashanalinga8719
@ashanalinga8719 5 лет назад
Fundiii bishooooo kunywa soda kwa Mangi nakuja kulipa 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@kahroogall5695
@kahroogall5695 5 лет назад
Kaka sky gai uyo brother anamponda Sana wema gai
@asinathasinath5090
@asinathasinath5090 5 лет назад
Kila mda nakuja kutizama
@asinathasinath5090
@asinathasinath5090 5 лет назад
Mulikuaa wapi sikuu zote izoo 😂😂😂😂😂😂😂
@umutoni-roussel5233
@umutoni-roussel5233 5 лет назад
Hahahahaha,you killing me guys ,may be she has the money to suprise het friend ,like you all😀
@silverman6930
@silverman6930 5 лет назад
I have missed this show my guys 🔥🔥🔥
@sistersade9039
@sistersade9039 5 лет назад
maana sina mbavu, gari haiko 🤣🤣🤣🤣
@fatumamusisi5046
@fatumamusisi5046 5 лет назад
God u will kill me one day🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@princesspripro1120
@princesspripro1120 5 лет назад
Gody wewe usiwai kosa kwa kipindi🤣🤣🤣
@tamaraeliz7114
@tamaraeliz7114 5 лет назад
Tz sweetheart 🥰🥰🥰😍
@bidiiyako6803
@bidiiyako6803 5 лет назад
Kwangu nikawaida, wako wengi wanakiasiana kwa mdomo, ni urafiki huo!!
@najmagudeh203
@najmagudeh203 5 лет назад
Amezowea ivo
@rizikinditi2190
@rizikinditi2190 2 года назад
Kafirweni uko mnachakufanya yenu mna muongelea wema makuma nini nyie
@solangebaguhe5330
@solangebaguhe5330 5 лет назад
💃💃
@latriciah01augustino67
@latriciah01augustino67 5 лет назад
Wema kubusu hivyo sio kwa aunt tu jamn hata kama ana mambo yake na huyo aunz but hatuwez kumjaji kwa kiss bwana, If so basi hata mama ake ana anasagana nae basi🙄 maana hata mama ake huwa wana kiss mdoni na sio mama ake tu watu wengi na video Zipo...... Kuhusu gari 🙄🙄
@frenchygigi
@frenchygigi 5 лет назад
Aunty Ezekiel hakununua hio gari, kila mtu anajua hio.
@binthassancollection.6308
@binthassancollection.6308 5 лет назад
Bby Sky si kwa wivu huo😂😂😂😂😂😂😂😂
@gracendowo9492
@gracendowo9492 5 лет назад
jmniiii tuliwamic and i cant stop laughing daa
@josephineakinyi1493
@josephineakinyi1493 5 лет назад
😅😅
@khadijakhadija6212
@khadijakhadija6212 5 лет назад
🤣🤣🤣😜😜😜Huyo juma lokole wa pili khaaa
@tahrinkessy7119
@tahrinkessy7119 5 лет назад
😂😂😂😂 bro sky
@najmagudeh203
@najmagudeh203 5 лет назад
Msiwe ivyo nyie msiukumu mtu jamani wema amezowea ivo
@zakiakhalid212
@zakiakhalid212 5 лет назад
Jmn ww fund bisho mkorof atar umenichekesh atar 😂😂😂😂
@خسنموس
@خسنموس 5 лет назад
Wakwanza like zangu pls
@alineolivia2392
@alineolivia2392 5 лет назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@chainbre275
@chainbre275 5 лет назад
KZI IPO lol
@jessymalembeka6181
@jessymalembeka6181 5 лет назад
wewe fundi bishooo acha wivu,wema ana gari bana acha chuki zako bana,hata ile BMW MLISEMA HIVYP HIVYO
@asmaally8353
@asmaally8353 5 лет назад
KWA MATATIZO YA NGOZI, KAMA MICHIRIZI SUGU, MAKOVU, NYAMA UZEMBE, KUONGEZA SHEPU, N.K,DAWA ZINAPATIKANA,SMS/WHATSAP 0693_330284
@veronicadaniel1122
@veronicadaniel1122 5 лет назад
Wema ndo nani kwani llyyin ndo mpango mzima
@halimatanzani8587
@halimatanzani8587 5 лет назад
😂😂😂😂😂😂😂😂
@aishaaisha2957
@aishaaisha2957 5 лет назад
😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
@mamajd269
@mamajd269 5 лет назад
😂😂😂😂😂
@kahroogall5695
@kahroogall5695 5 лет назад
Wacheni hizo bwana huku uwarabuni hizo ndiyo Salam zao wakikutana tu wanakiss na kukumbatiana hiyo nikawaida
@halimatanzani8587
@halimatanzani8587 5 лет назад
Waarabu kweli lakini sio mdomoni wana kiss mashavuni na mkononi
@kahroogall5695
@kahroogall5695 5 лет назад
@@halimatanzani8587 dada halima ninafanya kazi Bahrain ya salon na hivo ndivyo wanafanya hata boss wangu huwa akiingia tu saram anatukiss wote kwa lips mashavu
@halimatanzani8587
@halimatanzani8587 5 лет назад
@@kahroogall5695 😂😂😂😂😂😂asante 🤣🤣🤣
@kahroogall5695
@kahroogall5695 5 лет назад
@@halimatanzani8587 kalibu anytime
@hopechidera
@hopechidera 5 лет назад
@@kahroogall5695 uko ulipo ni uwarabuni bhan kama wanabusiana mwanamke na mwenzie au mwanaume na mwenzie kwa ma lips manaake ndo utamaduni wao,bali hayo sio mabusu ya waafrika na hiyo sio kizungu,na kama muafrika mwanaume anambusu mwanaume mwenzie mara moja tunajua ni ma #homosexuals na wanawake ni ma #lesbians ndo tafsiri yote hiyo,shida iliyo hapo ni sababu waafrika wanapenda kuiga ujinga wote wadunia.
@sharifaabdullah6825
@sharifaabdullah6825 5 лет назад
Mmh mitihani kweli
@ameenatanganiaameenatanzan7336
😂😂😂😂
Далее
ŠKODA не перестает удивлять
00:48
Просмотров 569 тыс.
E361 Navigating the Bible: The Pentateuch
44:18
Просмотров 263 тыс.
ŠKODA не перестает удивлять
00:48
Просмотров 569 тыс.