Тёмный
No video :(

"RPC ni Mtu mdogo siwezi kuzungumza nae, nimempa siku 3' - MSUKUMA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 759 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 934   
@marykitiru9212
@marykitiru9212 7 лет назад
we siulisema unaheshim hata askarimdogo aje akukamate..sasa umekamatwa na mkubwa una lalamika...poleeeee
@bennymgaya2277
@bennymgaya2277 7 лет назад
Kajinga haka kajamaa na shida ni shule
@dhomila2982
@dhomila2982 3 года назад
@@bennymgaya2277 wa ha madharahu
@hamisi8
@hamisi8 7 лет назад
msukuma mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu unataka upewe upendeleo maalum kwa kuwa eti wewe ni m kiti wa ccm wa mkoa m kiti wa ccm ndio unaruhusiwa kuvunja sheria na kuhusu ufisadi wa RPC yote ayo ni maneno ya mkosaji kwani unasubiri mpk uwekwe ndani ndio useme maovu ya RPC.
@mathsngasadm3093
@mathsngasadm3093 7 лет назад
Pole
@mwitamahende4394
@mwitamahende4394 Год назад
Kumbe inaumae? Hakika mkuki kwa nguruwe kwa binadamu duu!
@bobwangwe748
@bobwangwe748 7 лет назад
Kwahiyo akikuomba msamaha utamfichia hayo maovu?
@magezimagezi363
@magezimagezi363 7 лет назад
Bob Wangwe, arudishwe sero
@gilbertalex1651
@gilbertalex1651 7 лет назад
Bob Wangwe bobu tulia wewe
@frankbella7010
@frankbella7010 7 лет назад
huyo mtangazaji mbona anamuiga miladi hayo sauti
@lazaroyona8307
@lazaroyona8307 7 лет назад
+Frank Bella.....muige na ww pia
@emmanuel_mihambo3
@emmanuel_mihambo3 7 лет назад
Lisu nilaisi wa wanashelia mbona yeye aliwekwa lokap marangapi wewe unalaumu afu dalasa LA 7 mufungweee RPC fanya kazi yako
@robertjagad5826
@robertjagad5826 7 лет назад
King M you are Good! hua unajua nini unaongea! na hujawahi kuogopa safi! tupo nyuma yako!
@aloycekiwia8613
@aloycekiwia8613 7 лет назад
Kumbe kuna siri wanafichiana? Naomba waendelee kuchafuana ili tujue ya ndani.Serikali hii..!!
@yordanyona1234
@yordanyona1234 7 лет назад
kumbe hamuwez kusema mpaka mfanyiwe...Tanzania msema kweli Ni lisu angalii fitina ....mseme Siku zote ...mnafki
@graceswai9147
@graceswai9147 7 лет назад
Yordan Yona Wanafki awa
@amanidaudi210
@amanidaudi210 4 года назад
Mhhh huyu jamaa mbona anaogea kama kaonewa. Hivyo ni vitisho na anajuaje kama yeye ni msafi????
@jozeytv8357
@jozeytv8357 7 лет назад
safi sana nilitamani ukae ndan ata miez minne unashabikiaga xan Akin lema wakiwekw ndani
@venancebasil4656
@venancebasil4656 7 лет назад
Jozey The Boy TV msukuma ni msukuma tu
@fugakwamalengo707
@fugakwamalengo707 7 лет назад
+Venance Basil halafu ajielewi eti anasema RPC chadema ajui kuwa hicho ni cheo kinavyo Fanya kazi akiulizi chadema wala ccm
@abdallahmwambe4834
@abdallahmwambe4834 6 лет назад
Msukuma hunalolote
@hamismindika7513
@hamismindika7513 7 лет назад
Takukuru mnasubiri nini anzeni namsukuma
@fugakwamalengo707
@fugakwamalengo707 7 лет назад
l like that
@graceswai9147
@graceswai9147 7 лет назад
Hamis Mindika hahaa
@emmanuelmasele8734
@emmanuelmasele8734 7 лет назад
SIKU ZOTE UNATAKA UONGEE NA USHANGILIWE NA WANA CCM.WALA SI MPIGANIA WATANZANIA BALI NI MWAKILISHI WA CCM TU.HONGERA RPC.
@michanomichano4931
@michanomichano4931 7 лет назад
Hapo ndiyo namkubali RPC alafu nilitamani ukae hats miezi 8 kwa kiherehere ulicho nacho
@theinsider6462
@theinsider6462 7 лет назад
Huyu ndo yule chizi anayeshabikiaga mambo ya kipuuzi yanayofanywa na police kwa upinzani,Leo yamemkuta yeye kidogo tu analalama anataka hadi kufa.....hiyo ndo serikali yenu wehu nyie na ujifunze kuacha kuwabeza wapinzan wanapoonewa na serikali yenu MPUUZI WEWE
@tracyjustice1600
@tracyjustice1600 7 лет назад
Zacharia John kachukuwe soda kwa Mangi nitalipa, umenifurahisha sana
@subramashs2236
@subramashs2236 7 лет назад
Zacharia John mie namkubali msukuma
@mussambegu6386
@mussambegu6386 7 лет назад
Zacharia John heti anasema RPC ni chadema ahahahaa
@emanueljohn4217
@emanueljohn4217 7 лет назад
Zacharia John hili lijamaa kweli halifikirii
@subramashs2236
@subramashs2236 7 лет назад
Zacharia John mid namkubali
@sirimollel5970
@sirimollel5970 7 лет назад
wekwa ndani weweeee mweu ulimshabikia LEMA hakiwa ndani uliwatusi kina Halima mdee sasa utanyoka
@kassimayoub5568
@kassimayoub5568 7 лет назад
hahahahahaaaaa TANZANIA imefikia patamu si mchezo 😁😁😁😁😁
@nasryseif3575
@nasryseif3575 7 лет назад
Leo nimeamini msukuma sio mzalendo kwanini ufiche maovu ya MTU kama kweri mzalendo na geita mmefanyiwa hayo kwanini usiseme
@mtanzaniamzalendo7001
@mtanzaniamzalendo7001 7 лет назад
mohamed Seif kabisa,hana uzalenfi wowote,ni unafiki tuu
@rosemarybenjamin5866
@rosemarybenjamin5866 7 лет назад
Pole msukum wangu love you
@marykitiru9212
@marykitiru9212 7 лет назад
amakweli mkuki kwa ngurueee...sasa nimchunguu mmmmh.
@sonkoelface5594
@sonkoelface5594 7 лет назад
Ukusema mwanzo mnafiki hunaswaga
@stewardheaven8382
@stewardheaven8382 7 лет назад
ulikuwa unasubiri nini?? hadi ubanwe ndo utoe povuuu,ndo ukomeeee
@stephanokanyika6988
@stephanokanyika6988 7 лет назад
we msukuma mbona unamtisha sana kamanda unasema ufulahii wapinzani kuwekwa ndani mbona kila siku unawapigia debe polisi leo wamekugeuka
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 7 лет назад
Kanyika Kanyika hahahahahah
@barakanyamafu5937
@barakanyamafu5937 2 года назад
Pole kiongozi usijal tupo pamoja from Dodoma tunakupenda mtani wetu msukuma
@lanlady2504
@lanlady2504 7 лет назад
Pole sana msukuma! Sasa,hapo umejiongezea shtaka la5 kwa kumtishia RPC! Uwiiii, poor TZ! Tunaelekea wapi? 'TUFIAKWA!!'
@iconnect9769
@iconnect9769 7 лет назад
Kiongozi gani wewe unaficha mabaya ya viongozi wengine, Kama kweli wewe ni mzalendo kweli Fichua mabaya aliyo nayo, Watanzania tumewachoka viongozi tiamaji tiamaji kama nyie.
@mtanzaniamzalendo7001
@mtanzaniamzalendo7001 7 лет назад
Issaria Kimambo hapo ndipo ninapomwona msukuma hana akili
@ibrahimushabani5299
@ibrahimushabani5299 5 лет назад
Kabisa yaani halijitambui hili
@eddieross2581
@eddieross2581 7 лет назад
wewe unaftina sana,muheshimiwa Rais muangalie sana huyu mtu,anasema RPC mfuasi wa Chadema kwani yeye msukuwa ameacha lini ufuwasi wa Lowassa?
@salimyona9913
@salimyona9913 7 лет назад
ovyo ovyo
@santyhassan4186
@santyhassan4186 7 лет назад
eddie ross kweli yeye mwenyewe mfuasi wa Lowassa
@hassanmwakipesile3386
@hassanmwakipesile3386 6 лет назад
kwenda wewe we mungu achamkwara etiusikamatwe
@zakiamakesi620
@zakiamakesi620 6 лет назад
Huhu
@moriscollins4494
@moriscollins4494 3 года назад
Hapa ndio napomkazania mwanangu kusoma kwa hali yeyote ile....elimu ni muhimu sana
@drex81
@drex81 7 лет назад
RPC amekuwa na roho mbaya zaidi ya waliotaka kumuua LISSU? Acha upuuuuzi
@rosemahengenicemcpilpil3327
@rosemahengenicemcpilpil3327 7 лет назад
umenena mwanaaa
@bobwangwe748
@bobwangwe748 7 лет назад
Kwahiyo akikuomba msamaha utamfichia hayo mambo hadharani?
@abasmasusu964
@abasmasusu964 7 лет назад
Bob Wangwe hahahaha!!kijana nakuona umepotea sana
@gilbertmichael9130
@gilbertmichael9130 3 года назад
Asiposema Inamaana amefumbia macho uovu
@treyibrahim3327
@treyibrahim3327 6 лет назад
sema vyote wewe izo siyo siri tena kwa taarf yako.nakukubali sana Mr Msukuma
@mlamtv4839
@mlamtv4839 7 лет назад
Nimelipenda Sana hilo neno "kupoteza radha ya mahakama".
@tatut3889
@tatut3889 7 лет назад
Mmh yani kimtu hichi sijuwi kikoje kumbe kunya anye kuku akinya bata kalisha kumbe kama nikweli umeweka ndani sio kutufumba macho umewezwa kwann ayo maovu Usinge sema zamani shwani ww
@sylvestergibbeson9220
@sylvestergibbeson9220 7 лет назад
Sheria unaichanganya na siasa bro! kapimwe mkojo
@ibrahimushabani5299
@ibrahimushabani5299 5 лет назад
Kabisa yani hili chizi halielewi hata anachoongea
@fadhilplatnumz8474
@fadhilplatnumz8474 2 года назад
Veema- sana Mkuu msukuma tukopamoja nawe watz wote Joseph Msukuma oyeee nakukubali sana.
@barnabasuled2011
@barnabasuled2011 4 года назад
Hahaha sio poa Kwanza umenifulahisha umeongea kishujaa bro nakupenda Sana
@hamismindika7513
@hamismindika7513 7 лет назад
Huna lakuwaeleza wtz
@fugakwamalengo707
@fugakwamalengo707 7 лет назад
nice
@bernadinangasi7664
@bernadinangasi7664 7 лет назад
mimi binafsi nampa hongela huyo rpc kazi anaweza
@justinekasigu5979
@justinekasigu5979 7 лет назад
Ulikuwa wapi kuyaanika hayo unayotaka kuyasema,acha unafiki msukuma,usiwajibishwe ww ni nan katika nchi hii,acha kulia lia RPC piga kazi # HAPA KAZI TU.
@allydaraja1949
@allydaraja1949 7 лет назад
Zambi ya ubaguzi haijawahi mwacha mtu salama.
@godblessmwanri80
@godblessmwanri80 7 лет назад
msukuma. my bro.wewe nikiongozi wa mkoa kuwa mfano.acha vyombo vya ulinzi na usalama vifanye kazi yake.ushauri
@tonymelkion8357
@tonymelkion8357 7 лет назад
daaah kumbe mnalindana, siku zote ulikuwa wapi ......? mpaka ukamatwe ndio unataka kusema huo ukweli.....? Lisu big Up sana.
@makaramayatibamrmichaelkih3683
Safiiiiiii sana msukuma
@mavundemmbaga4664
@mavundemmbaga4664 7 лет назад
Wakifungwa lisu wakitetea haki unashangilia..ila wewe unatisha..mpaka upelekwe ndo utaje maovu.jinsi mlivyo wanafiki...yanawarudia wenyewe
@dawoodtekakie4012
@dawoodtekakie4012 7 лет назад
Gurached Mmbaga yeye ni nani? Unadhan kuwa mwenyekiti ndo nn? Serekali ya wote
@mtanzaniamzalendo7001
@mtanzaniamzalendo7001 7 лет назад
Gurached Mmbaga mnafiki sanaaaaa
@bernardzibwe3279
@bernardzibwe3279 5 лет назад
Mavunde Mmbaga . .
@shedracktweve9789
@shedracktweve9789 7 лет назад
Pumbav ww yaan kwa sababu tuu ww ni CCM ndio uvunje sheria RPC muongeze masaa mengi 120
@tatut3889
@tatut3889 7 лет назад
Shedrack Tweve 😂😂😂😂😂😂😂😁😁😁😁😁😁😁
@christophersypriano7824
@christophersypriano7824 7 лет назад
😂😂😂😂😂
@mussambegu6386
@mussambegu6386 7 лет назад
Shedrack Tweve kumbe imemuuma anavyoshabikiaga wenzie sasa imemkuta yeye
@hechechacha4032
@hechechacha4032 7 лет назад
Shedrack Tweve zitto alisema nchi wamepewa washamba hakukosea
@fokasiinnocent3448
@fokasiinnocent3448 7 лет назад
Shedrack Tweve subir utaona akimtaja ufisadi wake
@EmmanuelYona-wn5oz
@EmmanuelYona-wn5oz 3 месяца назад
tunakuunga mkono mbunge wetu na mwenyekiti wetu geita muanike huyo rpc
@saidndimbwa4976
@saidndimbwa4976 7 лет назад
😂😂😂😂😂😂😂 msukuma bhana... Eti "sijawahi kuona RPC mwenye roho mbaya kama huyu" Muhuni amevurugwa huyo...kampiga tanganyika jerk mheshimiwa...
@santyhassan4186
@santyhassan4186 7 лет назад
Said Ndimbwa Unamtetea nini sasa wacha alale ndani
@ismailyhamisi2282
@ismailyhamisi2282 2 года назад
Msukuma mm hakukubali sana ila binadamu hao ila police wanakela sana Mungu asaidie police ya Tanzania wafre kwenye roho mbaya
@marcodominico9503
@marcodominico9503 7 лет назад
....."" Leo ni sisi, kesho ni Nape..keshokutwa ni wewe....". Alisema Tundu Lissu
@samwelmwinyi7879
@samwelmwinyi7879 7 лет назад
Marco Dominico-Mungu akiponye mja wake! Lissu
@imanishengoma5602
@imanishengoma5602 7 лет назад
usipoweza kumuheshimu rpc anayekulinda ktk himaya yako usitegemee kusikilizwa na sirro au rais
@tracyjustice1600
@tracyjustice1600 7 лет назад
Piganeni nyie wote CCM na huyo RPC wenu mpaka muuwane
@alphoncealexander6562
@alphoncealexander6562 7 лет назад
Albadirr ishaanza kufanya kazi...
@bakaritlagha625
@bakaritlagha625 7 лет назад
Hongera RPC haki itendeke kwa wote hayo yote mbona hakusema wakati hajakamatwa .ukikosea sheria lazima uchukuliwe hatua.
@jumannewat7657
@jumannewat7657 7 лет назад
Alubadili iyo inafanya kazi kwa msukuma
@majisanhaimonnyirenda6760
@majisanhaimonnyirenda6760 7 лет назад
Leo msukuma zam yako usilamike mkuki kwa nguruwe
@davidemanuel8044
@davidemanuel8044 7 лет назад
acha uchochezi, asingekamatwa ungesema mengne, tumia akili
@delebm543
@delebm543 7 лет назад
na bado utawaita roho mbaya wengi..suala uenyekiti ....mbowe na wengine mnaowaita kama watoto mpuuzi wee msukuma..
@nurumnyumba7964
@nurumnyumba7964 7 лет назад
Mambo gani unaanika baada ya kuwekwa ndani, acha vitisho. Tanga tunakujua.
@zihadhassan6642
@zihadhassan6642 7 лет назад
RPC ninampongeza sheria ifate mkondo wake akuna cha Ccm au chadema
@jameskileo955
@jameskileo955 3 года назад
Acha mboyoyo RPC Yuko vizuri na hayo ndiyo majukumu yake hakuna mtu aliye juu ya sheria NNCHI HII
@ernestndauka9301
@ernestndauka9301 7 лет назад
Braza Ayo!!! Hawa vijana wako wanakuiga hadi sauti!!! Jamaa waambie waongee sauti zao!!!!
@shoferishayoshayo9493
@shoferishayoshayo9493 6 лет назад
hawa wanatuinjoi
@Majambo_Duniani_Tv
@Majambo_Duniani_Tv 6 лет назад
bwege sana huyu..
@eliudykabelege5770
@eliudykabelege5770 5 лет назад
Ernest Ndauka alikwa wapi kusema mpaka akamatwe
@khadjamhozya
@khadjamhozya 3 месяца назад
Kweri
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 6 месяцев назад
Jamaa yukoo simpo sana kama hakana ela
@stevenmrama3123
@stevenmrama3123 3 месяца назад
Pole sana ,samehe tu kiongozi
@lutherpanafrican2880
@lutherpanafrican2880 7 лет назад
si uzungumze Sasa hivi? so CCM mnafichua ubadhilifu mpaka mwe impacted, lol
@bonifacej8755
@bonifacej8755 7 лет назад
yani hapa hakuna mtu kituko
@juliusurassa2136
@juliusurassa2136 7 лет назад
Bangi mbaya, uombwe radhi na RPC wakati umesema ni mtu mdogo kwako?
@fransismwanga6616
@fransismwanga6616 7 лет назад
Daaah.unatafuta balaa msukuma.muangalie nape alipo.nyerere alitoa onyo.mnawapiga Hawa wakiisha mnapigana ninyi kwa ninyi.
@felistagerrard2375
@felistagerrard2375 7 лет назад
Wacha vyuma vya CCM visuguane sisi vyuma vya CHADEMA tuwaangalie maana haya yameshatutokea na yanaendelea kututokea.PEOPLEEEEEEEEZ
@petershokolo9894
@petershokolo9894 3 года назад
Sio roho mbaya yuko kazini anatimiza maagizo yake ya kikazi
@Mkemia..Kirigiti
@Mkemia..Kirigiti 7 лет назад
hahahah!!, mzee baba liamshe DuDE nakukubal
@user-sz6ht5wm2g
@user-sz6ht5wm2g 4 месяца назад
Unabii unaonyesha kwamba huo ndo mwanzo wa machafuko ambayo yatakivaa chama cha CCM na hasa wale wasiyomjua Mungu na huo ni mwanzo tu, yapo yanakuja ni muda umefika Mungu amechoka kuona watu wanamyungu yao kuongoza nchi
@wilsonchallange4420
@wilsonchallange4420 7 лет назад
Unatakiwa useme tu. na kama unao ushahidi juu ya maovu yake aburuzwe mahakamani na wewe uburuzwe kwa makosa yako.
@aproniadeus2804
@aproniadeus2804 7 лет назад
sasa mwenyekit wa chama akikosa hastaili kuadhibiwaa? na kama anastahili kuadhibiwa unalalamika nn Kukaa siku mbili maneno yote yanakutoka je ungekaa miezi 6 ingekuwaje
@lidriclidric4247
@lidriclidric4247 2 года назад
ety nimekupa siku tatu, umpe rpc sikutatu huna mamlaka ayo, rpc ni mtu mkubwa acha kubwabwaja ☝️☝️☝️ww
@betsonmugisha9604
@betsonmugisha9604 7 лет назад
ulipaswa kusema makosa Yake mapema kwasasa haitakuwa sawa.
@stewardheaven8382
@stewardheaven8382 7 лет назад
uombwe radhi wewe nani bwanaee???c unajidai mjuaji na mshangiliaji wa ya wapinzani? kaaa selooo huna ukubwa wowote kuliko RPC
@abdillahihassan7889
@abdillahihassan7889 7 лет назад
Mara pap iii....hiiiiiii!!!!!!!
@princebarcher3055
@princebarcher3055 7 лет назад
Abdillahi Hassan 😂😂😂tumemsomaa!
@princebarcher3055
@princebarcher3055 7 лет назад
Abdillahi Hassan 😂😂😂tumemsomaa!
@amosododa4902
@amosododa4902 6 лет назад
Abdillahi Hassan
@surrajimohamedi197
@surrajimohamedi197 7 лет назад
Jeshi LA police halina chama limepewa thamana ya kulinda nchi na wananchi pamoja na mali zao liache lifanye kazi yake.R.P.C piga kazi babaaaaaa.
@flyhigher5393
@flyhigher5393 7 лет назад
safi wamekukomesha wew huna adabu wala akilii.... safi sana walivyosema chakula chako kimwagwe.....
@flyhigher5393
@flyhigher5393 7 лет назад
inabidi wakunyooshe wew,kwan mwenyekiti wa chama nan alisema yuko juu ya sheriaaa??? acha zako wew bhanaaa huna jipyaaa....
@venancebasil4656
@venancebasil4656 7 лет назад
eti rpc ni chadema hahahhahhhaaaaaa, kisa wewe ccm kakukamata hahahahhaa, kwani ccm ndo nini weka ndani wote alafu acha mikwara kwa rpc hahhaaaha eti risasi! nani akupige risasi wewe hakuna mtu wa kukupiga risasi tanzania ni ya amani, alafu kama wewe ni kiongoz bora ni bora uzungumze hadharani kwnini unaficha siri au kupiga mkwara, tumbua basi kama unaweza
@mtanzaniamzalendo7001
@mtanzaniamzalendo7001 7 лет назад
Venance Basil Namshangaa kwa nini hawakuitana huko kwao geita,kumbe unaficha maovu eeee
@muhsinihassani7021
@muhsinihassani7021 7 лет назад
msukuma kua mkweri rais katukanwa Wap ? usitafute kiki Kwa pickpik
@ibrahimushabani5299
@ibrahimushabani5299 5 лет назад
Hana lolote mshenzi tu huyu ingekua kweli si angesema
@raphaelsamwel2640
@raphaelsamwel2640 5 лет назад
Wanajisahau sana hawa wanasiasa ambao sifa ya ubunge nikujua kusoma na kuandika tu!!! RPC ni mtu na elimu yake bhana!!!!
@josephtula5525
@josephtula5525 5 лет назад
Wewe unaongoza jimbo ndani ya mkoa yeye RPC anaongoza mkoa mzima unahisi nani mkubwa hapo.
@ibrahimushabani5299
@ibrahimushabani5299 5 лет назад
Alaf eti aombwe msamaha kenge hanithi huyu
@bhwanajoseph6799
@bhwanajoseph6799 7 лет назад
ahahaha kuwekwa ndan sio mchezo we amsha dude kwa faida ya wananchi sio akikuomba radhi usiseme
@graywoisso1741
@graywoisso1741 7 лет назад
ACHA KUTOA POVU NI KAWAIDA TU.UWEKWA NDANI ULITUMWA NA NANI UFANYE HUO UPUUZI.NANI AKUPIGE RISASI.AKUOMBE RADHI NANI WEWE
@saadesaid8596
@saadesaid8596 4 года назад
@abdulmohamed3240
@abdulmohamed3240 6 лет назад
Dah!!!! Malizana nae huyo!!!!!dah anakuona mbwiga pole yake sana mh msukuma nawe umezidi upole inshallah mungu batakusaidia .
@salaammtafya8790
@salaammtafya8790 7 лет назад
Hakuna mtakatifu ndani ya ccm kinachofanyika ni kunyenyekea b
@josephkimboka1394
@josephkimboka1394 7 лет назад
Na msipo mkamata tena huyu msukuma nitashangaa kumbe ana maovu ya watumishi wa serikari huyu jamaa analeta uchochezi cjui yukoje?
@user-dr1su7pf7w
@user-dr1su7pf7w 4 месяца назад
mjinga kweli wewe unaakili kweli?
@hajihassan9097
@hajihassan9097 7 лет назад
hiyo ndio sifa ya darasa zero, huna lolote kazi yako kupiga kelele na kujipendekeza kwa Magufuli, sasa utaamua kurudi shule au kuwa mfurukutwa zaidi wa ccm, kazi yako kuongopea watu eti mimi naungana na raisi Magufuli kwenye vita vya kiuchumi, mbona hilo la Rpc kama ana madudu lilikushinda kuzungumza bungeni? kilichobaki ni kula matapishi yako mwenyewe kwani ulikuwa ukiona raha kuwafika wapinzani eee
@stevensemkiwa1833
@stevensemkiwa1833 6 лет назад
SABABU WEWE NI. CCM. NDIO MAANA. UNASEMA HIVYO KAMA. NI MPINZANI. ASINGEWEZA WEWE NANI USIWEKWE NDANI DARASA LA SABA
@emmanueldottto5379
@emmanueldottto5379 7 лет назад
Mkuki kwa nguruwe hahaha asnte Tanzania yangu nakupenda
@fredrickbenito2252
@fredrickbenito2252 7 лет назад
Uyu vip? Lowasa kaingiaje hapo?
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 7 лет назад
Fredrick Benito hapo chacha.
@Msonjo
@Msonjo 7 лет назад
hhhh unanikosha kwa mikwala mwanangu nakukubali kinoma
@anitangao3135
@anitangao3135 6 лет назад
kwenda wamekukomesha unakuwaga na kielele kwa hiyo unataka upinzani tu wangekuacha hata miezi
@goodluckmrosso486
@goodluckmrosso486 6 лет назад
Msonjo Khan nimemwelewaaaa kwa biti
@allyabdallah2794
@allyabdallah2794 6 лет назад
Daaaa ccm bwana wanafichiana mambo ndo mana nchi haipigi hatua
@revocatuskapama2930
@revocatuskapama2930 7 лет назад
mnafki mkubwa
@agneschaula3734
@agneschaula3734 7 лет назад
hahaha ati ylikamatwa kwa kosa ganii?????? muhhhh kama stor ya sungura na fisi vile
@rehemamazuki8454
@rehemamazuki8454 7 лет назад
Msukuma unanipaga raha ha ha ha ha aaaaaaa
@rehemamazuki8454
@rehemamazuki8454 7 лет назад
Msukuma unanipaga raha ha ha ha ha aaaaaaa
@uliusmtack3679
@uliusmtack3679 7 лет назад
Musuma umeonaeeee bungeni wapinzani wakilalamikiaga hayo mnapingaga ss yamekukuta acha presha
@benedictsanga2560
@benedictsanga2560 7 лет назад
Sio kweli Msukuma, Polisi wanasiamamia sheria, usipotii sheria utashughulikiwa
@prosperkonokono5716
@prosperkonokono5716 6 лет назад
nimeamini elimu ni mhimu sana
@hamismindika7513
@hamismindika7513 7 лет назад
Asingepewa dhamana huyoo
@robertmwaibambe432
@robertmwaibambe432 7 лет назад
akuombe lathi we nnibhna mkuki kwa nguluwe
@olaislukumay571
@olaislukumay571 7 лет назад
Hahaahhahaha Msukumaaaa
@mussambegu6386
@mussambegu6386 7 лет назад
Olais Lukumay jamaa anapovu c mchezo
@franciscomohamedjumanne1136
@franciscomohamedjumanne1136 7 лет назад
wasio kuelewa watakutukana kwenye comment kwa sababu wao wanatumika kwenye mitandao nimekuelewa big up sana jembe
@thetreasure2230
@thetreasure2230 7 лет назад
Huo ni ubinafsi na tatizo la kuongozwa na hisia. Acha kukidhalilisha chama chako. Kubali tu kuwa hauko juu ya sheria. Ukiendelea kujiona chifu subiri kikao kijacho cha chama ndio utajua.
@revocatuskapama2930
@revocatuskapama2930 7 лет назад
koma
@denislubuva4960
@denislubuva4960 6 лет назад
Online Trendz
@charlessalum6603
@charlessalum6603 7 лет назад
fala wewe
@sittamaningu4630
@sittamaningu4630 6 лет назад
Pole sana bwana Kwa malalamiko yako Needhani kasikia.
@mtoshugilbert5540
@mtoshugilbert5540 7 лет назад
safi sana na uache kimbelembele kujifanya unajua sana kusema wenzio na kama ungekuwa mzalendo ungesema maovu yake toka mwanzo siyo kupigwa Tanganyika jeki ndo unajifanya kutoa mapovuu
@jofymwaijofymwai2163
@jofymwaijofymwai2163 7 лет назад
kwanini ungesinga ongea mapema Acha usenge kumbe wewe sio mwenyekiti wewe ufai
@magezimagezi363
@magezimagezi363 7 лет назад
Ningekuwa kiongozi mda huu ungerudi sero, ulikutoa hayo uliyonayo miyoni mwako, kakini yote haya ni uongozi bora wa Dr Rais jpm, Mungu akutie nguvu ili uwe na makamanda wengi km wa geita hii ni ishara kuwa nchi inazidi kuwa Safi, huyo wammkamate aseme aseme, na sheria itende haki....
@charlesmasana6779
@charlesmasana6779 6 лет назад
Jitafakari na ww pia mxkm
@majurasamwel7336
@majurasamwel7336 7 лет назад
Ww sheria haina mbuge unakata kote roho mbaya ndo kazi ya jeshi et huna kikao na RPC ww jitafakali mwenyewe na mwenyekiti ukivunja sheria inafata mkondo
@nurumnyumba7964
@nurumnyumba7964 7 лет назад
Huyu alitakiwa awekwe ndani na koplo wa Polosi wala si RPC. Asitishe watu/polisi.
@aeroportonissan8077
@aeroportonissan8077 7 лет назад
MKUKI KWA NGURUWE....
@agathammapundamapunda4826
@agathammapundamapunda4826 7 лет назад
Eeeerhhh uwwwwe Leo yamemkuta povu jingiiiiii nitunzie nije nifue
@aeroportonissan8077
@aeroportonissan8077 7 лет назад
agatha M Mapunda mapunda DUH!
@godywadeya4647
@godywadeya4647 6 лет назад
ukome
@peternkohi8830
@peternkohi8830 7 лет назад
kumbe mnafichiana uovu,sasa mmetuweka wazi kuwa ni WATENDA UOVU
@noahyavinmlela859
@noahyavinmlela859 7 лет назад
Msukuma kama mko kwa haki itafahamika Tu.lakin sheria ilibadilika
@johnsombi545
@johnsombi545 7 лет назад
Msukuma mjinga tuu kwanini usiyaseme kabla hujakamatwa
@victordisper5983
@victordisper5983 4 года назад
Unafiki tu umekujaa huna jipya Msukuma
@eastafricaqualitychickenfa9916
Naona umeinyaka Maik Kama wewe ndo muandishi🤣😅🤣
@neemac5488
@neemac5488 7 лет назад
Mtenda akitendewa mambo huwa hivi😃😃😃😃😃😃
Далее
Mbunge Msukuma akataa kuiacha simu yake ya miaka 10
4:10
Jumanne Kishimba: Hauwezi kuoa kwa friji au TV
10:35
Просмотров 28 тыс.
Natengeneza Millioni Ishirini kwa Wiki - Kyando
5:35