Тёмный

RUSSIA yakamata Urais wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa! Yaonywa isiikandamize UKRAINE 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 19 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Авто/Мото

Опубликовано:

 

1 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 50   
@RamadhanpMwakilasa-di5hc
@RamadhanpMwakilasa-di5hc 6 дней назад
Safi sna Putin endelea kunyoosha hao mashoga
@moseskulola6913
@moseskulola6913 3 дня назад
Noma
@OmariJuma-su6fz
@OmariJuma-su6fz 6 дней назад
Nice sana kbs
@ShekhMufyd-mn9zn
@ShekhMufyd-mn9zn 4 дня назад
Ndani ya mwezi huu anafuta Ukraine yote
@user-vt9ql5qe5l
@user-vt9ql5qe5l 6 дней назад
Mungu awabariki
@allysimu6856
@allysimu6856 6 дней назад
Kilalaheli Russia mwamba nenda katutetee mwanyonge
@user-tq4lx9si1n
@user-tq4lx9si1n 6 дней назад
Wenyonge niww na mamahako
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 6 дней назад
​@@user-tq4lx9si1nww choko unaumia nini shoga ww
@nakeidepaulo2766
@nakeidepaulo2766 День назад
Sema wazungu Awana akili duuuh
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 5 дней назад
Marekani kwa urusi ni mnyonge sana sema anajitutumua tu kwa yale mataifa ambayo yey ameyakandaza mataifa hayo ndio yanayo iyona marekani kwamba ana uwezo kuliko urusi lakin hii inaonyesha urus ana nguvu ya ushawishi kuliko marekani kupata urais wa usalama wa umoja wa mataifa nawapa pongezi
@DottoMussa-ro6rw
@DottoMussa-ro6rw 5 дней назад
kweli kabisa
@mwlpierre
@mwlpierre 4 дня назад
Atakuwa Raisi kwa mwezi mmoja!?
@user-ez9vi4pf3g
@user-ez9vi4pf3g 6 дней назад
Mmmh kazi ipo apa
@catherinejohon1282
@catherinejohon1282 6 дней назад
GPS ya hii ki2
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk 6 дней назад
🇹🇿🇹🇿🇷🇺🇷🇺🌹👏
@user-fl1xz3ln3c
@user-fl1xz3ln3c 6 дней назад
#Russia
@jkifutu7936
@jkifutu7936 6 дней назад
Wata elewa tu
@josepheriah5977
@josepheriah5977 3 дня назад
Meli yaa urusi yalipuliwa
@josepheriah5977
@josepheriah5977 3 дня назад
Vita ianze upya
@fistonmakasi3803
@fistonmakasi3803 6 дней назад
Congo bdo ime wekewa vikwazo
@GraceMashinga-be9wb
@GraceMashinga-be9wb 6 дней назад
Viva urusi
@zakariaabdalla-uo3nk
@zakariaabdalla-uo3nk День назад
Vovote urusi wanakibakubalika saiv dunian kutokana na ushenxi wanaoufanya watu wa ulaya
@passnatyluhala9847
@passnatyluhala9847 6 дней назад
Mambo ni mengi
@mangofish9079
@mangofish9079 5 дней назад
Hao Ukraine mbona hawasemi marekani ndio mhalifu mkubwa hapa duniani unafoki mtupu
@user-nv7jg6xc8l
@user-nv7jg6xc8l 6 дней назад
Hapo umoja wa mataifa hata ukiwa raisi lakini mwenyeki wake back ground ni mmarekani ndo mana hapo anaweza kukaa hata mama samia so raisi ni kivuli tu
@rogatimushi689
@rogatimushi689 5 дней назад
Hacha kudanganya watu mwenyekiti wa umoja wa mataifani kwa wanachama 15 tuu wenye nguvu na sio Marekani peke yake uenyekiti hupitia kila mwanachama kwa mpito tuu
@user-nv7jg6xc8l
@user-nv7jg6xc8l 4 дня назад
@@rogatimushi689 hujui unachoongea kwa Point yako Koffi Anan alikua raia wa wapi? Taifa Lake linanguvu za kiuchumi? Huijui Democracy wwe
@rogatimushi689
@rogatimushi689 4 дня назад
@@user-nv7jg6xc8l koff anan ajawahi kuwa rais wa baraza la umoja wa mataifa alikuwa katibu mkuu.na ni raia wa GANA na GANA ni mwanachama wa kudumu wa baraza la umoja wa mataifa.
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 3 дня назад
​@@user-nv7jg6xc8lUmoja wa mataifa Kuna mataifa matano yanakura ya VETO, japo Marekani atakuwa na nguvu ila itamletea changamoto sana kwa baadhi ya Mambo kuyapitisha maana mmoja kati ya hao watano akikataa tu Hilo pendekezo linatupiliwa mbali.
@msukumamnywamaziwa2785
@msukumamnywamaziwa2785 6 дней назад
😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😊😊😊😊
@kanaanchoir
@kanaanchoir 4 дня назад
Hiyo inaitwa mpe mchawi mtoto wako amlelee😂😂😂 Marekani na Ulaya sio wajinga kiasi hicho😂😂😂
@BillySmart-tk1wu
@BillySmart-tk1wu 6 дней назад
FAKE SANCTION = ziondolewe DRCONGO 🇨🇩🇨🇩🇨🇩, ZIMBABWE 🇿🇼🇿🇼🇿🇼 VETO MUST WORK FOR ALL NATION I THE EARTH 😢😢😢
@wazirihilali635
@wazirihilali635 6 дней назад
Havi kua mwanacha wa kudumu lazima uwe navigezo vipi?
@riosingingandmore8224
@riosingingandmore8224 6 дней назад
Mh kadi Yako tuu ya ccm ila hakikisha unakuwa nayo mda mrefu ili vile vikao vya usiku wa manane vinavyo kuja visikupite bac ww ni wa mda mrefu 😅😅😅😅😅😅 joks
@ziddyziddy2524
@ziddyziddy2524 6 дней назад
😅😅😅😅😅😅😅​@@riosingingandmore8224
@evansogutu4167
@evansogutu4167 6 дней назад
Mbn urusi ...hakuveto wakati wa...libia
@totonata5384
@totonata5384 6 дней назад
Gadafi ange deal nao wangemlinda
@nelsonnyizi9798
@nelsonnyizi9798 6 дней назад
Alikuwa bado anajitafuta baada ya kuanguka
@RashidAhamed-kq6pt
@RashidAhamed-kq6pt 6 дней назад
Llbiya ni nato sio umoja wa mataifa
@thefactbook...1607
@thefactbook...1607 6 дней назад
Sahihi kabisa na ndio moja ya kitu raisi wa kipindi hicho dimitri medvedv alilaumiwa sana hasa nchini kwao.
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 6 дней назад
Rais kipind hcho alikua Medvedev Russia yenyew haikua na nguvu yakupambana na NATO(ukitaka kumlinda Mtu lazima uwe na nguvu km au zaid ya Adui yke) Libya ilikua na Ukaribu zaid na nch za Ulaya (hasa Ufaransa) ingawa walimgauka
@josepheriah5977
@josepheriah5977 3 дня назад
Putin afe
@hassangaddafi2347
@hassangaddafi2347 6 дней назад
Putin baba lao ❤❤🇷🇺🇷🇺🇷🇺 Free Palestinian ❤❤🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇰🇪
@DuniaSultan-wt1ry
@DuniaSultan-wt1ry 6 дней назад
Ilianza operesheni ndio badae akawa rais sio alipokua rais ndio ikanza opesheni.
@MAHAN-SMART
@MAHAN-SMART 6 дней назад
Viva Russia viva Putin
Далее
Lasagna Soup @Lionfield
00:35
Просмотров 10 млн
CHEKESHA : BALAA LA MPOKI KWA SHEMEJI YAKE NA EX WAKE
15:14
The Sidi Rex Boots🔥 #motorcycle #racing #shorts
0:14