Тёмный

RUTO ATAFAFANYA NINI WAANDAMANAJI WAMEFIKA IKULU JE NI PUTIN YUKO NYUMA YA WAANDAMANAJI? 

UKUU WA MWAFRIKA (IBM)
Подписаться 48 тыс.
Просмотров 13 тыс.
50% 1

Mpenzi mtazamaji wa IBM CHANNEL endelea kutufuatilia kwa ajili ya kupata elimu zaidi ya uzalendo, ukombozi wa kifkira na ukuu wa Mwaafrika hapa hapa. tunakupa pia makala mbalimbali zinazohusiana na ulimwengu tunaoishi na taarifa zetu ni za ukweli na uhakika sio za uongo. karibu tuendelee kuwa pamoja. kama hauja-subscribe tafadhali fanya hivyo ili usipitwe na chochote.

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 37   
@BonifaceEdward-pc1dd
@BonifaceEdward-pc1dd 3 месяца назад
Nawakubar sana mlianza mapema kuchambua kenya kabla ya maandamano
@Maryc2G
@Maryc2G 3 месяца назад
Kama mbaya acha iwe mbaya. Wakenya mmetisha, yaani mkiamua kitu chenu mnakifanya, mnaumoja sana, nawapongeza 👍🏽
@Jean-marieNiyonzima-f3e
@Jean-marieNiyonzima-f3e 3 месяца назад
Tunawashukuru mwakilembe na mwalimu kutujuzaa haya mambo yakenya
@paschalfausitine7108
@paschalfausitine7108 3 месяца назад
Nice Kenya mtoeni ,ruto,
@MoyoniHaji
@MoyoniHaji 3 месяца назад
Putin yupo ktk haki mtu asijaribu kumbeza cjawai sikia putin kuwatia mdomoni waislamu kw ubaya,cjawai sikia urusi kuwatawala waafrika au kuwakandamiza wtu wengne kwnni asishnde
@janmusquera
@janmusquera 3 месяца назад
Bado hawajafika,iyo ni ikulu tu ndogo ambayo iko mji wa Nakuru.kwa sasa mambo imetulia🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@PatrickNyangasa
@PatrickNyangasa 3 месяца назад
Hiyo ndio nguvu ya wananchi
@NshimirimanaSeleman-u5y
@NshimirimanaSeleman-u5y 3 месяца назад
Mtoweni haraka iwezekanavyo huyo kibaraka hatari wa mabeberu viva forever wana Kenya
@eliyawilliam7394
@eliyawilliam7394 3 месяца назад
Nawapenda sana kuwafuatilia sana
@SAMA-jw4fr
@SAMA-jw4fr 3 месяца назад
❤❤❤ ondoa huyooo Ruto na Kasagai
@BillySmart-tk1wu
@BillySmart-tk1wu 3 месяца назад
AFTER ASIA IN SIRLANKA COLOMBO, NOW IS TIME OF AFRICA I KENYA NAIROBI...... #kenya #sirlanka
@RamadhaniBendera-j1s
@RamadhaniBendera-j1s 3 месяца назад
Viva kenya
@papaamularfins599
@papaamularfins599 3 месяца назад
Kama mbwayi wacha iwe mbwayi!⚔️⚔️⚔️🔥🔥🔥
@CharafimalisalimoAli-qw3hk
@CharafimalisalimoAli-qw3hk 3 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂WALIMWENGU HAWACHOKI MAMBO. BUKINAFASO WANAANDAMANA RAIS ASITOKE MADARAKANIII HUKU MAANDAMANI ATOKE MADARAKANI. DUH, YAANI WAFUASI WA MARECANI HUU MWAKA WATAAIBIKA HADI CHUPIZAO TUTAZIONA.
@gosbertireneus5558
@gosbertireneus5558 3 месяца назад
hapo kwenye ruto must go,ndo pagumu sasa,mtu afe mtu abaki
@philiplugalia3724
@philiplugalia3724 3 месяца назад
Hapa ndio unaskia Wakenya wakisema kama "kama mbaya mbaya kama noma nooma" huyu ataenda bana Kenya hatutaki mchezo
@AishaTabi-e2z
@AishaTabi-e2z 3 месяца назад
Ukweli kbs
@totonata5384
@totonata5384 3 месяца назад
Putin wala hayupo nyuma but ni karma inamuandama. Anajifanya ana akili kuliko viongozi wengine.
@AllyJuma-d6f
@AllyJuma-d6f 3 месяца назад
Sasa hayo ni maandamano au Mapinduzi😮si ameisha kubari hato saini huo mswaada bado wanataka nini tena😅
@joycelinelyimo-fenske8745
@joycelinelyimo-fenske8745 3 месяца назад
Wanataka Funza aondoke. RUTO.
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 3 месяца назад
Big up mwalimu 💚
@MuhammadShariff-ji9ye
@MuhammadShariff-ji9ye 3 месяца назад
Hata kibaki alipoingia hakukuta hata shilingi Moja hatukusikia akilalamika bali in alionesha uongozi tukaridhika musisingizie Moshi ikiwa hamujui kupika
@ChumanaSusi
@ChumanaSusi 3 месяца назад
Wengi wabunge waliuo.pigia hiyo mswaada Yes nyumba zoa zinazidi kuchomwa na wananchi pamoja na biashara zao. Wrngi wanaishi sasa Nairobi ama kwa hoteli lakini hawawezi kanyanga nyumbani kule wanawakilisha.
@janmusquera
@janmusquera 3 месяца назад
Tulichukishwa na ile finance bill ,lakini kwa sasa amefutiliwa mbali.
@leahmgunda4154
@leahmgunda4154 3 месяца назад
Wanaolilia urais hii hali ikitokea nini kifanyike? Hakuna semina wala kongamano ni wewe na waandamanaji.Urais siyo kitu cha kulilia .Tunahitaji viongozi wanotujali.
@alukweKopite
@alukweKopite 3 месяца назад
Kuna ikulu karibia 8 kenya 🇰🇪, mikoa nane ya hapo nyuma ,
@aftapat5365
@aftapat5365 3 месяца назад
ruto hawezi kutoka madarakani hata iweje vita iko mbioni
@DismasMaturine
@DismasMaturine 3 месяца назад
Shida nchi ndogo kujiingiza kwenye ugomvi wa wakubwa unajihatarishia usalama,raisi kumtuhumu waziwazi urusi au marekani nchi ndogo ni kutafuta balaa
@SilasWanjala-fj9ww
@SilasWanjala-fj9ww 3 месяца назад
Mwalim mm ni mkenya langu ruto aondonge ingulu iyo tu
@jonfredkewe3451
@jonfredkewe3451 3 месяца назад
Mpambane aondoke anawachonganisha na Taifa la Urusi
@WazirBoy-fe5ew
@WazirBoy-fe5ew 3 месяца назад
Mwalimu na kwetu ndo hatari zaidi ya kenya, tuna maviongozi ya ajabu sana, tuna asira hatAri but "one dAy is one day tutAwaonesha
@MoyoniHaji
@MoyoniHaji 3 месяца назад
Hahahaha wafuasi wa volodymir zelensky wte wanasambaratika alimuahidi sasa atamsaidia ukrein vipi sasa yy Ruto hataki msaada,,
@WazirBoy-fe5ew
@WazirBoy-fe5ew 3 месяца назад
Kama mkurugenzi wa usalama hakai ofisini kwa nini wasimwambie ? Wao sindo mabosi wake? Hiyo ni scape goat tu
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 3 месяца назад
Msimsingizie Putin ni wananchi wamemchoka Rais wao. Ila suala la uchumi wanamsingizia, maaana yeye aliingia madarakani akakuta hamna kitu, mwenzie kakopa mpaka Rais Ruto alipoingia madarakani akakuta hamna kitu
@MB-yq3ty
@MB-yq3ty 3 месяца назад
Mwenzake nani ama hujui alikuwa ni Raisi pia.
@Khalidniya380
@Khalidniya380 3 месяца назад
Acheni propaganda maandamano hayajafika ikulu Nawapendi kwa maoni yenu ila jaribuni kuwa wakweli
@KassimKhalaid
@KassimKhalaid 3 месяца назад
Ana lolote uyo gashuja ni ndugu zake ndo wamefukuzwa kwa kuiba tu
Далее
Песня РАСПУТИН на русском!🔥
00:56