Тёмный

TRAORE ATAIFANYA UFARANSA KUWA MASKINI WANAMUWINDA WAMUUE PUTIN NAYE ANANG'ATIWA VIDOLE 

UKUU WA MWAFRIKA (IBM)
Подписаться 44 тыс.
Просмотров 111 тыс.
50% 1

Mpenzi mtazamaji wa IBM CHANNEL endelea kutufuatilia kwa ajili ya kupata elimu zaidi ya uzalendo, ukombozi wa kifkira na ukuu wa Mwaafrika hapa hapa. tunakupa pia makala mbalimbali zinazohusiana na ulimwengu tunaoishi na taarifa zetu ni za ukweli na uhakika sio za uongo. karibu tuendelee kuwa pamoja. kama hauja-subscribe tafadhali fanya hivyo ili usipitwe na chochote.

Опубликовано:

 

12 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 256   
@saideassanencacha2294
@saideassanencacha2294 3 месяца назад
Mimi ni mnzalendo wa Mozambique nduguzangu naehilimisha sana. Allaah awabariki. Sisi kama wafrika tumepigwa Vita mano hadi mpaka Léo sisi ni watumwa WA wazungu
@digalo373silentkiller7
@digalo373silentkiller7 3 месяца назад
Waafrika hatujielewi
@privaushaki7395
@privaushaki7395 2 месяца назад
Wewe mwenyewe​@@digalo373silentkiller7
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 3 месяца назад
Isaya mungu Akubariki Aupendelei dini kabila wala nchi upo katika Uzarendo wa KiAfrica Ubarikiwe kwa hilo 🇹🇿 🇬🇷
@ibradedapro5758
@ibradedapro5758 2 месяца назад
Amini kwamba , nataman viongozi wa Africa wafatilie kipindi chake
@shabanichillo6879
@shabanichillo6879 16 дней назад
Tofauti ya mtu na mtu ni AKILI. Asante bro. Naondoka nayo hii...!
@saimonwantango9569
@saimonwantango9569 3 месяца назад
Aisee umetisha sana,Mimi wananicheka eti nimeita mtoto wangu jina la kiluga,wanataka nimwite la kizungu ila nimekataa aisee,Niko na wew mkuuuuuuj🎉🎉🎉🎉🎉
@opportunities2767
@opportunities2767 3 месяца назад
Moja ya mjadala konki sana kila mtanzania inabidi imfikie hii, hakikisha haupiti hapa bila kushare hii video mkono kwa mkono. Tanzania tuna vichwa venye madini mno. Vichwa hivi ni hazina ya Taifa letu.
@abdallahkamilagwa9655
@abdallahkamilagwa9655 2 месяца назад
👍👍👍big up kaka.
@williamuphilipo2120
@williamuphilipo2120 3 месяца назад
Mwl wangu Isaya Benson Mwakilembe nakuelewa sana
@richardnott4403
@richardnott4403 3 месяца назад
Natamani sana wa afrika hasa vijana tuamke ndo tutaikomboa afrika yetu iliyojaaa neema ya kila kitu manaelimisha sana
@SangaliPower
@SangaliPower 3 дня назад
Hatutaweza mpaka tukatae na dini zao na turudi kwenye asili yetu ya muafrika ila kama tutaendelea kuumia siku zote
@davismuzahula907
@davismuzahula907 3 месяца назад
Binafsi nahofia ushirika wa Marekani na Kenya, kenya wasije wakatuvuruga huu ukanda wetu I see.
@cathrinegikundi7147
@cathrinegikundi7147 Месяц назад
Sisi wakenya hatutaki marekani kabisa lakini Rais wetu ndie anawakatalia sisi tutamwondoa.Hatataki marekana na Europe.
@KanalMwakalinga
@KanalMwakalinga 3 месяца назад
Nimefurahi na simulizi hizi Africa bado tuna ujinga naomba tuwe Burkina faso nk
@fredrickvenance6933
@fredrickvenance6933 3 месяца назад
Mwalimu, Ubuntu pia kwa Warundi, Waha, Wanyarwanda ina maana ya UTU
@KapistoloBwetete
@KapistoloBwetete 2 месяца назад
YEAH LUGHA YA KIBANTU NI LUGHA YAWABANTU HASWA HASWA EASTFRICA... KWA HIYO ZINAINGILIANA.. MFANO KIRUNDI. KiNYARWANDA.KIGANDA.KIFULERO.KIHA. ZIKO NYINGI...
@leothardngonya4842
@leothardngonya4842 3 месяца назад
Kambi za Marekani zichomwe moto. Na Maraisi waliokaribisha Wamarekani Wapinduliwe.wakwanza Tinubu.
@jamesmarumbo6820
@jamesmarumbo6820 3 месяца назад
Hiyo ni ndoto ya mchana😂😂
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 3 месяца назад
​@@jamesmarumbo6820choko ww
@judicalosika7642
@judicalosika7642 2 месяца назад
​@@jamesmarumbo6820 kwanini UNASEMA ni Ndoto za mchana!! Nyie ndiyo mnaokata tamaa hata ya kujenga vibanda
@ramamakelo3780
@ramamakelo3780 3 месяца назад
Mwalimu nakupata kutoka Cabo Delgado Moçambique, uwe unamshilikisha huyu jamaa. Lakini sio Mpoki Buya maana Mpoki ni kelele nyingi mpaka unashindwa kumuelewa.
@TwalibFoum
@TwalibFoum 3 месяца назад
Broo uko sawa sana mimi nipo korea hata leo hapa nimebishana na mkorea kuhusu kuiona Afrika haina lolote
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 3 месяца назад
Ni kweli sijuwi kwa nini Dunia nzima wanaiyona Africa haina lolote special East Africa.
@suleimankassim7523
@suleimankassim7523 2 месяца назад
Which language you speak with Korean
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 2 дня назад
​@@suleimankassim7523 kwani wewe unafikiri wanatakiwa kuongea lugha gani ili waelewane
@JamesHonore88
@JamesHonore88 3 месяца назад
Mwl Isaya nakupata saana ...Mungu akubariki MNOOOO!!!!!!
@ClementJacob-sd8lf
@ClementJacob-sd8lf 2 месяца назад
Nimependa wukweli vijana mana social media zinajali sana afya ya selikali from Malawi following you guys
@LeocardiaDaniel-sj3wl
@LeocardiaDaniel-sj3wl 3 месяца назад
Ninashukuru Sana mwl. Kwa kuturejesha nyuma na kutukumbusha historia ya Africa ukweli tumeaminishwa na sijui kama tutatoka, labda kwa maombi tu. Mungu atusaidie.
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 3 месяца назад
Tutawalaumu hasa watawala wetu wa ccm kwasababu wanajua kuwa ni mifumo ya kikoloni lakini wameihodhi hawataki kuiacha! Leo hii kinachowafanya walete danadana za kupiga chenga upatikanaji wa katiba mpya ni tamaa binafsi tofauti na ubuntu!
@edgarmbegu1974
@edgarmbegu1974 3 месяца назад
Wewe umemwelewa. Anatetea ccm
@jumamustapha8254
@jumamustapha8254 3 месяца назад
Mwl mwakilembe sasa nakuelewe unachokifanya, naomba endelea kutuvisha miwani waafrika tufunguke macho zaidi. Mungu akubariki Sana.
@evelynemugeni2369
@evelynemugeni2369 3 месяца назад
Tusisahau tusisahau 😢Mzungu ni mtu mbaya sanaaaaaa.Africa ni rich kuzidi Europe
@user-qh9gw2vr6k
@user-qh9gw2vr6k 3 месяца назад
Mimi husemaga kila siku Mpoki sio mchambuzi nimpiga kelele hii Leo mmechambua vizuri sana kama angelikuepo Mpoki ingelikua ni zogo tupu
@salimkocha7396
@salimkocha7396 3 месяца назад
Mwalimu katika mijadala uliyo iongea huu bigup mungu akupe hekima hiyo
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk 3 месяца назад
Usisahahu na new caledonia 🇳🇨 paaific kuna vurugu hawataki ufaransa kule
@evelynemugeni2369
@evelynemugeni2369 3 месяца назад
Kbsa
@hadijamlokakuzenza2146
@hadijamlokakuzenza2146 3 месяца назад
Kipindi hiki ni kizuri hakika ungeanza muda kuelimisha yaani inapendeza tunahutaji japo kwa wiki iwe mara mbili pls
@FatnaMfinanga
@FatnaMfinanga 3 месяца назад
Naipendasana nchiyangu Tanzania naipendasana afrika kwaujumla wazzungu ikiwemo nataifa uaulaya wamarekani wafaransa likiwa kama taifa ambalo nidaraja lakupitisha Mali zawaafrika kwenda ktk mataifa yaulaya nchi zaafrika Sasa ziamke viongozi waamke waache udumavu wauchumi waungane kuisimamisha afrika upya wanachi tunatambuwa viongozi wazalendo wanaotaka kuikombowa afrika kifikra tunawajuwa wazalendo hao nawengine wameumwawa kwasababu kwasababu yafrika tunazo shinikizwa au mpandikizo kwawazungu mm namshangaa sana raise wakongo shishekedi nirais ambaye Hana fikra zaukomboz ktk taifalake ameamuwa kuichakaza Kongo kuuza utu wawatuwake gadafi raise walibya alitaka kuwaunganisha waafrika kuwakitu kimoja wenyetamaa nafrikra zaudumavu kwahisani zawazungu wakamtowakafara inaumiza sana Leo tumempata kijana huyu ibrahm twaore raise wabuknafaso anahitaji viongozi waafrika waamke wajijitegemee wasiweomvaomba tukiwa namshirika wetu iris yuponyuma yeti onasa raisi wake ya anachokifanya nihoples tumeona juzi akigonga chazy na baden ulayahuko wamemuashia mishumaa kama ishara yakuliangamiza taifa lake kwaushindi viongozi was afrika amkeni kumekucha
@salimkocha7396
@salimkocha7396 3 месяца назад
Mwalimu katika mijadala uliyo iongea huu bigup mungu akupe hekima hiyo ❤❤❤❤
@hakizimanaelie8916
@hakizimanaelie8916 3 месяца назад
Asante sana Mwalimu.Tungeomba vijana kadhaa wafunzwe Kiswahili Mwalimu itakuwa rahisi kuunganisha Bara letu teule mana Afrika usipokuwa unajuwa kifaranga au kiingereza huonekani kwamba wewe ni mwafrika sahihi . Tunawasihi mutetee Lugha ya Kiswahili hapo kwenye makao makuu ya Umoja wa Afrika Ethiopia Addis Abab iweze kutanganzwa rasmi kuwa Lugha ya Barani Afrika . Mungu tunakuomba Ubariki Afrika tuweze kujitegemea amani na upendo vitawale
@LearnOutofSchool
@LearnOutofSchool 11 дней назад
Siku moja Benson uwe raisi wa Tanzania na Africa au uwe Mshauri mkuu wa raisi.
@richardmhina9537
@richardmhina9537 2 месяца назад
Kaka una madini sana. Ubarikiwe. Unanifurahisha sana kwa kweli unazosema
@MussaHamissi-l8f
@MussaHamissi-l8f 29 дней назад
Naitwa mc Runyengwa. Traore anadai uhuru upya waafrika tumuombe maana manyang'au hawatamuacha salama.
@swahiliwithvictor6979
@swahiliwithvictor6979 2 месяца назад
Mmechambua vizuri sana. Kwa sasa wazungu wanapambana sana kujifunza lugha za Kiafrika, ili wahamie Afrika
@EmmanuelNyakebe
@EmmanuelNyakebe 3 месяца назад
Ni wakati wa Africa kuamka. Tuna kila kitu tunaweza kujitegemea wenyewe. Viongozi wa kiafrica amkeni komboeni bara hili la Africa
@mohameddarus3027
@mohameddarus3027 3 месяца назад
Daaah nikwer kabisa nakumbuka kunakiongozi mmoja arikuja tanzania dar es salaam akasema pananuka
@Saidi1581
@Saidi1581 18 дней назад
Mimi ni mkongo napenda sana lugha yetu ya Kiswahili maana inatuunganisha sisi wa Afrika .
@SangaliPower
@SangaliPower 3 дня назад
Peace Energy People Najivunia kukutana na kuwaona waafrika wenzangu mko salama mahali popote duniani
@evansmoshi1923
@evansmoshi1923 3 месяца назад
Wengi wa viongoz waafrika ndio wanachangia baadhi ya nchinyingi za Afrika kuamaskini kwasababu ya njaazao na hii ni laana kubwa sana
@davidmziray2048
@davidmziray2048 3 месяца назад
Kama wengi kutwa kuzuzura wanaacha rasmali zao afrika wanakwenda kuombaomba watu weupe hawana msaada wa bure
@jonathanmwakabuku4714
@jonathanmwakabuku4714 3 месяца назад
Kazi ya kiongozi ni kubadilisha mfumo pia. Sio kuogopaogopa
@fatimahirakoze7311
@fatimahirakoze7311 2 месяца назад
Kweli afrika tushikamane tuombeane tu duwa
@sultanmohammed8634
@sultanmohammed8634 3 месяца назад
Yes absolutely yes very good well said 100%true
@tradamus4158
@tradamus4158 3 месяца назад
Africa nzima tumtetee Ibrahim traore
@andrewmoi2186
@andrewmoi2186 3 месяца назад
Kabisha bro unaona mbali na mwenyezi mungu amekuyalia kufika apo viongozi wa African wangepeda kukuelewa tunafika mbali walaih tumetekwa akili na wasungu
@KhaimuMkumbaru-zs7zr
@KhaimuMkumbaru-zs7zr 3 месяца назад
Umoja wa kiafrika inatakiwa urudishwe kwa nguvu zote haraka
@FarajaKihembwe
@FarajaKihembwe 4 дня назад
Huyo mwandishi wa Habari anayehoji ni kituko kingine maana hakumbuki,haelewi,hajui lolote kila kitu ni mwalimu😂😂
@fatimahirakoze7311
@fatimahirakoze7311 2 месяца назад
Poutin mie nampenda sana basi Allah amulinde
@vicentmashare6003
@vicentmashare6003 3 месяца назад
Je wawekezaji sio walewale wanyonyaji mbona wasitumie hapahapa.
@jumamustapha8254
@jumamustapha8254 3 месяца назад
Kwahiyo yamefanywa mapinduzi na wazungu, historia inaniingia wazungu ndiyo walio anza kukimbilia afrika kutafuta maisha. Kwahiyo turejee kwenye asili yetu.
@davismuzahula907
@davismuzahula907 3 месяца назад
Siyo kazi rais tumeamua kukengeuka sisi wenyewe
@camilomassao8971
@camilomassao8971 3 месяца назад
Natamani sana kila mwafrika akusikie, bado wapo Viongozi vibaraka…. Mikopo, utasikia bila aibu kiongozi Rais mzima eti anasema mkopo tuliopata ni mkopo nafuu ever 🤮🤮🤮🤮
@MahdouMomba
@MahdouMomba 2 месяца назад
Nimejifunza mengi sana kwenu, heshima kubwa kwa kutufungua akili, endelea kutukomboa kutoka kwenye utumwa wa akili kakaa
@barnabasngungo3521
@barnabasngungo3521 5 дней назад
Ndugu yangu unayeongea uko vizuri tunatamani tungekuwa na watu 10 kama wewe
@user-wd9sk9xt1m
@user-wd9sk9xt1m 3 месяца назад
Ndugu zangu MUNGU atuwezeshe kuyashinda hawa mabeberu....
@evelynemugeni2369
@evelynemugeni2369 3 месяца назад
In sha Allah
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 5 дней назад
Ghana hawamo English colony ila nchi zimewazunguuka wanaongea kifaransa
@AbdulrahmanMwambasi-gh7bv
@AbdulrahmanMwambasi-gh7bv 2 месяца назад
Ghana, Guinea Bissau, Equatorial Guinea, Sierra Leone si makoloni ya ufaransa.
@krisantmwaipungu1434
@krisantmwaipungu1434 3 месяца назад
Raisi wa Ufaransa amepaniki na akipeleka jeshi lake pale Ukraine anaenda kupoteza kwa mara ya pili. Hili linaenda kuiangusha Ufaransa na kupoteza kwenye nchi zenye uchumi mkubwa wa wizi Duniani. Putin, XI, Pyongyang, Rohan wa Iran, tayari wameshaipindua Dunia na kuwa Multipolar. Ile kitu inayoitwa New World Order inakwenda kupigwa kiberiti. Ushoga unaenda kuisha na kuzikwa kwa acidi na moto, Africa hatutaki wasenge.
@davidmziray2048
@davidmziray2048 3 месяца назад
Africa haiwezi kufunguka Kwa Hawa viongozi wa kiafrika tuliokuwa kuwa nao wapuuzi watupu
@NaimaNamanjoya
@NaimaNamanjoya 3 месяца назад
Team Ubuntu🎉🎉
@IkraamMohamed-gf9xj
@IkraamMohamed-gf9xj 2 месяца назад
Kwn hawa viongozi wetu walijui hili
@piusmusigula3512
@piusmusigula3512 3 месяца назад
Jpm alianza kutuonesha njia. Bahatj mbaya alituacha bila kutimiza ndoto zake.
@KhaimuMkumbaru-zs7zr
@KhaimuMkumbaru-zs7zr 3 месяца назад
Hawa wakoloni watudhiti waafrika kuna mamba matatu 1.hubinafsi, 2..hukabila 3..udini haha ndiyo yanayo tafuna afrika hotel..
@ABDISHAKURMANDA-qv2sz
@ABDISHAKURMANDA-qv2sz 2 месяца назад
Safi kwa hilo
@fatimahirakoze7311
@fatimahirakoze7311 2 месяца назад
Mungu amuhifadhi uyo mtoto traore
@alexandernkwamah5905
@alexandernkwamah5905 2 месяца назад
Wewe!!! Ghana. Angola, Giunea Bissau? Hao si Ufaransa! Ni Uingereza, Ureno, Ureno. Mnapuliza!
@JanjaCultureOnline
@JanjaCultureOnline 2 месяца назад
Mwakilembe safi sana kh, obuntu
@moriskalegeleshusha2619
@moriskalegeleshusha2619 3 месяца назад
Mwalimu samahani cjaelewa hapo uliposema tunaenda ulaya na marekani kutafuta maisha mi nasema tunaenda kutafuta hela,ila upo vzr sana mpaka natamani kujua unasoma vitabu gani maana upo vzr sana.
@davismuzahula907
@davismuzahula907 3 месяца назад
I see Magu was visionary, nakumbuka alisema tufundishwe historia yetu vizuri
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 3 месяца назад
Sasa kwa nini Tanzania Maskini ???? Na neema zote alokupeni Mungu hamna starehe nazo??? 😂😂😂 kwa ajili mnaabudu siasa kuliko kutafuta maendeleo ya Nchi na Wananchi Maskini.
@betricemainoya4176
@betricemainoya4176 3 месяца назад
Corruption
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh 3 месяца назад
Huyu jamaa siachi kumfatilia namkubali sana
@AnacletNshimirimana-e5o
@AnacletNshimirimana-e5o 3 месяца назад
Tunakushukuru kwa taalifa yenye somo na akiri.Fundisheni mwarimu.
@emmanuelmwasisi8787
@emmanuelmwasisi8787 2 месяца назад
Brother mauayako upeweee
@fatimahirakoze7311
@fatimahirakoze7311 2 месяца назад
Hata cheikh otman aliwai kusema afrika ni kama ndovu imelala siku itaamka itapiga mbio mpaka tushangae
@mamawamireille4872
@mamawamireille4872 2 месяца назад
Mungu akulinde isaya wa kilembe
@user-yk5zm3tx9f
@user-yk5zm3tx9f 3 месяца назад
Africa inajifunza nini kama Ufaransa wanataka kumuuaTRAURE?
@dickbaragasi2084
@dickbaragasi2084 3 месяца назад
msisahau pia Morroco na Algeria nazo zilitzwaliwa na Ufaransa
@josephjulio6112
@josephjulio6112 3 дня назад
Hizi elimu ziwe endelevu
@DuuSaid
@DuuSaid 2 месяца назад
Hata hii mfumo was dini wametengeza ili musuwache kuwafuata wait lazima waafrica tusome tujue dini yakweli sio wamekuja kupandikiza mifumo yao ya uwongo ili wafuatwe wapate kuiba Mali za waafrica .ibraahiim ametambua dini yakweli iliokua haikubali kuiba wela kuibiwa
@kellymumani9724
@kellymumani9724 14 часов назад
Mwanahistoria huyu alikuwa anaitwa Charles Darwin
@bechubechuissa8965
@bechubechuissa8965 2 месяца назад
Ukiwasema wazngu unahulu wa kuishi ila ukiwasema viongozi wa kiafrika unakufa leo.tatizo la afrika ni sisi wenyewe.sisi Tanzania tulianza kuwa na uchumi wa ujamaa.zilikuwa ni Sela za kilusi China Korea kwa kim.tumekaa kwa huwa uchumi miaka 25.tumeteseka sana uchumi wa mtanzania ulikuwa chini sana.afrika tatizo ni ufisadi elimu ya ulaiya na viongozi awataki kuwa wakweli.
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 5 дней назад
Hivi waafrica kwanini huwa tunafanyiwa unyama na hawa mbwa maafrica mmoja anaweza wakunja wazungu wawili lakini hatujiamini hata kidogo hawa wazungu walitufanya kama wajinga ila wao hauwezi wafanyia watainuka kupambana na hatujifunzi kitu hii ni mbaya sanaa ufaransa wanatakiwa wananchi wa bokinafaso wapambane hadi tone la mwisho
@mashafestusmramba7577
@mashafestusmramba7577 3 месяца назад
Huyuu mwalimu na mkunmbali sana hadi nimejipata nime subscrube
@kelvinvitalis2965
@kelvinvitalis2965 2 месяца назад
Naimani vikwazo havita leta mabadiliko bali africa ibaki kua africa wajiendeleze kama afrca
@JumaNurudini
@JumaNurudini 2 месяца назад
Majizi yakiskia stori hizi yanachukia
@RaphaelJickson
@RaphaelJickson 3 месяца назад
I love Africa
@user-ew3zs3yn9f
@user-ew3zs3yn9f 3 месяца назад
Mnazingua sehem ya kupata maarifa mazur mnakata. Sasa ndyo nn?
@cansuremwiga7282
@cansuremwiga7282 3 месяца назад
Uko vizuri, mm naamini uwislamu sio dini nimila ya waarabu. Ucristu sio dini Bali Ni mila ya wazungu Apo ndipo kunautawala wa sunia
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 3 месяца назад
Ukiristo ni ushetani
@revocatusleonard6449
@revocatusleonard6449 2 месяца назад
Hapana! Huo mfano wa Ubuntu sijui umeutoa wapi? Nimefanya utafiti katika hiyo kitu ila umetufunga kamba nadhani ni vema ukarejea kwenye reference zako
@papaamularfins599
@papaamularfins599 3 месяца назад
Safi sana Mwalimu!🌹🌹🌹
@swahiliwithvictor6979
@swahiliwithvictor6979 2 месяца назад
Hii ni kweli, sasa hivi ufaransa hali ni mbaya, wafaransa wenyewe wanalalamika, wanasema hali ya uchumi waoninazidi kuzorota
@WilfredMbise-un8qs
@WilfredMbise-un8qs 2 месяца назад
Afrika tunaweza kujitawala
@suleimanjokoro
@suleimanjokoro 2 месяца назад
Mwanafalsafa mmoja alisema "Emancipate your selves from mental slavery,non but ourselves can free our mind have no fear for atomic energy..."
@hamadali5062
@hamadali5062 3 месяца назад
Huyu jamaa namkubali Sana. Katika middle east tumepandikiziwa taifa jipya la Israel kuvuruga na kuifanya middle east isiwe na utulivu
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
@uwezawamungumkuu.amaniafrika 3 месяца назад
Mungu wetu atamkinda Kiongozi wetu. Amen.
@evelynemugeni2369
@evelynemugeni2369 3 месяца назад
Rest in peace Khaddafi.ulipenda tutajirike ila mabeberu walikuuwa
@alibinali_
@alibinali_ 2 месяца назад
That is a big move wa Africa wengine wafuate
@KihangoIsmail-qn2uh
@KihangoIsmail-qn2uh 3 месяца назад
Ibrahim traole ni komando na siyo kijana wa kumbeza wafaransa wajiandae
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 3 месяца назад
Tatizo letu waafrika tutanunuliwa na hawa washenzi kumto roho ndugu yetu tumwombe sana Kwa MUNGU
@user-jj3tq1rh4p
@user-jj3tq1rh4p 2 месяца назад
nimepata tfasri ya neno Ubuntu wanusuru wana ndugu ubarikiwe sana
@badulebanda1305
@badulebanda1305 3 месяца назад
Nakupata vizur tupe elimu
@user-yb6ut9in5c
@user-yb6ut9in5c 3 месяца назад
M2msh unanifulaisha sna katka utangaji na mada mbar mbar barkiwa sana
@mwijagenelsoni357
@mwijagenelsoni357 2 месяца назад
Mimi uwa najiuliza ata kama ni utumwa bado afrika bongo zetu ni shida ata kugundua hizo rasilimali uwezo hatuna kwanininiiiiii!!!!!
@TugaChafim
@TugaChafim 2 месяца назад
Mozambieq ya kwanza
@user-jl1ct8be4o
@user-jl1ct8be4o 3 месяца назад
Jamani mnafafanua vzuri huyo traone angefanfa kazi na magufuli Africa tungesonga mungu amulaze mahali pema magufuli
@kilalikanestory3635
@kilalikanestory3635 2 месяца назад
Uko vizuri mwalimu
@OmariJuma-su6fz
@OmariJuma-su6fz 3 месяца назад
Nice nice kk nakupenda sana unalolisema nikweli
@JumaRamadhani-uv1il
@JumaRamadhani-uv1il 3 месяца назад
Mungu akupe maisha marefu
Далее
Дежавю, прескевю и жамевю!
00:59
Просмотров 122 тыс.
Ujenzi Kamilifu wa Msingi wa Ghorofa
7:38
Просмотров 1,9 тыс.