Тёмный

RUTO HAJALI CHOCHOTE KATIKATI YA MAANDAMANO ANAWAPANDISHIA MISHAHARA MAWAZIRI 

UKUU WA MWAFRIKA (IBM)
Подписаться 33 тыс.
Просмотров 4,3 тыс.
50% 1

Mpenzi mtazamaji wa IBM CHANNEL endelea kutufuatilia kwa ajili ya kupata elimu zaidi ya uzalendo, ukombozi wa kifkira na ukuu wa Mwaafrika hapa hapa. tunakupa pia makala mbalimbali zinazohusiana na ulimwengu tunaoishi na taarifa zetu ni za ukweli na uhakika sio za uongo. karibu tuendelee kuwa pamoja. kama hauja-subscribe tafadhali fanya hivyo ili usipitwe na chochote.

Опубликовано:

 

2 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 13   
@RehaniKharidi-st4oe
@RehaniKharidi-st4oe 13 дней назад
Mchambuzi uko vizuri sana unaeleweka vyema sana
@kamandawasua1912
@kamandawasua1912 13 дней назад
Ruto must Go
@jumamayonga8914
@jumamayonga8914 13 дней назад
Ruto kusababisha maandamano hana budi kujiuzulu ili kuepusha vifo vinavyoendelea kutokea
@abuturaab7437
@abuturaab7437 13 дней назад
tunafurahi sana hii channel imam ali nikiwa kajiado
@nambaga
@nambaga 7 дней назад
Si hivyo, swala la mshahara alishambuliwa sana hadi tume ya mishahara ikatupilia mbali swala hilo na pia ukumbuke wabunge kwa mara ya kwanza kwa historia ya Kenya wakakata hio ongezo la mshahara
@eddomg8548
@eddomg8548 12 дней назад
Nimekuelewa saaaaaana
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 13 дней назад
Safi mwalimu 💚
@fahmanalbulushi2925
@fahmanalbulushi2925 13 дней назад
Baraka ya ku deal na wahalifu Wana deal na waandamanaji mea wa maandamano
@user-nk4oq4ek9y
@user-nk4oq4ek9y 13 дней назад
Kweli bro
@SimbaBoy-ij9pm
@SimbaBoy-ij9pm 13 дней назад
Nani anazingumza😅
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 13 дней назад
Nahisi kuna mpasuko kati ya tume ya mshahara na raisi ruto.... Nadhani hicho ndio walikuwa wanakitaka kitambo
@jotafungo4622
@jotafungo4622 13 дней назад
Sikio lá kufa halisikii dawa
@johnathumani6891
@johnathumani6891 13 дней назад
Mpoki buya kamina mwandagasia uko vizur san kaka nakukubal mno
Далее
Фонтанчик с черным…
01:00
Просмотров 3,7 млн
готовка с Даней🥹
00:59
Просмотров 448 тыс.
TANZANIA WAUNGA MKONO MAANDAMANO YANAYOENDELEA KENYA
7:00