Тёмный

UNASEMAJE WEWE ? TRA HAWAJUI HESABU, NJOO HAPA USEME VIZURI 

Mbengo Tv
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 82 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

17 май 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 50   
@patoojonas8519
@patoojonas8519 Год назад
Tutamkumbuka magufuli daima milele
@pascarmwatosya5855
@pascarmwatosya5855 Год назад
Mungu akubaliki Sana Tena sana waziri mkuu, Chukua pointi hizo hata sekta ya madereva Haina mtetezi bungeni kwenye zile nafasi 10 tukumbukwe madere
@valenakomba9218
@valenakomba9218 Год назад
JOHN POMBE MAGUFULII AMMKAAAAAA HUKU WANANCHI MASIKINI WANAKUFAAAAAAA BABA.
@stevenemwakasimba-pt8er
@stevenemwakasimba-pt8er Год назад
Magufuri bado atakumbukwa kwa kuendesha nchi kibabe lakini alikua anasaidia sana upuuzi kama wa hawa wajinga tra
@luckygmdegela8477
@luckygmdegela8477 Год назад
magufuli ndie alikuwa RAIS hawa wengine wezi tu
@mohamedelmi7435
@mohamedelmi7435 Год назад
Wakati wa magu nfio rushea ilikuwa kubwa kuliko sahivi, kitu kidogo una tishwa na ujumi chumi sisi ndio tunajuws ukweli
@butungo1
@butungo1 Год назад
Nilimpenda JPM
@FreeGod368
@FreeGod368 Год назад
@@mohamedelmi7435 we unaongea kidini peleka mavi huko
@Worldunite
@Worldunite Год назад
​@@mohamedelmi7435 una uhakika wewe??? Labda ulikuwa nje
@kambamazig02024
@kambamazig02024 Год назад
Tutakumbuka, JPM aliwaita wafanya biashara Ikulu na akawasikiliza changamoto zao na vile vile aliwaita wachimbaji madini na kuwasikiliza. inabidi tujifunze kama serikali yetu ni ya wananchi basi vilio vya wananchi lazima visikilizwe. Taasisi za serikali nyingi zina shida wengi wa watumishi wake wao wanaona wameukata! Kitu ambacho kinakaribisha rushwa!
@ahmadimbazi5843
@ahmadimbazi5843 Год назад
Fact
@senyagwadickson9084
@senyagwadickson9084 Год назад
Huu ni mfumo wa hovyo wa chama cha mapinduzi CCM CCM ilikuwa nzuri wakati wa JPM ,
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Год назад
Wapeni tu kura za kutosha mpaka mtaelewa
@bakarithegeoinformatician7406
Ingekuwa nzuri angebadilidha katiba
@summanelson5523
@summanelson5523 Год назад
Ha ha ha!!! TRA wanajua namba hawajui hesabu!!!!!😁😁😁
@BarakaKatamba-xm2if
@BarakaKatamba-xm2if Год назад
Wapo pale mikumi wanatusumbua Sanaa nauli wanajipangiaa wao mkuu tusaidie na hilo
@frankemmanuel5239
@frankemmanuel5239 Год назад
Hahaha
@chombasimon
@chombasimon Год назад
Kiongozi unatakiwa kustaafu kwa Hali hii, utachafuka. Watu wanyonge tulikuamini sana pamoja na jpm.
@shabansumaiya4770
@shabansumaiya4770 9 месяцев назад
Hao t.r.a wafuatiriwe mali wanazomiliki zilinganishwe na mishahara wanayolipwa
@Gidionmbwaga
@Gidionmbwaga Год назад
TRA wanajua namba siyo hesabu nikwel kabisa.
@jeremiamsuya1820
@jeremiamsuya1820 6 дней назад
Ndio vizur chadema wpate chans
@pascarmwatosya5855
@pascarmwatosya5855 Год назад
Daaa!! Mjombaa kaongea point Sana Sana serikali yachukueni hayaaa
@harithimahmoud1577
@harithimahmoud1577 Год назад
Hamjawapiga shaba tu: ao TRA
@gabrieljohn6422
@gabrieljohn6422 12 дней назад
Daaah hii nchi CCM mlipo ifikisha MUNGU anajua
@shabanishemzize5655
@shabanishemzize5655 5 дней назад
Kweli kwa tanga mtihani kweli kweli
@hamisimsosi6237
@hamisimsosi6237 8 дней назад
Safii. Sana jamaa ameongea pwenti wafanya biashara tuwe na wawakilishi bungeni😭😭😭😭😭😭😭😭
@allyfutto8763
@allyfutto8763 9 месяцев назад
Nhi yote ni walarushea sasa mripuku umekuwa mkubwa hakuna atakayepona maisha yatakuwa magumu sana sifa mbaya kwa serikali na nchinzima jumla 🇹🇿
@philemonbenjamin4225
@philemonbenjamin4225 Год назад
Kaka nimekuku bali
@senyagwadickson9084
@senyagwadickson9084 Год назад
Siku ileile wakati wafanyabiashara walipokuwa wanalalamikia kuhusu hawa wajinga wa TRA jpm angewafukuza siku ileile pamoja na huyo waziri wao mwenye kiburi na huyo mama waziri wa biashara hajui kitu chochote
@asnathmasegenya9890
@asnathmasegenya9890 Год назад
Kwa kweli wanajeuri mno
@user-vh7ll3vp7w
@user-vh7ll3vp7w 9 дней назад
Maginga' kama,, Maginga,,
@user-we7uq1qh7p
@user-we7uq1qh7p 8 дней назад
Wezi hao waache kuiba tufukuze washenzi hao kenge kbs wanaendesha magari mazuri na family zao nikuchoma izo nyumba na magari
@jeremiamsuya1820
@jeremiamsuya1820 6 дней назад
Hawa sasa tutawa shughulikia hatakwa mapanga
@deusdickson
@deusdickson Год назад
Wanajua namba nn!!
@ennyngalawa2809
@ennyngalawa2809 Год назад
Hawakutii mamlaka
@tahirnephessalum3678
@tahirnephessalum3678 Год назад
TRA inanuka Rushwa tupu
@SoplataNdimbo-hf7lc
@SoplataNdimbo-hf7lc Год назад
Jamani mugufuli amka kidogo uje uone nchi yako
@SoplataNdimbo-hf7lc
@SoplataNdimbo-hf7lc Год назад
Mkataa pema pabaya pametuita
@JacksonMolely-kd7lr
@JacksonMolely-kd7lr Год назад
@
@hassanmasoud8167
@hassanmasoud8167 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@user-jm8tr2ex4m
@user-jm8tr2ex4m 9 дней назад
Hii nchi inatakiwa umafia wa kufa mtu Yani mtu akikuonea kwenye biashara yako ni kumpoteza tu
@emmanuelndahan9815
@emmanuelndahan9815 8 дней назад
Piga ndumba2
@user-jm8tr2ex4m
@user-jm8tr2ex4m 8 дней назад
No way hapa mwendo wa kuwapiga utamaduni tu ( kama utakumbuka yule askari aliye zuia gari ya samaki hadi wakaoza, kilichomkuta
@rashidkihunga2938
@rashidkihunga2938 Год назад
kama kar limebalishwa maumbile je mabint wakibadilisha makaliyo .wanalipa tra .pret nomba imendondoka je nikilidisha no zile zile ni kosa
@issashekh4726
@issashekh4726 3 дня назад
😂😂
@mashachaney2048
@mashachaney2048 Год назад
Wanaume wanaumia hawa..wanaongea kwa maumivuuu😢😢
@DaimaNyakunga-jb6do
@DaimaNyakunga-jb6do 6 дней назад
Tanzania raisi hayopo
@chombasimon
@chombasimon Год назад
Kiongozi unatakiwa kustaafu kwa Hali hii, utachafuka. Watu wanyonge tulikuamini sana pamoja na jpm.
@swedinjaidi4658
@swedinjaidi4658 Год назад
Sasa ye na TRA anahusikaje hapo mwigulu ndio muhusika na waziri wa biashara na viwanda
@Maalim_Samatta
@Maalim_Samatta Год назад
@@swedinjaidi4658 asa we Kwa fikra zako unadhani Kwa nn ameitwa waziri mkui?????
Далее
POLI зовет Газана
00:12
Просмотров 794 тыс.