Тёмный

SAKATA LA MADADA POA LAWAIBUA LHRC 

WATETEZI TV
Подписаться 43 тыс.
Просмотров 328
50% 1

Ni baada ya kupostiwa kwa video zilizokuwa zikiwaonyesha wanawake wanne wakiwa wameshika mabango yaliyowatuhumu kuwa malay*, na huku picha hizo zikisadikiwa kupigwa na Askari kutoka kituo cha Polisi Kigogo, wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam.

Опубликовано:

 

27 июл 2019

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 3   
@jumamagoma1743
@jumamagoma1743 29 дней назад
Ccm.wezi.wa.mali.za.nchi.wamuwaoni.????
@summanelson5523
@summanelson5523 5 лет назад
Kuna wanaume malaya mbona hatusikii wakinyanyaswa? Hao wanawake wanafanya umalaya na nani siyo wanaume? Yaleyale aliyosema Bwana Yesu, "Asiyekuwa na dhambi awe wa kwanza kutupa jiwe". Nafsi ziliwasuta wote na waliondoka mmoja mmoja. Wanaume wangekuwa siyo malaya umalaya wa wanawake ungekoma!!!!! Wanaume wanauendekeza umalaya. Hao wangekosa soko ungeisha tu!!!!
@PendoMatemba
@PendoMatemba Месяц назад
Happy mapolisi wanawatumia madadapouwa kujichumia peas, unadhani kwanini, wanapokamatwa wanaambiwa watoe laki ndiyo waachiwe. ,
Далее
🤯️ Vini Jr. ✖️ Brahim 🤯
00:13
Просмотров 3,8 млн
WAZIRI WA AFYA  AWASHA MOTO OCEAN ROAD
6:46
Просмотров 47 тыс.
MASANJA NA MKE WAKE NA WATOTO WAKIFANYA YAO!
1:11
Просмотров 50 тыс.