Тёмный

SAKATA LA VUNJA BEI KUVUNJIWA DUKA ZNZ, MKUU WA MKOA ATINGA "AONGEA KWA UCHUNGU" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 186 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

17 апр 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 434   
@zanlec7357
@zanlec7357 Год назад
Millard Ayo hongera sana kwa habari zako. 🙏
@jebellwallace3509
@jebellwallace3509 Год назад
Hivi manispa Zanzibar munajielewa lakini?huyo ni muekezaji huko,mtu ameleta ajira kwa vijana na pia anachangia mapato,hivi munajielewa lakini???
@neemaalphonce1333
@neemaalphonce1333 Год назад
Mungu akusaidie Fred
@drisayaambulatoryvetclinic1514
Nilichogundua fredy vunja bei ana busara sanaa ,pambana bro hizo ni changamoto tu za walimwengu
@foodbasiccourt2028
@foodbasiccourt2028 Год назад
Wazanzibari walifaa kuishi afughastan
@Fatma-wi2co
@Fatma-wi2co Год назад
Rekebisha kauli sio Wazanzibar , hao wanaofanya hivyo ni serekali ya mapinduzi , ccm . Kama lilivyojina lao la chama ndivyo wanavyofanya kuoindua pindua biashara za watu kila sehemu. Si mnawatilia kura yaoneni , si unaona kaja mpaka na sare yake kada 😂😂😂
@foodbasiccourt2028
@foodbasiccourt2028 Год назад
@@Fatma-wi2co waapuuzi sana tuwatoe madarakani tatizo woga auvwanaiba kula
@elihurumalukumay3242
@elihurumalukumay3242 Год назад
Hela ina nguvu sana.... Mungu tufungulie riziki zetu.... 🤞
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 Год назад
Pole kaka Fredy mungu atakulipa usikatae tamaa
@nigananurunjema
@nigananurunjema Год назад
Pole sana Fred. Mungu Yuko nawe biashara yako itasimama tu, Usiogope simama na Yesu.
@muhibusaid3427
@muhibusaid3427 Год назад
Duh. Brother. Pole. Sana kwa changa moto
@nivesiessau5587
@nivesiessau5587 Год назад
Fred hongera Sana mungu akusimamie
@aibulamilanzi1466
@aibulamilanzi1466 Год назад
Great mind
@zuwenaalamin8985
@zuwenaalamin8985 Год назад
Komaa kaka mungu yupo pamoja na wewe Ndugu
@wataitashosho
@wataitashosho Год назад
BONYEZA ILI UCHEKE ➡➡ ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-RXSyzGjuAro.html
@Zaburi-
@Zaburi- Год назад
Mungu/MUNGU sio mungu
@teddyndungurusabnu4792
@teddyndungurusabnu4792 Год назад
FREDY VUNJA BEI wala asitumie nguvu sanaaa me naona tu ni bonge la promo😂😅 wamevunja ngazi amepata watu wengi ambao wameona na ninaimani wateja watajaa coz wameshaona
@abdulhamis9825
@abdulhamis9825 Год назад
Karbu Sana Zanzibar Na Umekuja Kufanya Mapinduz Ya Mavazi
@Muhamed_mo
@Muhamed_mo Год назад
Wewe sema kafanya mapinduzi ya bei sio mavazi, hukumbuki wewe wabongo shopping zao zilikuwa zenjii usolijua ulizaaaaa
@sideboy1199
@sideboy1199 Год назад
Pole kaka unguja kazi zao uwa nijumamosi ndivyo walivyo sijui kwanini wiendi tena seleka wana chosha
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS Год назад
Roho mbaya tu. Hela ngumu mtu anajitoa alafu anakwamishwa. 😢😢😢😢
@hajinuhu3834
@hajinuhu3834 Год назад
Zanzibar ni njema atakaeaje😂
@mwinyiabdallah4383
@mwinyiabdallah4383 Год назад
Dah hizi coment za humu leo zinaonyesha ni jinsi gani watu walivyo na chuki za wao kwa wao mungu atusaidie inshaalah
@julianaswai7846
@julianaswai7846 Год назад
Pole kaka.
@AbdulKarim-iz3db
@AbdulKarim-iz3db Год назад
Bhana eeeee kutukanwa hatutaki. Acheni Siasa zenu mkiona mnabaguliwa si hameni
@saidihussein6718
@saidihussein6718 Год назад
Kuma ww
@zanbroadtours7462
@zanbroadtours7462 Год назад
Pole sana, ndugu yetu vunjabei hii nchi yetu ya zanzibar imejaa matatizo zaidi hao manispaa na polisi wamejaa rushwa na kuonea watu. Raisi tunakuomba utusaidie na zaid kwa upande wa manispaa mjini wanadhulumu sana watu wa chini.
@Mpakauseme
@Mpakauseme Год назад
Rais gani na wawapi ?
@amanimyolo1478
@amanimyolo1478 Год назад
Keeping going on br
@prettypretty9745
@prettypretty9745 Год назад
Nimemfahamu vizuri Fred kitu gani alitakiwa afanye, Nini aondoe na wapi aweke kwa vile zenji Ina Sheria zake data Sheria Kaka ufanye biashara achana na Hawa wanao comment ujinga na Mambo wasio yajua, popote pale hata bara wanasheria zao hawataki maji ya kunywa ya zenji yaingie bara, sukari na bidhaa nyengine kwahio huo ni utaratibu wa sheria zao .........kila la kheir Fred vunja Bei ukiweka ngazi sawa nitapita hapo kuja kununua bidhaaa😂😂😂
@Datho21
@Datho21 Год назад
jamani mambo gani tena haya😢
@drmdee
@drmdee Год назад
Nyie mlifuata utaratibu gan kufungua duka
@husenhamad5310
@husenhamad5310 Год назад
Jamani kila anae hisi amebaguliwa si ahame atuachie Zanzibar yetu
@lubavacastory1831
@lubavacastory1831 Год назад
Mna Zanzibar nyie 😅😅😅mmezaliwa nayo au mliinunua wapi..?
@hafidhyakoub8369
@hafidhyakoub8369 Год назад
@@lubavacastory1831 tume okota
@edinakyaruzi9226
@edinakyaruzi9226 Год назад
mchukuwe na watu wenu wote kwangu ndio useme hayo sio kuacha watu kwetu kisha unasema sema kwako kwako ovyo na zuena sio wa kwenu uko wewe wa ovyo sana
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 Год назад
Apo chacha utasikia wabaguzi lkn sijui kwa nini hawaondoki??km unabaguliwa huwezi dhiki ondokaaaa ....lkn ukikaaa ina maana kuna faida endelea kukaa tu ...kisebusebu na kiroho papo.ovyooo mtuacheeee jamani
@mahmoudaziz4717
@mahmoudaziz4717 Год назад
Nyie mbona amuahami daresalam na seemu nyingine kote tanzania bara?
@Beau23545
@Beau23545 Год назад
Pole sana Fred ila Baraza la manispaa sio barabarani tu Ata ukiwa sehem za ndani wanaongoza kwa kulalia watu hawakai wakafanya mamb ya maana tunawajua kwa majina watumishi wanaopenda rushwa na hawana utemdaji wwte zaid ya fitna tu maisha Zanzibar haitoendelea maisha mpaka kiama kitasimama
@sarahmwakilasa7425
@sarahmwakilasa7425 Год назад
Pole sana kaka
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Год назад
Kumbe hukufata taratibu manispaa hee sio watu wazuri tunapambana nao mjini pole kaka
@Beau23545
@Beau23545 Год назад
Ata ukifata taratibu ila hawana utu ata kidg yaan wanashindwa kuelekeza watu wao wanajiamulia tu unawez ukalipia eneo na ukaomba kibali ila mwisho wa siku wao wao wanakuja kukubomolea
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 Год назад
Pole kaka
@niriacatering172
@niriacatering172 Год назад
Mungu yu pamoja nawe
@wataitashosho
@wataitashosho Год назад
BONYEZA ILI UCHEKE ➡➡ ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-RXSyzGjuAro.html
@theteacherchance6750
@theteacherchance6750 Год назад
Maneno ya Fred "walikuwa sahihi kuvunja lakini walikosea NAMNA ya kuvunja yananikumbusha maneno ya Thabo Bester alipokuwa akielezea kuhusu kumuua mpenzi wake, Nomfundo Thyulu. Alisema, "I'm responsible for her death but not her killing."
@stamalamkulungwa8708
@stamalamkulungwa8708 Год назад
Pole sana
@victorjames3730
@victorjames3730 Год назад
Manispaa wanazingua sanaaa
@nestorylongino9111
@nestorylongino9111 Год назад
Wazanzibar wabaguzi sana kwa wabongo
@aminaalabri4170
@aminaalabri4170 Год назад
Itakuwa ww mwenyeo huijui zanzbar wkat hao wazanzbar wenyew wanavunyiwa wxnakosa uhuru wa kufanya biashara sema hao manuspaa ndo nyoko tena wsnakera hasa
@nelsonmwaipaja3727
@nelsonmwaipaja3727 Год назад
Tatizo la Tanzania yetu hii ni kwamba tuna mipango ya miaka 2 au 5 nchi Za wenzetu wanamipango ya muda mrefu xana huwezi kuona mambo ya bomoa bomoa ovyo
@mwanaidmajani856
@mwanaidmajani856 Год назад
Wazanzibar Wana roho mbya snaa nshakutana nao weng sna kweny kazi duuu
@juma2979
@juma2979 Год назад
Sio kwel nyny ndo mna roho mbaya na fitna , ndugu zetu mahoteni uko wte wamefukuzwa kwa fitna zenu wabongp
@mwanaidmajani856
@mwanaidmajani856 Год назад
@@juma2979 IPO hv me nimekutana na weng Wana choyo wanaroh mbaya Sana Wana fitin San Kwa mabosi uwiii hapan kweli Wal watu asilimia kubwa ND wapo na roho mbay
@rosemuhandoofficial5676
@rosemuhandoofficial5676 Год назад
Yana roho mbaya huku yamefunga ramadhani, heheeee!! Hao Wana tabia mbaya ya ubaguzi znz huwa hawatupendi sisi wa bara, na sijui kwanini mnawaacha wanazagaa huku Bara kwetu waende kwao hukoooooo!!! Na sisi tumewachokaaaa
@saaduonabdalla3576
@saaduonabdalla3576 Год назад
Acha maneno ya kashfa sisi sote ni watanzania halfu heshimu imani ya mtu acha kuitia dosari ramadhan yetu halafu usituchukie waznzibar sisi sote ni watanzania
@saaduonabdalla3576
@saaduonabdalla3576 Год назад
Na kila mukitutukana ndio tunazidi kujenga magorofa uko uko dar ilala tayari tushaitawala
@saaduonabdalla3576
@saaduonabdalla3576 Год назад
Na kila sehemu nzuri dar tutaimiliki sisi tutanua maboma tutasimamisha magorofa inshaallah. Na kama nimekuker nisamehe ila nakuombeya kwa Mungu akupe uzima wenye afya na akupe mali uweze kuwasdia watu na akujaliye uwe ni mwenye kuacha hasira ovyo
@aishaamwalimu2887
@aishaamwalimu2887 Год назад
​@@saaduonabdalla3576 Jenga Bara nzima hujakatazwa uwezo wako tu, Nyie ndiyo mnaotukana, Na ubaguzi umewajaa,Sisi Unajua fika kua sote ni 1 ndiyo maana Umetulia.
@aishaamwalimu2887
@aishaamwalimu2887 Год назад
​@@saaduonabdalla3576 Acha Zarau, Kuna watu zanzibar Wanamaisha Magumu Hadi huruma, Usijishaue Apa, Kama wewe Mungu Amekujalia kipato Shukuru na ukae kimya🙏.
@mtakabiruyassin
@mtakabiruyassin Год назад
Safi mkuu
@amedekileo-if9kg
@amedekileo-if9kg Год назад
Ili Mwenyez Mungu akubarik hutakiw kuwa na roho mbaya
@rymax7790
@rymax7790 Год назад
Duh😢
@OmarJuma-og4kd
@OmarJuma-og4kd Год назад
👌
@youngbob9761
@youngbob9761 Год назад
Ipo poa sana
@mwami_the_don_
@mwami_the_don_ Год назад
Alafu tunashangaa kwann nchi yetu mpaka leo haina maendeleo 😂😂
@n7428
@n7428 Год назад
Umeona yaani vitu kama hivi vina vunja moyo hata mwingine alie taka kuja kibiasha ata ogopa kuna ubaguzi flani una fanyika ange kuwa mzazibar ishu isinge kuwa kubwa hivyo
@annehk8185
@annehk8185 Год назад
Halafu vijana wanaambiwa wawe wabunifu wajiajiri😂😂tz ya viwonder
@n7428
@n7428 Год назад
@@annehk8185 Yaani I don't understand wana shida gani utalii wanao lakini maendeleo haiuna watu wanaenda kuendeleza mji wana wavunjia Zanzibar ingetakiwa kuwa kisiwa cha kuigwa
@user-hj4bc5uh2x
@user-hj4bc5uh2x Год назад
Watu wanautamadun wao kwaiyo mi siwaamin hawa mashetan mmda wowote wanavaa sketi
@shammhagama2527
@shammhagama2527 Год назад
Hii ndo zenji bro, wenzio tushaizoea,
@eggysulle7988
@eggysulle7988 Год назад
🔥🔥🔥
@teddytemu2897
@teddytemu2897 Год назад
Wazanzibar mna ubaguzi sana hampendi wabongo sjui mna matàtizo gan
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Год назад
Serikali ya Zanzibar ina ubaguzi sana haitaki wawekezaji kutoka Bara ila yenyewe ndio imejazana dar
@aliceudoba3672
@aliceudoba3672 Год назад
Ifike muda kila mtu aende kwao 😊
@HAKHASH312
@HAKHASH312 Год назад
Acha kuongea pumba
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d Год назад
​@@aliceudoba3672 hivi unajuwa Wabara na Zanzibar kina nani wengi wako wengi waliohamia kwa wenzao kama upo Zanzibar nenda Dar uwaone Wazanzibar walivyojaa acha kuongea usichokijuwa utawaathiri wakwenu
@bakaramourshaaban
@bakaramourshaaban Год назад
Nyinyi mmesahau pale yule mbunge wa Nkasi Muamedi Kessi alivyosema kuhusu sukari na mafuta ya kula au mmesahau ? Kati ya sie na nyie ni kinananani wabaguzi ?
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Год назад
@@bakaramourshaaban nyie wazanzibar ni wa namba moja hamtaki watu wa Bara waishi huko lkn nyie kila kukicha kiguu na njia kuja dar kutafuta maisha
@kassimkunta1974
@kassimkunta1974 Год назад
Mtu mweusi lakini akili nyeupe❤
@woah.africa99
@woah.africa99 Год назад
Lakini kusema kweli hizo ngazi zimechafua mji uchafu mtupu na mandhari ya nyumba ina sijaona miji ilio endelea kila nyumba ina ngazi lwa ndani na inaonyesha njia ndani kwa ndani sio barabarani vyuma na uchafu
@rasheedlvck.10suleiman5
@rasheedlvck.10suleiman5 Год назад
Wazanzibar ni wabinafsi sanaa
@highmedland9280
@highmedland9280 Год назад
Kaenda kuharibu biashara za watu kuuaza bei atakayo yeye wkt wenyewe wanauza kwa bei Moja wao lkn yy ataua anaeuza bei ya chini zaid , uko Bora uhame baada hapo utarogwa boss wangu Hama mzee
@husseinkarim6745
@husseinkarim6745 Год назад
Kama ngazi hiyo inayoonekana kwa kweli haileti picha mzuri.
@AndrewMwachiko-bq1mi
@AndrewMwachiko-bq1mi Год назад
Hajakataa ila alpenda busara tu
@JumaHaruna-cr8rp
@JumaHaruna-cr8rp Год назад
Dah zanzibar
@shedadiabdul654
@shedadiabdul654 Год назад
Wazanzibar Wabaguzi saana
@tanzaleo8670
@tanzaleo8670 Год назад
Wazanzibari Acheni kutubagua kila kitu cha bara kwenu nyie ni haramu mbona ndugu zenu huku bara hatu wasumbui wangazija,wapemba kibao wauza samaki
@letisiamakonda3873
@letisiamakonda3873 Год назад
😆😆😆
@franklugiko5393
@franklugiko5393 Год назад
Zanzibar ubaguzi upo haswa hasa kwa wanaotoka bara
@aliferuzi1537
@aliferuzi1537 Год назад
Mbali Na ngazi Kuwa imekiuka taratibu lkn napata mashaka Na wenyeji KUOGOPA ushindani hasa kipindi hiki CHA kuingia sikukuu wa fanya biashara kubali ushindani kama kavunja bei Na nyinyi kafateni anakochukua mwisho mnunuzi wa chini avae vizuri
@ezeedi871
@ezeedi871 Год назад
Umeongea fact kaka
@victoriasiwonike9509
@victoriasiwonike9509 Год назад
Hiyo ndio zanzibar kaka ni shida
@user-mg2fb1to9j
@user-mg2fb1to9j Месяц назад
Hao ni wanaguzi mmno wao wakija huku hatuafanyii ubaya kwanza dosoma wamejaa vyuoni. Tena ni wabaguzi
@bonifacedanielmwakisunga9638
We sio mgeni hii nchi ni moja unaruhusiwa sehemu yoyote iwe bara au visiwani awataki watu wa bara wafanye biashara unguja hicho ndio naona hapo n serikali Yao ni baguzi
@foodbasiccourt2028
@foodbasiccourt2028 Год назад
Ni.mgeni au hujui maana ya mgeni.wewe ukimtembelea mtu kwake ni mgeni
@aishaomarry6996
@aishaomarry6996 Год назад
@@foodbasiccourt2028 Ndo ubaguzi wenyewe huo😈
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 Год назад
​@@aishaomarry6996ubaguzi kwa kua ni zanzibar tu lkn km arabuni utajiita mgeni mwenyeo lol ukitaka usitake mtu yeyote akija kwako atabaki kuwa mgeni maana mamlaka utakua nayo mwenyeo hio lazima.sidhani km jirani yako umemuachia nyumba yako afanye atakavyo kwa sababu anabakia ni mgeni tu . Any how kila mmoja ana haki ya kufanya atakavyo kwenye mamlaka yake.
@Mpakauseme
@Mpakauseme Год назад
@@shamsahaji6202 Maneno mengi yanini nainafamika kuwa ninyi ni watu wabaguzi mliotawaliwa na udini uta huko utajapo urabuni ndio baba mkubwa wa ubaguzi duniani
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 Год назад
Safi tmm.kimbiza njaa,sogelea neema.
@hanifahkhamiss8485
@hanifahkhamiss8485 Год назад
Kwanza viongoz wa znzbr hawapend maendeleo kwa wananchi wao.... hpo ukomae kweli bro🙏🙏🙏
@hamismusa1016
@hamismusa1016 Год назад
Mmmh
@ashurahatibu5069
@ashurahatibu5069 Год назад
Roho za wiuuuu tu
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 Год назад
Ni kweli kabisa, wanajali matumbo yao na familia zao.
@bannymattar3543
@bannymattar3543 Год назад
Kweli💯
@geofreyg.mtensa4559
@geofreyg.mtensa4559 Год назад
Kwa nn wakat mwez mtukufu huu, au hao jamaa wa manispaa hawajafunga, maana apo sioni upendo wowote
@godlema6104
@godlema6104 Год назад
Kwani wangesubiria mpaka idd ipite wangepungukiwa na nn
@papaamasauti1973
@papaamasauti1973 Год назад
Zanzibar sio wageni sote ni binadam na sote ni wamoja utafauti ni Imani tuu
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Год назад
Sijajua kwa nini
@msetikebwasi7270
@msetikebwasi7270 Год назад
Kumbe Zanzibar hawana mchezo e
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 Год назад
Ni roho mbaya tu hapo.
@lutenganolukali2122
@lutenganolukali2122 Год назад
Hyo imekusaidia kitengeneza content mm ckujua kama una duka znz
@zubedarichard2311
@zubedarichard2311 Год назад
KBS ata mm sikujua ana Duka hii imesaidia
@zulfahaji91
@zulfahaji91 Год назад
Km roho mbaya na nyie mnazo
@makariosrashid-vg8kt
@makariosrashid-vg8kt Год назад
Huyo muandishi gani sakata la kuvunja ngazi yy anauliza wasanii Pumbavu
@aishaaliothman7180
@aishaaliothman7180 Год назад
Duka lipo sehemu gan
@abdulyabubakar6247
@abdulyabubakar6247 Год назад
Mwanza mjini pale singida kama unaenda tunduma barabara ya moshi tegeta kariakoo mlandizi karibu na manzese tegeta bunju mbweni mtaa wa ununio .
@SebastianJohnkontable
@SebastianJohnkontable Месяц назад
Wasanii tena wkt mjengo ndio hivo tena !!!
@n7428
@n7428 Год назад
Wazanzibar ubaguzi sijui wataacha lini yaani hata ukiwa na kesi Zanzibar utakandamizwa kisa wewe sio Mzanzibar Dah !!
@Masouds21
@Masouds21 Год назад
Hao jamaa hawanaga akili Ni mijitu ya ovyo sana hiyo. Washavunja sana vibanda vya watu kwa visingizio vya ajabu kabisa. By the way hao wananyanyasa sana wazanzibari wenzao huyo wa bara bahati mbaya tu
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz Год назад
Wana2onea sn hawa manispa
@alihussein4303
@alihussein4303 Год назад
Uonevu Au ubaguzi??Noma sana
@mangalilikilawe6788
@mangalilikilawe6788 Год назад
Kwani zanzibar na bar si nchi moja ukimwajiri mbongo ndio huyo huyo mzanzibaaa
@sakinamixpambe2602
@sakinamixpambe2602 Год назад
Hio ndio Zanzibar
@user-mg2fb1to9j
@user-mg2fb1to9j Месяц назад
Jao ni wasoni sio wavaa konasi mnaletewa marndeleo hamtaki mmezoea kuvua pweza tu
@DIANAMADEGE-hx3hy
@DIANAMADEGE-hx3hy Год назад
Ila Zanzibar kwa sheria
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz Год назад
Ndo ye2 mutustahamilie tu
@ramadhanisalum3898
@ramadhanisalum3898 Год назад
Chuki roho mbaya fitina majungu roho ya kwa nn tunayo.sana watanzania tutake tusitake tunapenda sana kukwamishana
@ashminaabdulla8946
@ashminaabdulla8946 Год назад
Mmmh hii Zanzibar😴😴😴
@josephmugala1970
@josephmugala1970 Год назад
Mwinyi Ana roho mbaya sn Ila Muangalie hata GSM Anaweza kuweka mkono wake hapo.
@cherehanmabula5147
@cherehanmabula5147 Год назад
Kesha tangaza biashara tayari😂😂😂😂
@marymanoni5536
@marymanoni5536 Год назад
Zanzibar Wana roho mbaya sn wakiona mbara anafanikiwa wanawivu sn
@AbdallahAlkindiy-vi2yh
@AbdallahAlkindiy-vi2yh Год назад
Lipo zanzibar maeneo gani hili duka
@AliMohamed-gv7nw
@AliMohamed-gv7nw Год назад
Ingelikua mzanzibar hata msingekua namda nae
@nabillkhamis8188
@nabillkhamis8188 Год назад
Manispaa wa hapa wanafanya kaz kisiasa sana
@user-mg2fb1to9j
@user-mg2fb1to9j Месяц назад
Nyamaza ngedere. Soko mnalo
@user-mg2fb1to9j
@user-mg2fb1to9j Месяц назад
Hamna kitu. Ila mbamba mba nyingii znz
@nassorseif7907
@nassorseif7907 Год назад
Tunaziona barabara za kisasa mvua hizi hahahaha
@annamussa185
@annamussa185 Год назад
Zanzibar wanataka biashara wafanye waotu,na biashara hawawezi labda kuuza mikundu kama mwenzao Afande.
@husenhamad5310
@husenhamad5310 Год назад
Biashara akafanye bara uko Zanzibar kumejaa
@abdissalamhassan7881
@abdissalamhassan7881 Год назад
Kumamamayooooo mkundu weeeee
@abdissalamhassan7881
@abdissalamhassan7881 Год назад
Kuma weeee malaya
@ahmadsalim6782
@ahmadsalim6782 Год назад
Biashara hawawez wakati k.koo ndio wamejaa
@mahmoudaziz4717
@mahmoudaziz4717 Год назад
😂😂😂😂😂😂
@kaluluu2011
@kaluluu2011 Год назад
Wazanzibar baadhi Yao wabinafs xana Alf wanaroho kubwa mno Kwa watu wa bara cjui tatizo lipo wapi na izo idara za manispaa nazo ata aziwezi kujali kua huyo ni mteja wao wakatumia busara kwenye swala ILO.
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 Год назад
Uongozi shida sana tunajisahau sana eti vikao vya ajabu ajabu kwaiyo wafanyabiashara wadogo
@ifraimifraimuhusen282
@ifraimifraimuhusen282 Год назад
Ndg Kwa zenji hizo ni Figisu huku nguo tisheti moja 35 elfu unakuja kuuza kwa 10 elfu mchongo huo
@hafidhyakoub8369
@hafidhyakoub8369 Год назад
Www hujuwi zanzibar ww utijuwa tuliaaa
@mohdnassor1273
@mohdnassor1273 Год назад
Ubaguzi kila sehemu upo nenda Africa kusini ujionee ni nchi tajiri usibaguliwe wewe we nani mlaa ugali na mlendaaaaa
@user-mg2fb1to9j
@user-mg2fb1to9j Месяц назад
Haswaaa
@veronicamshubi7146
@veronicamshubi7146 Год назад
Wazanzibar wabinafsi sana huku kwetu wamejaa
@jitukorofi9517
@jitukorofi9517 Год назад
Acha upumbavu akili zako kama ubongo uko kwenye matako umemsikia mwenye kakiri ngazi kajenga nje ya eneo liloruhusiwa
@deusdeodavid5360
@deusdeodavid5360 Год назад
Mwamba ungeuliza kwanza huko ni nchi nyengine wana sheria zao
@saumuabdallah198
@saumuabdallah198 Год назад
Zanzibar always ni wana jealous na wabongo... hawapend watanzania bara ila ingekua ni mzanzibar wala wacnge mind😕 xhenzi xn
@letisiamakonda3873
@letisiamakonda3873 Год назад
👐
@bakaromar8135
@bakaromar8135 Год назад
Wala sishangai Wazanzibar roho mbaya ni kawaida yao
Далее
The lightweights ended Round One with a BANG 💪
00:10
Это реально работает?!
00:33
Просмотров 3,3 млн
Склеил девушку-курьера ❤️
01:00
How AI could help us talk to animals
9:06
Просмотров 510 тыс.
The lightweights ended Round One with a BANG 💪
00:10