Тёмный

Salama Na HENRY KULAYA SE6 EP13|MASTER PART 1|SendTip MPESA LIPA NO 5578460 

YahStoneTown
Подписаться 395 тыс.
Просмотров 13 тыс.
50% 1

#SalamaNa #SendTip Through MPESA #5578460
MASTER
Kwa wengi wenu hii sura ni ngeni kabisa, ila pengine jina pale la zamani na kama wewe ni mtu wa zamani linaweza lika kukumbusha kitu, ila kama hukuwepo enzi hizi za Samia X basi ugeni wake pengine uwe ndo chachu ya wewe kutaka kumfahamu vizuri, na nikuambie tu kwamba hutajuta hata sekunde moja kumskiliza yeye.
Jina ni Henry Kulaya aka Coach Carter kama ambavyo Mjukuu wa Malkia wa Uingereza Prince Harry humuita, ni Mtanzania mwenzetu na asili yake na wazazi wake ni Moshi, yes ni Mchaga ambaye baada ya kumaliza masomo yake Mama yake alimpa nafasi ya kwenda kusoma nchini Uingereza, mambo gani alisomea utayaskia mwenyewe akiyaelezea na jinsi ambayo alibadili winga na kuingia kwenye masuala ya Elimu pia utamskia mwenyewe akielezea safari yake hiyo, ila mimi nataka nikuambie vile nilikutana naye na jinsi ambayo napeeenda na na enjoy sana kumskiliza.
Safari yake ya career yake aliyoichagua au niseme aliyo chaguliwa maana kwake si kitu aliwahi kufikiria, kuwa MWALIMU? Kabisa? Ila ng’amua hili… Ilikua ni moja ya maamuzi bora zaidi ambayo amewahi kuyafanya kwenye maisha maisha, safari haikua ya lele Mama au rahisi, kumbuka alikua nchi ya watu, mweusi na si mzaliwa wa pale, Henry anakumbuka vizuri vikwazo ambavyo alipitia na utamu wa mafanikio yake haswa pale alipokua akiwekwa kwenye list ambayo yeye pekee ndo alikua sio mzawa na umri wake pia ulikua mdogo.
Baba na mume Henry anatuhadithia jinsi ambayo alitafutwa na watu wa Prince Harry na kutaka kwenda kutembelea shule yake ambayo yeye ndo alikua Principal, humu anatupa hadithi hii kwa kina (na Prince hakuenda kumtembelea mara moja kwa taarifa yako) na jinsi ambayo urafiki wao ulivyojengeka.
Sasa Henry amerudi nyumbani Tanzania na hii ndo sababu ya Mimi na wenzangu kutaka kuongea nae, imagine kutoka kwenye maisha hayo ambayo na mshahara wake bila ya shaka tunaweza kuukadiria na kuamua kurudi nyumbani, si kwa ubaya… Ila katika nchi ambazo mfumo wa elimu umezeeka nasi ni wa moja wao, mageuzi na mapinduzi mazito yanatakiwa kufanyika pengine haraka iwezekanavyo, je unadhani kwa ugumu wa kazi na vikwazo vilivyopo pengine ndo kilichomvutia yeye? Au kuna jengine ambalo mimi na wewe hatulijui?
Haya yote atatuelezea yeye, maana kati ya vitu ambavyo mimi hu enjoy nikiwa na Kaka yangu huyu ni KUMSKILIZA. Basi tufanye hivyo pamoja na yangu matumaini UTAPENDA.
Love,
Salama.
Support us through anchor.fm/yahstonetown/support
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahStoneTownSubs
Listen our Podcast on
Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
‪ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru‬
GooglePodcast Link bit.ly/GooglePodcastSalamaNa
Audiomack Link bit.ly/YahStoneTownAudioMack
‪RU-vid Link bit.ly/RU-vidSalamaNa
Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
Follow:
Twitter: / yahstonetown
Instagram: / yahstonetown
Facebook: / yahstonetown
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz

Развлечения

Опубликовано:

 

10 апр 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 22   
@Bbwaoy
@Bbwaoy 2 года назад
Napenda interview za watu ambao ni intellectual like this guy right here. You learn a lot out of it.
@belindakweka3517
@belindakweka3517 2 года назад
Salama you are good. I like the choices of your questions, and selection of people to interview is perfect. We need people like these to grow and inspiration
@josephmwasunga8276
@josephmwasunga8276 11 месяцев назад
Kulaya yo the best bro! Also salama unatupa watu sahihi sanaaa boss, it's my prayer Mungu azidi kukujaza maarifa mengi zaidi
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 2 года назад
Hawa ndio watu tunaowahitaji ktk interview kwamaana tunajifunza mengi,thanks 👍👌🙌
@systematickader7583
@systematickader7583 2 года назад
Amekaa england alafu anaongea kiswahili kingi mpaka raha
@julianajoseph1248
@julianajoseph1248 Год назад
Intelligent and handsome too
@albogastmselejr4583
@albogastmselejr4583 2 года назад
Jesca Kapendeza Leo 🤣🤣
@Tino_Official_tz
@Tino_Official_tz 2 года назад
Salama ndio miongini mwa watangazaji wachache sana wanaonifanya kipindi cha dakk 23 nikione ni dkk 5. 🔥🔥🔥
@richarddominick3172
@richarddominick3172 2 года назад
Hii nilikuwa naipitaga tuuu kumbe bonge la interview salamaaa nomaah saana sema huyo mwamba yupo vizuri lakini undercover saana
@joelndowo
@joelndowo Год назад
Yeah hata Mimi ni hivyo hivyo
@coffeetable5683
@coffeetable5683 2 года назад
Tunamuhitaji Oscar oscar
@daniellucas1323
@daniellucas1323 2 года назад
Big up san ..nliisubir sana💥
@rwamaphajoaness8820
@rwamaphajoaness8820 2 года назад
Great
@keifatuke99
@keifatuke99 2 года назад
Salama aki interview wengine anawaelezea aina ya drink,mbona kwa huyu kijana hajakaribisha,kweli Elimu ,Elimu.
@Tino_Official_tz
@Tino_Official_tz 2 года назад
Hivi ni mimi tuu au? namuona amefanana na Balozi Togolani muonekano hadi kifikra
@mbesherejoh4219
@mbesherejoh4219 2 года назад
same here mkuu
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 года назад
Interview ya kizazi sana
@samihsalum9916
@samihsalum9916 2 года назад
Dada salama, wachezaji mpira mbona umewatenga
@kelvinbanoth3013
@kelvinbanoth3013 2 года назад
I was wanting for this interview! like hell no!
@Elfuego257
@Elfuego257 2 года назад
Can we get Benji Fernandes dada Salama?
@virusunityonline5786
@virusunityonline5786 2 года назад
YAKUZINGATIA UKITAKA KUFUNGA NDOA ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-GqEN64oGaAQ.html
Далее
Разбудили Любимой Песней 😂
00:14
Strong cat !! 😱😱
00:19
Просмотров 885 тыс.
Salama Na Masoud Kipanya
52:05
Просмотров 8 тыс.