Тёмный

Salama Na Khadija Kopa Ep 9 | ALIYEPEWA KAPEWA Part 1 

YahStoneTown
Подписаться 397 тыс.
Просмотров 103 тыс.
50% 1

#YAHStoneTown #SalamaNa #PodCast
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahSton...
Listen our Podcast on
Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
‪ApplePodcasts Link apple.co/2Ou1bru‬
‪RU-vid Link bit.ly/RU-vidS...
Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
Khadija Omar Kopa.
Malkia wa mipasho na lejendari wa muziki wa Taarab kwenye ukanda huu na duniani kwa ujumla, mwenyewe kaniambia yeye kwenda Arabuni na Ulaya ni jambo la kawaida tu kwake maana hayo kayaanza kuyafanya kitaaambo sana. Kitambo kweli naweza sema, mimi nimeanza kumfahamu Da Khadija toka kigori kabisa, na amekua hapo kwenye standard hiyo hiyo kwa miaka nenda na miaka rudi. Hii bila ya shaka imetokana na kwamba na yeye alianza kufanya hizo kazi akiwa bado msichana mbichi kabisa. Na ameweza kutuliza akili yake na ku maintain standard na status yake kwa miaka nenda miaka rudi kitu ambacho ni kigumu kwa mwanamke, tena kwa mwanamke wa visiwani ambako miongozo ya kidini ina mizizi kama ya mbuyu lakini ameweza kutunza heshima yake na kuonyesha kipaji chake huku akiwa na staha yake. Inabidi uwe na nguvu ya ziada kuweza kuwa na ujasiri wa aina hiyo.
Bila ya shaka alikua pia akipambana na mengi, pengine kukatishwa tamaa au hata vitisho ili aache kufanya alichokua anafanya kwa kutumia kipaji alichopewa na Mwenyezi Mungu lakini wapi, kwa mbwembwe za hali ya juu yeye ndo ameibuka kidedea kwenye vita hiyo na ndo maana heshima ya ulejendari inamhusu moja kwa moja Dada yangu huyu.
Wengine watasema pengine yeye si muimbaji wa taarab mwenye sauti nzuri zaidi ya flani na fulani, pengine kuna ukweli ndani yake, lakini je, hao wenye hizo sauti nzuri zaidi yake wako wapi? Je wana uwezo wa kucheza na kuringa jukwaani kama Khadija Kopa? Je wanajulikana kama yeye? Je wana ushirikiano na wana muziki wa kizazi kipya cha Bongo Flava na kutoa nao nyimbo zilizoshika chati ya juu? Je wana uwezo wa kuingiza Taarab yao kwenye matamasha ya muziki wa kizazi kipya na watu waka bang kama kawa? Mimi na wewe tunajua jibu.
Hii ni kwa ajili ya Dada yangu, fundi wa hizi kazi, tumpe heshima yake maana ‘Mpewa hapokonyeki, aliyepewa kapewa...’
Tafadhali Enjoy.
Love,
Follow:
Twitter: / yahstonetown
Instagram: / yahstonetown
Facebook: / yahstonetown

Опубликовано:

 

30 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 137   
@Yessjamal
@Yessjamal 4 года назад
Salama MNASUBIRI NN KUMLETA CHIDI APA AAAH KWNZ CHIDI INTERVIEW YAK UKI UPLOAD HAIPUNGUI VIEWS 300K NASEMA IVY KWA SABABU ATAMIMI RU-vidR LETEN CHIDI BENZ APA 🔥🔥🔥
@mercymakundi3582
@mercymakundi3582 4 года назад
Bi hadija kagoma kuzeekaa!!!....
@salumchande2702
@salumchande2702 4 года назад
Teh teh teh
@antybabybintrashid2333
@antybabybintrashid2333 4 года назад
😂😂😂😂😂😂😂
@jasminyiddysulaiman9807
@jasminyiddysulaiman9807 4 года назад
😃😂😂😂😂
@minnahhers7437
@minnahhers7437 Год назад
Akhwan safaa.......(ndugu wependanao)
@annakattoa7502
@annakattoa7502 4 года назад
Daaah salama mm Naomba tu ukiwa unafanya production ya hiki kipindi niwe among yo team hata kuoanga vitu, meza behind camera. Nijitoleee kabisa nijinoe... Yo the best Tv present we ever,
@fahadfahmy
@fahadfahmy 4 года назад
Leo Wazanzibari wamekutana
@salomewandya7257
@salomewandya7257 3 года назад
🔥🔥🔥🔥
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 4 года назад
Black beauty queen Khadija Kopa. Hajawahi kugusa rangi ya ngozi yake, siyo kama hawa wasanii wa sasa mikorogo magamba mwili mzima kama mburukenge. Salute you Bi Khadija Kopa.
@hanifakimaro2179
@hanifakimaro2179 4 года назад
Bi Khadija Kopa nakupenda sana, Mungu akupe umri mrefu InshaaAllah ❤️
@rehemaothman2200
@rehemaothman2200 3 года назад
Ameen
@antidiusmachusi3775
@antidiusmachusi3775 4 года назад
Harudii nguo hyo sema anavaa black tu alafu ndio nzuri ata mm nimeipenda nyie mnaokuja ndio mjitutumue
@GivenTobago
@GivenTobago Год назад
i love sister Khadija my mother used to listen on her music very much i wish her to live longer
@josphinedarani6203
@josphinedarani6203 4 года назад
Huyu mama yetu tunamupenda saana kwa heshima aliojijengea anajiheshimu saana bi ghadija kopa mimi ni fan wako natoka Mombasa naishi swiss
@tinosvinci3076
@tinosvinci3076 4 года назад
Ikifikia wakati wa kumleta sepetu,, naomba utuambie mapema tuandae dictionary.....
@jinaanhkareem3650
@jinaanhkareem3650 3 года назад
Hahaaa
@mercymakundi3582
@mercymakundi3582 4 года назад
🤣🤣🤣🤣😂 ukitak kufanya hujali maneno ya watu, hujengi zahanati ya kijiji😂😂😂😂🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@mwanahella9650
@mwanahella9650 4 года назад
😂😂mama kasema simamia ndoto
@veronicadaniel1122
@veronicadaniel1122 4 года назад
Mercy Makundi hahaha
@a.856
@a.856 4 года назад
Mama lao🙏🏻
@salmasimba5572
@salmasimba5572 Год назад
Salama mzm mm nataka ufanyiwe wewe mahujiano
@wedream7506
@wedream7506 4 года назад
Salam plz interview Feza KESSY Zamaradi mketema Diamond platnumz Adam. Mchomvu Wema sepetu na faiza ally
@FM-xi3on
@FM-xi3on 4 года назад
Wema sepetu hatumtaki
@akidasimba745
@akidasimba745 4 года назад
@@FM-xi3on hata yeye hakutaki
@mugheiry
@mugheiry 4 года назад
akimaliza hapo akufanyie interview na wewe pia
@ngulowitness171
@ngulowitness171 4 года назад
Mama mwenye kipaji chake. Nampenda sanaaaaaaa.
@mmn7480
@mmn7480 Год назад
ila uyu bbi salama kakupenda ajakujibu mbovu mkpa mwisho
@nooromar6233
@nooromar6233 4 года назад
Akhwan means brothers and Safa means purity,serenity in short in Swahili purity means usafi serenity means utulivu in Swahili,basi tuamanishe ni ndugu watulivu very nice 👍
@esterdoriye4304
@esterdoriye4304 4 года назад
Mtafute chid benzi umfanyie interview hahahahaaaaa
@kisasarob751
@kisasarob751 4 года назад
Chid shda mzenguz sana...hachelew kutoa mamb hayaeleweki
@oyay2821
@oyay2821 4 года назад
Teja hawezi jibu maswali vizuri
@noxlosingida2369
@noxlosingida2369 4 года назад
@@oyay2821 Chid yupo vizuri sana kujibu maswali ana kuzidi hata wewe ambae sio teja
@gladnesskimati
@gladnesskimati 4 года назад
Hili swala nililiwaza pia😂
@abduljvo5549
@abduljvo5549 4 года назад
@@noxlosingida2369 great reply
@funnyvideosandvichekesho.1862
@funnyvideosandvichekesho.1862 4 года назад
Toka nakua uso wa mama yetu uko hivi hivi kuwa na baby face raha.
@abdulkhalim5564
@abdulkhalim5564 4 года назад
Bravo Al Jabri Love U So Much
@salumchande2702
@salumchande2702 4 года назад
Salama you are very creative, I love you
@samirarashid8186
@samirarashid8186 4 года назад
Nawapenda sana 🥰🥰🥰
@minaelyfrenck-qq9ih
@minaelyfrenck-qq9ih Год назад
Napenda kipindi hiki
@zainababdullsadik1247
@zainababdullsadik1247 4 года назад
Salama umenichekeshaa atachelewaa sana🤣🤣🤣
@edinamkubwa2629
@edinamkubwa2629 Год назад
Good interview.... Tunaomba utuletee Jimmy mafufu dada salamaa
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 4 года назад
Waambie Bi khadija, heshima ni kitu chako tu 👌
@salumhemed3699
@salumhemed3699 3 года назад
Mletee hamisa mobeto
@fatmasalima3847
@fatmasalima3847 4 года назад
Alhamdullah mama k Love you
@beautymasatu1200
@beautymasatu1200 4 года назад
Bi khadija anatumia dawa gani ya kutokuzeeka jmn ☺️
@nadhraabdulaziz9193
@nadhraabdulaziz9193 3 года назад
Kuna interview alisemaanakunywa maji mengi mazoezi halafu anaogea sabuni zile za asili na hatumii macream na anakula matunda mengi alisema ivo
@linnetmbotto7212
@linnetmbotto7212 4 года назад
One of our National Treasures. Tumuenzi kabla hajatuacha.
@hatibbaraka3956
@hatibbaraka3956 Год назад
Tumekuelewa mama ila wakati ushakua mbali sana sasa,fanya urudi kwa Muungu haya yote tena achana nayo.
@johnsteven6467
@johnsteven6467 4 года назад
Nime I like hata kabla haijaanza
@babyhamisi5331
@babyhamisi5331 4 года назад
MashaAllah tabarakaAllah napenda Sana salama uko nature
@MrMasterMathew
@MrMasterMathew 4 года назад
Baba mhimu kwenye family
@mutwalesylvie7443
@mutwalesylvie7443 4 года назад
Bi khadija mashallah
@faizadulla8663
@faizadulla8663 4 года назад
Queen mwenyewe 👌👌👌🔥🔥🔥
@mwanampotevu5442
@mwanampotevu5442 3 года назад
Siumwache khadija anyweiyo juice kidogo umempa glass ya juice na umpi nafas yakunywa
@karthala6676
@karthala6676 4 года назад
Vizuri kusikiya Kiswahili safi. Beautiful
@aviwaomar439
@aviwaomar439 4 года назад
Numependa kiswahili chenuu
@yassirashur1934
@yassirashur1934 3 года назад
I love those bits salama
@christopheritambo1315
@christopheritambo1315 2 года назад
Nampenda huyu mama kwa misemo yake jamani,, huna haya kama kibakuli cha pumba,
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 года назад
Legendary, Kati wa wamama ninaowakubali, kiukweli bajeti ndio Mpango mzima mamake ❤️
@feifei9620
@feifei9620 4 года назад
Beat🎺 tulivu mambo yetu wa mji mkongwe 🌴 🇧🇴 bless up sis Amani tu.
@yasserabubakar6167
@yasserabubakar6167 4 года назад
Mtazamo wangu ni muda muafaka Sasa salama afundishe kwenye chuo kutangaza coz Wana habari siku hizi ni baridi Sana hawana jipya,wanaigana tu.
@abduljvo5549
@abduljvo5549 4 года назад
Yasser Abubakar umewaza vizur sana, they need to learn from the best kama wanahitaji kufika mbali.
@zuwenamasoud8624
@zuwenamasoud8624 4 года назад
Uyo baba ako ashajivua jukumu kwa mungu mas_ula utakua n ww jiandae mama
@hajivuai3454
@hajivuai3454 4 года назад
Naam maneno yako,sisi wanaume hatunaga mbwembwe
@abujuhaifah7461
@abujuhaifah7461 4 года назад
Yah
@mohamedothman9769
@mohamedothman9769 4 года назад
Huyu anadhani yuko sahihi wakati elimu anayo. Allah amuongoze Inshaallah.
@hassanmzee1807
@hassanmzee1807 4 года назад
Naelewa kaz yako
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 4 года назад
Zuchu umepata mama.kapitia mengi.jifunze kupitia kwake.zuchu zuchu zuchu nakuita mara3 tc.we luv u mdgoangu 🥰🥰
@e.jacobi3330
@e.jacobi3330 4 года назад
Salama more love 💕
@happyfamilly1049
@happyfamilly1049 4 года назад
Salama unabusara sanaa nimependa kipindi cako
@hawaasaidi2246
@hawaasaidi2246 4 года назад
Basi tosha rudi kwa mungu wako mdaa umeendaa
@monalisagian1834
@monalisagian1834 4 года назад
Nowadays kuimba Ni Kama Kali .mungu ywaangalia matendo yako .
@maidasaid9449
@maidasaid9449 4 года назад
Marehem omar koppa alifariki march 2007.akiwa na umri wa miaka 26...cwez sahau hili tukio.
@mossisilima2309
@mossisilima2309 4 года назад
Jmn uyu mama kiukwel yupo vzr san yan kwanz binafc mm ninamkubali san kam unamkubal kam mm gonga like hap
@wairimumosha9655
@wairimumosha9655 2 года назад
I started listening since i was a kid till date,she still rocks. Thank you for sharing your talent 🤗💝
@shadyaalhabsi7996
@shadyaalhabsi7996 4 года назад
Mashallah
@mjukuuwanyerere1626
@mjukuuwanyerere1626 4 года назад
Mama!!
@asmahussein2779
@asmahussein2779 2 года назад
Sallama Hodar sana anajua sana kazi yake.
@amaahtheoo8639
@amaahtheoo8639 3 года назад
Mama Z ////nipe chance ya kuwa na Mama ketu Zuchu jaman Ee
@fridanyoni2867
@fridanyoni2867 2 года назад
Omary alikuwa na sauti kama Mama yake Hadija
@neemalister1677
@neemalister1677 4 года назад
Mama laoooo. @mama zuchu
@yemamaulidi4969
@yemamaulidi4969 3 года назад
Nawapenda salama na bi khadija kopa. Kabisa
@arafamohamed4442
@arafamohamed4442 3 года назад
Maana ya Ahwani safaa maana yake Ndugu wapendanao
@judithsalvatory2892
@judithsalvatory2892 2 года назад
Kidumbaki ni nzuri sana
@anitakamene5073
@anitakamene5073 4 года назад
Twamtaka wema sepetu
@rayanndizeyes3161
@rayanndizeyes3161 4 года назад
salama tunasubiri mama dangoti,umualikike Esma,zari,hamisa,wema,tanasha.
@ilhamhabuba5241
@ilhamhabuba5241 4 года назад
Omar kopa amekufa 26/3/2007
@naziakijangwa983
@naziakijangwa983 2 года назад
Da salama big up
@abedkarume9088
@abedkarume9088 3 года назад
Ikhwan swafaa..safu ya ndugu....
@oyay2821
@oyay2821 4 года назад
Mcheni unamtoa mtu jela
@naynavitalis262
@naynavitalis262 4 года назад
😂😂😂
@akidasimba745
@akidasimba745 4 года назад
🤣🤣🤣🤣
@serahchava8469
@serahchava8469 3 года назад
Legend good to see her still up and running keep on going Great soul
@mamusmama2882
@mamusmama2882 4 года назад
Kwan Dasalama nguo hizohzo kila interview kwanini??
@latriciah01augustino67
@latriciah01augustino67 4 года назад
Nguo anabadili😄 nadhani kaamua iwe black tu angalia Interview zilizopita itaona tofaut na kuna nyingine alivaa hood lakin nyeusi😊
@veronicadaniel1122
@veronicadaniel1122 4 года назад
Mamus mama Anapenda kuvaa nguo nyeusi harudii nguo na akirudia c kwenye kipindi
@husnastylist5134
@husnastylist5134 4 года назад
Its called branding
@vanessastafford5120
@vanessastafford5120 4 года назад
Mashalaa Zuchu kiboko, Mama mzaa chema
@keyla3641
@keyla3641 4 года назад
Salama big up sis
@thabitkhamis7596
@thabitkhamis7596 3 года назад
Kopa-hatari
@rehemaothman2200
@rehemaothman2200 3 года назад
Hongera
@khamissshaban4016
@khamissshaban4016 4 года назад
Mashallag
@NonoNono-qp3zu
@NonoNono-qp3zu 4 года назад
Omary kopa alikurithi na alikuwa anaimba kwel kwel. Rip omary kopa
@othumanlorenzo260
@othumanlorenzo260 4 года назад
Alikuwa anajua sema alikuwa mpunga wa wazi kabisa kabisa
@ibraimoissiaca6058
@ibraimoissiaca6058 4 года назад
@@othumanlorenzo260 mpunga wa waz .sijaelewa?
@alibell5246
@alibell5246 3 года назад
Mama laooo
@mahirawadh5863
@mahirawadh5863 4 года назад
Hongera sana kipindi kizuri sana kupita maelezo. Its a shame hakirushwi kwenye Tv sio wote wanaocheki RU-vid. I hope soon kitakuwa kwenye Television. Big up Salama jabir.
@kurthoomibrahim821
@kurthoomibrahim821 4 года назад
Inaoneshwa eatv siku ya alhamis saa3 usiku
@hanifaally4694
@hanifaally4694 3 года назад
Hujengi zahanati yakijiji 😂😂😂😍😍
@jumamuhando2504
@jumamuhando2504 3 года назад
Nhehehe nawe umepaskia kumbe hapo
@manyotaskipper5765
@manyotaskipper5765 4 года назад
Bi khadija Anabuunno balaaa Mashallah
@rashidrajab4878
@rashidrajab4878 4 года назад
tuletee hamisa mobeto🌚🌚
@hadijagere
@hadijagere 4 года назад
Omar alifariki 2004 or 2005
@1stladyafrica402
@1stladyafrica402 4 года назад
2007
@MrsMabusu
@MrsMabusu 4 года назад
Dar ndio bara?
@gloriammasi5607
@gloriammasi5607 4 года назад
Yes
@abujuhaifah7461
@abujuhaifah7461 4 года назад
Dar ndio tanganyika
@sambayoo6441
@sambayoo6441 4 года назад
Mtafute diamondi umfanyie interview itanoga mno
@frankassey5971
@frankassey5971 4 года назад
tumemchoka hana jipya 😂
@leenta4834
@leenta4834 4 года назад
What is the language they talk? Looks interesting.
@rosesamwelitenga4648
@rosesamwelitenga4648 4 года назад
It's swahili language
@leenta4834
@leenta4834 4 года назад
Rhoda Richard Thanks 🙏🏻
@rosesamwelitenga4648
@rosesamwelitenga4648 4 года назад
@@leenta4834 welcome again,,
@veeJesus
@veeJesus 4 года назад
Where are from
@leenta4834
@leenta4834 4 года назад
Veila Onesmo Do you mean me? Or the people in the video? If you mean me I’m from Saudi Arabia but I don’t know where are the people from.🌷
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 3 года назад
Rangi ya nywele zako salama na style mbaya..inaonekana kma umejitwika Pamba🤔🤔
@meedaafarai9677
@meedaafarai9677 4 года назад
Salama anaumri gani ?
@zuberysmohamed4851
@zuberysmohamed4851 4 года назад
nyengine iko wapi???
@antybabybintrashid2333
@antybabybintrashid2333 4 года назад
Hahahaha salama ati adabu kwenye pesa
Далее
Salama Na MwanaFA Ep 10 | KARAMA Part 2
27:20
Просмотров 110 тыс.
Лайфак года 😂
00:12
Просмотров 93 тыс.
Salama Na Khadija Kopa Ep 9 | ALIYEPEWA KAPEWA Part 2
20:24
Mkasi - S01E12 with Wema Sepetu
26:55
Просмотров 719 тыс.
Khadija Kopa Top In Town Official Video
20:39
Просмотров 2,5 млн
Salama Na SUGU Ep 50 | UJIO WA UMRI PART 1
32:38
Просмотров 110 тыс.