Тёмный

Salama Na MwanaFA Ep 10 | KARAMA Part 2 

YahStoneTown
Подписаться 395 тыс.
Просмотров 109 тыс.
50% 1

#YAHStoneTown #SalamaNa #PodCast
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahStoneTownSubs
Listen our Podcast on
Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
‪ApplePodcasts Link apple.co/2Ou1bru‬
‪RU-vid Link bit.ly/RU-vidSalamaNa
Weekend mbili zilitopita rafiki yangu Mwinyi aka Mpwa aka Cousin aka Hamis alikua akiadhimisha siku ya kuzaliwa kwake na alikua amefiksha umri wa kustahili kusherehekea kwa kweli na kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa maisha, mke wake kipenzi alinipigia simu siku nne kabla ya birthday ya mumewe na kutaka tujumuike nae kum suprise, pia akaniambia ana kazi sana ya kuweza kukamilisha hilo tukio maana jamaa (Mwana FA) kashasema yeye hana mango wa kutaka shughuli, angependa maisha yaendelee tu kama kawaida. Pengine alikua akitarajia dinner nyumbani na mkewe na wanawe basi. So kukawa na zoezi hapo la kuhakikisha jamaa hasomi mchongo na kwamba zoezi ni lazima lifanikiwe. Malika binti yeke kwa kwanza ndo alikua amiri jeshi mkuu wa kuhakikisha Baba anarudi nyumbani by saa mbili usiku ili ale na familia chakula cha usiku. Suala hili lilizidi kuwa tamu pale Malika alipofanikiwa kutimiza ombi lake kwa Baba na sisi wengine ikawa rahisi kuibuka nyumbani na kumaliza mchongo mzima. Ulikua usiku mzuri ambao umeandaliwa kwa mapenzi mengi, na kila kitu kilipangwa kwa uangalifu by saa nne unusu tunaimba kata keki tule 😃. Ila kitu unique kabisa kwenye sherehe hiyo ilikua ni vipande vya karatasi ambayo tuligaiwa, vilikua na namba na namba yako ikitajwa basi kuna swali ilikua unatakiwa kulijibu, ili kuonyesha ukaribu wetu, unataka kujua mimi nilipata swali gani? Ok, swali lilikua ni kama nakumbuka siku yangu ya kwanza kukutana na Mwana FA!
Hiyo story itaendelea siku nyengine ila kwa sasa nikuambie tu mahusiano yangu na yeye Mwinyi. Tumekua pamoja naweza sema baada ya kukutana hapa mini Dar es Salaam mwanzoni mwa miaka ya 2000, sote tukiwa wembamba na watoto tu, ila bila ya shaka kila maja akiwa na nia na madhumuni ya kufika hapa tulipo na zaidi panapo majaaliwa, kuna smile flani ivi ambalo mpaka leo halijawahi kubadilika ndo ID yake pamoja na mwanya flani unaokamilisha muonekano wake, style za misuko ya nywele tofauti pia ilikua ikimtenganisha yeye na wanamuziki wengine, ila kikubwa zaidi ambacho kinamfanya yeye awe kasimama mbali na wenzake ni jinsi anavyoandika, anavyowasilisha na anavyowakuna pia washabiki wake ambao kila siku zinavyozidi kwenda wamekua wakiongezeka, nadhani ni baada ya kampa sikio la moja kwa moja ambako kumewafanya wamsikilize kwa umakini zaidi.
Siku za hivi karibuni rafiki yangu aliibua mjadala kwenye mitandao ya kijamii zaidi Twitter baada ya kuamua kujiita yeye Shaaban Robert wa enzi zetu, kama ulikua hufahamu Shaaban Bin Robert alikua mi mshairi, muandishi wa vitabu na essay na pia inaaminika alikua moja kati ya wafikiri wazuri wa lugha ya Kiswahili kutoka Afrika ya Mashariki. Mwana FA ni mmoja kati wa washairi wazuri na mwenye style tamu pia ya kuwakilisha uandishi wake kwa miaka mingi sasa ya muziki huu wa kizazi kipya. Kama unadhani anastahili kujiweka ligi moja au hata nyumba moja na Shaaban Robert au pengine hana nafasi hiyo mimi sina cha kusema juu ya hilo, ila ninaloweza kusema ni kwamba rafiki yangu huyu ameonekana kukua mbele ya macho yangu kwa zaidi ya miaka kumi na tano sana, alianza kufanya kazi zake mapema tu kama solo artist na ngoma sake ya kwana tu ilikua HIT, Unaikumbuka INGEKUA VIPI? Kisha ikaja ECT, baadae kama Duo yeye na AY huku akiwa anaendelea kufanya solo projects na baada ya hapo ameendelea kusimama mwenyewe na kujiimarisha kila mara anapotupa nyimbo mpya, na kwa hilo basi niko hapa kwaajili ya kutoa heshima zangu kwake na kumtakia kila lenye kheri naye.
P.S
Mwana FA pia ni rafiki mzuri na Baba kipenzi kwa mabinti zake.
Enjoy.
Love,
Salama.
Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
Follow:
Twitter: / yahstonetown
Instagram: / yahstonetown
Facebook: / yahstonetown

Развлечения

Опубликовано:

 

4 апр 2020

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 151   
@allyndossy8789
@allyndossy8789 4 года назад
sijawahi kutaka kumiss interview ya binamu coz i know lazima nipate elimu na busara nyingi sana bonge moja LA interview sister salama hujawah kua na baya
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 4 года назад
Kumbe till wengi 😜👍
@rajabuchijinga8321
@rajabuchijinga8321 3 года назад
AKILI ming
@jonathanmalisa9272
@jonathanmalisa9272 4 года назад
Dada Salama naomba tuletee Raia mmoja Kati ya hawa; 1. Joti 2. Mpoki Hawa jamaaa sijawahi kuona interview zao hata moja haswa joti!
@kisasarob751
@kisasarob751 4 года назад
Waiting for salama na mr president or ex president Dr. Jakaya kikwete or probably Dr. John Magufuli Hon.....wengine kawaida tu naona ni new version of mikasi
@balozibalozi5257
@balozibalozi5257 4 года назад
Yaan I have no word umenisaidia kufahamu biashara pia yule life as kid same as me as I was homeless yaan acha nashukuru mungu jimenjenga
@jocelinejohn7294
@jocelinejohn7294 4 года назад
Am blessed kua shabiki wa huyu jamaa
@babaajnaty8629
@babaajnaty8629 4 года назад
#DadaSalama tunamtak n #AY kwny mjengoo show l kibabe hil 💯💯💯
@DimangaKE
@DimangaKE 4 года назад
PURE CLASS. A real gentleman.
@evemangare1732
@evemangare1732 4 года назад
Sure
@fortunatedominic7845
@fortunatedominic7845 4 года назад
Salama ni bonge la mtangazaji...Mwanafa ni Gentleman.
@lazaroletion2420
@lazaroletion2420 4 года назад
Moja ya Shoo kali wakati wa Mkasi ulifanya na Sugu (Mr.two mbunge) na ilikua nzuri sana japo fupiiiii, Muweke basi kwenye list tena kwenye show hii mpya ya Yahstone
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 4 года назад
Legendary, Kati ya makaka zangu ninao wapenda na kuwakubali 😍😘 Kiswahili kizuri maelezo yamenyooka, nakukubali sana FA, kila la khery brother.
@nelsonbilali3888
@nelsonbilali3888 Год назад
Rudisheni huyu Jamaa for the second time. Mad ❤from 🇰🇪
@jacklineraphael4637
@jacklineraphael4637 4 года назад
Baadhi ya wanaume na wanamziki kuna vitu vya kujifunza kutoka kwa FA...
@beatricetenywa4367
@beatricetenywa4367 4 года назад
👌👌
@mugadimon3563
@mugadimon3563 4 года назад
Huyu legend madini kutoka kwake lazima ukimsikiliza interview zake lazima kuna vitu unavipata
@AhmedSaleh-rc1yj
@AhmedSaleh-rc1yj 4 года назад
Kwa kweli sijawahi kujutia interview ya mwana Fa Na sina ukakasi salama ur the best of all time
@bish_daddiyao
@bish_daddiyao 4 года назад
najifunza sana mambo mingi.... sana kwa kila unapotamka Falsafa aunty kipindi iko sawa.
@mumbiseverino4146
@mumbiseverino4146 Год назад
Hii ndio interview niliyoiangalia maranyingi zaidi kwenye RU-vid nasichoki kuiangalia,najifunza mengi sana kwenye hii interview.
@simonsanga2129
@simonsanga2129 4 года назад
The school of great thinker
@ramadhaniabdi9530
@ramadhaniabdi9530 4 года назад
Interview unique kabsa nimewaelewa
@jonathanstephen6616
@jonathanstephen6616 4 года назад
Salama you are a Genius, ni hayo tuuu!
@allytauka8196
@allytauka8196 4 года назад
Mwanamuziki na nusu huyu jamaa . Very geneous
@bernadethabenard1257
@bernadethabenard1257 4 года назад
Hongera Salama na Mwana F A nimependa mahojiano yenu yamenipa mafundisho mhim katika maisha mungu awape maisha marefu .
@feisalmohamed8619
@feisalmohamed8619 4 года назад
Sijui ni mimi tuu !!! Siishiwi hamu kusikiliza hako kanyimbo mwisho hapo... Salama akinza kusema jinsi ya kumpata, nahisi kama ananichelewesha hiv 😄😄. Kazi ni nzuri sanaaa
@asiajuma8330
@asiajuma8330 4 года назад
Hii interview nimetamani isiishe na mkubali sana FA
@montefredy2786
@montefredy2786 4 года назад
Ur amazing bro FA,sharp mind keep it up
@mwandegeplaza6504
@mwandegeplaza6504 4 года назад
Haki imetendeka, Tigo wajifunze
@musamarijani7273
@musamarijani7273 4 года назад
As usual binamu kaua sana hii interview
@ramadhanomar8346
@ramadhanomar8346 4 года назад
Master mind FA
@beatricetenywa4367
@beatricetenywa4367 4 года назад
Inamaana ni mtu asiyepelekwa na pesa,kuna wengine wakipata pesa kila kitu jinabadilika hata mwendo🤣🤣🏃‍♀️🏃‍♀️
@barakayohana6021
@barakayohana6021 4 года назад
Robin wood,alikuaa anachukua hela kwa rich man and helping poor people,nani huyo ni Rugemalila Mtahaba
@nellymatalanga5033
@nellymatalanga5033 4 года назад
Love this guy very humble
@ibrahimjumbe7390
@ibrahimjumbe7390 4 года назад
Falsafaaaaaaaaaa binafsi msanii wng TZ ni mwana FA kwa mziki life style na kila kitu Aiseee we jamaa me ni sio tu shabiki me ni mfuasi wako bro
@allyndossy8789
@allyndossy8789 4 года назад
Ruge always atakua MTU bora kwenye industry ya bongogleva
@beatricetenywa4367
@beatricetenywa4367 4 года назад
Kabisaaa kila interview lazima atajwe🙏
@julianaziada8632
@julianaziada8632 4 года назад
Kabisa mungu ampe pumziko la milele
@allenmanzi9869
@allenmanzi9869 4 года назад
I love what u are doing Salama. Tangu enzi za Mkasi. Keep it up...
@nellymatalanga5033
@nellymatalanga5033 4 года назад
Nice hope AY will nxt after FA dont frgt Pro.J too
@asantehyera6831
@asantehyera6831 3 года назад
Awesome, UPENDO ni utimilifu wa sheria. Big up sana Favorite artist
@nelmisana919
@nelmisana919 4 года назад
Busara Nyingii nyingiiii mnooo FA hatariii sana
@williammwajeka3347
@williammwajeka3347 4 года назад
Mwanzo story ilianz kwa huzuni,but badae story nzur xan 🤩🤩
@ussuforamadan445
@ussuforamadan445 4 года назад
Jamaa namkubali sana FA
@godfreyselestine1208
@godfreyselestine1208 4 года назад
jamaa ana jua salama bonge la mtangazaji
@linahcharles3981
@linahcharles3981 2 года назад
Such a humble Man. Big up Mwana FA
@alexshallom3094
@alexshallom3094 4 года назад
GENIUS
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 4 года назад
Kila interview ni nzuri ila hii zaidi na ni very cool and classic ❤salama na👍🤝
@MrSABYY
@MrSABYY 4 года назад
Je umeagiza GARI nje ya nchi na unahitaji huduma ya clearance ya gari lako( Clearing & Forwarding ) kwa uharaka na BEI NAFUU ila unawaza Clearing Agent gani atalitimiza Hilo? Basi ondoa shaka na karibu nikuhudumie. Tazama baadhi ya bei zangu za kutoa magari bandarini Dar Es Salaam (Local) aina ya TOYOTA km ifuatavyo.. Kama aina ya gari uliyoagiza haipo kwenye orodha usisite kuniuliza, Pia wateja wa mizigo ya AIRPORT / CONTAINER & MAGARI yanayokwenda nje ya nchi ( TRANST ) mnakaribishwa.....Kwa wateja waishio Dar Es Salaam utafikishiwa gari lako mpaka ulipo BURE na kwa wateja wa mkoani utalipia gharama ya Dereva kutokana na umbali uliopo kutokea Dar Es Salaam kama ukihitaji kusafirishiwa, Asante 1: IST old - 750,000/= 2: HARRIER New-900,000 3: HARRIER Old-800,000/ 4: RAV 4 - 800,000/= 5: RAUM - 750,000/= 6: SPACIO - 750,000/= 7: PASSO - 750,000/= 8: VITZ - 700,000/= 9: PREMIO - 750,000/= 10: ALTEZA - 750,000/= 11: SUBARU - 750,000/= 12: CARINA - 750,000/= ---------------------------------------- Gharama hizi zinahusisha malipo ya 1: Port Charges 2: Shipping Line 3: Walfage 4: Agent Fee 5: Plate no ---------------------------------------- DM/Piga/Text 0653953900 / 0742996876 Whatsap +255 653953900 Company: DN holdings. Location: Nkurumah st Clock Tower. Dar es salaam, Tanzania Cc Follow Instagram/Twitter/Facebook &RU-vid @mr_sabyy @mr_sabyy @mr_sabyy #Clearing #Forwarding #Clearing_and_forwarding #AgentSabyy #Call_and_whatsapp_0653953900 #Tanzania
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 года назад
Mashallah, hongera sana Brother *FA* napenda sana interview zako unavyojibu 😘💕
@pendopendo7427
@pendopendo7427 4 года назад
maongezi yametulia San hongera salma na mwan FA
@kingwilliam1807
@kingwilliam1807 2 года назад
Mbona Spotify Hakuna kitu
@susanruo8087
@susanruo8087 4 года назад
Mtu mzima huyu namkumbali sana
@zemayeye7403
@zemayeye7403 4 года назад
Mwana f Akili nyingi sana
@christinenyamu1645
@christinenyamu1645 3 года назад
I love your interviews toka enzi za mkasi...ulete Pfunk Majani please
@barkembarak9270
@barkembarak9270 4 года назад
Nice interview mashallah
@innocentoisso6869
@innocentoisso6869 4 года назад
Binam nakuelewa Sana ww ni zaidi ya mfano
@frankkyomushula7588
@frankkyomushula7588 4 года назад
I love your Show Dada....ni nomaaa🔥🔥🔥
@amsiabbas3809
@amsiabbas3809 Год назад
Ongera Salama umekua Dada Bonge skuizii
@mashalamusicempire1158
@mashalamusicempire1158 4 года назад
Chapaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa#hainakufeli#cash money over💰💰💰💰💰
@gladyloy4890
@gladyloy4890 4 года назад
Interview nzuri xan namkubali mwanafa
@happinessmtitu4485
@happinessmtitu4485 4 года назад
Asante sana Mwana FA
@duxinhojunior9441
@duxinhojunior9441 4 года назад
Salama... Jux unamuhoji lini
@kuragididat3402
@kuragididat3402 4 года назад
Good job, I've been following you for a min , since the days za charts on Eatv and the radio. Who's the artist and name of the track at the end?
@Alegria_doPovo
@Alegria_doPovo 4 года назад
Reminder on
@festosamwel9096
@festosamwel9096 4 года назад
Bonge moja la interview lazima ugain kitu ila naomba umtafute jaymoo huyu jamaa pia ana madini
@mfaumerashid4358
@mfaumerashid4358 3 года назад
Sensei....unafanya vizuri Sana tunaishi kwa nyimbo zako bro Allah akuzidishie umri Zaid na Zaid ...amin
@christinaemmanuel9266
@christinaemmanuel9266 4 года назад
Binamu anaongea vzr kiswahili
@abdulkhalim5564
@abdulkhalim5564 4 года назад
Job Well done Al Jabir
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 4 года назад
Waiting ❤
@davidheche839
@davidheche839 4 года назад
Hiki kipindi ni kikubwa sana, na kitakua kikubwa zaidi siku za usoni kusema ukweli hiki ni kipindi bora zaidi cha mahojiano ya one to one ila salama ukinialika mimi naomba tuanze na Jessica
@CheupeEceJay
@CheupeEceJay 4 года назад
Amin In Shaa Alla, tunashkuru. Jesica ni wa Samaki Samaki 🤣😂
@giftlyimo1654
@giftlyimo1654 4 года назад
😂😂😂😂😂
@blueskytravel5441
@blueskytravel5441 4 года назад
@@CheupeEceJay haaaa haaaaa
@fei3668
@fei3668 4 года назад
waoh mwana fa ur the best
@hassanchake1250
@hassanchake1250 4 года назад
Salama you are doing ..well cjawah miss interview yako hata moja since umeanzisha hiki kipind 💪
@dilipdab3714
@dilipdab3714 2 года назад
Salaam.wa.bongo.ilibidii.wakujeengee.heshimaa.sanaa.mambo.ya.kuvaa.na.fashen Ww.ndio.uliwafundishaa.
@immaculatakadyanji5927
@immaculatakadyanji5927 4 года назад
Interview nzuri sana.
@latriciah01augustino67
@latriciah01augustino67 4 года назад
🙌🏽🙌🏽Sijatoka bure🙏🏽
@nessmwambogolo2545
@nessmwambogolo2545 4 года назад
Huna hata mapepe mwa fa penda Sana ❤️ intrevew nzuri salama💪💪
@missdija4959
@missdija4959 3 года назад
Salama ni Ellen wa bongo na Ellen ni Salama wa Ulaya🤘🏻🔥
@mariamjumaswalehe635
@mariamjumaswalehe635 4 года назад
Hv waweza mfanyia mondi mahojiano kweli tungejuw mengi
@ibrahimuramadhan526
@ibrahimuramadhan526 4 года назад
Na hii nayo nimeikamilisha!
@kimndalaleteo1122
@kimndalaleteo1122 Год назад
Uyu jm mwamba sana
@litakufajitu4094
@litakufajitu4094 3 года назад
My👑 in my city @mwana fa
@adelardhabonimana6388
@adelardhabonimana6388 4 года назад
Nice one
@rohityalsina5972
@rohityalsina5972 4 года назад
Noma sana hii interview dah lazima hata wagonjwa wa Corona watapona hii ndo tulikuwa tunaixubiria kuna wasanii interview zao lazima utoke na furushi la elimu 😅😅 fid q , mwana fa, ay , chid benz anapokuwa mzima, nikki mbishi akiwa ajavuta bange , bac ni hao hao tu bongo
@thomsanga7956
@thomsanga7956 4 года назад
This interview is the best above all for me ✊
@noxlosingida2369
@noxlosingida2369 4 года назад
Don't forget Lady J dee pls
@mugadimon3563
@mugadimon3563 4 года назад
Eti unju bin unuki hajavuta cha Arusha
@edsonjumbe879
@edsonjumbe879 4 года назад
Salama unajua sana kufanya interviews and you're at i ila kwenye kujudge uko harsh sana ambayo hiyo tu inatosha kishusha credibility yako Fa big up sana kwa interview nzuri Pia hongera kwa kurecover from covid-19 Rasmi naanza kutumia fyn by falsafa
@edsonjumbe879
@edsonjumbe879 4 года назад
*you're best at it
@susannesusie3217
@susannesusie3217 3 года назад
He is very smart👍👍
@mwarabutoleolamwisho7879
@mwarabutoleolamwisho7879 4 года назад
I see you hamis
@rahmamalki610
@rahmamalki610 4 года назад
👏🏽
@boazijailos2020
@boazijailos2020 Год назад
Hivi wimbo huu unaopigwa mwishoni mwa interview unaitwaje na msanii ni nani
@tausingomeni2568
@tausingomeni2568 4 года назад
Nimeenjoy hii enterview,
@beatricetenywa4367
@beatricetenywa4367 4 года назад
Sana yaan,F.A Nimsaniii mzur kwanza shule ipo halafu anafanya mziki kama sehem ya kaz inamaana na anaheshim anachofanya👊
@tausingomeni2568
@tausingomeni2568 4 года назад
@@beatricetenywa4367 umeona eeh, kaka ana miakili huyu
@jamesibrahim8849
@jamesibrahim8849 4 года назад
I like it
@mercymakundi3582
@mercymakundi3582 4 года назад
Inbid tuongeze muda aiseee
@benedictmajura2701
@benedictmajura2701 4 года назад
Ungempata wakati huu tukajua kuhusu corona atupe experience yake ilikuaje
@nasloyal5886
@nasloyal5886 4 года назад
Salama please can you do something with joti ?
@mercymakundi3582
@mercymakundi3582 4 года назад
✊🏼✊🏼✊🏼✊🏼✊🏼
@happyzablon6991
@happyzablon6991 4 года назад
Genius
@ongezamaarifa2526
@ongezamaarifa2526 Год назад
👍
@mshangaf1726
@mshangaf1726 4 года назад
microphone mngeziwekea retractable stand ingekuwa poa, badala ya kuzifunika, mawazo yangu siyo lazima sana!
@barackhuncho2432
@barackhuncho2432 4 года назад
Nouma... Xn it's OK..it's ok
@dejavevents
@dejavevents Год назад
Mentor, Mwana Fa napenda fikra zako aise
@katunzijasson5410
@katunzijasson5410 2 года назад
Dah ruge mutahaba may his soul rest in peace
@kijokombao5345
@kijokombao5345 4 года назад
I'm waiting....
@agnessamuel8514
@agnessamuel8514 4 года назад
Rip Ruge
@abdulhamidmcha8587
@abdulhamidmcha8587 4 года назад
👍👍👍👍
@mpendwamillanzi7166
@mpendwamillanzi7166 4 года назад
I wish you to interview my favorite ex-president Mr. Benjamin William Mkapa.
@barakabahati4315
@barakabahati4315 4 года назад
Gone
@naasamson3576
@naasamson3576 4 года назад
MwanaFA hapo kwa Jide umedanganya,ulichochewa na Ruge uvuruge show ya Jide acha uongo
@mkude2554
@mkude2554 4 года назад
Naa Samson kwahyo unahisi yote amesema ukwel ila hapo adanganye kwann ,acheni kujidai mnajua watu sanaa
@funnyvideosandvichekesho.1862
@funnyvideosandvichekesho.1862 4 года назад
R.I.P Ruge.
@fuegosouthside
@fuegosouthside 4 года назад
interview 👌🏼
Далее
Salama Na MwanaFA Ep 10 | KARAMA Part 1
28:34
Просмотров 199 тыс.
Salama Na Idris Ep 8 | TROOPER Part 1
33:07
Просмотров 309 тыс.
Mkasi | S14E03 with Mohammed Dewji Extended version
35:56
Salama Na Jokate Ep 3 | KAMISHNA Part 1
26:24
Просмотров 319 тыс.
Salama Na Gigy Money Ep 12 | ZILE KHADITHI Part 1
25:27
Salama Na MAVOKO EP 49 | WINGMAN PART 1
39:31
Просмотров 128 тыс.