Тёмный

Salama Na Lady Jaydee Ep 24 | POWERHOUSE Part 2 

YahStoneTown
Подписаться 397 тыс.
Просмотров 56 тыс.
50% 1

#YAHStoneTown #SalamaNa #PodCast
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahSton...
Listen our Podcast on
Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
‪ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru‬
GooglePodcast Link bit.ly/GoogleP...
Audiomack Link bit.ly/YahSton...
‪RU-vid Link bit.ly/RU-vidS...
Kwa Judith Wambura Mbibo kuongea anayoyawaza bila ya kupepesa au kutafuta sapoti kabla hajafanya hivyo ndo hulka yake haswa, si wa kukwepeshakwepesha au kung’ata maneno ili yawe malaini zaidi kwa anayeambiwa asijikie vibaya labda. Kwake yeye lilivyo ndo lilivyo, kazi ya kupaka mawingu rangi huwaachia wahusika, yeye yake ni kuhakikisha mawingu yapo, na kwa hilo? Mimi namheshimu sana.
Mwanangu mwengine ambaye hii ni mara yetu ya kwanza kukaa chini na kutia story ili wananchi waweze kupata majibu ya baadhi ya maswali waliyokua nayo muda mrefu sana pengine. Na round hii nilihakikisha sichezi mbali naye kama Chama na Mogella, na kwa bahati nzuri muda wake na wangu ukaenda vizuri kabisa kwa sote kuweza kuifanya kazi hii. Ijumaa ya kuamkia Jumamosi ili kuweza kuifanya kazi hii ulikua usiku mfupi sana kwangu. Mawazo yalikua huko tu kwa Jide na kwa kwa watu wengine watatu ambao nlikua na kikao nao. Na Nashkuru Mungu mambo yalienda kama yalivyopangwa.
Kuanzia kulelewa na Kaka zake alipokuja Dar es Salaam na kuhakikisha anakua katika maadili mema kwahiyo haikua rahisi kwake kuhakikisha agenda yake ya kutaka kuwa msanii na mara nyengine alikua akichezea kichapo kwasababu tu alikua harudi nyumbani kwa wakati au nyendo zake zilipokua hazieleweki. Baba yake alifariki zamani na Mama yake alifariki 2017 kama nitakua sawasawa. Sikutaka kwenda kwenye details sana juu ya kifo cha Mama yake ila zaidi nilikua nataka tuongelee ubora wake ambao umekua ni kivutio kikubwa kwa wale wanaoanza na ambao tayari washaanza. Kujifunza kwake juu ya ukomavu, uvumilivu, jinsi ya kujibeba. Kutafuta nafasi, kutokata tamaa na kuandika historia. Na kwa hilo alituambia mengi.
Kuna issue ya wivu, ndoa, kazi, mahusiano, kipaji na kuwa mwanamke ndani ya kiwanda kichanga ambacho kimezungukwa na wanaume na jinsi ya kupasua milango ya kuziba matabaka ili mambo yaende na historia iandikwe. Vipi aliwezaje ku push hivyo? Na lini haswa alijua ana kipaji chake kikubwa ambacho kinatakiwa kuonekana? Kuna support yoyote aliipata toka nyumbani? Na je baada ya mlango kufunguka, aliwezaje ku maintain hiyo nafasi? Mwaka huu wa 2020 Lady Jay Dee anatimiza miaka ISHIRINI toka ameanza kufanya mziki RASMI. Je hii ndo definition ya MAFANIKIO kwake?
Yangu matumaini maongezi yetu yatasaidia sehemu flani na kuongeza jambo kwenye mbio zako za kutaka kuzifuata ndoto zako. Tafadhali enjoy.
Love,
Salama.
Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
Follow:
Twitter: / yahstonetown
Instagram: / yahstonetown
Facebook: / yahstonetown

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 159   
@funnyvideosandvichekesho.1862
@funnyvideosandvichekesho.1862 4 года назад
Ila jide mkali sana hadi Salama imebidi aende nae kimachale kwenye kuuliza ingekua mwandish wa kawaida asingeweza kumuuliza hayo maswali.Salama you are the best.
@nobbylovetv4977
@nobbylovetv4977 4 года назад
Hapo kwa ruge, "did you cry?" No "I didn't".. Salama alishndwa kujua aulize nini tena.. Yaan aliishiwa poz
@naasamson4905
@naasamson4905 4 года назад
😂😂😂😂😂
@advocatekarama4917
@advocatekarama4917 4 года назад
She is honest
@vanjizzle122
@vanjizzle122 2 года назад
😅😅😅😅daaaah Mara Oyeeeee 🍸Kavuuu sanaaa
@vanjizzle122
@vanjizzle122 2 года назад
😅😅😅😅daaaah Mara Oyeeeee 🍸Kavuuu sanaaa
@Richard_Range
@Richard_Range 4 года назад
ELEGANT, FOCUSED AND WELL ORGANIZED LADY EVER! I love you sis! May the Lord Almighty keep you! 🇹🇿
@haroubfuad7638
@haroubfuad7638 4 года назад
did anyone else see how she said "no i didn't"...... thank you judith for being honest..
@kelvinfrank8881
@kelvinfrank8881 4 года назад
Maana halisi ya Black n' white
@shikikitabunda1177
@shikikitabunda1177 4 года назад
Huyu ni dada kweli kanda maalumu
@rehemarwanda6039
@rehemarwanda6039 4 года назад
Kauaaa🏃‍♀️🏃‍♀️
@minmianzi
@minmianzi 4 года назад
7:22
@AfricaYangu
@AfricaYangu 4 года назад
She didn't even blink.
@emmyamosmwamgiga6688
@emmyamosmwamgiga6688 4 года назад
She is very honest, i love her kwakweli😘
@hasnaabduly4945
@hasnaabduly4945 4 года назад
Hahaha ila jdee anaonekana mkali jamani hata majibu yake hayana maelezo mengi leo salama hajacheka chekaa😀😀😀😀😀😀
@EditaTairo-sv1ls
@EditaTairo-sv1ls 10 месяцев назад
The way she responds to questions proves of her MATURITY. Keep it up
@FranklineOtienoMokaya
@FranklineOtienoMokaya 4 года назад
"no i didnt" that was honest ..moral of the story. Ukimkosea mtu, utasahau, yeye atakumbuka tuuuu.
@ramadhaniabdi9530
@ramadhaniabdi9530 4 года назад
Salama hii ndio interview yko ngumu katika maisha yako💟 Huyu ndie Lady Jay Dee💪
@hahmadhabibu2076
@hahmadhabibu2076 4 года назад
Kunamaswali salama anauliza kama vile mwenyewe kama hayupo sure kama atapewa jibu ao la
@noelmarapachi1808
@noelmarapachi1808 4 года назад
Hicho chuma kaka🤣🤣, kama ni Lori hilo ni lori la kizamani la kiitaliano laitwa FIAT 682 aka MBAULA🤣🤣
@kisasarob751
@kisasarob751 4 года назад
Hahah hasa swali la mtoto dah swali gumu hilooo daah
@sele2507
@sele2507 4 года назад
Ya Fatuma karume ndo ngumu zaidi
@ramadhaniabdi9530
@ramadhaniabdi9530 4 года назад
@@sele2507 kwel kabsa Shangaz kamnyoosha
@latriciah01augustino67
@latriciah01augustino67 4 года назад
Huyu ndo jide sasa NO I DIDN'T 🙌🏽 hataki unafki kuanza oooh marehemu sijui niliumia 😀
@rehemarwanda6039
@rehemarwanda6039 4 года назад
😂😂😂
@makulaikuku6909
@makulaikuku6909 3 года назад
😂
@Ali_Manzu
@Ali_Manzu 4 года назад
Kiuhakika, napendezwa na heshima, endelea kuwa mtu mwema. Napendezwa zaidi na kicheko na ujasiri uliojitokeza Jide. Mungu akulinde.
@nusramunini9650
@nusramunini9650 4 года назад
Naona siko peke yangu huku kweli dada Comando si maziara ..KENYA
@makulaikuku6909
@makulaikuku6909 3 года назад
Komando huyu
@valeriachipeta774
@valeriachipeta774 4 года назад
Did u cry? No i didn't. Honesty and sincere answer and painfull at the same time.
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 4 года назад
Commando you're wise..,much respect. Love the thick skin you have created.
@morganmunis6501
@morganmunis6501 4 года назад
Absolutely! This is a top level interview by two legends
@esterdanford5563
@esterdanford5563 3 года назад
She is very calm n confident,,
@adhiambo7016
@adhiambo7016 4 года назад
I love this interview, Jd is my best Tz artist since 2003. Very honest, no side shows, intelligent lady.
@babayoria9181
@babayoria9181 4 года назад
did you cry ? no i didn't yaan ukimuangalia jide usoni alivyojibu hilo swali like kunakitu kimemuumiza haki tena
@rehemameshack5691
@rehemameshack5691 4 года назад
Change Mindset ulikuepo
@jamesgabriel6289
@jamesgabriel6289 4 года назад
Yean ni kwel nimeona ,ameumia lkn ameona aseme ukwel
@shumycamp8885
@shumycamp8885 4 года назад
Hakuna kama wewe comando wetu.... Thank you ❤💜🙏
@masoudabdi6076
@masoudabdi6076 9 месяцев назад
I like the "NO I DIDN'T (FACE)" How did u even ask that.???
@judithsalvatory2892
@judithsalvatory2892 4 года назад
Judith Wambura huwa nakupenda sana,na huwa nakukubali sana natamani sana sana siku japo tusalimiane nitafurahi sana wewe mfano mzuri wa kuigwa.
@betrue33
@betrue33 4 года назад
They mute his music for years.but she stand strong... Love you gal..wewe ni # Comando
@bish_daddiyao
@bish_daddiyao 4 года назад
One of the Best Interview EVER
@allymatilda7519
@allymatilda7519 4 года назад
I love the whole interview salute komando jide 🖤
@elizabethmollely3940
@elizabethmollely3940 4 года назад
Salama ur de best aisee huyu Dada sio muongeaji ila umejua kumleta mpk akafunguka sijawah kuskia akifunguka hiv
@simondickson859
@simondickson859 4 года назад
Aysee nawapenda sana; Lady Jey Dee na Salama vile namna unauliza maswali dah.
@lilianmyenda6331
@lilianmyenda6331 4 года назад
The level of honest though I love the interview
@omarymwakitosi8204
@omarymwakitosi8204 4 года назад
Keep it up salama nice interview
@Ivy-pn2gc
@Ivy-pn2gc 4 года назад
Dada ananijaza kweli ase yuko vizuri sana she is the best
@japhetkakwezi9497
@japhetkakwezi9497 4 года назад
Kwenye hii shughuli you are always on Top and the best...Bonge moja la interview...More blessings SJ🙏🙏
@naasamson4905
@naasamson4905 4 года назад
Duuh,Jide kajibu bila kupepesa macho "no I didin't"😂😂😂
@makulaikuku6909
@makulaikuku6909 3 года назад
Hataki unafki
@rosemofuga6313
@rosemofuga6313 4 года назад
Salama mm nakukubali sana haki ya mungu , yaani huwa najifunza vitu vingi sana asante my dada
@winfridamdaki5699
@winfridamdaki5699 4 года назад
Judith Wambura interview mzuri nazidi kukupenda wewe ni mkweli
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 года назад
Legendary akiwa na legendary mwemnzake ❤️😘😘nawapenda sana 💕
@rosemwamboneke8736
@rosemwamboneke8736 4 года назад
Yani jide hahaha nampenda adi sijielewi na nampenda zaidi majibu yake.
@mikapmwalimu4555
@mikapmwalimu4555 4 года назад
Dah yani jay dee hanavyo hongea na upole wake kama Dada yangu vile
@winifridarange5835
@winifridarange5835 4 года назад
Thanks for this interview, so amazing ongera sana legendary..
@barikitumaini9832
@barikitumaini9832 2 года назад
I like this interview Salama ur the best.
@user-nq7cf5gr5h
@user-nq7cf5gr5h 4 года назад
Nakupenda salama unaurizaka masri mazuri adi tunafurahi
@albeleenalberto158
@albeleenalberto158 4 года назад
I hate kumuuliza mtu unazaa lini while hii kitu iko Mikononi mwa mungu
@philomenamushi5606
@philomenamushi5606 4 года назад
I love the whole interview📌big up kwako salama na komando jide
@salaita2829
@salaita2829 Год назад
Huyu salama sio yule wa bongo star search kabisa huku anatumiaga maakili na ustaarab mwingi sana.
@hahmadhabibu2076
@hahmadhabibu2076 4 года назад
salama you are very smart...napenda unavyo uliza maswali
@saumuhamisi1603
@saumuhamisi1603 Год назад
Lady Jaydee she’s amazing and love her story ❤️
@rehemarwanda6039
@rehemarwanda6039 4 года назад
No I didn't....very HONEST#KOMANDO
@saidahj2543
@saidahj2543 4 года назад
Great interview
@Chekanamimi_
@Chekanamimi_ 4 года назад
She is very fierce woman
@suleymanmakiwa1651
@suleymanmakiwa1651 4 года назад
No, I didn't.....
@hermanwenceslaus5497
@hermanwenceslaus5497 4 года назад
DAA SALAMA YOU THE BEST...KEEP IT ON.
@mahaalharthia9162
@mahaalharthia9162 4 года назад
Allah akubarik,salama,mtto wakwetu
@dignerninje1047
@dignerninje1047 4 года назад
interview imetulia sana hadi raha
@maryjaneferdinand595
@maryjaneferdinand595 4 года назад
Salama unavituko, but your good in asking ???
@judamsaki5609
@judamsaki5609 3 года назад
bright lady....ladyjydee
@ljm4867
@ljm4867 4 года назад
Champion... I like that
@muganzajohn8191
@muganzajohn8191 4 года назад
Natamani ni sife sijaona mtoto wa jd
@innocentmushi1550
@innocentmushi1550 4 года назад
'Ukianza ukiona wivu ujue umeanza kufeli'
@annamwakibinga3190
@annamwakibinga3190 4 года назад
Salama Leo hujapata muda wa kucheka anajibu vizuri Jide. Hongereni sana natamani upate mwingine mzuri wa kujibu maswali.
@jenniferomar786
@jenniferomar786 4 года назад
Pure n true soul hny... Lady jaydee👌❤😚be blessed 🙏😊
@michaelgodliving5427
@michaelgodliving5427 4 года назад
No I didn't
@MOJAZAIDI.
@MOJAZAIDI. 4 года назад
Unaplay part yako vzuri Mungu akupe hekima zaidi.
@mzeemakame3734
@mzeemakame3734 4 года назад
Napenda sana kipindi hichi
@catherineswai5900
@catherineswai5900 2 года назад
nakukubali sana jide 😍🥰
@junolukensa8777
@junolukensa8777 4 года назад
Aisee imependa jideee anavojibu yuko positive sanaaaa
@felisterchimtunga7011
@felisterchimtunga7011 4 года назад
Eti tukiwa tunagonga vyombo vyetu. Jide bhana
@deboralukawe3883
@deboralukawe3883 4 года назад
Nampenda sana jide
@standardtv3494
@standardtv3494 Год назад
hii interview ndo naiona leo lakini very nice calm interview Jayde yuko vizuri sana
@rosemofuga6313
@rosemofuga6313 4 года назад
Nidhamu ndio nguzo Dada jide
@jonasjohn1384
@jonasjohn1384 3 года назад
Nilisha kuaga nawangu ila kani tenda, hakusamini utu wangu akaniacha Nika enda Nika Baki naria namoyoo,,,,
@judithsalvatory2892
@judithsalvatory2892 4 года назад
Judith nafurahishwa sana na majibu yako,Salama hongera sana kwa kazi nzuri .
@swahiliwithZita
@swahiliwithZita 4 года назад
natamani Jide angeimba kidogo tu. nice one.
@stevenfumbi9566
@stevenfumbi9566 4 года назад
Commando jide nakupenda sana
@mshangaf1726
@mshangaf1726 4 года назад
Salama umejua namna ya kumfanya JD atabasamu kiukweliukweli ktk interview hii!
@nalipodaud4493
@nalipodaud4493 4 года назад
Lin interview na alikiba
@mutwalesylvie7443
@mutwalesylvie7443 4 года назад
Nice inteview
@minmianzi
@minmianzi 4 года назад
Kuna mtu ameona expression ya salama hapa 14:22 hhahahahaah
@cettykhamady4778
@cettykhamady4778 4 года назад
Salama Mlete Penny Mungilwa Jmn
@lovesallu1405
@lovesallu1405 4 года назад
Salama Nakupenda mnooooo
@junolukensa8777
@junolukensa8777 4 года назад
I salute you salama
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 4 года назад
Chakula kinapoa jamani
@gaudensiarobert4782
@gaudensiarobert4782 4 года назад
Jamani tunamsubili komando wa kike kwa ham
@selemantambulegeni3225
@selemantambulegeni3225 4 года назад
Duh "no I didn't ".....facial expression.....
@fei3668
@fei3668 4 года назад
😆komando jide
@allytauka8196
@allytauka8196 4 года назад
No I didn't hahahahahaha very humble
@jacklinekatandula6534
@jacklinekatandula6534 4 года назад
No I didn't 🙄🙄
@glorianikiza6033
@glorianikiza6033 4 года назад
Jeede commando 🤝
@jonasjohn1384
@jonasjohn1384 3 года назад
Siku zote uposafarini waniacha mii mpwekee nili kupenda Sana weehee je wataka kunianzi au wataka kuni weka mii mashakani
@judithsalvatory2892
@judithsalvatory2892 4 года назад
Kweli wewe jasiri kabisa.
@glowingspirit606
@glowingspirit606 4 года назад
HONESTY. BRAVOOOOOOO
@innocentmushi1550
@innocentmushi1550 4 года назад
Rapcha-siiiick rapper
@princemujuni9803
@princemujuni9803 4 года назад
Mm nitakukumbuka kwa kukaa muda mrefu kwenye muziki pia na nywele ndefu kichwani kila nikikuona maana mara ya mwisho kukuona na nywele fupi ilikuawa kwenye video ya Sisirimba ya Ngoni wa UG
@beautymasatu1200
@beautymasatu1200 4 года назад
Comandoo jide💪✅
@blessed-ke6fv
@blessed-ke6fv 4 года назад
Jde na FA ,salama kashindwa gusia,kasahau,au ndo vita nyingine ya 3 ika tokea?
@KardinalJentoOtenga
@KardinalJentoOtenga 4 года назад
Aiseeeee Salama we ni nomaa
@elishakalengo6368
@elishakalengo6368 4 года назад
Nmesubiiili swali la spicy
@masatumanyama4730
@masatumanyama4730 4 года назад
Ahsant salama na jdee nice interview dada yangu
@christophermeori6688
@christophermeori6688 4 года назад
Salama nakukubali na maswali.yako ila wenzako.wako wapi
@jonasjohn1384
@jonasjohn1384 3 года назад
Comandooo napendaga sauti yako unavo imba Kama ina makwaluzo frani ivii
@aurelialema3945
@aurelialema3945 4 года назад
Watu sita I like that
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 4 года назад
Did you cry ?no ididn't ,halafu anakunywa juice kwa utaratiibu kabisa
@nasrikileo
@nasrikileo 4 года назад
Csta tuletee Nikimbishi
@ujudiabdull9442
@ujudiabdull9442 4 года назад
Mh Jide kiboko yaaaniiii hm minimechoka namajibu yake duh....uyomume mwengine namajibu haya ajipangeeeee
Далее
Salama Na Lady Jaydee Ep 24 | POWERHOUSE Part 1
36:54
Просмотров 122 тыс.
Salama Na RIYAMA Ep 32 | UTAKWENDA UTARUDI Part 1
34:34
POLI и Маша - Сигма бой
00:20
Просмотров 223 тыс.
Lady Jay Dee Full Interview on Mambo Mseto
18:08
Просмотров 11 тыс.
Lady JayDee Mimi ni mimi feat Oliver Mtukudzi
4:27
Просмотров 131 тыс.
POLI и Маша - Сигма бой
00:20
Просмотров 223 тыс.