Тёмный

Salama Na Shilole Ep 5 | MAMA Part 2 

YahStoneTown
Подписаться 395 тыс.
Просмотров 122 тыс.
50% 1

#YAHStoneTown #SalamaNa #PodCast #SalamaNaShilole
Listen our Podcast on
Boomplay Link boomplay.lnk.to/SalamaNa‬
‪Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
‪ApplePodcasts Link apple.co/2Ou1bru‬
‪RU-vid Link bit.ly/RU-vidSalamaNa
Mama
Zuwena Yusuf Mohammed ndo jina alopewa na wazazi wake na siko hapa kuwakosoa kwa chaguo lao hilo ila mi nadhani Shilole ndo limekaa mahala pake zaidi. Anaongea kama Shilole, anacheka kama Shilole, ni shujaa kama Shilole, REAL kama Shilole, anapenda kama Shilole na sisi tunampenda kama Shilole. Ally Rehmtullah alikua anaadhimisha miaka kumi ya kazi yake. So alifanya auditions kwa ajili ya kuchagua models kuelekea kwenye adhimisho lenyewe, Shilole aka Shishi alikua mmoja wa ma judge wa skuihiyo, picha likaanza hakuwepo popote pa kuweza kuonekana, shuguli ambayo ilichelewa kuanza kutokana na mambo mengine ilibidi pia iendelee bila yeye. Akatokea wakati tunakaribia kabisa kumaliza ila alipofika kila mtu alijua kama Shishi KAWASILI. Vicheko na matani vilitawala na kila mtu akasahau kama hata Shishi alichelewa kufika. Shishi ni ‘special’. Kuanzia muonekano mpaka tabia, jinsi anavyoishi maisha yake na jinsi anavyotafuta na kujiongeza kila siku ni mfano tosha kwetu sote ya kwamba ‘mwenda bure si mkaa bure’
Anaweza pia akawa kafanya yote ili kuweza kutumiza ndoto yake au zake. Kaigiza, kaimba, kaishi kwenye mahusiano ambayo hajivunii kama alishawahi kuishi hivyo, kafanya biashara, kapigana na mengine mengi kapitia ambayo yanaweza kumaliza kurasa, yote kwa yote... Ni mfano wa kuigwa kwa watafutaji na wanaoanza wengi.
Kwenye meza yetu pia alikuja kachelewa, huku akiwa kavurugwa na baadhi ya watu lakini tulipokaa tu kwenye viti yote yalisahaulika na tukajikita zaidi kwenye mazunguzo yetu ambayo yalijaa vicheko, masikitiko, simulizi za kuacha midomo wazi na faraja tele.
Tafadhali enjoy, na chukua mawili matatu ambayo yatakufunza jambo katika safari yako na kukufanya uwe bora zaidi.
Love,
Salama.
Follow:
Twitter: / yahstonetown
Instagram: / yahstonetown
Facebook: / yahstonetown

Развлечения

Опубликовано:

 

29 фев 2020

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 291   
@queenseptember4640
@queenseptember4640 4 года назад
Hadi raha yaani, Nafurahi nikiona Salama anafurahi akiwa ana muhoji mtu, Shishi you are the Best, i've learned alot from you.
@hamidakibwana7248
@hamidakibwana7248 4 года назад
True
@whatif..6961
@whatif..6961 4 года назад
6:05, "yaaani niko very concentration"😂😂😂😂 Shishi, you are something else!!! Big up superwoman🔥
@zakiyajuma3454
@zakiyajuma3454 4 года назад
Shishi uko vzuri Sana....I'm a fan for a reason...Saving ni muhim Ila inatakiwa iwe ya muda mfupi, baada ya kusave Invest....WEKEZA
@alexshallom3094
@alexshallom3094 4 года назад
SALAMA UNAKAZA MPAKA UKWELI NIMEUJUA "mlikuwa mnapgana"
@kaulimbiu181
@kaulimbiu181 4 года назад
Salama, mimi ni Mkenya wa Mombasa ninayeishi Dubai miaka 11. Nakufuatilia sana tangu enzi za Mkasi, BSS na sasa YahStoneTown. Nafagilia sana maono yako, IQ yako, patience etc. Keep up the good work mamii. Adverts zinakuja ka zote kwenye hizi interview zako na naziachia full inshaaAllah iwe sababu ya wewe kukusanya mpunga mzuri through youtube. Strong buddy 👌🔥🔥🔥💯✔
@linnetmbotto7212
@linnetmbotto7212 4 года назад
Ndo maana umepata tuzo Malkia ya Nguvu, nilikuwa sikujui vizuri. You deserve it.
@latifaamurhamissabd6610
@latifaamurhamissabd6610 4 года назад
I really love you Zuwena Mohammed ♥️♥️ you've been my role model since day one na watch interview yako. Salama I missed u a lot, thanks for this show, I like it
@feristamagesa6841
@feristamagesa6841 4 года назад
Umenifunza kit shish nakupenda
@knifensharper2725
@knifensharper2725 4 года назад
Yani kila nikifanya kazi nikiwa nazembea nikimfikiria shishi huwa nafanya kwa bidii kaz
@dkensmopainvevo3683
@dkensmopainvevo3683 4 года назад
Daa! Hili Dada la igunga Lina elimisha kichizi 💪💪💪🙏🙏🙏🙏🇰🇪🔥🔥
@felistermaximillian2793
@felistermaximillian2793 4 года назад
Fungua shishi food mikoani plz utauza Sana coz unapendwa. Karibu SINGIDA my dear tutakusupport
@rahmahussein4019
@rahmahussein4019 4 года назад
Salama.... please mu invite Riyama Ali pia kwani tunampenda sana...kama huyo Shilole .
@fatmachapa3337
@fatmachapa3337 4 года назад
umeonaa eeh
@felistermaximillian2793
@felistermaximillian2793 4 года назад
Thanks, najifunza, shishi ni wa kuigwa kwa vingi
@jessydaktari5209
@jessydaktari5209 4 года назад
Very educative interview...hongera sana salama...sante sana zaid ya sana shishi...role model wa wengi🤝🏽🤝🏽🤝🏽🤝🏽🤝🏽🤝🏽💥💥💥💥🔥🔥🔥🔥🔥👌👌👌bless up salama
@husnahamiskombo7643
@husnahamiskombo7643 4 года назад
Jessy daktari wacha weee
@jessydaktari5209
@jessydaktari5209 4 года назад
@@husnahamiskombo7643 🔥🔥say my name😁😁😁😁
@nasserhabsi9309
@nasserhabsi9309 4 года назад
Shishi sio mchezo.. Unachangamsha.. Umepitia mengi na nimekupenda saana your life story mashalah..
@maryamsaidy9315
@maryamsaidy9315 4 года назад
Shilole dada wewe ni inspiration woman ambae unafaa kuigwa nkiangalia interview zako najikuta nifanye kazi tu kwabidi
@neemapatrick8293
@neemapatrick8293 4 года назад
Maryam Saidy true
@uwitekamimy3431
@uwitekamimy3431 4 года назад
Na mimi wallah anatupa moyo sana 🤗😢
@faridaemmanuel8662
@faridaemmanuel8662 4 года назад
Umeonaeee yaan hadi raha
@hevenlightminja8343
@hevenlightminja8343 4 года назад
Kati yavyote hapo kwenye swala LA akiba ndio changamoto kwa watu wengi ila nimejifunza mengi shishi more love nimefurahi sanaa
@msegejukitchen1281
@msegejukitchen1281 4 года назад
I laugh , I learned and got inspired, thats Shishi for u, Thank u Salama kwa hii interview nzuri sana
@moseshebrews9089
@moseshebrews9089 4 года назад
Shilole=Real definition of beauty with brains 👌🏿
@talibali6982
@talibali6982 4 года назад
Yaaan salama amecheka had balaaa kajiachia ndio mara ya kwanza kumuona kucheka sana
@halimaally8668
@halimaally8668 4 года назад
Shishi nataman ufungue darasa la kuelimisha wanawake hasa mabinti
@jessydaktari5209
@jessydaktari5209 4 года назад
Kabisaaaaa halima....
@ab3ab313
@ab3ab313 4 года назад
nakupend.bure
@abedkirway8668
@abedkirway8668 4 года назад
Nakupenda sana salam unaakili sana dada kaz njema
@sofiajuliani5617
@sofiajuliani5617 4 года назад
Asante sana shishi nimejifunza vingi sana kutoka kwako
@nsrazahib7617
@nsrazahib7617 4 года назад
Kila kitu unachokifanya Bint Fanya kwa Mpangilio.....#AsanteShishiShukrankwaTeamnzima👊👊👊❤❤❤
@hellencletus4833
@hellencletus4833 4 года назад
Shishi yupo “very concentration “😂😂
@athumanahmadkiza6926
@athumanahmadkiza6926 4 года назад
Tunamiliki simu mbili moja inabaki kazini kwa ajiri ya mambo ya kibinafsi na moja ndo ya familia ujue hilo my sister shilole
@saeedmassoud256
@saeedmassoud256 4 года назад
Jaman nimeipenda hyo nyimbo apo mwishoni mwa kipindi mwnye kujua jina la huo wimbo anijulishe tafadhli
@judithrobert5722
@judithrobert5722 4 года назад
Real she's such an asset for young girls to learn from
@souvenirweber7169
@souvenirweber7169 4 года назад
🤣🤣🤣🤣period mwaka mzima.shishi Mungu akubariki udumu kwenye ndoa yako
@ceciliansemiwe8188
@ceciliansemiwe8188 4 года назад
Thank you so much for this interview. I am very proud of you Shilole
@nunulv3934
@nunulv3934 4 года назад
Salama Mbona mi nakupenda haswa ukicheka 😂😂
@mammyshayo1982
@mammyshayo1982 4 года назад
Very concentration😂😂😂😂❤❤❤I LOVE YHU SHISHI.... VERY CONCENTRATIVE
@salimshughuli4629
@salimshughuli4629 4 года назад
Bonge moja la interview
@deogratiusruhuro3584
@deogratiusruhuro3584 3 года назад
Ssta nimekuelewa Sana hususani kwenye kutafuta ndwange(many) bigup my ssta ume niimpres Sana
@gracelee61
@gracelee61 4 года назад
chichi ana cheko zuri love it
@nasrajamaldin5505
@nasrajamaldin5505 4 года назад
Shishi uko real sana yaani maisha ya nyuma yasikufanye usipende songa mbele kwa kuigeuza iwe elimu kwako.good superwoman wetu
@annabenpol3866
@annabenpol3866 4 года назад
So inspiring......shishi kaniboost sana na idea ya kuwa mult task...
@a.856
@a.856 4 года назад
Cute Shishi Mashaallah😀
@jescardamas5717
@jescardamas5717 4 года назад
"Long time fuck ago uko" nakupenda sana my role model shishi
@hawamtambwa402
@hawamtambwa402 4 года назад
Hahahaha Shishi weeeeeeeeeeeeeeeee piga Moja Kali sana aingie period hadi Dunia ishangae hahahahahhaha
@noelamussa9412
@noelamussa9412 4 года назад
Booonge la interview , nmeipenda na nmejifunza pia
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 4 года назад
Mmetumia Muda mwingi wa kutosha, ila kwa, *shishibaby* mie mda haunitoshi jamani, nimecheka na nimefurahi sana, na nampenda sana uyu Dada 😍😘😍😘😍😍😃😜
@veronicadaniel1122
@veronicadaniel1122 4 года назад
Saumu Hassan Na umejifunza pia
@akidasimba745
@akidasimba745 4 года назад
Me too
@ramadhaniabdi9530
@ramadhaniabdi9530 4 года назад
Hapa ni sehemu tofaut sana na nyengne Salama utabaki juu kileleni hii ni zaid ya interview
@rahmaramadhan9773
@rahmaramadhan9773 4 года назад
Shishi jamaniii nakupenda jee eeeee abiria chunga mizigo wakoo mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😘😘😘😘
@Yusufu940
@Yusufu940 4 года назад
Kweli shulole kuweka akiba itakusaidiya badaye
@sophiaally2787
@sophiaally2787 4 года назад
Shishi nakupenda mno wish nikutane nawe siku moja,,,,una niispire mnooo,piga kelele kwa shishi akeeeee
@lailahasan2200
@lailahasan2200 4 года назад
Nimekuelewa dd uko vzr,, yani najiona mimi kabisaaaaaaaaaaa
@bwaxlady688
@bwaxlady688 4 года назад
Kusema ukwer shishi kanifundisha sanaaaaaaa
@athumanibashiri9700
@athumanibashiri9700 4 года назад
Dada shishi is the best ...nakupenda bure, unajitoaa kama mwanamke katka kupambanaa
@consolataantony7365
@consolataantony7365 4 года назад
shishi ww mzur nakupenda sana
@restutakidiga4339
@restutakidiga4339 3 года назад
Nampenda Sana shishi,,ni mtu anaye jiamini
@queenkimodokimodo2682
@queenkimodokimodo2682 4 года назад
Nawakubali wote.. True wasichana tubadilike tusiwe tegemezi sana
@elesiatweve3898
@elesiatweve3898 4 года назад
Nimekuelewa
@aminayusuph9247
@aminayusuph9247 3 года назад
Mashallah mashallah ❤ ❤ ❤ Nakupenda sana shishi Allah bless you
@edgarkabonyella7344
@edgarkabonyella7344 4 года назад
Shishi Mungu azidi kukupa afya njema umekuwa drs kwa wengi sana ....Salama ubarikiwe
@zuleikhakhamis3303
@zuleikhakhamis3303 4 года назад
Mda umeenda faster leo Salama na Shishi🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@petroprenge8716
@petroprenge8716 4 года назад
Baada ya kuangalia hii interview nimejifunza kwamba kuna la kujifunza kwa kila mtu hata yule unayedhani ni mjinga kiasi gani.
@trueboymedia3682
@trueboymedia3682 4 года назад
Her story is so inspiring...
@silverlighton5208
@silverlighton5208 4 года назад
Very concentration😂😂
@nasserhabsi9309
@nasserhabsi9309 4 года назад
Salama.. Unajua kuuliza Maswali saana.. Lkn naomba kujua watokea wapi? Km vile Tanga..
@jacklinemichael9462
@jacklinemichael9462 4 года назад
😂😂😂uyu dada ahojiwe tena aiseee
@wangwemseti7592
@wangwemseti7592 4 года назад
Hata Mimi nilifanya kazi ya kuajiliwa ndani ya miaka kumi na sita nimejenga nyumba kwa akiba na Nina endesha maisha yangu kwa akiba nilioweka miaka kumi na sita
@mariamukajiru1898
@mariamukajiru1898 4 года назад
AAAAAHAAAA SHISHI UMENIKOSHA HAPOO ETI NAMPIGA PERIOD MOJA MBAYA...
@mariammtungi7459
@mariammtungi7459 4 года назад
Mungu akikuandikia yes hakuna wa kupinga Marufuku kukata tamaa 💪
@fatmachapa3337
@fatmachapa3337 4 года назад
da salama muite na hamisa mobeto pia na wema na marioo
@eugennando9301
@eugennando9301 4 года назад
NATAMN SANA KUJUA HII SOUND TRACK KAIMBA NANI NI HATR SANA
@emmynjeri2478
@emmynjeri2478 4 года назад
Dada Shish umenifundisha kweli Ahsante
@beatriceminja2148
@beatriceminja2148 2 года назад
Kati ya interview nilizosikiliza hii imenipa elimu kubwa Sana, especially kwa sisi mabinti. Shishi Ni bonge la Superwoman. ❤️❤️
@mossesjonathan5766
@mossesjonathan5766 4 года назад
Superwoman nimekupenda bure aisee nimepata kitu aisee mungu akujalie maisha marefu
@feisal38
@feisal38 4 года назад
Masha allah inspiring sana.
@khimfarawaytz6910
@khimfarawaytz6910 4 года назад
Mukovizur hotee hongeren shilole nimejifunza vingi sana kutoka kwakoo♥️
@hadijasalum1654
@hadijasalum1654 4 года назад
I do love you shishi wangu unanifunza mengi sana.
@shedrackelia687
@shedrackelia687 4 года назад
Hauwezi kuweka hela km hauingizi hela shish hapo tuelewane kidog
@podahsalim2296
@podahsalim2296 4 года назад
A great a great interview I have ever had from you #salama with #shishibaby
@veronicadaniel1122
@veronicadaniel1122 4 года назад
Laki 60 ndo!!😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣 nn Ila ww mnyamwez mwenzangu balaa
@bwaxlady688
@bwaxlady688 4 года назад
Dg kumbe umegundua so funny😂😂😂
@fatmachapa3337
@fatmachapa3337 4 года назад
nimeipenda hii interview
@zamamuuhamisi6654
@zamamuuhamisi6654 4 года назад
Nakupenda buree shishi umepambana na kujua lugha ya kingereza mpk umeweza hongera mmy u are super women
@ibrahimpatrickmwafute
@ibrahimpatrickmwafute 4 года назад
@yahstoneTown Much respect Dada Salama&Shishi nawakubali sanaa
@renathajohn879
@renathajohn879 4 года назад
haki.. nimejifunza kitu kikubwa kutoka kwako
@abyssiniaseif1703
@abyssiniaseif1703 3 года назад
MashaAllah strong woman, beautiful woman, no giving up❤️😍😍😍
@maansaitoti3712
@maansaitoti3712 4 года назад
Show poa sana anti kisituli a.k.a cheupeeee
@hannahsanga5647
@hannahsanga5647 3 года назад
Umesema vizuri watafute wakwao wawatengeneze
@nasserhabsi9309
@nasserhabsi9309 4 года назад
Salama plz nakuomba siku angalau 1 uvae ushungi na nguo zetu za maadili uwe na muonekano km Jina lako please.. Salama jabir ni Jina letu la kiarab.. Je wewe ni mwarabu.. Ikiwa yes.. Watokea sehemu gani uwarabuni a? Samahani saana kwa Maswali hayo mie napenda kuangalia vipindi vyako tokea Zamani upo kwenye mkasi.. Asante 😘🙌
@sherrysalim50
@sherrysalim50 4 года назад
Da salama tunaomba utuletee na bint kiziwi
@fatmamwatamba5881
@fatmamwatamba5881 4 года назад
😂😂😂😂😂😂 Daah nimefurahi sana leo shukrani shilole na salama❤❤❤
@mwanaidiathumani4636
@mwanaidiathumani4636 4 года назад
I love this😍😍😍big up salama
@sistersade9039
@sistersade9039 4 года назад
best interview ever
@rahmaramadhan9773
@rahmaramadhan9773 4 года назад
Salama umependeza maashallah💕
@thehutpropertyrealestatene9323
@thehutpropertyrealestatene9323 4 года назад
Save. Save. Save. Get rich
@huktyasnaty4023
@huktyasnaty4023 4 года назад
Jmn Dada saram asantee sana kumleta shishii maana nimejifunza vitu vingii sanaaa siwezi katatamaa yote yanayo nikuta ni mapito tu soon nitafanikiwa
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 4 года назад
Mbona imeisha haraka jamani hahahahaha piga period mwaka mzima hospital ugonjwa hauonekana hahahahaha kumbe wanatembeaga na waume za wenyewe uwiiii😁😁😁😁😁😁
@mariyamdalas8091
@mariyamdalas8091 4 года назад
Mashaallah mashaallah shilole❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@vailukumayi813
@vailukumayi813 4 года назад
Hakika shilolee ananipa nguvu ya kupanda sana sanaa ...❤ uu shishii...
@ibwaydigo
@ibwaydigo 4 года назад
dah, Uchebe amepata mkee aisee, shishi akili anayo
@chrisalejandro1622
@chrisalejandro1622 3 года назад
i realize it's kinda off topic but does anyone know of a good site to watch new movies online?
@sorendakari3519
@sorendakari3519 3 года назад
@Chris Alejandro i would suggest Flixzone. You can find it by googling :)
@huxleyian24
@huxleyian24 3 года назад
@Soren Dakari Yup, have been using Flixzone for months myself :)
@chrisalejandro1622
@chrisalejandro1622 3 года назад
@Soren Dakari thanks, I signed up and it seems like a nice service :) I appreciate it!!
@sorendakari3519
@sorendakari3519 3 года назад
@Chris Alejandro no problem :)
@rukiachamani1101
@rukiachamani1101 4 года назад
I love you Salama.
@elenestinakomakoma5116
@elenestinakomakoma5116 4 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂🤣🤣 Nakupiga Period moja ya hatarii.... Shishi u kill it
@latifaabdalah9232
@latifaabdalah9232 4 года назад
Huu mchicha mchicha ndo mzuri😂😂😂😂 nalipenda hili lidada😍
@MuniraMziray-de5sd
@MuniraMziray-de5sd 6 месяцев назад
kweli kabisa shilole hapo kwenye kuweka akiba❤
@Asnaty_John.
@Asnaty_John. Год назад
🤣🤣🤣🤣 its funny am watching this now and she is already re-married😂😂😂, above all she is hard worker
@LouiseERne98
@LouiseERne98 4 года назад
I Love the show, listening from the U.S.
@ahmadmhando2525
@ahmadmhando2525 4 года назад
😄😄😄😄😄 Salama bhana..!! Eti uchebe hyuuu.... Salama we Kweli panya
@nellymatalanga5033
@nellymatalanga5033 4 года назад
@6;08 eti niko very concentration shishi unanipunga ni kizungu jamani .salama still waiting fr AY,FA na PRO. J
@godlivingchuwa2759
@godlivingchuwa2759 4 года назад
Dat y nakupenda shishi
Далее
Salama Na Shilole Ep 5 | MAMA Part 1
30:50
Просмотров 233 тыс.
Salama Na Gigy Money Ep 12 | ZILE KHADITHI Part 1
25:27
Wait for it 😇
00:45
Просмотров 7 млн
Parents' Breakfast Rescue Mission for Laptops
00:28
вот тебе и бэйбик👴🏻
01:00
Просмотров 323 тыс.
HIKI NDICHO KITU KINACHOMBOA SHILOLE KWA MUME WAKE
19:20
Salama Na Madee Ep 18 | MPAKA MSHALE Part 2
18:49
Просмотров 37 тыс.
Salama Na Gigy Money Ep 12 | ZILE KHADITHI Part 2
24:38
У Котика Отняли Игрушку 🥺
0:15
Выйграли Много Денег с Сыном
0:55
Зачем он туда залез?
0:25
Просмотров 2,7 млн