Тёмный

SALEH JEMBE AWAVAA YANGA KUMSAJILI CHAMA, KWANINI HAWAJAMTAMBULISHA CHAMA NA JEZI YA YANGA, NI UONGO 

SPOGA ONLINE
Подписаться 139 тыс.
Просмотров 2,1 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

12 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 17   
@SeifAli-bb6tr
@SeifAli-bb6tr 3 месяца назад
Huyu nimshambatu kama jemedari aruma wote
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 3 месяца назад
Jembe endelea kujiuliza
@JohnMbogo-c1n
@JohnMbogo-c1n 3 месяца назад
Yaani huyu jamaa huwa muongo sana Manji na dunduka wapi na wapi hadi akutumir video😂 Na sio hii tu ukifatilia clip nyingi anajifanyaga ameongea ama ametumiwa ujumbe na mtu flani maarafu😅😅😅😅
@matronamushi7021
@matronamushi7021 3 месяца назад
Kolo kama kolo anaumia afu mnazid kumuumiza kwa kumhoji
@JamalSaidmfaume
@JamalSaidmfaume 3 месяца назад
Yanga ipovizuri
@JohnMbogo-c1n
@JohnMbogo-c1n 3 месяца назад
Utopolo wa mo hii tarehe 1 mwezi wa 7 inawauma kama wamebakwa vile hadi jamaa anakataa bado Chama hajasajiriwa eti kwanini hajatambulishwa na jezi ya Yanga, eti kwanini Yanga waanze kumtambukisha Chama na sio wachezaji wengine😂😂😂😂 Ila ukiwa shabiki wa mikia akili zinakuaga kimikiamikia....ok na mnaumia zaidi maana mlijipanga mtoe bango la thenkyuu leo mchana wataasisi wamemtangaza asubuhi na mapema. Lakini ni ujinga wenu kwasababu mlishaanbiwa atatambulishwa tarehe 1 July au hamkujua inamaanisha 17 😅😅😅😅
@LinusKyando
@LinusKyando 3 месяца назад
MCHEZAJI ANAPIMWA UWANJANI,USAJIRI WA YANGA UZURI WAKE MTAUONA MBELE YA SAFARI,MPAKA MSEME
@WilsonCharles-lr1ko
@WilsonCharles-lr1ko 3 месяца назад
Mbona kama Unalia hivi... utakufa mapema Saleh jipe raha na Yanga Kolo wewe....
@IdrisaHasanfaki
@IdrisaHasanfaki 3 месяца назад
Ndio maana unaitwa jembe rafiki wa masikini ila roho inakuuma
@josephgalandu128
@josephgalandu128 3 месяца назад
Haelewekaki kak huyu,kama ndumila kuwili
@LinusKyando
@LinusKyando 3 месяца назад
MCHEZAJI AMEMALIZA MKATABA, THANK YOU YA NINI???????
@marcobulili4341
@marcobulili4341 3 месяца назад
Chama hatacheza yanga ni mwisho wa Chama. Speed hana kwa hata alipoendaa RS Berkane alishindwa kwa kukosa speed. Akicheza na nchi za afrika magharibi na kusini hachezi huyo. Simba wangecheza na mamelodi wangepigwa 10
@pambaboniface1199
@pambaboniface1199 3 месяца назад
huyu naye ameanza mambo ya akina omela
@issaselemani491
@issaselemani491 3 месяца назад
Acha hizo,kwani ni lazima atambulishwe kwa kuwepo live.Pia nani aliyekuambia tunataka kumsajili milele?Endeleeni kuumia tu na sisi ndiyo tunaye sasa.Jipe moyo tu.Huko alikuwa na watu wasio sahihi.
@robertmatabalo5454
@robertmatabalo5454 3 месяца назад
Huyu sio mchambuzi ni mshabiki
@HemedmusoTz
@HemedmusoTz 3 месяца назад
Sasa wewe jembe unakosoa kwa lepi chama bado yupo na ubora wake na uamini kaa na kutokukaa na uamini kwako
@malietamaliet
@malietamaliet 3 месяца назад
Umbwaaa lameki lawi kasajiliwaje acha ukolo hapa kuku wewe
Далее
ЧТО ВЫРОСЛО ОТ КОКА КОЛЫ😱#shorts
00:26
Will A Basketball Boat Hold My Weight?
00:30
Просмотров 18 млн