Тёмный

ALIKAMWE AMJIBU AHMED ALLY IMEKUUMA CHAMA TUMEMCHUKUA YANGA/ TUNDA MAN AKASIRIKA KABADILI WIMBO 

BONGO TRENDY TV
Подписаться 236 тыс.
Просмотров 91 тыс.
50% 1

Kwa maoni au ushauri comment hapo chini bila kusahau ku like na kushare ili kuweza kupata update mbali mbali ndani na nje Ya Tanzania
Tufollow katika ukurasa wetu wa instagram @BONGO TRENDY TV
Na kulike facebook page Bongo trendy online

Развлечения

Опубликовано:

 

30 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 62   
@sebastiankaole702
@sebastiankaole702 2 дня назад
Ukiona watu wanapambana kuchukua wachezaji toka kwenye timu yako uje ulikuwa na kikosi bora sana ila kama hukupata matokeo mazuri sababu ilikuwa sio shida ya uwezo was wachezaji,cha msingi zama sehemu nyingine usajili wengine wazuri zaidi hadi wawatamani tena.Simba ilikuwa na wachezaji wenye uwezo sana
@Evance-op4jw
@Evance-op4jw 3 дня назад
anamiliki anacheza asante yanga lakni chama apewe hata miaka 2 au zaidi chama ni levo ya juu
@ShekhMufyd-mn9zn
@ShekhMufyd-mn9zn 2 дня назад
Sawa kaeni na lizee lenu
@shendimwampamba6570
@shendimwampamba6570 День назад
Kwaiyo kakubalikuwa Simba nitimu kubwa ndoo maaana wanaenda kuchukuwa wachezaji Simba
@user-nm2jq7xo5f
@user-nm2jq7xo5f 3 дня назад
Uongozi ukomakini akifanya vizuri ataongezewa mkataba
@user-bl9og1vx8j
@user-bl9og1vx8j 3 дня назад
Mbna mlisema wazeee leo ten vp
@DeborahSaitoti-oy7fm
@DeborahSaitoti-oy7fm День назад
Tulio wachoka simba tunawamba yanga used tumewachoka haooo
@mustafamustafa5039
@mustafamustafa5039 2 дня назад
we Ally Kamwe wacha kuwalisha watu ujinga Chama kuachwa Simba umechukua wazee
@mariamemadoshi5540
@mariamemadoshi5540 День назад
Hata sisi siwali mchukua Morison akarudi mwenyewe yanga. Haha wanasimba au makolo wanaumia sana
@law93king
@law93king 3 дня назад
tunda anaonekana kabisa bado ana maumivu😭
@UwesuOmary
@UwesuOmary День назад
C mlixema simba hakun mchezaj ambay anawez kupata namba uk utopolo jmn
@WinnifridaMhonda
@WinnifridaMhonda 2 дня назад
Hhaaa kumbe mnajua kama simba ni shamba linatamaniwa na wengiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
@izackwiliblod1472
@izackwiliblod1472 20 часов назад
Uyo kamwe shoga alikua anamsema chama mzee Leo kampa nanamba ett
@user-pv2eu3rb7x
@user-pv2eu3rb7x 3 дня назад
Aly acha maneno kwani wakati tunafugwa huyo chama hakuwepo?
@user-iw7vi5jl9f
@user-iw7vi5jl9f 14 часов назад
Yaani mashabiki wa simba wote akili zenu zinafana tukutane ngao ya jamii tuwatanye wengine kwa mo wengine kwa mangungu.
@mariamemadoshi5540
@mariamemadoshi5540 День назад
Maneno ya mkoswaji kamaliza mkataba yuko huru kwenda popote kwasababu hajaanzi simba punguzeni midomo hata mkude mlimtukana lakini mmepata aibu wenyewe yanga tamu
@GaudensiaMhagama
@GaudensiaMhagama 13 часов назад
Kuna watu wanamakasiliko sna hahahahhaah
@AllyShaban-ms7ot
@AllyShaban-ms7ot 3 дня назад
We pux hujui mpila ximba Haina mpango na chama
@omanbarka1588
@omanbarka1588 22 часа назад
Kweli kabisa Simba haina mpango na chama waende zao na ushamba wao kile
@sebastiankaole702
@sebastiankaole702 2 дня назад
Simba mtashangaza watu,mtatwaa ubingwa!
@devothaignatius5256
@devothaignatius5256 День назад
Tunda roho inauna mnooo mm namuona
@AlexMkude
@AlexMkude 3 дня назад
Bongo bwana mnasema mchezaj Mzee kisha mfrahia kumsajili Vp kwenu amekua kijana?
@MackrinyDonard
@MackrinyDonard 3 дня назад
Hata chama kabla hatua simba alikuwa hatambuliki
@Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k
@Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k 3 дня назад
Avitaji kukasilika baba
@salimmalaka256
@salimmalaka256 3 дня назад
KUSEMA UKWELI SIO KUKASIRIKA UKWELI HUWO
@reinfridlipili5666
@reinfridlipili5666 2 дня назад
Simba yenyewe kabla ya Yanga haikujulikana.
@mikidadiramadhani3553
@mikidadiramadhani3553 2 дня назад
Nikweli Kabisa ila Hata Wewe Pia Kabla hujawa Shabiki Ulikua Hautambuliki
@user-yd1pc8uy8x
@user-yd1pc8uy8x 2 дня назад
Sio kweli sema baadhi yetu ndio hatukumjua Ila fuatilia cosafa cup utaona watu.
@omarymzuri8012
@omarymzuri8012 3 дня назад
Wa Kwanza.....
@user-xs3ko8pg2g
@user-xs3ko8pg2g 3 дня назад
yanga wanasababisha maisha ya wananchi kuwa yalivyo, kwenye usajiri wao zinatumika vibaya kodi za nchi nyuma yao kuna waziri wa mshiko a,k, tozo
@abedymtore2707
@abedymtore2707 3 дня назад
Unaushahid na ilo ndug
@salimmalaka256
@salimmalaka256 3 дня назад
​@@abedymtore2707NDIO ANAWO
@user-nl8ec4np1t
@user-nl8ec4np1t 3 дня назад
​@@abedymtore2707makasiriko😂😂
@user-nl8ec4np1t
@user-nl8ec4np1t 3 дня назад
Alete ushahidi kwanza
@robertphilip385
@robertphilip385 3 дня назад
Huyu ni roho mbaya ni wivu unamsumbua Mbona MO anahusishwa na uagizaji wa sukari inche lkn sisi hatusemi Simba acheni kutafuta mchawi mchawi ninyee wenyewe
@omanbarka1588
@omanbarka1588 22 часа назад
Acheni ushamba hakuna mwanye maumivu juu ya chama kwa makolo muongo wewe feisali yule kila siku munamuongelea na bado anawauma sana alitokea simba kwenda azamu et Ee wasenge nyie watu wa yanga ni ushamba tu ndo ulio wajaaa
@DeborahSaitoti-oy7fm
@DeborahSaitoti-oy7fm День назад
😅😅😅😅😅😅😅😅😅 yanga bwana wanafurahia wakichukua wachezaji wa simba kama vile wamechukua kombe la dunia pole sana kweli yanga bado sana watoto kwa simba
@Prosperkaluta
@Prosperkaluta День назад
Imekuuma kumbe, na bado utaendelea kuteseka sana.
@gililwise
@gililwise 2 дня назад
Yaani Ally Kamwe unakera jamanii hadi rahaa
@kassidpandu866
@kassidpandu866 3 дня назад
Mke miaka saba Nakula nalala nae leo naschana nae unamsifia uko nae kwa lipi hasa
@robertphilip385
@robertphilip385 3 дня назад
Maini hayazeeki utamu uko pale pale Yani nirahatupu
@mtepaally5132
@mtepaally5132 3 дня назад
alafu ukitoka unamuona anapika jiran
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 2 дня назад
Miuno Ya Mwanamke Aliyokuwa Akiipiga Huko Kwako. Kwasasa Anaipiga Kwangu. Kaakwa Kutulia.
@ShedyPackall-vx5vy
@ShedyPackall-vx5vy 2 дня назад
Hii kubwaaa
@AliamryBakar
@AliamryBakar 2 дня назад
Sasa iyo jazba 😂😂
@alphoncembassa6401
@alphoncembassa6401 3 дня назад
Hatasimba walimchukua chama akitokea timu nyingine nao wasemebwamezaa naye?
@masoudmwakoba2757
@masoudmwakoba2757 2 дня назад
Madunduka mnateseka sana siyo?
@user-qo6bk1zs8m
@user-qo6bk1zs8m 2 дня назад
Jefu miaka32 kwa 22 unapimaje mchezaji?
@FranciscG-lp1uz
@FranciscG-lp1uz 3 дня назад
Tuna msubiri rasta😂
@MasterG-dc1tx
@MasterG-dc1tx 2 дня назад
Wananchiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiuuuiiuuuuuu7uuuuuuuuuuuuuu hatuna dogo
@JumaKilipamwambu-kw2ln
@JumaKilipamwambu-kw2ln 3 дня назад
bongo kiingereza bwana five minis bongo duu
@AllyShaban-ms7ot
@AllyShaban-ms7ot 3 дня назад
Hhhhhhh mbna mchezaj wa Congo mmechemka
@jameschumbula7351
@jameschumbula7351 2 дня назад
😂😂😂😂
@salimmalaka256
@salimmalaka256 3 дня назад
NYIE MATOPOLO MLITOWA THANKS KWA SAIDOO NA BM3?? NYANI HUUWONI MKUNDU WAKO 😂😂😂
@ramadhanimrungu5806
@ramadhanimrungu5806 2 дня назад
Acha matusi wewe
@tanoiddibakalbakal
@tanoiddibakalbakal 3 дня назад
Tunda amekiri kuumia kuondoka chama
@chisongastephen7299
@chisongastephen7299 3 дня назад
Hahahaaaah!
@user-ou9tk1rp1p
@user-ou9tk1rp1p 12 часов назад
Achamaneno wewe
@YussufIssa-eg3ir
@YussufIssa-eg3ir 3 дня назад
Lakni Kanata sofa hizo akiwa simba
Далее
НЕ ДЕЛАЙТЕ УКЛАДКИ В САЛОНАХ
00:43
Дед и новая машина😁
1:00
Просмотров 1,3 млн
Дед и новая машина😁
1:00
Просмотров 1,3 млн
Телега - hahalivars
0:55
Просмотров 1,8 млн