Тёмный

SAMIA ALICHOMWAMBIA ROMA KWENYE WIMBO WAKE WA NIPENI MAUA YANGU 

Mzawa Media
Подписаться 66 тыс.
Просмотров 925 тыс.
50% 1

SAMIA ALICHOMWAMBIA ROMA KWENYE WIMBO WAKE WA NIPENI MAUA YANGU

Опубликовано:

 

11 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 562   
@marcusfonfokitenge3389
@marcusfonfokitenge3389 Год назад
Nakupo ngeza sana Roma nipe liké yangu 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@RamaSapo-cj8vj
@RamaSapo-cj8vj Год назад
Ameongea ukwel
@DionAfrican-sl3ih
@DionAfrican-sl3ih Год назад
Kama umetumia MB za Bure gonga like......mashabiki tunamjua Roma kuliko mchamnuzi😀😀😀
@bennychristopher8187
@bennychristopher8187 Год назад
Hahahahaaaa kaka nikweli amekula MB zetu za bule
@dorcusmollel
@dorcusmollel Год назад
Ndo maana wanafungiwaga account kwasababu ya kuongea upuuzi ye mwenyewe sidhani ata kama anaelewa alichokiongelea
@efajuforeal8740
@efajuforeal8740 Год назад
Mwandishi anaongea kama amekula vitunguu
@jumam.ngallawa2657
@jumam.ngallawa2657 Год назад
Eti LOMA😂😂
@jumaally8567
@jumaally8567 Год назад
Alafu sijapenta mchambuzi akiwa lafudhi yake ikiwa sio ya kiuandishi kwenye R anaweka L sasa inaboa kichizi .alafu anatulisha matango Pori😩😩
@user-cw5jb6rz8n
@user-cw5jb6rz8n Год назад
Roma wewe ni zaidi ya mwana sheria mungu akulinde na mengi kwasababu kichwa kisichokua na akiri nimzigo kwashingo😂🎉
@PaulineAnderson-m9c
@PaulineAnderson-m9c Год назад
Na tunaomba mungu amlindee Kwa ukweli wakee ,,,❤
@PaulineAnderson-m9c
@PaulineAnderson-m9c Год назад
Aki mungu ,mungu atupe watu kumi kama hao alafu tujueee
@JoycePoul-l8y
@JoycePoul-l8y Год назад
Mungu akulinde Roma nakubali kazi yako
@robbyboy898
@robbyboy898 Год назад
Message sent. Mwenye Masikio na asikie na mwenye macho ataona baali mwenye mpumbavu na azidi kuwa mpumbavu. 🙏🙏🙏🙏🙋‍♂️
@user-hw7li1jv9z
@user-hw7li1jv9z Год назад
❤❤❤hongera roma kwa kuelimisha watanzania tunazidi kuteseka tu hatuoni chchote kwenye hii nchi wanaonufaika wachache xn❤❤❤tunakupenda roma
@user-xs1jq9xd9r
@user-xs1jq9xd9r Год назад
Thanks Roma zidi kuxema ukwel tz. Mpaka know hujatoka USA maana Ata mm mda c mwngi nitahama nchi.
@sarahkimu1351
@sarahkimu1351 Год назад
Akiongoza tena,mama ntahamia sudani nikafe Kwa vita
@sarahkimu1351
@sarahkimu1351 Год назад
Viongoz lazima wachukie Sabab yanawahusu
@vocalistgang3125
@vocalistgang3125 Год назад
Unaambia bongo ki kubwa uzima tu
@lodajovinaly1789
@lodajovinaly1789 Год назад
Roma umefanya maamz mazr xn.nawapongezen xn.mmewachana makavu.hii nchi inako erekea sio.hata mie nachagua andaz siwez kuchagua ccm.
@MarkoKasige
@MarkoKasige Год назад
Kama viongozi hawataki hayo yasemwe bas wabadilike kwan mbn hakuna ulazma wa wao kufany mamb mabaya an yasiyofaa. Walitumikie taifa ipasavyo🔥🔥
@daviddaudi7387
@daviddaudi7387 Год назад
Safi sana kaka roma wewe ndio unasema kwel na kama hawajafanya kwanini waumieee 😂😂😂😂 imeumaa kaka kama ikiwezekana toaa wimbo tena kama huuu tena walieee
@zachariamalugu7867
@zachariamalugu7867 Год назад
Roma pekee ndo huwa anawambia ukweli viongozi ili wajifunze kutokana na makosa yao wanayo yafanya
@amonhongeraitvkwataarifamz2156
Daima viongoz wa Tanzania hawatki kuambiwa ukwel. Roma kasema ukwel. Aongeze wimbo mwingne. Pamoja Roma
@JaphetKaboko
@JaphetKaboko Месяц назад
taarifa mpya
@MussaSalamanda-vz5no
@MussaSalamanda-vz5no Год назад
Acheni atusemeebhana nyimbo imetikisa tanzania❤❤❤
@user-nr6bu1rn4c
@user-nr6bu1rn4c Год назад
Roma uko sawa kaza dana buti mimi na kuunga mkono kaka
@user-nr6bu1rn4c
@user-nr6bu1rn4c Год назад
Msema ukweli mpenz wa mungu endelelea kutetea jamii kaka
@GivenyCharlz-ge5eh
@GivenyCharlz-ge5eh Год назад
Wao Roma umesema kweli toboa serikali yetu haijui tunayo pitia wananch raisi magufuli tu ndo alikua sahihi na maisha ya wananch bigger up roma
@AmiHaji-r4h
@AmiHaji-r4h Месяц назад
Mgosi mwenzangu usiogope toa nyimbo kali kama hizo,2pop1 kak🎉❤
@majeed4775
@majeed4775 Год назад
Roma mwache aitwe roma no one like u broo big up take thumb 👍
@farajindege5732
@farajindege5732 Год назад
Roma mungu akupe umri mrefu ili uzidi kutuamsha wananchi.
@raphaelstephano6134
@raphaelstephano6134 Год назад
Namkubali sana Roma, wimbo alioutoa wa Nipeni maua yangu umegusa penyew Mungu amlinde na kumpigania,
@kulwamtoro5062
@kulwamtoro5062 Год назад
Ndo kazi ya sanaa safi sana Roma
@peteruzia8313
@peteruzia8313 Год назад
Saf kwanza nampa pongezi roma kuongea Nakuja kwenye point moja kwa moja .1. Kusoma hujui jata kuangalia picha huwezi ?? 2.usilolipenda wewe usimtendee mwenzako Kwa hyo hata tusipotendew haki tusiseme mhu mgu kwani kila mtu ana haki ya kuongea. 3.mungu hana kigeu kigeu je yanenaje maandiko ya Mungu. Jamani jaman lisilowezekana kwa binaadam kwa Mungu wetu lawezekana. Acheni upendeleo. Selekali ya awamu ya 5 nani Na ya sita nani lazima tumuogope.Mungu. anatuona.amen Mungu haziakiwi.
@IqramIqrampouledwardmvum-wf6od
Fact hao viongozi wanakwama sana
@KelvinAmos-ow7pf
@KelvinAmos-ow7pf 3 месяца назад
Roma hai kwako blother pamoja sana nipe likes zangu 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@zuwenashabani4072
@zuwenashabani4072 Год назад
Roma asante,.huwezikufananishwa na akina Mrisho Mpoto(mjomba)kazi yao kusifia na kufumbia macho maovu .wao kila kiongozi akijawanaegemea kwake nakuonakama aliepita akukidhi haja.
@MagembeDaudi-zv4db
@MagembeDaudi-zv4db Год назад
Hiyo mwamba iko good Kazi ya roma. Haina makosa.😊
@ameria2332
@ameria2332 Год назад
Roma unafaa kuiongoza nchi,wakati ujao ugombee au sio wanacomments.👋👏👏
@kulwazunzu-dw2lf
@kulwazunzu-dw2lf Год назад
Kweli bhana
@ameria2332
@ameria2332 Год назад
@@kulwazunzu-dw2lf THANKS
@saraphinaabell2849
@saraphinaabell2849 Год назад
Roma Yuko vizur Sana ila sema mwenye haki huwa hapewi haki yke panapo stahiki mwacheni Roma awasemee wanyonge♥️♥️♥️♥️💪💪.
@user-ss1pn6ll6k
@user-ss1pn6ll6k Год назад
Msemakweli sikuzote nimbaya lakin yulemuongo ndiekipenz Cha watu uko sawa kakayangu
@Jestontv
@Jestontv Год назад
Wakija kufungia Ngoma hii toa konki zaidi y hii yaan kama moto na waunguee, nipeni maua yangu🎉🎉🎉
@kuluthumujarafi1100
@kuluthumujarafi1100 Год назад
♥️♥️♥️♥️♥️Roma sema baba viongoz hawa wapo tuu hawajui mapito wanayopitia wananchi
@dinochamwene5332
@dinochamwene5332 Год назад
Ni wimbo wakiarajati km nyimbo zingine2,,hukuna baya nimaono2 bigup broo
@YarediCharles-ql3of
@YarediCharles-ql3of Год назад
Roma anaumia sana na nchi mwacheni awasemee wanyonge👍
@derickcowly6681
@derickcowly6681 Год назад
Saluti Roma mwana jeshi arudi nyuma mbele kwa mbele jeshi la mtu mmoja
@benjaminmussa-li1ei
@benjaminmussa-li1ei Год назад
Me naona roma yuko saw anavhokiimba
@ameria2332
@ameria2332 Год назад
Roma magufuli mdogo, asante kaka ubarikiwe sana🙏
@athumanikamtoi1693
@athumanikamtoi1693 Год назад
Tunakutakia maisha malefu blaza uzidi kufanyayako kwalengo lakuwatetea. 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🌿
@BahatiKomba-el3ub
@BahatiKomba-el3ub Год назад
Roma usiache kuchana man!!
@florahmviombo7103
@florahmviombo7103 Год назад
Roma umetoa kitu kaka mungu akulinde wew na familia yako
@sultanhamad4924
@sultanhamad4924 Год назад
Roma unastahili kuwa mkuu wa hii nchi naamini ukipewa hii nchi lazima tusonge mbele jamaa sio mnafiki na wanafiki anawajua yupo juu sana ki sychology,viva ROMA viva
@festomagoda
@festomagoda Год назад
Kwri mzeee roma ni jiniaz
@khadijambaruku3731
@khadijambaruku3731 Год назад
tuache umbamba mbamba.....mwanaharakati ni mwamba anasemaga kweli alafu akirudi nchini watamteka Tena Yan...nimemusi nyimbo zake za kiharakati kam Ile SAY TANZANIA
@AmiHaji-r4h
@AmiHaji-r4h Месяц назад
Mgosi mwenzangu usiogope toa nyimbo kali kama hizo,2pop1 kak🎉
@mussaalex9236
@mussaalex9236 Год назад
Wew mwenyewe mchonganishi roma yuko vizuri
@AnnaMwagisa-vl9qv
@AnnaMwagisa-vl9qv Год назад
Vzur sana Roma ikiwezekana njoo hapahapa tanzania ukaimbe live mbele yao nimtu wamungu namungu akulinde Roma
@herrimshamu9995
@herrimshamu9995 Год назад
Uyu Roma anijua nchi yetu
@marianajoseph1892
@marianajoseph1892 Год назад
Kazi ya Muheshimiwa Raisi ni nzuri. Nashukuru kwa Amani tulionayo Tanzania 🇹🇿
@imanihussein9457
@imanihussein9457 Год назад
unatombwa bila kuoga
@saimonmizingo7485
@saimonmizingo7485 Год назад
Msanii kioo cha jamii bhana wametekenywa wametekenyeka na ukifungiwa wimbo huu nchi yetu itakuwa haina demokrasia
@deogratiushaule5597
@deogratiushaule5597 Год назад
😊
@musasamwel5544
@musasamwel5544 Год назад
Kabsa
@suzymwakasungula4463
@suzymwakasungula4463 Год назад
roma ni atar xna isee pongez xana kwako kaka roma
@SaitotiSaaniu
@SaitotiSaaniu Год назад
Sema broo hyo ni sawa
@JacksonDonatus-kk1uj
@JacksonDonatus-kk1uj Год назад
Hahahaaa remote ya msoga,,,roma big up sana kka
@silvachengula5216
@silvachengula5216 Год назад
Upo vizur sana Roma waambie
@yonasembeta796
@yonasembeta796 Год назад
Mr roma Mungu akilinda uliko wewe ndoo unafaa kwa sanaa ✌️✌️✌️🤝🤝💯💯
@AdamSaidi-hq2zd
@AdamSaidi-hq2zd Год назад
Hata mimi panapo uhai Nina mpango wakuhamia walau zanziba pindi mama akiongoza tena hii nchi. Bgap Roma mwenyezi mungu akulinde akupe umuri mrefu. Naumia pia Amin.
@annasamwel1461
@annasamwel1461 Год назад
Naupendasana ,,tumpe mauayake🎉❤❤❤
@BuruhaniMkoty
@BuruhaniMkoty Год назад
Daaaa kakaaa hongela sana
@user-xv6bt6yj3h
@user-xv6bt6yj3h Год назад
Umeupiga mwingi roma maisha maref nakutakia🎉
@JumanneNtibara
@JumanneNtibara Год назад
Msimu huu ni msimu mzuri sana kwa kilimo cha mpunga nak..... Mngejielekeza ata huko ili mkuze uchumi weni na wa familia zinu, kuliko kushida mukiangaika na mitandao Mkifatilia mambo yasiyo kua na maana. "Ivi wewe ulichokifanyia utafiti au ulichokisema cha maana ni kipi katika clip yako" ??? Endelea kuhangaika na mitandao utakula mitandao
@user-ou5oq6wy6e
@user-ou5oq6wy6e Год назад
Bongo bhana ukisema kweli wanakusema endelea kusema kweli broo💯
@MartinCizazihalirwa
@MartinCizazihalirwa Год назад
mwanangu Roma wewe n'a nay wa mitego mungu awalinde kwa sababu hamuwasemei wa tz tu Ila munawasemeya Africa nzima wanangu.asanteni
@EmmyKilleo-j9h
@EmmyKilleo-j9h Год назад
Nampenda sana ROMA popote alipo anisikie na mimi😊
@MulambaOmari
@MulambaOmari 2 месяца назад
I accept you brother for your work
@egidipatrick5063
@egidipatrick5063 Год назад
Mwamba muacheni atusemee🇹🇿🇹🇿🙌
@elizabethosward7172
@elizabethosward7172 Год назад
Mungu akulinde kwa ajili yetu
@avitusjovin
@avitusjovin Год назад
Mungu akubalik roma vigogo wa selikalin wanajijua sema ndo washoroga wasingoke madalalan
@Magwizadaniel1962
@Magwizadaniel1962 Год назад
Kaka uposahihi sana mdau mkuu❤❤❤❤❤
@SaidstaphanoSaid
@SaidstaphanoSaid Год назад
Namuomba Sana mung ampiganie Roma asizurike kwakifpi namkubari San san
@adamjumuiya8209
@adamjumuiya8209 Год назад
Nakubali Sana we roma nikichwa cha manaana kbs
@anselmoonolius
@anselmoonolius Год назад
Roma ni mtu aisee👏👏👏👏🍎❤️
@egralucy2150
@egralucy2150 Год назад
Roma yupo sahihi
@SaimonAshley-f9m
@SaimonAshley-f9m Год назад
Kaka umetiasha sana
@janethvedasto
@janethvedasto Год назад
Ni mwamba kati ya miamba walio shindikana Namtakia maisha yenye kheri na Baraka Zaidi
@AngelaNicolaus
@AngelaNicolaus Год назад
Roma gud gud ,I wish you to a leader of tz ,ata kama umahamaa endelea kukosoa huo utopolo unaofanywa il tusonge ❤
@Devilinintungwawc2vk
@Devilinintungwawc2vk 5 дней назад
Roma that my nakukubali xana brother and 1 we ni moto mama samia suluhu kuma yake anazingua
@CharlesmBituro-is5uh
@CharlesmBituro-is5uh Год назад
Roma mama Yuko sawa ila walio chini yake wanafanana wao hawakuzaliwa na masikini ila cku Yao ipo
@KapokoMshale-zm6rb
@KapokoMshale-zm6rb Год назад
Tatzo hujui kiswahili vzur lafudh yko ngum saaaaaan jombaaa hujui kutangaza. Jipange jombaaa
@user-bw5gy2qx9j
@user-bw5gy2qx9j 11 месяцев назад
Daa@aaaaa natamani ningekua malaika nikupe miaka 1elfu il sauti yako haitakua ya bure kbx ❤❤
@kbstone4472
@kbstone4472 Год назад
Ukweli ume sema ukweli ukiume zaid mzee Hongera sana roma hahahahahaaaaaaaa nimepenya kwaooooooo
@safiamwagiro2435
@safiamwagiro2435 Год назад
🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹 chukua maua yako kaka napenda Sana kazi yako
@johnchuwa2888
@johnchuwa2888 Год назад
Safi sana.hii inamaana kubwa sana.tqnzania
@bahatimlunza8499
@bahatimlunza8499 Год назад
Big up sana Brother Roma nakukubali kinouma nouma
@OfficialBarati
@OfficialBarati Год назад
Asikuambie MTU bongo kikibwa uzima tu maana katika hii nchi Bora andazi tuu kuliko kituu
@MosabiManga
@MosabiManga Год назад
Kwa sababu jeshi ndo Kila kitu katika Nchi na wamekaa kimya yawezeka a mambo Yako vizuri tutulie
@user-jf1kv4co5e
@user-jf1kv4co5e Год назад
Mwamba unatisha Sanaa pamojaa kwa ujumbe mkalii watakuerewaa tuu unacho maanisha ipo sikuu maneno yako wataja kuerewa nikipi unahitaji tuishi ❤❤❤❤❤❤❤❤
@johnchuwa2888
@johnchuwa2888 Год назад
Mwamba umetisha sana❤❤❤❤❤
@stanleykiangio221
@stanleykiangio221 Год назад
😂🎉😂😅🎉😅🎉 😂,😊😂😅🎉😅🎉😅 ,,, , ❤🎉😂❤🎉
@LamekElikana-ci1nv
@LamekElikana-ci1nv Год назад
Brother tutetee wanyonge usiogope kufa maana site njia ni moja na bongo wasaniii wa kiume n watatu pekee Roma ney wa mitego na one six
@LamekElikana-ci1nv
@LamekElikana-ci1nv Год назад
Thanks 4 understand
@ArafaIbrahim-zz1hw
@ArafaIbrahim-zz1hw Год назад
Respect roma
@AngelaNicolaus
@AngelaNicolaus Год назад
Roma gud gud ,I wish you to a leader of tz ,ata kama umahamaa endelea kukosoa huo utopolo unaofanywa il tusonge ,nakusapot ccm na andaz nachagua andaaaziiii
@danielmnyampa1063
@danielmnyampa1063 Год назад
Pongezi kwake mana kuisema kweli nchi yetu tz co jambo la kitoto. There is no one like roma......❤❤🎉😂😂
@user-dm4po4nq7v
@user-dm4po4nq7v Год назад
Yuko sawa kbs
@dvanybraity4580
@dvanybraity4580 Год назад
Roma Hana baya , kwenye wimbo Hamna baya pengine ta anzania itakomboka mungu ibariki Tanzania
@menejamelaumolell1885
@menejamelaumolell1885 Год назад
Roma big up ❤❤❤❤
@ottomarandu1113
@ottomarandu1113 Год назад
Roma mkatoliki mwenzangu respect kaka umenene na basata wakifungia Ngoma hii itakuwa Wana jambo lao. Ila Ngoma hii inaelimisha sana na walipoamkia wao we ushaamkia kitambo..Kaka ukirufi watakutesa we wachane ukwel.
@melitalaunoni4018
@melitalaunoni4018 Год назад
Roma tunakupenda Sana shikilia hphpo
@StivineKizanguzi
@StivineKizanguzi Месяц назад
Roma mungu akulide uzidi kushsa ukweli❤❤
@annakillian3937
@annakillian3937 Год назад
Broo. Umetishaaa. B
@AdorofinaBenjamin
@AdorofinaBenjamin 2 месяца назад
Congrate❤❤❤
@vedastusejengi1169
@vedastusejengi1169 Год назад
Kazi ya jeshi sio kumtafuta kigogo Rudi nyumbani ukayaseme hayo kwanini utaki kurudi nyumbani
@johnelias7342
@johnelias7342 Год назад
Roma yupo sawa kabisa bigup
@albanomgaya6122
@albanomgaya6122 Год назад
Anaitwa Roma sio loma
@sarahmgalama3503
@sarahmgalama3503 Год назад
Hahahaaa
@frankmngeja-lf3ss
@frankmngeja-lf3ss Год назад
Watanzania hatuna umoja,, ata wandishi wahabali mulifikilie hili kwani mukiangalia mama samia hanakazi anayo fany hatuoni kipi anachokemea vitu vinapanda bei yeye amekaa tu ,,,, roma pamoja sana nyimbo hii imewagusa ,,,wa tanzania badilikeni msema kweli nipenzi wamungu
@frankmngeja-lf3ss
@frankmngeja-lf3ss Год назад
Watanzania hatuna umoja,, ata wandishi wahabali mulifikilie hili kwani mukiangalia mama samia hanakazi anayo fany hatuoni kipi anachokemea vitu vinapanda bei yeye amekaa tu ,,,, roma pamoja sana nyimbo hii imewagusa ,,,wa tanzania badilikeni msema kweli nipenzi wamungu 🏯🏯🏯
@yogeshnegi5722
@yogeshnegi5722 Год назад
Kaka Roma nakukubar nhivo 2 Sina uwezo tuzo inakuhusu🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀
@ThysonAsinath
@ThysonAsinath Год назад
Tusemehee Acheni ubabaishaji Roma🌹💖👊
@user-sh2my6cv2y
@user-sh2my6cv2y Год назад
Okay umetisha roma
@francisr.nyanganyi6646
@francisr.nyanganyi6646 Год назад
God bless him.
@glorialambert3349
@glorialambert3349 Год назад
Good man
@NuratOmary
@NuratOmary Год назад
Mungu akupe maixha marefu kama namba za nida roma wetu❤❤❤
@SahraHalifa
@SahraHalifa Год назад
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂Roma ahsante sana mung azidi kukuweka
@mariamomary7655
@mariamomary7655 Год назад
Tatizo nchi hii mnapendaga kusifiwa hatakama upuuzi ,Roma endelea kutusemea
@roycejohn4200
@roycejohn4200 Год назад
🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹yako kaka roma
@boniphacesubi9589
@boniphacesubi9589 Год назад
Wandishi wa bongo wapuuzi sana, andika ulivhonacho au unachoweza kuzungumzia, sio brabra2 wimbo Kila MTU anaujua hainahaja ya kurudia
@philipoeliah4021
@philipoeliah4021 Год назад
aishi maisha mrefu sana
@REHEMAFACKY
@REHEMAFACKY Месяц назад
Jamani apewe maua yake Kwa kazi nzuri mwenye zimungu amlipe
@IbrahimDizonga-rq3xz
@IbrahimDizonga-rq3xz Год назад
Nakubali Roma up vizri
@julianasoko3245
@julianasoko3245 Год назад
Nakubali san Roma big up san wew na Ney
@annamshana984
@annamshana984 Год назад
Hongera Roma
@reginamashauri3884
@reginamashauri3884 Год назад
Hongera sna roma mkatoloki aya sasa mbona wajamkamata huko aliko mbona kijana was chatting amehukumiwa jera kumbe masiki anaonewa sana
@EddyKalalu-ke3sc
@EddyKalalu-ke3sc Год назад
Umetishaaaa sana broo
@emmanuelieliya
@emmanuelieliya Год назад
Mwacheni Roma awaambie ukweli
@AdelphinusiMjuni-eo9lt
@AdelphinusiMjuni-eo9lt Год назад
Nikweli kabisa Roma ulikua upo sahii sana maan tumechoka wwe ndo shujaa wetu....😂😂😂😂😂
Далее
MWANAFUNZI MTUKUTU (PART 2)
15:24
Просмотров 2,5 млн
Эконом такси в твоем городе 😂
00:59
Dulla Makabila - Tuzo (Official Video)
3:58
Просмотров 444 тыс.
Эконом такси в твоем городе 😂
00:59