hii kweli ledio ya familia mambo gani haya sasa na ww sara acha kutafuta kiki mtumwenyew unaonekana chapombe sana ww achakulazimisha mambo muache zuchu wetu na mondi wake
Sara anaonekana alikua cha pombe bia kama zote, enzi zako zimeshapita Sara acha kulazimisha historia muache Mondi aishi maisha yake wewe mbona umeishi yako mpaka umemaliza ?