Тёмный
No video :(

SHEIKH MOHAMMAD IDDI AMJIBU LEMA 

MAKIR ONLINE
Подписаться 22 тыс.
Просмотров 30 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

22 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 287   
@abdallahkassim8600
@abdallahkassim8600 Год назад
Dua zetu za usilamu zitajibu muwache amchezee mungu atamuonesha
@user-rk3iz1sb2m
@user-rk3iz1sb2m Год назад
Ahsante sana Sheikh kauli yako ni ya kupongezwa sana.
@mnanasuly2585
@mnanasuly2585 Год назад
Mohamed iddy ni shekhe mwenye hekima sana
@AW-vt9pw
@AW-vt9pw Год назад
Hawa jamaa wakiristo kila wanavyonyamaziwa ndio wanahisi Waislamu waoga hawawezi kuwajibu kitu . Mwenyezi Mungu avilani vitimbi vyao na avigeuze viwarudie wenyewe Ameen. Chuki za wazi wazi. Mwenyezi Mungu aziangamize na iwe ndio sababu ya kuwachoma katika moto wa Jahannam Ameen
@chackym4416
@chackym4416 Год назад
Mfano mtu akikosea unapaswa kumwombea kwamgungu amwangamize au afundishe asikose tena!
@user-lk8ws3fz9x
@user-lk8ws3fz9x Год назад
Pelekesha huko kwahyo mnatakaje nyie jifanyen mnataka kuleta udini tu tutawanyoosha
@user-lk8ws3fz9x
@user-lk8ws3fz9x Год назад
Uombwe msamaha wew ni nani
@AnwarySaid-lj2ve
@AnwarySaid-lj2ve Год назад
Jahanamu mbali tunasubili muda ufike halafu tutajeshimiana
@salehkhamis9994
@salehkhamis9994 Год назад
@@user-lk8ws3fz9x na sisi tunataka kuhoji mkataba wa kanisa ulioingia na serikali kwanini inanufaika pande moja tu
@petertairo6010
@petertairo6010 Год назад
Ubarikiwe shekh mimi mwenyewe nlikereheka sana, nashukuru kwa kumpa nafasi ya kuomba radhi. Ubarikiwe sana shekh.
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Год назад
CHAMA CHA KANISA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿NI CHADEMA 😢😢😢
@FrankNzombo-ps8gw
@FrankNzombo-ps8gw Год назад
Kumbe ccm ni chama cha waisilamu ndomana hawaelewi hata ueleze vipi
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Год назад
@@FrankNzombo-ps8gw CCM IKO NA HEALTH DIVERSITY 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🥵CHADEMA NI MBEYA TUKUYU KYELA NA BUNJU 🥵🥵🥵🥵🥵🥵CCM TZ YOTE MPAKA MACHAME HAHAHAHA
@ibrahimmahidaya7124
@ibrahimmahidaya7124 Год назад
ALHAMDULLINLAHI SHEGHE UMEPAMBANUA VIZURI SN ANAETAKA KUELEWA NAZANI AMEELEWA NA ASIETAKA KUELEWA ATABAKI HIVYO HIVYO NA UJINGA WAKE. ALLAH AKULIPE KILA LA GHERI
@furahakabuje7202
@furahakabuje7202 Год назад
Shekhe mimi ni mkiristo ila kw a hoja ya kuukataa udini nakuunga mkono kwa asilimia mia umesema poit yenye masilah kw watanzania pongez sana
@salehkhamis9994
@salehkhamis9994 Год назад
Mimi nawashangaa Sana Wazanzibari wanao wakumbatia viongozi wa Chadema hawa ni wabaguzi hawafai. tushtuke Wazanzibari tunabaguliwa.. LaisaL-kiasi
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu Год назад
Chama cha namna hii hakifai kukiunga mkono kabisa
@othmanalnabhany3208
@othmanalnabhany3208 Год назад
Kuanzia sasa sisi wazanzibar hatuwahitaji viongozi wachadema
@shukurukoll7269
@shukurukoll7269 Год назад
Wanasiasa hao wana matatizo makubwa. Hawana hekima hata kidogo. Sheikh Allah SW Akubariki sana.
@ghalibyussuf1472
@ghalibyussuf1472 Год назад
Waislamu wote tuikatae chadema Kuanzia leo.
@halimamasai2234
@halimamasai2234 Год назад
Mi wa kwanza kabisa chadema siyo chama cha siyasa ni tasisi ya kidini
@francissimwinga-gb2vd
@francissimwinga-gb2vd Год назад
Hata mkikataa kwani mko wangapi nyie ndio hamjitbui mnaleta udini kwenye mkataba wa nchi mmeacha kuongelea dini yenu
@ghalibyussuf1472
@ghalibyussuf1472 Год назад
@@francissimwinga-gb2vd ondoeni chama chenu bs znz kama mnajeur bs
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express Год назад
Sahihi
@nicholouskennedy9813
@nicholouskennedy9813 Год назад
Acha kauli za uchochezi eti waislamu wote waikatae chadema chakufanya mkemee aliyesema na siyo kuwahusisha wote maana Kuna wanachadema pia siyo wadini hivyo unawaonea. Kwahiyo nawengine wakisema dini fulani wakipigie chama fulani kutakuwa na nchi hapo? Embu tuijenge nchi yetu kwa pamoja na tupendane maana tunategemeana Sana na tumeoleana na tunaishi nyumba moja na udini ni mbaya sana
@user-bk4cj3tz4t
@user-bk4cj3tz4t Год назад
Sheikh,mungu akubaliki hao watu wamekosea na tunatakiwa tukemee wote kwa pamoja watu watakao vunja amani yetu ya TANZANIA,Mimi ni mkristo lakn nakuunga mkono.
@m.othman866
@m.othman866 Год назад
Allah akubariki sana.. Umejaliwa akili hekima na busara. Binafsi nakukubali sanaaaaaaaa....
@saadyusuph6554
@saadyusuph6554 Год назад
Shehe uko sawa kabisa Lema uwa Ana kaukichaa
@salehkhamis9994
@salehkhamis9994 Год назад
Wabongo wanadhihirisha ubaguzi wao juu ya Wazanzibari na waarabu
@karolikisaka8991
@karolikisaka8991 Год назад
Yesu aliwajibu mafarisayo makahaba na watoza ushuru watatutangulia mbinguni Lema ameonge kwa kumaanisha wapo viongozi wa kidini ni wanafiki iwe wakristo au uislamu
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 Год назад
Unawajua mafarisayo?
@user-bf8eb7gv4x
@user-bf8eb7gv4x Год назад
Hawajui ila we ndo unawajua
@shabanmlawa648
@shabanmlawa648 Год назад
kweli serikali ya mama samia noma imewabana wezi mpaka mpaka wanatoa kamrio njaa mpaka kwa askofu duh na ulaya wamepunguza misaada wako vitani na urus mtapiga kelele cn tatz njaa tu wanatafuta kiki mama awaite mmefeli pakubwa ushoga hauna nafas
@MUSTAFAMIRAJI-rp2dz
@MUSTAFAMIRAJI-rp2dz Год назад
Shida ni Muislam kuongoza, Tena mzanzibari , Tena mwanamke , tatizo mnaona waislam dhaifu, mnaona Wazanzibari wanyonge na mnadharau na wanawake ila ndo keshakaa haondoki Hadi Allah atake Inshallah
@user-hb1iw9uj3x
@user-hb1iw9uj3x Год назад
Unaongeza chumvi madam, Tumia hekma
@user-fr7jj1bo7y
@user-fr7jj1bo7y Год назад
sheikh mpotoshaji Lema kasema baadhi ya viongozi wengi wanasiasa waislamu wanaitumia dini kwa ajili ya maslahi yao ya kisiasa wanakula nguruwe na hii ni kweli kwa baadhi ya wanasiasa waislamu na hakusema viongozi wa dini wa kiislamu wanakula nguruwe hiyo si kweli
@MaryamKudra-gf8zs
@MaryamKudra-gf8zs Год назад
Nyinyi mnapitishia chuki zenu lakin ipo siku mtajitambua Shekh funguka
@jumambole-dp1pe
@jumambole-dp1pe Год назад
🙏🙏 waambiye wakae kwenye siasa wakileta udini uislamu ndio dini hakuna dini ila ispokuwa uislamu kwa ushahidi xax waendelee na kejeli zao wataona
@user-bf8eb7gv4x
@user-bf8eb7gv4x Год назад
Wataona nn Mungu ni wa wote bhn acheni vitisho
@mbarouksalim1568
@mbarouksalim1568 Год назад
Mungu ibariki tanzania Amani ni yako tupe tuishi nayo daima Amiin
@islamiabasi9274
@islamiabasi9274 Год назад
Wewe shehe acha uchochezi,
@user-cc3lb3bz6n
@user-cc3lb3bz6n 7 месяцев назад
watu wa siasa wanavuka mipaka wanaingia ktk mstari mwekundu sana wawe makini
@zainabmaulid9637
@zainabmaulid9637 Год назад
Shehe yani umeongea maneno ya chakula cha ubongo unasihiki upewe pongezi % nimejua vitu sana kwel chadema haifai%
@successpathnetwork
@successpathnetwork Год назад
Nawaza mtu huyo akipata nafasi ya juu ya uongozi mathalan URAISI, anaweza kusema wazi kabisa kuwa sitaki kuona ushungi kwenye ofisi za serikali😢😢. Kumbukeni nguvu ya wanasiasa ni watu.... Inashangaza mwanasiasa anapotukana dini fulani... Lakini inashangaza zaidi kwa wafuasi wa dini iliyotukanwa kuendelea kuwa washabiki wa mwanasiasa huyo. AKILI ITUMIKE
@user-bf8eb7gv4x
@user-bf8eb7gv4x Год назад
We ndo umesema syo yeye
@ahmadamohamed1907
@ahmadamohamed1907 Год назад
​@@user-bf8eb7gv4xdalili zinaonesha,wazi kwamba,anaweza kuzuia hilo mtu amesema Mungu hatowi ridhiki atashidwa kuzuia shungi ?
@jumalupanda6886
@jumalupanda6886 Год назад
Tutamtetea mama hao wanaojaribu kumdharau mama hoja waarabu siyo sawa mama tupo pamoja kwa Dua
@salehkhamis9994
@salehkhamis9994 Год назад
Na sisi tunataka kuhoji mkataba wa kanisa ulioingia na serikali huu mkataba inanufaika pande moja tu. Tunataka usawa juu ya hili
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 Год назад
Abu Ii'd ALLAH SUBHANAHU WATAALA Akuhifadhi. Usiishie endelea kuelimisha. Kuna mamilioni wamekosa malezi mema. Na kwa bahati mbaya hawana wa kuwakanya. Wale ambao wangewakanya nao pia mtihani.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Год назад
Nyie mkifunga tu mwezi wa ramadhani nguruwe haziliwi kabisa na pombe haziuziki
@hamzaforogo
@hamzaforogo Год назад
naam shekhe mohd iddi huu hasa ndio uwanja wako usikae kimya baba rukanao
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 Год назад
Walikuwwpo mafidhuli zaidi yake ktk ulimwengu huu leo.wako wapi? Na tuna mifano mifano mingi. Alikimbia Nchi kwa kumuogopa mwanadamu mwenzio. Leo unaropoka na kumletea kejeli M'mungu kumbuka ALLAH hataniwi.
@chaleteubadi4530
@chaleteubadi4530 Год назад
Kwa Nini mnapenda kutafasili maneno na kusema wasemwa was
@kashmirgulam
@kashmirgulam Год назад
Shekhe Allah akulipe kheri kwa maneno ya hekima
@jonathandulle
@jonathandulle Год назад
Mashallah ,umenena kwa hikma kubwa Sana shekh Mwenyenzi Mungu akupe kila lililo la kheri.
@pazi8207
@pazi8207 Год назад
Mnatakiwa mseme ukweli mnakuwa wanafkii
@saadyusuph6554
@saadyusuph6554 Год назад
Inshaallah
@hamadyussuf7412
@hamadyussuf7412 Год назад
Alhamdullillah Muslim really spirit
@shujudiankwama8760
@shujudiankwama8760 Год назад
Ubarikiwecmtuwa Mungu umeongea Vzl watuache na Amani Yetu naMungu azidi kumbariki Rais wetu Mama Samia,
@user-nt8qe7bx7g
@user-nt8qe7bx7g Год назад
Shekhe mwarabu ni mwarabu tu hauwezi ukatuambia kwa kutudanganya kwamba nyeusi tuite nyeupe kwa kisingizio cha dini eti ndiyo tuogope kwani hakuna mwarabu mkristo au mpagani Kama mimi, shekhe watu wanazungumuzia bandari rasilimali ya taifa kwahiyo siasa zako za dini na uzanzibari usituletee hapa
@user-nt8qe7bx7g
@user-nt8qe7bx7g Год назад
Shekhe hata wajinga na wapumbavu wanazeeka kwa hiyo hatuwezi tukaogopa kumkosoa mpumbavu au mjinga kwa kuogopa mnvii za kichwani kwake mpumbavu ni mpumbavu tu haijalishi umuri wake au cheo chake anakabiliwa kulingana na upumbavu maana ukimchekea nyani utavuna mabua
@user-nt8qe7bx7g
@user-nt8qe7bx7g Год назад
Shekhe hatuwezi tukaogopa na kumung'unya maneno kisa katiba yetu inayopindishwa na yeye mwenyewe imempa dhamana ya kuongoza inchi ukweli ni ukweli tu lazima ambiwe na Kama hataki kuambiwa ukweli basi ajiudhuru kwenye kiti cha uraisi kwa maana wenye inchi yao hawamtaki
@mkude
@mkude Год назад
​@@user-nt8qe7bx7gwewe ongea payuka usiku ukiingia utalala tu,bandari itachukuliwa na dpw na maisha yataendelea hizo kelezenu na chuki zenu hazitofanikiwa
@user-xv8er3uc1p
@user-xv8er3uc1p 11 месяцев назад
Shekhe nimekukubali sana unatoa elimu.
@abuusaid3297
@abuusaid3297 Год назад
Kila anapo tawala muislam udini unaibuk kwa kuletw na viongoz wa kkrsto, lkn upande wakiislam anapotawl mkisto wanaon nisawatu kwsbbu hii nch niyetu sote kwahivyo viongoz wakkrsto waache hiyo kasumb ya kumkejel kumdharau na kumtukan kiongoz anapokua ni muislam, km inshu nihuo mktb bas serkal iwape dini zote!
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 Год назад
Mungu.ameandamana na lema siku moja alitetea ushoga tayari kapatikana lema
@abdallahkassim8600
@abdallahkassim8600 Год назад
Mungu atawalaani wanaozalisha usilamu hatu chahuwi tena chadema kumpe hawajli wnanchi kumbe wana malengo ya ubaguzinwa dini
@user-lh9xp4cr4h
@user-lh9xp4cr4h Год назад
Chadema ni chama Kristi ndio maana wanawachukia waarabu ingekua wazungu usingesikia kelele angalia viongozi wake wa juu hakuna mwisilamu hats mmoja
@patrickKitambo
@patrickKitambo Год назад
Na act na cuf?
@patrickKitambo
@patrickKitambo Год назад
Hamnaga kazi za kufanya
@faustinemavere1450
@faustinemavere1450 Год назад
Mungu tusaidie yote haya ni bandari Mungu tusimamie mema ya nchi ulitubariki wewe na mema haya yanatakiwa tuyale sisi wazawa na tukiichezea Mungu anaweza kufuta kinachoharibu amani mhhhh
@fakihhaji-fc1pi
@fakihhaji-fc1pi Год назад
Na ilo baraza lenu la kuidhibiti dini yetu mnajihangaisha unafiki wenu haushindi kadari za Allah
@jumanassoro1552
@jumanassoro1552 Год назад
Kuhusu kukimbia nchi wameondoka wenyewe kwenda kwa wazamini wao akuna aliowakimbiza wamejikimbiza
@jaliabahat1520
@jaliabahat1520 Год назад
nashangaa waislam walioko chadema
@seifrashid2064
@seifrashid2064 Год назад
Chadema wanaidhalilisha dini yetu kwa kweli Kama waislamu tunachukizwa na Jambo Hilo Mungu atawaangamiza kila ambaye anachukia dini yetu
@AW-vt9pw
@AW-vt9pw Год назад
Aamin Mwenyezi Mungu Atupokelee kilio chetu cha kunyanyaswa kwa dini yetu ya Kiislamu. Mwenyezi Mungu Awaangamize wote wanaotuchukia kwa Uislamu wetu Ameeen.
@ismailhassan5209
@ismailhassan5209 Год назад
Dhinie Iddi hawa wana lengo la kumyumbisha rais wetu saini mkataba
@FortyMwamba-kq5js
@FortyMwamba-kq5js 10 месяцев назад
Ila kukaa kimyA ni ibada pia... Ila tuache unafiki.
@user-ll3kp3bj5q
@user-ll3kp3bj5q Год назад
Laanatuh Allah
@HajjNgwali
@HajjNgwali Год назад
Kabisa hoja Zina mashikoo mashallah
@zahorsalum4976
@zahorsalum4976 Год назад
Tunaaza kujua km chadema .nichama chawakristoo waislam hakitufai.
@kadetinda1879
@kadetinda1879 Год назад
Maa shaallah
@HassanNapalamula
@HassanNapalamula Год назад
جزاك الله خيرًا
@suwedwakil4392
@suwedwakil4392 Год назад
Mashaallah !
@mbarouksalim1568
@mbarouksalim1568 Год назад
Ni vyema wanasiasa wakahubiri siasa watangaze sera zao ni nini watawafanyia wa tanzania kuingilia dini wao nikuonesha kushindwa kisiasa watanzania wana akili timamu na wanaipenda nchi yao mnakosea njia mtasahaulika waliwahishimu watasahaulika ktk ulimwengu wa siasa kama watachagua njia wanayotaka kupita inshaa Allah watanzania hawana nchi zaidi ya hi mzalendo na mwana siasa wa kweli hatokuwa tayari kupita njia hatari kama hi ili apate madaraka ya kuwagawa watanzania kwa dini zao ni ukosefu wa hekima
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 Год назад
CHADEMA CHAMA CHA OVYO SANA TUSIPO ANGALIA WATATUPOTEZA
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Год назад
kama maccm mlivyo tupoteza miaka 60 nchi imekuwa maskini ya kutupwa
@caashamacalini3887
@caashamacalini3887 Год назад
Hujielewi ndugu sio lazima chadema kuna sauti ya watanganyika sio mtu akieleza kitu unakibena jujuu Hutu Mzee anachochea watu kwenye dini huyo lema hakusema hivyo nikwambie wapo mashekhe wanafiki kibao huyo mmojawapo kama kweli yeye anapenda dini yake kwanini? DK mwaka alivyowashutumu kuhusu mashekhe wahovyo yeye hajajitokeza ndugu akili na ya mtu changanya usimsikikuze mnafiki huyo
@makameali2133
@makameali2133 Год назад
Lema na tundu lisu wanapenda kuzalikisha uislam lengo lao ni kuwagawa watanzania
@ramadhanmwandambotuntufye5972
Tena naona yule jamaa aliyekosea shabaha alifanya makosa makubwa Sana, watu wanatukana dini za watu hawafai kabisaaa
@user-hb1iw9uj3x
@user-hb1iw9uj3x Год назад
Sheikh..mm ni Roman Catholic..sheikh umeongea kwa hekma kubwa Allah akujaze kheri
@twalhamnyira5318
@twalhamnyira5318 Год назад
Chadema ni chama Cha makafiri na wahuni wasio na dini hawafai kuongoza Nchi hiii
@user-qz2cs5wm5u
@user-qz2cs5wm5u Год назад
Angalià shehe ulipojikwaa Mimi nimuislamu nyinyi viongozi wetu mnatuangusha nainatufanya Sisi maamuma tusikuaminini kaeni Sawa nanyinyi ndio mnatumika kuhualibu uislamu usilete shubuat shehe sahii na ponda kwamaneno yako wewe ndio utaletashida kwakujipendekeza
@user-ct3kz3rq1q
@user-ct3kz3rq1q Год назад
LEMA MPUMBAVU HAFAI
@user-bf8eb7gv4x
@user-bf8eb7gv4x Год назад
We mzee unazeeka vbaya
@wazirisaid8326
@wazirisaid8326 Год назад
Kumbe wanajua kuwa alae kitimoto Hana dini!!!!
@allykimu9716
@allykimu9716 Год назад
Waislam tuipinge chadema ni ya wakristo hatuitaki tuikataeeee...
@nalingarowl7048
@nalingarowl7048 Год назад
Hakuna anaeweza kuizalilisha dini yeyote,ila inapokosekana hoja mtu au watu hukimbilia katika dini au ukabila il kugafuga sapoti
@deokarisarme884
@deokarisarme884 Год назад
Ila kwa Samia inabidi akosolewe tu maana ni kiongizi daifu sana lakini kukosolewa kwa misingi ya kidini SI jambo nzuri
@nashirkamugisha9425
@nashirkamugisha9425 Год назад
MaashaAllah
@ayyamirubba5226
@ayyamirubba5226 Год назад
Allah akubariki...hawa jamaa hawana jambo zaidi ya kashfa..lakini viongozi wawe wqzi kua DEMOKRAS ni adui wa Uislamu.
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Год назад
Chama cha waislamu ni ccm
@zainabmaulid9637
@zainabmaulid9637 Год назад
Ww umerogwa magufuli na mkapa na nyerere walikua waislam
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Год назад
@@zainabmaulid9637Chama cha ccm sasaivi kimehoziwa na waslamu tupu ndomana hata masheikh wa kiislamu wako upande wa ccm wanahisi ndicho Chama Chao ndomana wanakiunga mkono kwa haki na mali
@yassinrajabu6511
@yassinrajabu6511 Год назад
nakumbuka kipindi cha magufuli tuli wasema sana wazungu mbaka makinikia yalikamatwa lakini atukuona viongozi wa makanisa waki lalamika kuusu dini yao lakini leo amesemwa mwarabu waislamu tuna anzisha udini ushauli wangu kwenye hili waislamu tuweni makini tuweke akiba ya maneno
@kisangageorgethomasi2830
@kisangageorgethomasi2830 Год назад
Umeonaee
@MUSTAFAMIRAJI-rp2dz
@MUSTAFAMIRAJI-rp2dz Год назад
Mkataba unaweza kuwa na makosa ndio hatupingi Hilo , lkn inahusiana nn na uzanzibari, au inahusiana nn na mashungi na kanzu azungumze tu uo mkataba ayo mengine uchochezi
@kisangageorgethomasi2830
@kisangageorgethomasi2830 Год назад
@@MUSTAFAMIRAJI-rp2dz uchochezi maana yake nini au unalishwa tu maneno ulishaenda mahakamani ukatafsiriwa maana ya uchochezi
@MUSTAFAMIRAJI-rp2dz
@MUSTAFAMIRAJI-rp2dz Год назад
Apo hapana kulishwa maneno tatizo lenu hutaki kukubali kama ni chuki ata aliache Hilo mutatafuta jengine walianza kumsema uvaaji wake . Sasa kuvaa na utendaji vinahusiana na Nini . Muhimu ni kutaka amani tu nna uhakika Samia hatoingia kama hamutaki lkn shida yenu si bandali ni asili yake ila ndie mpangaji wa yote ayo
@kisangageorgethomasi2830
@kisangageorgethomasi2830 Год назад
@@MUSTAFAMIRAJI-rp2dz acha ufala ww mkataba wa bandari una upungufu mkubwa ata mkapa alisemwa kwa mikataba mibivu msiingize propaganda za kisheria kwa vitu vya msingi
@realswahilicultural8140
@realswahilicultural8140 Год назад
Tuscheni udini jamani 😢😢
@francohaule-ci7ii
@francohaule-ci7ii Год назад
Halafu Jamba hili halina udini
@jumalupanda6886
@jumalupanda6886 Год назад
Huyu lema na wezake aache kuuchezea usilamu hii dini ninya haki asijichanganye
@abiabi9353
@abiabi9353 Год назад
Mashallah
@neemanziku5403
@neemanziku5403 Год назад
Mungu pekeake ndo analaan
@daudimchileg307
@daudimchileg307 Год назад
Nawe sasa, nalimpenda kikwete mie daudi,
@jobjohnkipalule6732
@jobjohnkipalule6732 Год назад
Wewe unaujua uislam
@jimmymnuano7165
@jimmymnuano7165 Год назад
Msameh Sheikh huyo Lema nani asiyejuwa kuwa bange anavuta sana huyo hajielewi
@twahirburhan3726
@twahirburhan3726 Год назад
HUYO LEMA INAONEKANA ANA CHUKI NA DINI YA UISLAM NA SI VINGINEVYO
@pirminmatumizi5464
@pirminmatumizi5464 Год назад
HAMNA MBONA LEMA ANAWANYOOSHEA KIDOLE VIONGOZI WOTE WA DINI WASIO WAADILIFU, e.g. GEORDAVI NI MUISLAMU? KWA NINI JAMAA ZETU WAISLAMU MNAONEKANA KUUTETEA MKATABA/MAKUBALIANO YA BANDARI? KWA NINI MNAONEKANA KUMTETEA SANA RAIS SAMIA HATA KAMA INAONEKANA WAZI KUNA SEHEMU KA-MESS UP KTK HILI.
@cath-ef7wd
@cath-ef7wd Год назад
BROO HAPANA,TATIZO HAWA JAMAA WANAPOMNYOOSHEA KIDOLE RAIS WANAKEJELI LILE VAZI LAKE LA IMANI YAKE HAWAJIKITI KWENYE ULE WAJIBU WA URAISI..HIVYO NI KUMDHALILISHA
@cath-ef7wd
@cath-ef7wd Год назад
Makafiri hawaridhiki
@SA-xj8hc
@SA-xj8hc Год назад
You nailed it Sheikh Mohammed 👌
@ashaabeid4520
@ashaabeid4520 Год назад
Huyo Lema ni muhuni tu, USHUNGI NI VAZI LA ADABU NA HESHIMA . KWA KUWA MAMA YAKE NI MSHENZI KAWA MZEE,ANATEMBEA KICHWA WAZI. Waislamu ni wastaarabu sana anapotawala Rais MKRISTO WAISLAMU hatuna shida ya KUMKASHIFU au kumchokonoa RAIS MKRISTO tunatii Utawala
@ahmedyunus7211
@ahmedyunus7211 Год назад
Hatuwezi kujiunga na chama Cha kanisa na kamwe ccm haitatoka madarakani tutaendelea kuwapigia kura na kuwaunga mkono
@francohaule-ci7ii
@francohaule-ci7ii Год назад
Nchi hii ya Tanzania wajinga wengi sana wataunzwa mpaka wajukuu wenu uelewa ni ndogo sana Sasa sio waarabu
@karolikisaka8991
@karolikisaka8991 Год назад
Kumsema muarabu si kuisema dini Tulipoisema mikataba mengine ya baric tuliwasema Hawa ni wanyonyaji.
@peterbangari4273
@peterbangari4273 Год назад
Udini sawa lakini uzanzibali lazima tuuseme mana umetufikisha hapa tulipo isitoshe siyo lazima mkuendelea kuungana kwanza watu walilazimishwa kuungana hata Leo tuuvunje muungano.
@MUSTAFAMIRAJI-rp2dz
@MUSTAFAMIRAJI-rp2dz Год назад
Mnajua sie ndo hatuutaki kabisa
@ismailhassan5209
@ismailhassan5209 Год назад
Lissu lema na mboe wanachonganisha kuyumbisha utawala wa serikali chukuwa maamuzi funga mjadala wa bandali saini tuendelee mbele
@SilasMollel-mp9ib
@SilasMollel-mp9ib Год назад
Wewe ndo mchochezi ujamuelewa lema,,msikilize vizuri ..ajakejeli dini amezungumza kwa mifano..hakuna dini iliyodhalilishwa
@MUSTAFAMIRAJI-rp2dz
@MUSTAFAMIRAJI-rp2dz Год назад
Kadhalilisha
@abdallahally842
@abdallahally842 Год назад
Naapa sitakaa kuichagua chadema Kwa chuki Yao sasa nimegundua chadema ni chama kinacho uchukia uislam kwanini niwachague haitatokea
@adblmajid109
@adblmajid109 Год назад
Nyie mnawapenda lakini wao hawawapendi, hiyo ndo faida ya kuwakumbatia makafiri, ipo siku kitanuka ndo tutaheshimiana.
@wakizimbaniwakizimbani6596
@wakizimbaniwakizimbani6596 Год назад
Iwapi kamati yenu ya amani? Allah alishawapa tahadhari lkn mumeikataa kwa njaa zenu mashekhe.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Год назад
Hakuna hata udini tunaoleana sana wakristu na waislamu
@salhaisrael8265
@salhaisrael8265 Год назад
Mama kayataka palikua kimya wakati lisu yupo kwao hurumayake Sasa ndio haya yanatokea.mama wakamue mapema watavuruga nchi
@patrickKitambo
@patrickKitambo Год назад
Mbna mazinge kila siku anakejeli wa kristu
@salehkhamis9994
@salehkhamis9994 Год назад
Mazinge amezoeya mahubiri ya kikristo ya kukejeli watu hata huku uislam anafata mazingira alotokea. ila mtu Alie zaliwa katka uislam hawezi kukejeli dini nyingne
@francohaule-ci7ii
@francohaule-ci7ii Год назад
Huu ni ujinga sana Sasa huo mkataba ni wakipumbavu
@5amediaonline335
@5amediaonline335 Год назад
WASHACHIZIKA CHADEMA HAO RADHI ZA CCM ZIMEWAPATA WAKAMUOMBE MSAMAHA MAMA
@FrankNzombo-ps8gw
@FrankNzombo-ps8gw Год назад
Filauni hoyeeeeeee mwizi anasifiwa na mwizi
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 Год назад
mafilauni ni wale wanaotetea wezi bandarini tena wanaopinga pasiwepo usimamizi mpya wa DP World wanaohofu wakija watashindwa kuwaibia watanzania
@abdulhalimomar5329
@abdulhalimomar5329 Год назад
Wanatuchukulia waislam hatuna akili na mabwege wanaropokwa tu hawajadili hoja wanajadili dini kuyapa nguvu porojo lao huku wakijuw tutanyamza t
@godwinyohana5934
@godwinyohana5934 Год назад
Acha inyeshe tuone kunapo vuja ,ishu ni udini au ni rasilimali za Taifa ?
Далее
Девочки, у вас тоже так? 💅🏻✨
00:17
Мама приболела😂@kak__oska
00:16
Просмотров 655 тыс.
Shekh Kipozeo Kamfungukia WEMA SEPETU Bila Uoga
16:37
Просмотров 337 тыс.
Девочки, у вас тоже так? 💅🏻✨
00:17