Тёмный

HUYU ASKOFU NI BALAA, BILA KIFICHO AMPA ZA USO RAIS SAMIA SAKATA LA BANDARI, AWATAKA WATUBU 

Mwanzo TV Plus
Подписаться 164 тыс.
Просмотров 340 тыс.
50% 1

#TANZANIA: Huyu #Askofu ni balaa, bila kificho ampa za uso #Rais #Samia #sakata la #bandari

Опубликовано:

 

24 июл 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 539   
@EmanueliSimbwe-ru5fu
@EmanueliSimbwe-ru5fu Год назад
Hapo sawa Baba Askofu Mungu akupe kutokunyamaza
@user-xf7pr6mj4n
@user-xf7pr6mj4n Год назад
Ubarikiwe Sana baba, umesimama Kama Yohana na kumwakilisha Mungu wa haki. Bwana Yesu akutangulie.
@godlovengonde6636
@godlovengonde6636 Год назад
Ahsante Baba, hakika umetumwa na Mungu. Umenena vema sana
@danieljonkey-vh8fc
@danieljonkey-vh8fc Год назад
Mungu awaone vingoz ambao wanalikana Taifa hili kama Ni kweli nchi yetu inauzwa Mungu hatanyamaza katika hili
@olivaerasto6669
@olivaerasto6669 Год назад
Mungu ni WA haki.kitafahamika kimoja wapo.Mungu atawaumbua
@antonywilliama2868
@antonywilliama2868 Год назад
ni kweli maana wanalazimishamkataba mbovu na hao wanao tumwa kusumbua viongozi wa dini walamba asali hawajali mali adili za taifa
@TedyMatiku-tr8qw
@TedyMatiku-tr8qw Год назад
Umeongea vizuri Sana mzee kama mchungaji na kama mzee waheshma mshauli tu mama asiruhusu bandari zetu kwenda
@filorammbaga5710
@filorammbaga5710 Год назад
Ni kweli mbowe alikuwa wa kwanza kutadhaharisha watanzania tumeliwa na huu mkataba .Mbowe Mungu akubariki sana.!
@ahimidiwerishya8523
@ahimidiwerishya8523 Год назад
Amina mtu wa Mungu. Mwenye masikio na asikie sababu inauma sana kweli sikumtegemea rais kufanya maamuzi haya
@tatoorashedi1787
@tatoorashedi1787 Год назад
❤❤❤❤❤❤❤ Aminaa kiongozi nyinyi ndio mboni zetuwaTZ
@benedictoshadrack2573
@benedictoshadrack2573 Год назад
Hivi kumbe ukihoji mkataba huo wa bandari inakuwa kosa tena duuh ama kweli nchi hii haki nikizungumukuti Mungu tutetee na utusaidie pia
@laborapetro5117
@laborapetro5117 11 месяцев назад
Sio kweli huyu mzee muongo hakuna mkataba wa bandari kunabmakubaliano ya Dubai na Tanzania.. maana yake mkataba wa bandari hakuna na hawa wote wanatumika na wale wanufaika wa bandari
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt Год назад
Amina Baba Ubarikiwe umenena bila hata kuogopa
@aloycegasper5188
@aloycegasper5188 Год назад
Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema na Neema wajalie viongozi wetu walete umoja na amani wawezi kutuongoza vema ktk hili la bandari lisituumize kwa maslahi ya wachache
@rahimajuma5306
@rahimajuma5306 Год назад
Mungu ni mwema Mungu akubariki sana
@user-hb1iw9uj3x
@user-hb1iw9uj3x Год назад
Nafrah kaka umeweka udini kando
@MaikoMkwawa-fk9tc
@MaikoMkwawa-fk9tc 3 месяца назад
Kwakweli kizuri akidumu mtangulizeni mungu sana katika ukweli wenu nakujitoa mbele yetu na mbele ya mungu
@user-ot6hn5ye8b
@user-ot6hn5ye8b Год назад
Jamani kiukweli hii nchi tusikae kuogapana, sasa mnatupa elimu ya nini Jamani. God bless our country give us peaceful mind.
@renatusideogratas-qr6en
@renatusideogratas-qr6en Год назад
Mungu you pamoja na wasema kweli watanzania atujalala bunge limepowa Sana ata miradi mingi atujui atima yake.
@ponsianaprotas8990
@ponsianaprotas8990 Год назад
Ameeeeen! Ubarikiwe sana.
@PauloMajaba
@PauloMajaba 3 месяца назад
Hongera sana baba umeongea kama baba ujapendelea chadema wala ccm unaimarisha amani na uhuru
@aloycegasper5188
@aloycegasper5188 Год назад
Amina❤
@RachealMndambi-kv9sd
@RachealMndambi-kv9sd Год назад
Eee Mungu Tunusuru,Tusaidie,Ingilia kati.Tupe hekma na busara za kuchanganua mambo.Aameni
@aronligazio7403
@aronligazio7403 Год назад
Hili ni taifa nzuri saana, Kuna mahala tunapenda....
@kaundavyoseena6514
@kaundavyoseena6514 Год назад
Msema kweli huyu Mtu. Viongozi wengine waoga yumkini hata wa dini!
@NeemaJulius-qo2xz
@NeemaJulius-qo2xz Год назад
Mungu wetu tunakuomba utusimamie Kwa ajili ya hili
@iddymuro
@iddymuro Год назад
Huo ndiyo utumishi bora wenye kumpendeza Mungu badala ya kumpendeza binadamu atakayekufa kama wengine
@user-hb1iw9uj3x
@user-hb1iw9uj3x Год назад
Hongera,watanzania tuwe wamoja
@annasumaye3633
@annasumaye3633 11 месяцев назад
Mungu akulinde mtumishi umenena vema
@izamahmasaki4795
@izamahmasaki4795 Год назад
semeni Saba watu wa mungu, tuko nanyi pamoja
@josephambrose2215
@josephambrose2215 Год назад
Safi sana Askofu, wachane ukweli Samia na ccm yake
@user-le2zm1yj9o
@user-le2zm1yj9o 11 месяцев назад
Hakika rais Samia umeikosea Sana nchi hiii inakubid utubu
@abrahamkalinga4291
@abrahamkalinga4291 Год назад
Viongozi wetu ni wezi sana Tanzania
@omarkabogo1580
@omarkabogo1580 Год назад
Acheni kupotoswa nyinyii, kuenimakini
@user-oz1pp1ck2m
@user-oz1pp1ck2m Год назад
​@@omarkabogo1580kupotosha kwani hujauma tugawane kama nawe umetafuna Asali
@johnsonchonja4032
@johnsonchonja4032 Год назад
Hawa ndo watumishi wa mungu tunao wahitaji! Mbona kwenye mikutano ya ccm waga wanakwenda? Baadhi ya viongozi wa dini siku izi wamekuwa wanafiki sana na wachumia tumbo tu
@meryfrank5272
@meryfrank5272 Год назад
Safi sana askof hiyo ni mzr, kitu vzr so serikalini tu ata vitu vyako binafsi huwezi kuachia kiholela jamn ,
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 Год назад
#KATIBA MPYA #OKOA BANDARI ZETU. Wao ccm kama serikali wakikutana na viongozi wa dini,ni halali lakini wananchi kupitia chadema wakiwaomba watumishi kukutana nao ni haramu,ni tishio kwa Amani ya nchi!!? Ajabu kabisa! Wakipitisha mkataba bila kuwashirikisha wananchi,ni halali,lakini wananchi wakihoji ni kuchochea vurugu, kupinga maendeleo, ni kushirikiana na mabeberu kuipinga serikali ili kuvuruga Amani ya nchi!!? Hii ndio lugha ya wachache katika serikali ya ccm kwa wananchi tuliowapa dhamana! Isaya33:1,7-10 Tuwalaani kwa sauti kuu, wasikie,na Mungu atusikie vilio vyetu.
@emeresianamichael5163
@emeresianamichael5163 Год назад
Baba mungu akufunike asante kutuwakilisha Sauti yetu
@panadomadola3064
@panadomadola3064 Год назад
Ongera baba kwa maneno ya kujenga
@JeremiahMugeta
@JeremiahMugeta Год назад
Jeremia mugeta kutoka mara tz@@@😢😢😢 Asante sana baba askofu mungu akulinde,maana umewambia haki na kwel kuhusu bandari yetu maana ndio injini ya nchi,,,na wazo langu Kama sio katiba ya nchi huyo rais alikuwa ni WA kunyonga,
@bullekisimikwe3852
@bullekisimikwe3852 Год назад
Safi sana Askofu, ikibidi tufunge na kuomba walau siku 3 ili liwakute jambo zito mpaka mkataba ufutwe
@lameckluyungu6737
@lameckluyungu6737 Год назад
Kwa nini hawana uchungu na nchi yetu, hawakumbuki waarabu walitufanyia nini wakati wa ukoloni, rushwa imewapiga upofu Tunataka bandari zetu zibaki.
@user-py1cb2sw7i
@user-py1cb2sw7i 11 месяцев назад
Kwel na tumbo zao zinatufanya tutaumia wote
@MaikoMkwawa-fk9tc
@MaikoMkwawa-fk9tc 3 месяца назад
Wewe baba ni mshumaha kwetu mungu akupe maisha marefu
@joyceathanasi8435
@joyceathanasi8435 Год назад
Watanzania tuendelee kupiga kelele mpaka kieleweke,Mungu awabariki na kuwalinda.
@user-ev7td1wf9p
@user-ev7td1wf9p 11 месяцев назад
Mungu atusaidie ktk ili
@victorkisenha5933
@victorkisenha5933 2 месяца назад
Baba askofu ubarikiwe wew umeitwa kwa jina la yesu kristu Bwana wetu, barkiwa sana,
@evaristokitinusa7251
@evaristokitinusa7251 11 месяцев назад
Hongera sana Asikofu
@evaristokitinusa7251
@evaristokitinusa7251 11 месяцев назад
Ubarikiwa mtu wa mungu
@johnpeter9051
@johnpeter9051 Год назад
Sawa kabisa
@sabraham5308
@sabraham5308 Год назад
Sasa basi hii DP World tuwape Zanzibar,Zanzibar wanaitaka leo DP World,sababu itakuwa Dubai ya Afrika,lakini basi, msije mkafanya choyo na husuda,
@elikarimugayewi3105
@elikarimugayewi3105 Год назад
Zanzibar ni Tanzania
@sabraham5308
@sabraham5308 Год назад
@@elikarimugayewi3105 sasa ni sawa Zanzibar ni sehemu ya Tanzania,na bandari Tanganyika ina mamlaka yake na Zanzibari ina mamlaka yake y bandari,kama hamuwataki DP world wapeni Zanzibar,msimsingizie Mama yetu Samia mambo mabaya,msitunge mambo ya uwongo,umesema kuna genge,hilo sio kweli,maaskofu wenzako wamesema,mama anaiuza nchi,leteni ushahidi,wacha ujanja ujanja,una Jambo lakini utalitapika
@user-qz5ch8ke4c
@user-qz5ch8ke4c Год назад
Selekali yeti mungu aitazame kwajicho la husuda tunateseka sana wenyehali ya chini
@victorkisenha5933
@victorkisenha5933 2 месяца назад
Tuna hitaji watu wa Mungu zaidi kama ww wakufundisha watu,
@trillhappybeautypoint9874
@trillhappybeautypoint9874 Год назад
Lord of mercy 😢 tunakuhitaji🙏
@user-xy2vw1jx7u
@user-xy2vw1jx7u 6 месяцев назад
Nimeamua salama na family yangu nimetafuta mikono imepeleka kinywani nashkru Mungu..,, maana nchi hii hakuna mwanasiasa wala mwanadini naona wote waigizaji tu.
@Generosembaule-zb5en
@Generosembaule-zb5en 8 месяцев назад
Mungu akulinde Askofu
@chomasongidion6047
@chomasongidion6047 11 месяцев назад
Sasa naanza kujifunza Jambo naninakumbuka, maneno ya magufuli kuwa mtanikumbuka kwa mazuri ai kwa mabaya,sasa tunamkumbuka , mungu mrehemu ,yaani sunia hii basi tu,tuliombee Taifa letu
@mahubirikarismatikikatolik8281
@mahubirikarismatikikatolik8281 11 месяцев назад
Safi sana Baba Askofu, mwenye masikio na alisikie neno hili.
@ShaibuMniwa-gy8do
@ShaibuMniwa-gy8do Год назад
Mama mimi ni muisilamu Ila mama mh SAMIA Chukua haya Maneno Yafanyie kazi haya Mimi nimemwelewa HanaBay yako xaiiii Iiii imeogea kasikazini Bado kuxali
@choggysly3541
@choggysly3541 Год назад
Nenda wewe
@daudilfrans996
@daudilfrans996 Год назад
Kwa uislam was mama Samia umefanya nini
@upendomwamwaja7874
@upendomwamwaja7874 Год назад
Mungu akutetee mungu akutunze baba ,,mama nakuomba fuata ushauri huu
@feristadaudi6599
@feristadaudi6599 Год назад
Mchugaji tumwombe sana mungu tuko nyakati za mwisho paspo mungu hatujui twedako
@aliothman7930
@aliothman7930 Год назад
Wapenda bure mmekwisha
@happyfaniabatromeo8010
@happyfaniabatromeo8010 11 месяцев назад
😄😄😄Ukiona Mtumishi wa Mungu anajihusisha na siasa ujue mbele za MUNGU hasomekiii huwezi kumtumikia MUNGU na siasa 🇹🇿🇹🇿 Wanaoongozwa na ROHO wa MUNGU hao ndio wana wa MUNGU
@japhethcharles5791
@japhethcharles5791 Год назад
Kunawatu wanazani watanzania ni wapumbavu ,nawaonea huruma sana maana Kila dhambi italipwa hapa hapa duniani
@RamadhaniAndambike-oq5on
@RamadhaniAndambike-oq5on Год назад
Nchi itakua salama two sisi tumuombe mungu na inatakiwa watapigwa namungu hao wote nawatake wasitake wataelewa two mungu awabariki viongozi wetu wa dini kwakupiania haki ya nchi hii
@user-hb1iw9uj3x
@user-hb1iw9uj3x Год назад
Hongera udin mbali na maslah ya nchi
@chloecallie3619
@chloecallie3619 Год назад
Genge la wahuni achia nchi yetu kwa Jina la Yesu
@ThomasErro-tx9td
@ThomasErro-tx9td 11 месяцев назад
Huyu ni mchungajia au ni mwekiti wa chadema, amekoza maadili za kazi zake
@geofreyjonas4901
@geofreyjonas4901 Год назад
Well said our bishop, tupambanieni waumini wenu Bishop 😢
@user-cu1mf1nt9n
@user-cu1mf1nt9n Год назад
Asante sana askofu kwa kusema ukweli bila kumung'unya mungu akusimamie katika hilo
@salumbinabed6906
@salumbinabed6906 Год назад
Yes muheshi miwa Samia tunakuombo waznzibari tupe sisi hiyo dp world
@nefertitibelinda1146
@nefertitibelinda1146 Год назад
Rais Mwinyi siyo mjinga ...HAWEZI KUUKUBALI MKATABA KAMA HUU.
@WitnessEmanuel-rb6bu
@WitnessEmanuel-rb6bu 11 месяцев назад
Sema baba
@user-li6iw4tl5s
@user-li6iw4tl5s Год назад
Kwa kweli inakatisha tamaa juu ya nchi yetu ya tanzania
@shabanbaheza4711
@shabanbaheza4711 Год назад
Nyie makafir ni mbwaaa ngurue inawadhuru
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu Год назад
@@shabanbaheza4711 Sasa nyie waisilamu kutwa kutukana ndivyo mnavyofundishwa misiktini?
@kavulatikivurunzi
@kavulatikivurunzi 11 месяцев назад
Nikweli tunakupenda sana
@daudilfrans996
@daudilfrans996 Год назад
shida bandari yetu imeingiana na siasa na udini tufate dini . tuache siasa alafu chadema Kuna ukabila na udini mwalimu Nyerere. alikaza udini mama yupo vizuri tuache udini
@franksanke5442
@franksanke5442 Год назад
Una akiri
@lucymarawa864
@lucymarawa864 Год назад
Mungu amekutoa mtumshi Asante
@asteriashios1852
@asteriashios1852 Год назад
Nchi imekuwa ya kidicteter mungu na ashuke kilio tunachokililia mungu ukaonekane
@RizwanAbdallah
@RizwanAbdallah 3 дня назад
Mm nimuisilamu huyu askofu amesimamia haki kwakweli hao viongozi wa kiislamu wengi maslai yao na kutaka magar kutoka selekalini
@paulojohn9608
@paulojohn9608 Год назад
safi sana askof
@user-uz5fl1nu8y
@user-uz5fl1nu8y Год назад
Tatizo lao wanajikubali sana hao walio pita bila kupingwe kuna siku mungu atatulipia kilio chetu
@tumainiezekia5873
@tumainiezekia5873 11 месяцев назад
Tumepat mtu sahihi wakutusemea jmn Mungu tusaidie lipite
@user-nt4lp9dy6i
@user-nt4lp9dy6i Год назад
Tuokolee inchi huyu rais hafai kutongoza kwa mwana mke ni kiumbe dhaifuu
@user-py8lz3us3m
@user-py8lz3us3m Год назад
Ubalikiwe mtumishi
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Год назад
Mbona muanzilishi wa huu Mkataba amenyamaza ila ajua kuwapigia Mahakama kubadilisha maamuzi ya kesi.
@josephat66
@josephat66 Год назад
Hayo mapya na mazuri sana.. jmn nchi hii ni watu wote wenye elimu, masikini, kipofu,kirema,bubu,mtoto hivyo muliopewa mamlaka na makundi yote haya ebu jitafakarini kwa hali hii mtafanya kirema atembee na bubu aongee.. Dah namkumbuka JPM
@kamishina7853
@kamishina7853 Год назад
Gazeti la mwanahalisi Limewataja wenye mkataba huo wa bandari mubovu Wamelitishia kulishitaki gazeti hilo
@nurdiniissa2508
@nurdiniissa2508 Год назад
Ingekuwa rais mkilisto isingeona
@jaliabahat1520
@jaliabahat1520 Год назад
kweli
@husseinwaziri2796
@husseinwaziri2796 Год назад
The contract should be read to the public so that everyone to know what is inside.
@salummbilinga5196
@salummbilinga5196 Год назад
No
@emeresianamichael5163
@emeresianamichael5163 Год назад
Tanzania niya mungu
@JustineSasu-cg6pp
@JustineSasu-cg6pp 11 месяцев назад
Kwa hili la Bandari hekima lazima itumike kwa kudumidha amani na usalama wa nchi, Serekari, na vyama pinzani sharti vikae pamoja na vilimalize jambo hill.
@mohamedirwambo5193
@mohamedirwambo5193 Год назад
Acheni kuingiza siasa na mambo ya dini mnachokitaka mtakiona acheni izo Banda km kawaida unafiki Tu uyo
@nunguhassani1743
@nunguhassani1743 Год назад
WATU WASIOONA Wana AKILI na VIONGOZI wazuri sana TUNAO KWENYE UONGOZI NA kipofu so Nemo zuri huitwa WASIOONA rekebisha Hilo kiongozi ILI IENDELEE na MAFUNZO ya MIKATABA
@bonabonala5559
@bonabonala5559 Год назад
viongozi wa dini msirare drc viongozi wa dini hasa wa katoliki ndio warisababisha kupata katiba mpya pia tz mnaweza kutuokoa kutoka kwa mkoloni mweusi ccm
@izamahmasaki4795
@izamahmasaki4795 Год назад
Hilo genge la majasusi was magharibi, wanalinda uchimi wa nchi zao zinazopigwa na urusi. Mama ana kazi Moja tu ...........
@sanda960
@sanda960 Год назад
Rais ni vizuri akaachana na huu mkataba. Hizi kelele siyo nzuri za watanzania. Tuaweza kungiza nchi mahala pabaya sana. Na tutakaoteketea ni sisi wenyewe
@benardsamizi-qo4yp
@benardsamizi-qo4yp Год назад
DAMU YA YESU UKUFUNIKE MTUMISHI WA MUNGU . SIMAMIA HAKI NA MUNGU WA HAKI ATAKUWA UPANDE WETU.
@amosmganyizi7544
@amosmganyizi7544 Год назад
Uko vizur askofu
@user-rn5zx2lk3x
@user-rn5zx2lk3x 9 месяцев назад
Mungu anawaona
@mpandawiliam5390
@mpandawiliam5390 11 месяцев назад
Amina
@user-lc4gn8fq9w
@user-lc4gn8fq9w 11 месяцев назад
Mungu akubaliki sana askofu
@KassimSalim-fi1me
@KassimSalim-fi1me Год назад
Mikataba mingi imefungwa na wewe ulikuwepo ukakaa kimy leo bandari unakuja juu kisa udini tu hakuna jengine
@user-le2zm1yj9o
@user-le2zm1yj9o 11 месяцев назад
Brother Hilo halivumiliki
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 Год назад
Kumbe kuna watu Imani zao haziwazuii kusema uongo?!Tafsiri huo mkataba halafu mtusomee hadharani tuujue. Sio kupiga kabobo zisizo kuwa na mpango.
@AllyMandunda-tj9jc
@AllyMandunda-tj9jc Месяц назад
Na Samia ni fundi wa comedy, lkn mwakani ataipata fresh. Atangoka TU madarakani
@willykyando5647
@willykyando5647 Год назад
Tuwape zanzibar huomkataba.kama mali zote nizamuungano
@ahmadjoka6755
@ahmadjoka6755 Год назад
Kweli mungu mkubwa kule znz Mashehe walipoteea Maslahi ya nchi yao mliwakamata na kuwa weka ndani huko Bara Sasa je Hawa mtawakamata? Na mtawafunga wapi?
@goodteam7890
@goodteam7890 Год назад
Hawa magalatia ndio nchi yao hawawezi kukamatwa ndugu yangu ktk imani tupo katika mtihani mgumu 😥
@eliakisinga5360
@eliakisinga5360 Год назад
Wanauza moyo wa nchi
@agathalyamuya9358
@agathalyamuya9358 Год назад
Nililia sana nikamwambia mungu amsha watu waseme leo nalala kwa Amani nimefurahi Mungu ametenda
@jayzeem14
@jayzeem14 Год назад
Mnasifia vitu hsta pale watu wanapikuwa wamepotoka kwenye tafsiri! Mungu atusaidie
@paschalsafari9747
@paschalsafari9747 Год назад
Sisi tuna mali .wao wanakuja kwetu kuchukuwa mali zetu haiwezekani.mama samia rais wetu tunakuomba uwe makini na watu wanaokuzunguka...tunaomba vunja huo mkataba ni heri tunawekeza sisi wenyewe watanzania..asante mama
@liannsambu7264
@liannsambu7264 Год назад
Kwani yeye haoni na Hana akili ?
@zawadikidunda8844
@zawadikidunda8844 Год назад
Rais sisi watanzania hatuna MUNGU PEKEE NDIYE ATAKAE Tuongoza MAGUFULI NDIYE alikuwa Rais wetu
@faridhassan6834
@faridhassan6834 Год назад
Hili suala la kawaida ila linapelekwa kisiasa,Tanzania ni nchi bora sasa hivi kwa Africa,inakadiriwa baada ya miaka mitano tutaongoza Africa mashariki kiuchumi,maadui hawapendi hii,huu sio mkataba wa kwanza kukataliwa hata wa madini ulikataliwa
@ShagembeLukanda
@ShagembeLukanda Год назад
​@@faridhassan6834 haha et kuongoza kiuchumi baada ya Miaka mitano? Kwa Hawa viongozi wenu waliopo si ndio,? Basi hizo zitakuwa ni ndoto za asubuhi.
@SalimaOmary-sf4qe
@SalimaOmary-sf4qe 11 месяцев назад
Mbona alivyoongeza ajira na mishahara hamjaongea mbona wachina wamewekeza British wamewekeza hamjaongea
Далее
❌Ему повезло больше всех #story
00:41
would you eat this? #shorts
00:39
Просмотров 2,9 млн
KUNA SIRI GANI? HILI NI FUMBO
6:11
Просмотров 189 тыс.