Тёмный
No video :(

SHEKH KIPOZEO ampa onyo kali HARMONIZE kuvaa kipini mtoto wakiume unaleta mashaka DIAMOND nilimnyosh 

Bongo Touch
Подписаться 740 тыс.
Просмотров 25 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

21 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 55   
@saidikomba3120
@saidikomba3120 5 месяцев назад
Mungu akupe maisha marefu shekhe wangu
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 5 месяцев назад
Masha'allah Masha'allah sheikh wetu
@toyikudratullah1466
@toyikudratullah1466 5 месяцев назад
Apo kwenye viato amemecha kidogo bcs kusali unavaa viatu inajuzu pia from burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@musayosia4081
@musayosia4081 5 месяцев назад
Kasema haifai kusoma quran ukiwa umevaa viatu basi hata ukiswali hutakiwi kuvaa viatu kwasababu kusoma quran na kuswali zote ni ibada katika sheria ya kiislam. Allaahu warasuulu aalam🙏
@aminattai2676
@aminattai2676 5 месяцев назад
Anaweza kuvaa au kutoboa vitu vingi mwilini ikawa ni kumkosea mungu ni dhambi kubwa sana,lakini hili la kusema anafanya nyuma ni suala ambalo linataka ushahidi na haupo au huna ushahidi huo ni wewe ndio unabeba dhima kwa kumsingizia jambo ambalo huna ushahidi nalo
@othmanally3161
@othmanally3161 5 месяцев назад
Mashaallah fatwa mzuri sana
@abubakarmpole4000
@abubakarmpole4000 5 месяцев назад
Masha Allah, shekhe Mungu akupe maisha Marefu yenye baraka na elimu yenye manufaa Zaidi, napenda Sana mawaida yako 👏👏👏
@kijitamfyomi5598
@kijitamfyomi5598 5 месяцев назад
Sheikh kipozeo mawaidha yako yawalenge wote ila mara nyingi unakuaga unaogopa kumwambia ukweli tajiri yako diamond
@hassansalum2572
@hassansalum2572 5 месяцев назад
Ukweli upi na ndoo keshasema wasanii wote wawe kama Suma lee
@yusufmarjan8881
@yusufmarjan8881 5 месяцев назад
Jazakallahul sheikh kipozea Allah akujaalie afya nzuri na umri mrefu wenye baraka na amali njema In Sha Allah Kwa kutuelimisha.
@KankuliNsumbu
@KankuliNsumbu 5 месяцев назад
Uyu mutangazaji yuko vizuri kwa maswali endelea br utafika mbali
@issaiyinga-cp4ff
@issaiyinga-cp4ff 4 месяца назад
Nilistaajabu kwenye interview moja shekh anaulizwa kati ya diamond na alikiba nani zaidi akatoa jibu lake halafu akarudi kwa mboso akamsifia sana eti anajua kuimba. Mashekh waepuke mitego mwingine ni haji manara anaijua dini vizuri tu tena kishawahi kuwa ustadh lakini kwenye media ni mtihani kwa kweli tena msiba hasa.
@user-nk3dp9cv9c
@user-nk3dp9cv9c 5 месяцев назад
😊shekh, unaogopa nini kumwambia wamelaan na Allah waliojifananisha n wana wake na pia waliojifananisha n wanaumee, wanaumee vidan, Pete Vipin vp? Na uislam wa ramadhan tu au unafunga ila unalala n mwanamke au mwanamke ambae hujamuoa ,hapon kukaa na njaa
@MwombekiMartini-ny6sl
@MwombekiMartini-ny6sl 5 месяцев назад
Uyu mzeee namkubali sana ajawai kukosea jamani 🙌
@HajiAllyMwambashi-dt1ki
@HajiAllyMwambashi-dt1ki 4 месяца назад
Hawa wasanii wanajifanya ktk mwezi mtukufu wa ramadhani niwatakatifu hamna shetani kafungwa nyororo na wa pia wamefungwa nyororo bila wao kujua hayo ndio maaja u na muujiza ya Allah.
@user-zz3ek5ny6k
@user-zz3ek5ny6k 5 месяцев назад
mashekhe walinganieni wasanii wennaojua waislaaam sio kuwaongelea mambo mengine tuu
@moodyzanzibar4336
@moodyzanzibar4336 5 месяцев назад
MNAWAOGOPA SANA HAO MASHOGA MASHEKHE WENGINE NDIO KWANZA WANAWACHUKUA WATOTO WALIOZALIWA NJE WA NAO JIDAI HAO MASHOGA ATI NI WATOTO WAO .HUOUNAFIKI KAMA UMEZAAA NJE KAMA NGURUWE MTOTO SI WAKO TUSIDANGANYANE . UNAFIKI JIHESABU HUNA WATOTO NA WEWE KIPOZEO UNAOGOPA KUWAAMBIA HAO MASHOGA WASENGE WAKUBWA HAO
@ZideZaidy
@ZideZaidy 5 месяцев назад
Sheikh wang huyo
@amiriidi5721
@amiriidi5721 4 месяца назад
Alllaukupe. Umrimrefu. Kipozeo
@faridahalwaily85
@faridahalwaily85 5 месяцев назад
Zidii kuwapaa mawaidhah ipoo siku waweza kurudi nyumaa hedaya ipooo kwa mwenyezimngu…
@user-hb6sg1sh1z
@user-hb6sg1sh1z 5 месяцев назад
Mashallah best shekhe
@moodyzanzibar4336
@moodyzanzibar4336 5 месяцев назад
HUYO ANAYE SOMA QURAAN NA KISHAUFU PUANI NI HANITH ANAINGIIWA KWA NYUMA TAFSIRI YAKE . WEWE KIPOZEO USISUE SUE SEMA ANAYEVAA KIPINI NI HANISI SHOGA .USANII SIO LAZIMA UVAE VISHAUFU NI DALILI ZA KUDHARAU DINI NA KUONYESHA WAZI KWAMBA WANAFIRWA /HANITH LIAMARI
@omarswaleh6082
@omarswaleh6082 5 месяцев назад
Sheikh kipozeo na mondi nae vipi anava msalaba na mattoo mwili mzima safari bado haja kualika futari
@user-ns3hd1cp2l
@user-ns3hd1cp2l 5 месяцев назад
Kwa hakika dini ni nasaha
@ExcitedChefHat-ef5jt
@ExcitedChefHat-ef5jt 4 месяца назад
Huyu kipzeo ni jitu la dhihaka dhihaka Sanaa Diamond alikua manakula pamoja mpaka imani yako okawa na dhaifu ukajiondoa lakini mbona hujamsema kuhusu mapuli chain zake na Tatoo zake ? Wewe shekh una mushkil kwangu.
@HajiAllyMwambashi-dt1ki
@HajiAllyMwambashi-dt1ki 4 месяца назад
Acha kumshusha kipozeo wewe mwanawazuoni huyu yupo vizuri
@ExcitedChefHat-ef5jt
@ExcitedChefHat-ef5jt 4 месяца назад
@HajiAllyMwambashi-dt1ki wewe ndio mwanachuoni kwako lakino mimi namuona jitu la kupenda mizigo tuu , na dhihaka dhihaka . Si yeye alikua na diamond kipindi fulani mpaka watu wakamshuku akajishtukia kaondoka . Kama wewe umemkubali ni sawa tuu.
@AbaskoNhuckjr
@AbaskoNhuckjr 5 месяцев назад
Asante sana mzze baba
@omarswaleh6082
@omarswaleh6082 5 месяцев назад
Yaonesha kuna msani anamlipa huyu mzee kipozeo
@pillyseleman8090
@pillyseleman8090 5 месяцев назад
Twaonba darsa la watoto wa nje ya ndoa je hao baba wanaitwa baba ni baba zao au la
@namajanjamarende
@namajanjamarende 3 месяца назад
Yan kweli mtandao Yan mi huwa nakaa nkijua huyu sheikh hayupo tena ,alitangulia mbele za Haki ,sa hii namsikiza ,ogopa mtandao
@moodyzanzibar4336
@moodyzanzibar4336 5 месяцев назад
HAO DIAMOND NA HUYO SHOGA MWENZIE SIJUI KONDE BOY KWA HESABU ZA KIISLAM NI MASHOGA NA MAKAHABA TUU HAWANA HESABU NYINGINE YOYOTE KWA MUNGU . UTAPINDA PINDA MPAKA UTACHOKA KIPOZEO HAO MARAFIKI ZAKO MASHOGA TUU
@ndogoro
@ndogoro 5 месяцев назад
Naam
@ednahumazi777
@ednahumazi777 4 месяца назад
Niaridadi.tu
@sonnyr1899
@sonnyr1899 5 месяцев назад
Kuna kipindi mie nahisi uislam wa tzn ni tofauti na uislam wa nchi zingine maana haswa hayo makundi Ya wasani ndio Innalillah wa ina ileh rajiun skendo hazipoi hadi mfungo. Kuna video Ya huyo Konde eti anasoma Surat al fatha kama vile yuko anaimba kwangwaru na kipini puani na kilemba kichwani. Mnawaagopa sijuwi kwa nini hamuwalinginiye ? Ila Mazinge yeye uwa anawapa vidonge vyao.
@user-hj4bc5uh2x
@user-hj4bc5uh2x 5 месяцев назад
Hii intavyuu namashakanayo kwapwent zifuatazo namashaka nawewe haunakatazo avue asome akimaliza! Alaf huntha kaingiaje kwenye mada hilosiosomofupi linahitaji upana sio kupitia ubavu wamashoga wakiletapwent sisi tumeegemea kwwnye maumbile fulan ! Hii mada iwwkesawa
@AishaNayimana-pp2pu
@AishaNayimana-pp2pu 5 месяцев назад
Biyato anaruhusiwa kuvaa katika swala
@titobernard383
@titobernard383 4 месяца назад
Shekh , umeblichi ndevu !?
@silverman6930
@silverman6930 5 месяцев назад
Yer cos your God . Relax
@FatumaIssa-kw3vv
@FatumaIssa-kw3vv 5 месяцев назад
Tatizo TV ni za family huyu kaka hajui kuoji kabisaaaa what do you mean right ukisema kidogo right sijapenda
@ismailissa3996
@ismailissa3996 5 месяцев назад
Mkuu hapo kwenye suala viatu niache umeongopa
@Kibasumba02
@Kibasumba02 5 месяцев назад
Islam dini la kishetani
@mapishiyetumazuri2312
@mapishiyetumazuri2312 5 месяцев назад
Ww unachuki sana mungu akuogoze
@kingofshorts6824
@kingofshorts6824 4 месяца назад
Shukran kwa kututukana Myezi mungu akuongoze
@user-wk8ju9xg4m
@user-wk8ju9xg4m 4 месяца назад
acha chuki Kaa na dini isiyo ya shetan Allah akuongeze ujue ukweli
@lenoxbuhanza4926
@lenoxbuhanza4926 5 месяцев назад
Kila kitu “Right?”acha hizo presenter
@moodyzanzibar4336
@moodyzanzibar4336 5 месяцев назад
MBONA MZEE YUSSUF UNAMUANDAMA HAO MASHOGA UNAWAOGOPA KIPOZEO ??? MZEE YUSSUFU JUU YA MAMBO YAKE ANAVAA KISHOGA KAMA HAO WASENGE WAKO??? UWE FAIR BWANA
@saidirakozi1809
@saidirakozi1809 5 месяцев назад
Harmonize amelaniwa
@phchouse
@phchouse 5 месяцев назад
MBONA NA WEWE UMEPAKA RANGI NDEVU
@zuberimohamed43
@zuberimohamed43 5 месяцев назад
kwani kuweka hina ndevu ni haram??
@_MuniraAli
@_MuniraAli 5 месяцев назад
Nenda ukasome mwanzo kabla hujajiabisha. Ipo kwenye Hadith.
@mohamedsemboja
@mohamedsemboja 5 месяцев назад
Hivi nyie waandishi hamwezi kuzungumza Kiswahili bila kuingiza Kiingereza? Mnachomeka Kiingereza ili iweje? Hamna misamiati ya kutosha mpaka mchomeke Kiingereza?
Далее
HIZI NI ZAMA ZA MWISHO //SHEIKH KIPOZEO
18:11
Просмотров 7 тыс.
МЕГА МЕЛКОВЫЙ СЕКРЕТ
00:46
Просмотров 179 тыс.
IBILISI NI MSHENZI TU //SHEIKH KIPOZEO
19:11
Просмотров 86 тыс.
SHEIKH KIPOZEO AELEZEA HALI HALISI YA BINAADAMU WALIVYO
1:03:25
МЕГА МЕЛКОВЫЙ СЕКРЕТ
00:46
Просмотров 179 тыс.