Тёмный
No video :(

Shuhudia Dogo Janja na Uwoya Walichokifanya Harusi ya Shilole 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 749 тыс.
50% 1

Dogo Janja Nimekuja na Mke Wangu Irene Uwoya
Kwa Habari za Kitaifa, Kimataifa, Burudani, Matukio, Breaking News na Exlusive Interview za mastaa wote, video mpya za Bongo Fleva, hadithi za Eric Shigongo na Magazeti Bure, ni Application namba moja pekee Tanzania.
Install #GlobalPublishersApp
Android: bit.ly/2AAQe1d
iOS: apple.co/2Assf4M
Subscribe / uwazi1kwa Habari za Kitaifa, Kimataifa, Burudani, Matukio, Breaking News na Exlusive Interview za mastaa wote, video mpya za Bongo Fleva, hadithi za Eric Shigongo na Magazeti Bure, ni Application namba moja pekee Tanzania.
Install #GlobalPublishersApp
Android: bit.ly/2AAQe1d
iOS: apple.co/2Assf4M
Subscribe / uwazi1
KATIKA Ndoa ya msanii wa Filamu na Muziki Zuwena Mohammed na Ashrafu Uchebe kufanyika, katika hatua ya utoaji wa zawadi wanandoa wawili ambao wote ni wasanii waliohudhuria sherehe hiyo namzungumzia Dogo janja na Uwoya walivyomsapoti msanii mwenzao.
Dogo Janja na Uwoy hawakuacha kusema maneno mazuri kwa Shilole na Uchebe tangu wawafahamu na kuwatakia kila la kheri kwenye maisha yao ya Ndoa.
FACEBOOK: / globalpublis. .
TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishe... FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 131   
@billdaangelo9663
@billdaangelo9663 4 года назад
Wanaoangalia hii mwaka2020 tujuane hapa👆👇👇👇
@m2kumbom2kumbo56
@m2kumbom2kumbo56 6 лет назад
Hongeren sana wana ndoa wote Janjarooo 🔥🔥 umeiwakisha sana hii harus Shishi baby 😍😍🔥🔥🔥🔥🔥
@nelsonmlingwa198
@nelsonmlingwa198 6 лет назад
Mm shilolee nampendaga jamn ni mchekeshaj hatariii..yan anafurahishaga..anajiamn had kuimba..Mungu Ambarki Dada wa watu na uchekeshaji wakke
@neemamoses9586
@neemamoses9586 6 лет назад
Nelson Mlingwa nami pia nampendaga sna!! Honger shishi.....
@nelsonmlingwa198
@nelsonmlingwa198 6 лет назад
Neema Moses ok
@cestjolie5574
@cestjolie5574 6 лет назад
Nelson Malinga, anajiamin kwa Kingerez pia ila hakipand kwake tho🙄🙄🙄🙄🤔🤔🤔🤔🤔.
@yusufismail3184
@yusufismail3184 6 лет назад
Nelson Mlingwa MHC x
@zaynababdullah6705
@zaynababdullah6705 6 лет назад
Nelson Mlingwa mungu demise ndoa yenu
@mancankwee5740
@mancankwee5740 6 лет назад
Msimsahau Wastaraa Enyii mastaa jamanii 😥😥😥😢😢😢😭😭😭😭
@devisnyitatti9185
@devisnyitatti9185 6 лет назад
safi san
@user-dx5lz6du4y
@user-dx5lz6du4y 5 лет назад
Irene uwoya umependeza sana mungu akujalie udumu kwenye ndoa yako usihangaike tu na wanaume sio vizur
@user-ws4bk7hy4m
@user-ws4bk7hy4m 6 лет назад
manshaallaah
@lailahaillallah4020
@lailahaillallah4020 6 лет назад
Mungu awafnyie wepess...
@ashaswaleh3281
@ashaswaleh3281 6 лет назад
Sio mapepe ametulia yani huyu ndio mwanamume mungu awajalie ndoa yenye kheir na baraka inshaallah
@aminahmdosi607
@aminahmdosi607 6 лет назад
Hongera sana
@sujinikipuyo7605
@sujinikipuyo7605 6 лет назад
hongera shishi
@alimaalima6016
@alimaalima6016 6 лет назад
Mashallah wabongo mko vizuri sana
@khadijaarkam5701
@khadijaarkam5701 6 лет назад
Belaleeee🔥🔥
@wahidamohamed9965
@wahidamohamed9965 6 лет назад
safiii nimeamin sasa na nawapenda sana
@hanifakasagula4086
@hanifakasagula4086 4 года назад
Nice
@mariamumustafa7622
@mariamumustafa7622 6 лет назад
mambo ni fire
@omarychediel1307
@omarychediel1307 6 лет назад
Hongera sn Irene una moyo sn na DG janjaa
@daudisereman1736
@daudisereman1736 6 лет назад
hongeren
@rukiakizinga99
@rukiakizinga99 6 лет назад
Saumu Kaisi 99 ll
@saidsaid9463
@saidsaid9463 6 лет назад
Hongera shishi kwa ndoa
@shetanishija6033
@shetanishija6033 6 лет назад
Mmependeza sana
@ashaswaleh3281
@ashaswaleh3281 6 лет назад
Huyu jamaa ni mume na nusu mashaallah
@yusuphramadhani8732
@yusuphramadhani8732 6 лет назад
noma
@azizamwimbe9395
@azizamwimbe9395 6 лет назад
Hongera shishi all the best in ur marriage
@mrspeter9487
@mrspeter9487 4 года назад
Waooo shishi
@dakkitv8248
@dakkitv8248 5 лет назад
Aslay
@emanuelmwakilembe9162
@emanuelmwakilembe9162 6 лет назад
sanaaa janjaroo mzeee baba
@cestjolie5574
@cestjolie5574 6 лет назад
Daaaah... Shilole, Kingereza hamuendani ata kidog sister so pole san kwel but bora tu uwe unazungumza lugha iyo unayoelewa vzur san maan... AIBU san kwel😥😥😥😥😥😖😖😖😖...
@hamisimnyili3445
@hamisimnyili3445 5 лет назад
SoUnbelievable StillRespirer usiseme hawaendan sema hajapata nafas ya kusoma pesa
@rukiaally4688
@rukiaally4688 6 лет назад
nampenda sana janjaro anavyojiamin
@jacobmutia1116
@jacobmutia1116 6 лет назад
good of you ,keep it up
@agnesgodfrey2528
@agnesgodfrey2528 6 лет назад
nimewapendaje
@railamypresidentrailamypre629
@railamypresidentrailamypre629 6 лет назад
yani imeniboa bi harusi aongea mpaka bac
@amateurfootball6867
@amateurfootball6867 6 лет назад
nafkiri kuna shida TZ watoto kuoa rika za wazazi wao. Lakini hayanihusu
@nelsonmlingwa198
@nelsonmlingwa198 6 лет назад
Belaleeee
@rahimajuma688
@rahimajuma688 6 лет назад
yaani dogo janja umenifurahisha hiyo nguo aliovaa mkeo ndefu hadi raha
@jumaramadhani5861
@jumaramadhani5861 6 лет назад
Bado kumvisha hijabu tu
@kenyagirl4573
@kenyagirl4573 6 лет назад
Shishi nakupenda paka naumwa
@floramboya9133
@floramboya9133 6 лет назад
Rahima Juma haha unatisha
@nicholasmakalo1730
@nicholasmakalo1730 6 лет назад
nomo
@aldoba2826
@aldoba2826 5 лет назад
Wanawake ni mabaunsa lkn wanaume ni vimodo.
@sanamax7118
@sanamax7118 6 лет назад
Gud
@dotomaziku4823
@dotomaziku4823 6 лет назад
Ni vizuri sana mastaa mnavyo funga ndoa na wasanii wenzenu lkn ndoa zenu zitadum
@saleheally1153
@saleheally1153 6 лет назад
kweli tumenyooka wale wote wasiotaka kuolewa sasa wanaolewa wenyewe
@kibibingao569
@kibibingao569 6 лет назад
Shishi nakupendaga bureeee....yani hadi rahaaa
@zulphasalum205
@zulphasalum205 6 лет назад
Love u shishy
@angelmwandata2233
@angelmwandata2233 6 лет назад
dah shemela uchebe mpole sanaa
@raheliandrea5331
@raheliandrea5331 6 лет назад
Hongera shishi trump
@nazmaabdul949
@nazmaabdul949 6 лет назад
ila shishi namkubal sana mnyamwez mwenzangu
@josephatjoseph2679
@josephatjoseph2679 6 лет назад
amjajua kama hao niwa saniii ata kwenye ndoa zao nimaigizo tu amna jipya zaida ya filam
@fatumaramadhanmashaallahal9966
Hahaha
@franklinkaranja6244
@franklinkaranja6244 3 месяца назад
Shilole kamtoa wapi uchebe mbona mdogo kijana
@tumafreedom896
@tumafreedom896 6 лет назад
Jemen jemen shishi kwelo uko so fun tu
@samweliecawilondja5037
@samweliecawilondja5037 6 лет назад
Pesa za kusaidia Maskini ninyi mna saidia ninyi kwa ninyi pumbavu zanu kabisa
@salomembiki8590
@salomembiki8590 6 лет назад
Pambetu shishi nice
@gamingcasbet1
@gamingcasbet1 6 лет назад
Hongera wa port ukatulie ktk ndoa maana tushaambiwa wasukuma hasa mboka hatutulii ktk ndoa kaonyeshe kuwa tunaweza
@jasminemasiga5930
@jasminemasiga5930 6 лет назад
libibiarusi linachooonga adi kero mume kimyaaa uyu shilole anaonekana baunsa xn
@tausitausi8194
@tausitausi8194 6 лет назад
Airin umezuga dogojanja kakupa mkono umeukuja kwani mnatakianini kuolewa na vitotovidogo kama unaona aibu?nawakati wazee wenzenu wapo
@husseinshabani1931
@husseinshabani1931 6 лет назад
Nyie mwageni mapesa tu afu mkianza kuumwa mnaomba msaada sasa sijui hiz pesa mnazotunzaga kwa mbwembwe huwa mnajipanga
@allymfaume5959
@allymfaume5959 5 лет назад
lrene woya
@kemmypius8619
@kemmypius8619 6 лет назад
Belale............ Shishi bhna
@supertal2943
@supertal2943 6 лет назад
😂😂😂Kemmy Pius
@imanmsafil4436
@imanmsafil4436 6 лет назад
nafurahi shishi akiongea english
@joycefilbert3529
@joycefilbert3529 6 лет назад
acheni maneno laki tatu tu na elf kumi mke na mme mnaona inawauma sana
@khadijasalimmohamed7544
@khadijasalimmohamed7544 6 лет назад
Alafu wajifanya shilole Wajua kizungu nawala akipandi sionge kiswaili tu Mamy
@samuelnyakundi7854
@samuelnyakundi7854 5 лет назад
hey global tv nawezaje wasiana nanyi kwa maswala ya kibiashara
@saitotisaitoti6734
@saitotisaitoti6734 6 лет назад
Mmh aiseee kweli tunatofautiana...siwez mvulia nguo mtoto niliemzidi miaka kumi pooooh
@onoratinyamwihyula180
@onoratinyamwihyula180 6 лет назад
shishi nakupenda ila uwache mapepe we ni mke tiyari
@superwomanmwenyeheri.1367
@superwomanmwenyeheri.1367 6 лет назад
Mimi sijawahi kuamini mpaka leo Kuwa hawa ni wapenzi!..
@kiki16805
@kiki16805 6 лет назад
Wapi wema, zari, etc....
@rosemahengenicemcpilpil3327
@rosemahengenicemcpilpil3327 6 лет назад
shishiiii bhaaanaaaa
@omanioman8952
@omanioman8952 6 лет назад
Nimependa woya ulivyovaa apo Upo na mumeo mumependeza sana adi raha dogo janja na mkeo nawapenda sana
@michaelcharles49
@michaelcharles49 6 лет назад
hongera sana
@rahimajuma688
@rahimajuma688 6 лет назад
shilole hatulii jaman😂😂😂
@sheillahchisika8414
@sheillahchisika8414 6 лет назад
Rahima Juma 😂😂😂😂😂 huwejua ni bi harusi
@abdulimunisi5050
@abdulimunisi5050 6 лет назад
nimeipenda vzr
@abudabisaidi4343
@abudabisaidi4343 5 лет назад
tokkos
@pennystang6065
@pennystang6065 6 лет назад
Yani uyowa na bwana nikama mama na mtoto wake aibu
@rosemilingi7860
@rosemilingi7860 Год назад
😂😂😂
@faridymkandala1767
@faridymkandala1767 6 лет назад
belaleeeeeee
@sashababy1321
@sashababy1321 6 лет назад
Uchebe mpore dah
@susanafabiani3468
@susanafabiani3468 6 лет назад
duh,mwanaome kanywea
@user-vz4gf4bz8m
@user-vz4gf4bz8m 6 лет назад
Susana Fabiani si yeye kaolewa
@veronicacharles9197
@veronicacharles9197 6 лет назад
Baba levo una kelele
@happymahega2000
@happymahega2000 4 года назад
Uyo mc km Anatangaza mpiraa😂😂😂
@elizabethmwandu9899
@elizabethmwandu9899 6 лет назад
Hahahaha shilole umelewa nini? Irene umependeza hilo gauni lako
@mirajibakari7332
@mirajibakari7332 6 лет назад
Elizabeth Mwandu
@hilalykatepa6803
@hilalykatepa6803 6 лет назад
kuowa staa ni kazi jamaa kama kamwajiwa maji
@user-vz4gf4bz8m
@user-vz4gf4bz8m 6 лет назад
Bibi harusi ana kiherehe
@malulamalula738
@malulamalula738 6 лет назад
نوال الزهراني hoooooooooo
@tibrucemushi1735
@tibrucemushi1735 6 лет назад
Irene Uwoya umeolewa?
@ashaswaleh3281
@ashaswaleh3281 6 лет назад
Awaepushe na shari za watu,mahasidi,na shetani
@georgekasimbilo2245
@georgekasimbilo2245 6 лет назад
Ï
@jamilaakida8294
@jamilaakida8294 6 лет назад
Uyo mc hamna kitu ni mikelele harusi imenoga
@thoyarashid5782
@thoyarashid5782 6 лет назад
Watoto wadogo wadogo mwaoa majimama makubwa
@emanueljuma1139
@emanueljuma1139 6 лет назад
Kwa kwl dogo janja umeolewa...
@zedjoza
@zedjoza 6 лет назад
Emanuel humaine t
@hendryolotuz863
@hendryolotuz863 6 лет назад
Baba levo comedy
@slimthuggfella101
@slimthuggfella101 6 лет назад
Belalee ndo nn jamaa
@faridymkandala1767
@faridymkandala1767 6 лет назад
unanifuraisha na English uwiii
@ukhutmwactymwacty6647
@ukhutmwactymwacty6647 6 лет назад
Dogo njanja hizo pesa ungeenda kusaidia maskin na yatima ili kutengeneza akhera yako
@matobholwamanonu5919
@matobholwamanonu5919 6 лет назад
Wabakaji wakubwa ninyi ...
@lovemyselflovemyself954
@lovemyselflovemyself954 6 лет назад
Matobholwa manonu Umeona èeeereeeeeeee awa Wadada niatari 😝😝😂
@fatumadjumbe2551
@fatumadjumbe2551 6 лет назад
Hawana hata aibu irene uwoya na Dogo janja shishi ame waonyesha Mambo mbona hamkumwita kwenye harusi yenu ambayo ilikua Ime kaa kiwizi wizi
@florahstarson3119
@florahstarson3119 6 лет назад
haikuhusuuu
@allenkabweza9918
@allenkabweza9918 6 лет назад
michezo
@oscarmazeze1733
@oscarmazeze1733 6 лет назад
Fatuma Djumbe j
@nurudovino7305
@nurudovino7305 6 лет назад
Belale ninini
@newasddong5865
@newasddong5865 6 лет назад
Nuru Dovino niile champein hutangazwa na diamond hata aliimba nyimbo ya wakawaka
@hugrinkomba8042
@hugrinkomba8042 6 лет назад
z
@pennystang6065
@pennystang6065 6 лет назад
Bi harusi punguxa midomo
@happymwenisongole257
@happymwenisongole257 6 лет назад
mnashindwa kumshangia wastara mnaonyesha umaarufu wa kijinga kwenye mashughuri
@salmasalim6055
@salmasalim6055 6 лет назад
Jamani mnarusha hela hivyo mm hapa mwenzenu nimefulia😂
@ussikhamisussi4882
@ussikhamisussi4882 6 лет назад
😅😅😅Shishi acha kihemko cha moyo bhana!
@molisiapaul9480
@molisiapaul9480 6 лет назад
Nani apendi kelele za mc kama mimi
@annaalex6695
@annaalex6695 6 лет назад
😂😂😂😂😂 u guyz just watch and laugh @lisaandjoy
@victoriaevarest2322
@victoriaevarest2322 6 лет назад
Dogo anajikubali hadi raa
@rutagandajohn337
@rutagandajohn337 6 лет назад
Hahhhhhh
@husseinmachozi1039
@husseinmachozi1039 5 лет назад
😂😂😂😂😂
@lindaemmily471
@lindaemmily471 6 лет назад
Haha dera lee
@emanueljuma1139
@emanueljuma1139 6 лет назад
Dogo janja huyo sio size yako, wewe bado ni dogo kabsaaa!!! Ila kwa sababu kpnda roho..
@itsangystyle5498
@itsangystyle5498 6 лет назад
😃😃😃😃shishibaby kingereza imesha tukoroga miye na weye. jamani subscribe piya kwa channel yangu:ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-k0I6qRi1BCY.html
@floravictor2898
@floravictor2898 6 лет назад
Mc hilo tshet vepe
@husseinofficial_2585
@husseinofficial_2585 6 лет назад
nice
Далее
Jux na Vanessa kwenye harusi  na walichokifanya
6:16
Просмотров 350 тыс.
Kaunti ya Lamu na Garissa wazozania mpaka
3:50
Просмотров 4,5 тыс.
Vee Money na Jux Walichokifanya, Shilole Hatasahau!
8:08
WEMA: 'Diamond Amenipigia Simu Nikamjibu Hivi!'
7:24
Просмотров 732 тыс.