Тёмный

Vee Money na Jux Walichokifanya, Shilole Hatasahau! 

Global TV  Online
Подписаться 4,9 млн
Просмотров 174 тыс.
50% 1

Suprise ya Vee Money na Jux Kwenye Harusi ya Shilole
Kwa Habari za Kitaifa, Kimataifa, Burudani, Matukio, Breaking News na Exlusive Interview za mastaa wote, video mpya za Bongo Fleva, hadithi za Eric Shigongo na Magazeti Bure, ni Application namba moja pekee Tanzania.
Install #GlobalPublishersApp
Android: bit.ly/2AAQe1d
iOS: apple.co/2Assf4M
Subscribe / uwazi1
COUPLE ya wakali wa Bongo Fleva, Juma Jux na Vanessa Mdee 'Vee Money' usiku wa kuamkia leo wamefanya kufuru usiku wa kuamkia leo baada ya kugawa minoti kwenye harusi, Shilole na Uchebe iliyofanyika Mikocheni jijini Dar es Salaam.
Katika harusi hiyo iliyohudhuriwa na mastaa kibao wakiwemo wa Bongo Fleva na Bongo Movies, Couple ya Jux na Vanessa walipata fursa ya kutoa nasaha na kumpongeza Shilole kwa kufunga ndoa pia wakimpongeza Uchebe kwa kumpata mke aliye bora.
Baada ya hapo, Jux alichana pochi na kumkabidhi Vanessa mkwanja ambapo aliwavagaa maharusi na kuanza kuwarushia pesa hizo kama zawadi.
FACEBOOK: / globalpublis. .
TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

Развлечения

Опубликовано:

 

13 янв 2018

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 50   
@alimaalimaa6048
@alimaalimaa6048 6 лет назад
ve and jux nawapendaga sana
@missritzzy4112
@missritzzy4112 6 лет назад
uuuuwiiiiiii jaaaamanii nakapendagaa ka Vanessa jooomaaaniiiiii
@hadijangolo8269
@hadijangolo8269 6 лет назад
hadi raha jamani 😘😘😘😘🙌🙌🙌sijui kwa nn nilipitwa
@ruwaidamohd1965
@ruwaidamohd1965 6 лет назад
Penda sana couple yenu love u mingimingi vee&jux
@dianajaphet651
@dianajaphet651 6 лет назад
ruwaida mohd
@ashminaabdullah5626
@ashminaabdullah5626 6 лет назад
Iko pw sana harusi yako Allah akupeni kilalenyeheri
@jescajoseph2031
@jescajoseph2031 6 лет назад
wow I real love this couple
@nataemsuya
@nataemsuya 6 лет назад
Safi sanaaaaaa....dah hadi raha
@christopherdamian8329
@christopherdamian8329 6 лет назад
noma sana wcb na jux mnamchango mzuri BG up lakn huyo mc noma hyo Tshart cjuh n ya buku,
@rehemachristian5876
@rehemachristian5876 6 лет назад
Christopher Damian hahahaa.T-shirt y buku!!!
@tasianercharless6833
@tasianercharless6833 6 лет назад
Jux na Vanessa nawapendaga mkiwa wote
@lindasophia1288
@lindasophia1288 6 лет назад
Congratulations shishi 😍❤️
@selinarubeni7881
@selinarubeni7881 6 лет назад
Mmmmh haya bhana mie nawatakia maisha mema ya ndoa
@babycandy1153
@babycandy1153 6 лет назад
Congratulations Shish
@irenelaurian6901
@irenelaurian6901 6 лет назад
l love it
@seifmalik9042
@seifmalik9042 6 лет назад
Nakupenda snaaaa vee money😍😍😗😘
@julyprotaz5122
@julyprotaz5122 6 лет назад
Kwenye mapenzi hakuna wakuingiria vee mani na jux mungu awabariki wafunge ndoa
@sleimanhamadtv6110
@sleimanhamadtv6110 6 лет назад
Good
@kemmypius8619
@kemmypius8619 6 лет назад
Dream come true....... Uchebeeeeeee
@jafaryurasa3894
@jafaryurasa3894 6 лет назад
Kemmy Pius
@mhetamheta5368
@mhetamheta5368 6 лет назад
Aslay
@latifamtanda6312
@latifamtanda6312 6 лет назад
Mnapendezana sana
@missflavia3076
@missflavia3076 6 лет назад
Vanessa we mzuri tafadhali mufunge ndoa na juma
@esternyamoronga5444
@esternyamoronga5444 6 лет назад
Pendaa xna u guyz
@theresiankoyi9418
@theresiankoyi9418 6 лет назад
baba levo ni noma eti underground huu mwaka wa saba na hyatt na mc awepo loh hahahaha
@lilianododo5433
@lilianododo5433 6 лет назад
mazoeya jamn anashindwa ongea Kiswahili 😂😂😂
@mwanaishambili241
@mwanaishambili241 6 лет назад
Hahaha mashaallah shshi kwa atuwa ulochukuwa Allah walinde
@mhetamheta5368
@mhetamheta5368 6 лет назад
Aslay
@queenhalimoja2599
@queenhalimoja2599 6 лет назад
jamani babá levo
@aisshamohamed3452
@aisshamohamed3452 6 лет назад
Anywhere I go they call me cash madam..
@doreenmuno6749
@doreenmuno6749 6 лет назад
Dada vanesa mimi kiu yangu natamani tu nione mmefunga ndoa na jux na mzae watoto
@akimmbwego797
@akimmbwego797 6 лет назад
Mc namimi naomba uchague zawadi pls
@dotomaziku4823
@dotomaziku4823 6 лет назад
vanesa na jux nyie kweli mapenzi mwayajua kwani ni muda mrefu mko ktk mapenzi
@EliasNgoda
@EliasNgoda 2 месяца назад
Kabla babalevo hajajip
@maima1606
@maima1606 6 лет назад
Babalevo unanini lkn
@carolineoduol7226
@carolineoduol7226 6 лет назад
Aa
@amedeusgregory5438
@amedeusgregory5438 6 лет назад
Nawapend bur @Vee Money n @Jux
@latifajuma4501
@latifajuma4501 6 лет назад
Mc anajifunzaa nn
@fatumadiwani
@fatumadiwani 6 лет назад
Kumbe Vanessa ni andunje pooh
@zuhuramustafa3936
@zuhuramustafa3936 6 лет назад
😂😂😂😂
@rehemachristian5876
@rehemachristian5876 6 лет назад
baba levo honeymoon na mc ?? duuuh
@mimaarich9103
@mimaarich9103 6 лет назад
Rehema Christian #wallh nimchka
@AzaAlhabsi
@AzaAlhabsi 6 лет назад
😂😂😂😂😂😂😂hyu mc kanivunja mbavu walah
@ipyanamsomba8026
@ipyanamsomba8026 6 лет назад
Aza Al.habsi walai, eti hela analipa bank, hutoona ata mia😀
@laurentr0bert122
@laurentr0bert122 6 лет назад
HUWEZI AMINI WALICHOFANYA BONGO MOVIE..ANGALIA LINK HIYO ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-53vAY_y1CQs.html
@itsangystyle5498
@itsangystyle5498 6 лет назад
muzuri sana.wasani ku support mwenzabo msanii:subscribe kwa channel yangu please:ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-k0I6qRi1BCY.html
@bosssoul2552
@bosssoul2552 6 лет назад
vee huo ufupi usifanye ushushe umri
@kingsimwita8273
@kingsimwita8273 6 лет назад
Reymaah 255 Mzuri sana
@mhetamheta5368
@mhetamheta5368 6 лет назад
Aslay
Далее
WEMA: 'Diamond Amenipigia Simu Nikamjibu Hivi!'
7:24
Просмотров 731 тыс.
The Trump rally shooting from a photographer's POV
00:58
skibidi toilet 76 (full episode)
08:11
Просмотров 11 млн
“ALI KAMWE SIO BOSS WANGU” MANARA AVUNJA UKIMYA
4:23
Jux na Vanessa Wakiimbiana Kimahaba Tigo Fiesta Dodoma
8:24
ИСПАЧКАЛ
0:30
Просмотров 2,5 млн
This or That 🛍️
0:52
Просмотров 5 млн