Kuja kwa hakimi, ni confections nyingine kwa Engineer Hersi kuwapokea wengine...maana mastaa ambao rafiki na Hakimi watakuwa connected to Engineer kwa ajili ya kuratibu ziara zao
ALLI KAMWE,UJUE UNAMUUMIZA MOYO MDOGO WAKO,AHMED ALI!! HII FURSA ANGEIPATA YEYE NDIO INGEKUWA NYIMBO YA TAIFA.LAKINI WAPIII!! YANGA AFRICAN'S NDIO NYOTA YA TANZANIA,NA NI GUMZO BARANI AFRIKA NA NJE YA BARA LA AFRIKA.HII NDIO YANGA CLUB KUBWA!!
Kwani na wewe hatujawai kujipendekeza acha shobo kujipendekeza kwa manufaa ya nchi na team ni Bora zaidi kuliko kujipendekeza kijinga😂 naimani wewe kwenye kujipendekeza kwako hakuna faida zaidi ya ujinga uliombulia