Тёмный

Sijawahi Kusema, Ninao Maadui Mtume Mwamposa 

Chomoza Tv
Подписаться 216 тыс.
Просмотров 57 тыс.
50% 1

Kuendelea kupata mafundsho mengine zaidi tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:-
Facebook : / gospeltvshow
Instagram : / chomozanews
RU-vid : www.youtube.com...
#ChomozaTv#Mwamposa#UwezaWaMungu.

Опубликовано:

 

8 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 139   
@jacklinebirusha292
@jacklinebirusha292 2 года назад
Mafundisho mazuri sana hayachoshi kusikiliza asifiwe Mungu aliyekuleta Duniani kwa jina la Yesu Kristo
@matridaignas8255
@matridaignas8255 3 года назад
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu,unamafundisho mazuri! Kupitia maombi yako nimefunguliwa na nimepona! Uishi miaka mingi
@JescarMwakipesile
@JescarMwakipesile Месяц назад
Ni mbaya sana watakatifu kutoelewana. Mungu atupe ufahamu wa Kiroho. Tuombeani tusihukumiane wala kudharauliana. Mungu atusaidie.
@bethajonas4814
@bethajonas4814 29 дней назад
amina mtume mungu wa mbingungu akulinde uendelee kutufundisha mafundisho ya mungu ubarikiwe sana
@anordsakaya9852
@anordsakaya9852 4 года назад
Eeeh Mungu naomba nikitoka kwenye Siku ya kwanza unipaishe mpaka Siku ya tatu maana Siku ya pili inakatisha tamaa.Amen. @HATARI YA SIKU YA PILI.
@JaneMkinga
@JaneMkinga Месяц назад
Ameen!! Baba yetu tupe nondo tusimame katika neno tujue kweli ituweke huru
@rehemashaban6858
@rehemashaban6858 4 года назад
Asante sana baba wengi wetu tupo siku ya pili mungu atutie nguvu kweli
@AshaMsumi
@AshaMsumi Месяц назад
Mtume tunakukubali sana mafundisho yako❤❤❤
@willymfilima9936
@willymfilima9936 2 года назад
Mtume uko vizuri,ufanikiwe sana...!
@banguha
@banguha Год назад
Asante mtumishi kwa kweli mim nimekuwa nikiomba na kufunga lkin kazin kwangu ndo kwanza bos anazidisha chuki leo umenipa somo kumbe niko siku ya pili hakika leo nimeamka nimekata tamaa Mungu anisaidie na anisamehe kwa kukata tamaa kwangu
@user-qv6fe2qt5r
@user-qv6fe2qt5r Месяц назад
Yaan mtumishi una hekimaa wewe ndo màana sichoki kusikiliza mahubili yako🙏🙏
@Fahilarashid
@Fahilarashid Месяц назад
Yani Mtumishi Mungu akubariki sana yani mpaka sitaki mahubiri yaishe kbs
@gracepaulo7354
@gracepaulo7354 3 года назад
Nabarikiwa sana mtume..nakupenda pia baba wa iman ubarikiwe sana
@kenethkayuni8658
@kenethkayuni8658 2 года назад
Ubarikiwe mtumishi waMungu uishi miaka 100
@dorotheawilliam2982
@dorotheawilliam2982 2 года назад
Amina nimepokea nimepona na nimeshinda kabla ya kushinda pia Mungu naomba univushe haraka siku ya pili
@emmymatigula4870
@emmymatigula4870 3 года назад
Asante MUNGU ALIYEHAI,nimepokea kupitia kinywa cha Mtumishi wako.Amina
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 2 года назад
Manung'uniko ni dhambi,yanaongeza uharibifu🙏
@AshaMsumi
@AshaMsumi Месяц назад
Kweli baba maadui ni wengi mafundisho mazuri Asante sana mtumishi😅😅
@elinemsuya8651
@elinemsuya8651 2 года назад
Duuh I like this man of God
@WinWilly4162
@WinWilly4162 4 года назад
Ahsante Apostle,nimejifunza kitu kikubwa sanaa
@rehemaiyanga5334
@rehemaiyanga5334 3 года назад
Apostle namuelewa sana hakika kaletwa na Mungu haleluya
@mbassa5070
@mbassa5070 Год назад
Baba anahekima sana
@HelenaTembo-dz4pr
@HelenaTembo-dz4pr Год назад
Ubarikiwe sana Kwa Kaz njema hata yesu wakuu wa makuhani wali msulubisha tupo pamoja
@aleckkinyoa6571
@aleckkinyoa6571 3 года назад
Ameen baba Neno hili limegusa full maisha yangu niombee nivuke salama siku hii ya pili
@mukembanyikalinda8908
@mukembanyikalinda8908 Год назад
Mimi nayapenda saana
@jengatech_tanzania
@jengatech_tanzania 4 года назад
Amen apostle
@graceasukile7029
@graceasukile7029 2 года назад
Namuelewa sana huyu Mtumishi..hakika Mungu,azidi kukutumia..japo ni ngumu sana kueleweka na walio wengi..
@senimsangi677
@senimsangi677 Год назад
Asante sana mtumishi wa wangungu nimejifunza mengi na nimebarikiwa sana
@zainatoji1965
@zainatoji1965 3 года назад
Asante mtume nimepona magonjwa mengi kupitia mungu wa mwamposa ndoa yangu inapona mungu azidi kukupa maono
@hongeradulle1553
@hongeradulle1553 3 года назад
Aminaa naamini Nani nitapona kwa jina la yesu aminaa
@bethajonas4814
@bethajonas4814 29 дней назад
amina mtume
@graysonkewe1004
@graysonkewe1004 2 года назад
Amen Baba, Asee am never the same
@JanethAmosi-i1f
@JanethAmosi-i1f Месяц назад
Mungu akuweke mtume
@ameniameni617
@ameniameni617 3 года назад
Amen mtumishi kitabu cha nguvu yakuona kimenisaidia kuwa na Imani kubwa pia mafundisho yako yamenijenga mpaka sasa siogopi chochote .Mungu azidi kukuinua
@MUSSAJDMWAMASIMBI
@MUSSAJDMWAMASIMBI 3 года назад
This is deep Major
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 2 года назад
Safi sana,Bwana ana watu I jus love this revelation!🙏Yesu ni Mungu, hallelujah
@gladnessjoseph9847
@gladnessjoseph9847 Год назад
Mungu akutunzeee babaaa naponaaa kwa mafundisho tu
@sarahmgaiwa8808
@sarahmgaiwa8808 2 года назад
Barikiwaa mtumishi wa MUNGU
@Jasinthaamon
@Jasinthaamon 9 месяцев назад
Ameeeeeeeeen 👏👏👏👏
@AshuraYasini
@AshuraYasini 10 месяцев назад
Ameen mafundsho haya nimeyaelewa mungu akubariki mtumishi
@user-nf9nw7xd6y
@user-nf9nw7xd6y 8 месяцев назад
Mtumishi wangu pendwa Mwamposa amenipa amani na kuijua kweli
@julianlaurent2107
@julianlaurent2107 3 года назад
Yaani mtume baba wa Imani wengi wamepona kupitia maombi yako
@dianamwakitega6111
@dianamwakitega6111 3 года назад
Asante mtumishi wa Mungu
@Wityzac
@Wityzac 7 месяцев назад
Bonge la mafundisho barikiwa mtumishi
@zulfafengu3783
@zulfafengu3783 7 месяцев назад
Mbona Sasa hivi chomoza mwamposa atumuon chomoza
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 11 месяцев назад
Ameeeni nimepokea
@stelladomani4429
@stelladomani4429 4 года назад
Apostle nahitaji hicho kitabu.nguvu ya kuona ninacho kizuri sana. Mungu akubariki sana.
@prijoseph4665
@prijoseph4665 7 месяцев назад
Habari Mpendwa
@rainfalling103
@rainfalling103 3 года назад
Ameni!
@yohanayohana888
@yohanayohana888 2 года назад
Amen
@lilyrose7983
@lilyrose7983 4 года назад
Ameen mbarikiwe sana
@JaneMkinga
@JaneMkinga Месяц назад
Ameeen🎉
@Rodahpaschal
@Rodahpaschal Год назад
Anaongea point
@pauloalex5152
@pauloalex5152 2 года назад
Amna mtumishi
@aloycekibiki9618
@aloycekibiki9618 10 месяцев назад
Songa mbele mtumishi wa Mungu
@johnnjau2028
@johnnjau2028 Год назад
Dah kiukweli nimejifunza sana
@mberwasevelian7406
@mberwasevelian7406 9 месяцев назад
Mungu wa madhabau ya rise and shine bariki kazi ya mikono yangu nyota yangu ingae Kila niendako nipendwe nakila mtu nizidiwe mafanikio makubwa nimiliki pesa na Mali Kila nifanyalo lifanikiwe niwe tajili mkubwa ninuke nakuangaz Kila Kona nipendwe mpk nizidiwe
@aleckkinyoa6571
@aleckkinyoa6571 3 года назад
Ameen ndimi mrs Aleck
@wordoffaithanddeliverencem4365
@wordoffaithanddeliverencem4365 2 года назад
Neno la kweli kabsa
@pastorgodsonjohn8562
@pastorgodsonjohn8562 3 года назад
Kitabu kinapatikanaje hicho
@mukembanyikalinda8908
@mukembanyikalinda8908 Год назад
Ubarikiwe saana
@Jasinthaamon
@Jasinthaamon 9 месяцев назад
Jamani SoMo zurii mnoooo
@yasinijuma6646
@yasinijuma6646 Год назад
absalute mr. mwamposa
@jeressjohn9105
@jeressjohn9105 3 года назад
Barikiwa sana 🙏🙏
@edykiwele878
@edykiwele878 2 года назад
Duh una mawe yakujenga na kuokoa we noma
@elizabethkambi5221
@elizabethkambi5221 Год назад
Mafundisho mazuri sana
@odethadeodatus5906
@odethadeodatus5906 4 года назад
Barikiwa sana Mtumishi kwa mafundisho yako mazuri ya kutufundisha lmani .
@lavianaalbert9006
@lavianaalbert9006 3 года назад
Kiukweli umenivusha sana sku pili nimekua jasri siogopi wala stajibizana na watesi
@amokizzymc705
@amokizzymc705 3 года назад
Ubarikiwe sana mtume mungu akuweke miaka mingi sana
@benjaminlijongwa3715
@benjaminlijongwa3715 3 года назад
Watesi wangu wa siku ya pili wajiandae kunishuhudia nikila Bata mbele yao siku ya tatu imekaribia
@johnnjau2028
@johnnjau2028 Год назад
Amen halelluhy
@adarashidi8178
@adarashidi8178 2 года назад
Amen 🙏🙏🙏
@elizabethmgimba
@elizabethmgimba Год назад
Amna
@kyaruzitz4994
@kyaruzitz4994 4 года назад
MUNGU AWABARIKI SANA
@matridaignas8255
@matridaignas8255 3 года назад
Ameeeeeen
@tezrantangeki5845
@tezrantangeki5845 3 года назад
Amen! Barikiwa mtume! Unafundisha kwa umakini mkubwa,mno!
@semakogamtende3929
@semakogamtende3929 3 года назад
Mungu akubariki sana mtumishi
@pastorgodsonjohn8562
@pastorgodsonjohn8562 3 года назад
Mwambie dr sam akanyage chini ananinginia kwa kiti sjui haumii😂😂😂
@abeidonesmo8373
@abeidonesmo8373 3 года назад
Mwampossa baba lao
@kenethkayuni8658
@kenethkayuni8658 2 года назад
Nimekuelewa sana mtumishiwa Mungu tuendelee mbele
@happinessakim2679
@happinessakim2679 Год назад
🙏🙏🙏
@simonielisha9041
@simonielisha9041 3 года назад
Naelewa Sana Hapa unachokosema mtume
@AshaMsumi
@AshaMsumi Месяц назад
Amen mtumishi😅😅😅
@nzumimawa9853
@nzumimawa9853 Год назад
Kwa kweli Akili aliyonayo Apostle Mwamposa kama ni degree za duniani sijui zingekuwa ni ngapi. Naomba Mtumishi atutoletee hicho kitabu cha siku ya pili uchambuzi wake umenishangaza sana kwani si rahisi kama mtu wa kawaida anavyoweza kufikiri, cha nguvu ya kuona chenyewe kinanitoa jasho, I sometimes fail to read between the lines and keep on repiting.
@amashalwijajo5698
@amashalwijajo5698 2 года назад
mafundisho mzr sana
@daudisaba7808
@daudisaba7808 2 года назад
Hapa ktv tanzania
@sekelagatusekelege9325
@sekelagatusekelege9325 Год назад
Majibu yanayojitosheleza
@roselugendo6943
@roselugendo6943 3 года назад
Asante baba kwa somo zuri
@paskalmagiri4466
@paskalmagiri4466 3 года назад
Bwana mwenyewe ana maadui ufu 12;7_20
@lovenessmwamengo7090
@lovenessmwamengo7090 2 года назад
Jamani tunaitaji kitabu hicho
@analucas7606
@analucas7606 Год назад
Amém
@atanito1327
@atanito1327 3 года назад
aleluyaaa naomba bos wangu aniogope hata kuniomba hesabu yake na kila anae nidai aniogope kwa jina la yesu amen
@joycechaz2840
@joycechaz2840 3 года назад
Lipa madeni ya watu huko!! wakuogope nini wakati ulikopa
@joycechaz2840
@joycechaz2840 3 года назад
Boss asikuombe hesabu kweli? Ungekuwa wewe ndo boss ungejiskiaje?
@jonathanmnyone4003
@jonathanmnyone4003 2 года назад
Nadhani unamuelewa vibaya Apostle. Hakuwa anamaanisha usiwajibike. Ni wajibu wako kulipwa deni na kutimiza kazi ulizopewa na boss wako.
@jonathanmnyone4003
@jonathanmnyone4003 2 года назад
Kulipwa= kulipa
@archkeels3753
@archkeels3753 Год назад
Nataka nisikuelewe lakin najikuta ovias
@madatapeter2218
@madatapeter2218 3 года назад
Amini kua ukiona unapata madui ndio utapa mafanikio kumbe nilikua sijui kumbee ukiwana maono nilazima upte madui ameni nashukuru Sana kwa kujua hii 🙏🙏🙏🙏ameni
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 11 месяцев назад
Unapoinuka au inuliwa adui au maadui lazima
@naikenjau1686
@naikenjau1686 Год назад
Kweli kabisa bila maadui hufikiii mafanikio yako
@seniorprophetmaxmbise737
@seniorprophetmaxmbise737 2 года назад
✋✋✋👏
@noelmarapachi1808
@noelmarapachi1808 4 года назад
Kazi nzuri wapendwa, ila ficheni hizo transmitor za mic
@atanito1327
@atanito1327 3 года назад
udat iyooo aninga'ng'nie
@pastorsthenksrojaskapunga6843
Akili inaitajika hekika kweli kuishi na ndugu hekika
@carenhilary8067
@carenhilary8067 11 месяцев назад
Haleluya, nimepata kitu zaidi ya Madini.
@RaphaelGerald-ip4vs
@RaphaelGerald-ip4vs 3 месяца назад
Hatali yacku yapili
@user-nf9nw7xd6y
@user-nf9nw7xd6y 8 месяцев назад
Mtangazaji unachekacheka tulia usikilize nn mtumishi anaongea
@paulmassawe1591
@paulmassawe1591 2 года назад
Mwandishi anamawenge kweli kweli wanaume weupe Ndio kawaida yao
@albertomsolansimbi1512
@albertomsolansimbi1512 Год назад
So inspirational!
@leonardmtweve
@leonardmtweve Год назад
Wewe Ni Mtume wa kweli kutoka kwa MUNGU hakika mapenzi ya MUNGU yaendelee kutimizwa kwenye maisha yetu sisi wanadamu wote Katika Jina la YESU KRISTO AMEEN . MUNGU akulinde zaidi Mtume wetu Boniface Mwamposa ❤️❤️❤️
@kiazikitamu3985
@kiazikitamu3985 3 года назад
Watu waliomfata Yesu awaombee walisema shida zao hawakuzificha kama unaumwa sema naumwa usisemw siumwi kama hauumwi unahitaji maombi ya nini, wogonjwa ndio wanaomfata Daktari si wazima, halafu Yesu alisema nimekuja kwa ajilinya wenye dhambi na wale wenye ndambi walimpokea hawakukana kwamba hawana dhambi,batimayo alipoulizwa unataka nini batimayo alijua yeye ni kipofu na akamwambia Yesu ninataka kuona hivi Batimayo angeficha tatizo lake je angeponywa? Utakuta mtu anakataa eti haumwi wakati unamwoma anakwenda hospitali au anakwenda kuombewa wakati kasema haumwi duh inachanganya sana
@priscadaniel7
@priscadaniel7 4 года назад
Mutume mwpoosa mungu awe na wewe siku zte tumepona kupitia wewe
@jastinshukabwanakatikatiya7230
@jastinshukabwanakatikatiya7230 3 года назад
Amina mtumishi nimebarikiwa sana na mafundisho yako
@omarikereda2888
@omarikereda2888 3 года назад
Ubatikiwe Sana mtume,nimefunguliwa,nimepokea,nimezidishiwa imani
@hongeradulle1553
@hongeradulle1553 3 года назад
Namimi naamini nitatembea kwa uwezo wa mwenyezi mungu amina
@janetmwasokwa4016
@janetmwasokwa4016 Год назад
Nivushe siku ya pili leo baba na niupushe na madui
@seebs1156
@seebs1156 3 года назад
Nimejifunza kitu kuhusu siku ya pili
@shadrack1425
@shadrack1425 Год назад
Mwamba huyo
Далее
ВОТ ЧТО МЫ КУПИЛИ НА ALIEXPRESS
11:28
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Просмотров 9 млн
Mwanga Wa Akili (Intelligence) Dr.Elie V.D Waminian.
34:13
DR SLAA AFUNGUKA A-Z UTEKWAJI WA ALLY MOHAMMED KIBAO
15:08
IPO FAIDA KWENYE KILA TATIZO LAKO .
10:41
Просмотров 20 тыс.
Mwanga Wa Akili (Intelligence) Dr.Elie V.D Waminian.
43:40
ВОТ ЧТО МЫ КУПИЛИ НА ALIEXPRESS
11:28