Innalillah wainnailahi rajiuun Allah awape subra wote wallah mtihani mzito huu Allah awape subra watoto wake na wazazi wake na familiar yote kwa ujumla Aamiin
*_Historia ya Matawi ya Kanda ya Kusini Tanzania_* _usisahau kuisabscribe UPENDO KWA WOTE_ *Historia ya Mdimba* ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-HB78vW9Gx4A.html *Historia ya Mtama* (Lindi) ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-7Vi2VlcT5jY.html *Historia ya Nahukahuka* (Lindi) ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-yer3ya9ArcA.html *Historia Ya Mdumbwe* ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-OFjpIhHAX1w.html *Historia ya Mahuta* ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-GASWE6_8RNU.html *Historia ya Dinembo* ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-r92jqmUXB0w.html *Historia ya Newala* ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-xn_GCuJ28_s.html *Historia ya Mcholi* ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-xAnvr1X9tak.html *Historia ya Mangaka* ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-lBNPuQEtDts.html *Historia ya Mpwahiya* ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-K4yEsXnt4g0.html *Historia ya Nachingwea* ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-2SCNzzPPCd4.html *Historia ya Kilwa* ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-UOHg0-FczgI.html *Historia ya Mpombe* ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-F4i90Ialcxg.html
nimekumbuka kale kawimbo kenu mlicho kua mnakaimba kwenye kipindi cha jahazi, mlikua mnaimba hivi mbinguni hakuna bia nasiku ukiondoka tutakunywa zako bia. R.I.P braza kibonde
kaka G chonde chonde tuliza moyo ktk kipindi hiki kigumu ulichonacho mkabidhi mungu yy ndie anaejua itakuwa vp mwenzio alisema anarudi Dar peke yke matokeo yke msongo wa mawazo na uchungu umemsababishia mstuko wa moyo kupelekea mauti kumkuta nakuomba kaka usiwaze sana muachie mungu tu
So sad,Kibonde umeniumiza Kibonde watt wako Kibonde wananiliza Mimi najua adha ya kuachwa na wazazi najua maumivu yao pole watt,wazazi na ndugu zako na Familia ya Clouds fm &TV na mashabiki wako wore wa jahazi.
Alinivutia kwa utangazaji toka akiwa CTN yy na mwenzio paschal mayala Nimeumia nimeumia ila kazi ya mungu haina makosa Allah ampe pumziko LA milele Pole kwa familia Polen watoto wake
Bro G kumbe bado unaikumbuka hiyo kauli safi sana hats mm naikumbuka sana maana siku hiyo nikikuwa nasikiliza jahazi naaliongea on air wala sio siri, Fanya kama qlivyokuambia tafiki yako alikuambia uwasimamie kwa kila kitu
Yan hujakosea na hicho ndokimemuua hakutegemea na hakuamn na aliwaza yy jee watt watabakije hapo lazma pressure iwake juu kwa kasi mung acha aitwe mungu
Alimpenda mke wake jamani huu msiba wa ruge umemrudisha nyuma haamini mpaka leo kama mkewe alikufa Pumzika kaka Mungu akukuzie wanao msalimu mkeo kipenzi tutawakumbuka daima
Daaaaa yaani amjamaliza ili limeibuka lingine clauds sizani Kama watafanya kazi kwny mood kama siku zote asee mpk wakaee sawwa daaa itaa chukua muda sna