Tazama matukio mbalimbali yaliyojiri kwenye mchezo wa kirafiki kati ya Simba SC dhidi ya Power Dynamos ya Zambia kwenye tamasha la Simba Day. Simba SC wameshinda kupitia magoli ya Willy Onana na Fabrice Ngoma.
Hii Team Yetu ya Simba nataka niwaambie watanzania Kuna jambo kubwa itaenda kulifanya msimu huu na itakua ni historia kwa nchi na vizazi.... Najua watu hawana Iman na team sababu wanaangalia performance ya Yanga kwenye NBC ilaa katika Mashindano ya kimataifa CAF CHAMPIONS NA SUPER LEAGUE MWAKA HUU SIMBA INAENDA KUWEKA HISTORIA
Ofcrs F-Teams za Tanzania zimekuwa sasa yaani mwaka huu tutashuhydia mengi NBC as well as Kombe la Africa...Naitakia Tanzania mashindano mema na yenye amani kabisa...Go Simba, Young, Azam and Singida to present the Nation kwa kweli