Тёмный

WEDNESDAY NIGHT LIVE | Mohamed Hussein Zimbwe Jr. na mapito yake tangu kuzaliwa hadi Simba SC 

Azam TV
Подписаться 2,7 млн
Просмотров 27 тыс.
50% 1

ZIMBWE JR. EXCLUSIVE 24/07/2024 | Kutoka nchini Misri, Beki wa Simba, Mohamed Hussein Zimbwe Jr. amezungumza exclusive na Patrick Nyembera kuhusu maisha yake ya soka, na mapito aliyopitia katika timu mbalimbali....
Zimbwe pia ameeleza changamoto ya kuwania namba aliyokutananayo ndani ya Simba hadi kufanikiwa kuwa beki tegemeo namba 3 kwenye kikosi cha Simba na Taifa Stars.
Mahojiano haya yamefanyika mwezi Julai, 2024 wakati klabu ya Simba ikiwa mjini Ismailia, nchini Misri kwa ajili ya #preseason

Опубликовано:

 

7 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 41   
Далее
MOHAMED HUSSEIN AKIZUNGUMZIA MAISHA YAKE YA SOKA
38:38
Live Manchester United 0-3 Liverpool
2:17:21
Просмотров 364
REKODI ZA KOCHA  WA SIMBA: HUJAWAHI ZISIKIA POPOTE...
16:21