Тёмный

Power Dynamos 2-2 Simba SC | Highlights | CAFCL 16/09/2023 

Azam TV
Подписаться 2,7 млн
Просмотров 1 млн
50% 1

Ni sare ya 2-2 Simba wanapata kwenye Uwanja wa Levy Mwanawasa, Ndola Zambia dhidi ya Power Dynamos, mchezo wa kwanza hatua ya pili ya awali Ligi ya Mabingwa Afrika, #CAFChampionsLeague
Magoli yote mawili ya Simba yametoka kwa Clatous Chama dakika ya 59 na 90 huku Power Dynamos wakipata magoli yao kupitia kwa Ayoub Lakred aliyejifunga dakika ya 28 na Mulombwa dakika ya 74.

Спорт

Опубликовано:

 

15 сен 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 458   
@RamadhaniMadanga-ne7jk
@RamadhaniMadanga-ne7jk 7 дней назад
Nimerudi kumtazama mutale baada yakusajiliwa na simba
@CharlesWanyeche-er6rw
@CharlesWanyeche-er6rw 7 дней назад
Kumbe tupo weng asee sema jamaa nimwamba
@fadhiliedward8982
@fadhiliedward8982 8 дней назад
Simba mpya na imara inakuja wanasimba tuwe na imani na subira🔥🔥
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 9 месяцев назад
Chama Chama nakupend sana pamoja na Simba yangu
@LungwechanashonOtieno-zb4zj
@LungwechanashonOtieno-zb4zj 9 месяцев назад
@user-jp2rg6yr1j
@user-jp2rg6yr1j 9 месяцев назад
Honestly, this Guy is lethal.. I am Zambian and proud of his tenacity, hardwork and desire to win. 👏👏
@aminata3702
@aminata3702 9 месяцев назад
Please he is ours 😆,Chama is a Tanzanian😘😘😘 we love him
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 9 месяцев назад
Power mkija bongo mtakul nying sana nyiye wakawaid tuu kwa SIMBAAAAAAAAAAA
@shelakidobi9945
@shelakidobi9945 9 месяцев назад
Yan hawa wawili Muhammed hussein na kapombe mechi za ugenin wanakuwa wabovu sana
@gasparlubaga5866
@gasparlubaga5866 9 месяцев назад
Kwa kweli Mohamed Hussein na Kapombe wameisha kabisa
@witnesskihaga2241
@witnesskihaga2241 9 месяцев назад
Hongera sana simba sport club mmepambana vya kutosha karibu nyumbani
@obadiashadrack3156
@obadiashadrack3156 9 месяцев назад
Tunamuomba ally salumu mechi ijayo awepo golini huyo ❤❤❤❤ tunaipenda simbaaaaaaa yetu
@vitalisikavela6083
@vitalisikavela6083 9 месяцев назад
Tusimlaumu kipa! Kafanya kosa sawa lakin kuna save kazifanya znasahil pongez kabisa
@peterkapel5332
@peterkapel5332 9 месяцев назад
Kweli kama ile malone alotaka kupiga jamaa akagonga kichwa
@peterkapel5332
@peterkapel5332 9 месяцев назад
Kweli kama ile malone alotaka kupiga jamaa akagonga kichwa
@vitalisikavela6083
@vitalisikavela6083 9 месяцев назад
@@peterkapel5332 ubaya wetu sisi tunaangalia makosa tuuh
@zuberhamza7852
@zuberhamza7852 9 месяцев назад
Anaemlaumu kipa hajui mpira
@vitalisikavela6083
@vitalisikavela6083 9 месяцев назад
@@zuberhamza7852 kwel kbx
@khadijamisayo7476
@khadijamisayo7476 8 дней назад
Nimekuja hapa kumuona mutale
@user-dh7pm7xp7h
@user-dh7pm7xp7h 9 месяцев назад
Tatizo Simba wanacheza kistar sanaaa
@msurimtenukila6745
@msurimtenukila6745 9 месяцев назад
Goli kipa mzuri sana ila wachezaji ndo wamezingua
@neemadionicmassawe9097
@neemadionicmassawe9097 9 месяцев назад
Kaka unajua sana mpira Mimi nimewaambia wengi lile ni kosa ambalo magoli kipa Bora wote wanafanyaga hata manula anapigwaga magoli ya kizembe apewe mda ndio kwanza gemu yake ya kwanza..,Ila makosa ya magoli yameigharimu timu wakati mwengine watarudi wakiwa bora
@markkayuni9775
@markkayuni9775 9 месяцев назад
Kiukweli kipa mzuri sana ata mm nimeona ilo
@RASHIDMOHAMMEDI
@RASHIDMOHAMMEDI 9 месяцев назад
Naweza kumlaumu kipa Lakin kabla ya kipa namlaumu Baleke magoli mawili yeye peke yake anakosa huu ni ujinga wa hali ya juu sijawahi kuuona na goli la pili ni jepesi sana nahisi kipa bado hajawa katika mfumo kabisa na kocha hatufai maneno mengi lakini hakuna kitu
@kelvinkapembwa9750
@kelvinkapembwa9750 9 месяцев назад
Will wire this Simba team,just one goal Power here we come to Silence Simba at there fortress!Go Power Go!
@HisaniMsigwa-lc6zk
@HisaniMsigwa-lc6zk 9 месяцев назад
Kapombe na Hussein wapumzike ,kocha timu imemshinda mgunda alikuwa Bora upande wangu hii game angeshinda nyingi sana.Nabii akubaliki kwao
@user-vz4xj2ci2w
@user-vz4xj2ci2w 9 месяцев назад
tatizo hana sifa alafu akishikwa ndo mmefungwa hukumbuki alianza kupoteza mechi muhimu ad simba ikamaliza yapili
@JacqueSangu
@JacqueSangu 9 месяцев назад
Fablis ngoma ❤❤❤❤
@ernestjohnbosco2053
@ernestjohnbosco2053 9 месяцев назад
Kweli Simba mlifanya vizuri tuu
@alicenice1711
@alicenice1711 9 месяцев назад
Huyu keaper wa makolo ni chai ya rangi😂😂
@jumakassim8718
@jumakassim8718 9 месяцев назад
😂😂😂😂 chai ya rangi
@YustaRozi-hl7ds
@YustaRozi-hl7ds 9 месяцев назад
♥️♥️che fondoh Malone ,c.c.chama,fabris ngoma
@shelakidobi9945
@shelakidobi9945 9 месяцев назад
Halafu robatinh ukiona mechi ni yaumuhimu usituanzishie onana
@Mo_Blaze
@Mo_Blaze 9 месяцев назад
Fact
@longlive_k10
@longlive_k10 9 месяцев назад
Hii timu inacheza kistar Sana kufika mbali ni ngumu wasipobadilika
@stemarcely7493
@stemarcely7493 9 месяцев назад
Yeah...ni kweli kabisa...ustaa utawaponza...
@husseinmassawa7186
@husseinmassawa7186 9 месяцев назад
Saido na baleke wamewanyima makolo ushindi wa goli tano 😅😅
@kassidpandu866
@kassidpandu866 9 месяцев назад
Mohd Hussein na kapombe kweli ss wamechoka khaswaa
@rajabuhamadi
@rajabuhamadi 9 месяцев назад
Wamechoka wasifu na wanocheza nao
@emmanuelchilimo
@emmanuelchilimo 9 месяцев назад
Yeass
@Mpakauseme
@Mpakauseme 9 месяцев назад
Sana
@aminnoour4788
@aminnoour4788 9 месяцев назад
Nikweli wameshachoka wawapumzishe .kama chabalala kisha kauka sana muili
@himidiwekabuje8402
@himidiwekabuje8402 9 месяцев назад
Kwa ajili ya mechi hii au kwa mechi nyingine nyingine
@allysalim3884
@allysalim3884 4 дня назад
Mm nmerudia baada ya chama kuwa yellow
@mahengomwenyewe4204
@mahengomwenyewe4204 9 месяцев назад
Chama huonekana sehem muhimu tu
@nassorntandu4513
@nassorntandu4513 9 месяцев назад
Hii mechi Simba tungeshinda nyingi tu, Baleke ametuangusha
@homedevices-we3bn
@homedevices-we3bn 5 дней назад
hii ndio mechi iliomuondoa Baleke Simba
@RahabuWilliam-jo3eq
@RahabuWilliam-jo3eq 9 месяцев назад
Huyu Golikipa sio mbaya kama wanavyo mtukana kafanya saves nyingi sana
@renatusmwanakatwe-gl9xb
@renatusmwanakatwe-gl9xb 9 месяцев назад
usiikatie tamaa simba linapokuja suala la michuano ya kimataifa
@victorcephas3618
@victorcephas3618 9 месяцев назад
Hii timu apewe Juma Mgunda ilikuwa lazima tushinde ila kocha Hana mbinu na huyo kipa anajaribiwa kwenye club bingwa anaachwa Salim mwenye uzoefu. Ila Baleke,Saido na Kibu wamepoteza magoli mengi.
@user-mg1vf5gv3p
@user-mg1vf5gv3p 9 месяцев назад
Chama apewe mauwa yake kwakweli anajua sanaaa
@fezboy6098
@fezboy6098 9 месяцев назад
❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Ila 1. Kocha hatuna maana amewapa mabeki wetu majukumu mengi yasiyo bebeka. 2. Kocha hatuna kwani falsafa yake ya mpira Haina matokeo pia inawachosha wachezaji. NB: Tuna timu nzuri wachezaji wenye uwezo ila hatuna matokeo .. kocha ni Tatizo
@legendcharles841
@legendcharles841 9 месяцев назад
Apo kocha apewe pongezi wachezaji wao wameshindwa kutumia nafasi zao
@medimisi6930
@medimisi6930 9 месяцев назад
simba hawakuwa serious,
@EliasPhilipo-k9n
@EliasPhilipo-k9n 7 дней назад
Hata mm pia baada mtale kutua simba nimerudia kumuona budo,o.
@otmanhassan9552
@otmanhassan9552 9 месяцев назад
Kumbe kipa wa simba kajitahidi sana lkn ndo mambo tuwachezaji hawako tyr kuipambania simba ndo ukweli
@user-sn6fe2eh8h
@user-sn6fe2eh8h 9 месяцев назад
Chama mtu mwengne
@didierdrogbar2302
@didierdrogbar2302 9 месяцев назад
Kipa wa mchongo uyoooo
@stevensisa1161
@stevensisa1161 9 месяцев назад
Good work👏👏...wataeleza hizo goli wamezifungaje? Eeeh bana eeeh! uchawi upo😂😂
@Sherrymwinyi
@Sherrymwinyi 9 месяцев назад
kocha ndo wakulaumiwa kipa mzuri lkn angenpa match akazoea kwanza
@rajenderrobert8605
@rajenderrobert8605 9 месяцев назад
No Coach No Goalkeeper. Mgunda won this kind of matches
@nikkimbishiunju2402
@nikkimbishiunju2402 9 месяцев назад
Goli la kwanza la Power Dynamos mpira ulikuwa nje tayari
@justinemalima6701
@justinemalima6701 9 месяцев назад
Macho yako tu
@albabaly8297
@albabaly8297 9 месяцев назад
Yap mpira nje kabisa
@user-gw5lb9ju5m
@user-gw5lb9ju5m 9 месяцев назад
Kbsa
@EDWINBALELE
@EDWINBALELE 5 дней назад
Ilachama ni mwamba
@user-rq8ho5qm4g
@user-rq8ho5qm4g 9 месяцев назад
Chama ni shida
@Our_Patriotism
@Our_Patriotism 9 месяцев назад
Lakred asidake Tena mechi za kimataifa, adake za mchongo tu. Haiwezkani akafungwa magoli yote mawili yakizembe hivyooo. Magoli Yao haya a hata technique yoyote. Hatutaki sisi, tunataka Ally Salim bhana.
@frankmahenge5943
@frankmahenge5943 9 месяцев назад
Beki na 3 na 2 kwakweli hawajaonekana leo
@NeemaOthuman
@NeemaOthuman 9 месяцев назад
Huu mpira inauma hata kuutazama baadh ya wachezaji wamezingua kabisa
@innocentndowo2258
@innocentndowo2258 9 месяцев назад
amyway tushukuru kwa kila jambo...ila hii timu itatuua kwa presha
@user-ym9xh6fq6q
@user-ym9xh6fq6q 9 месяцев назад
4:26 kwa mkapa hatoki mtu
@Denice55-tz
@Denice55-tz 9 месяцев назад
Super league tunayaoga aisee ngoma 😂😂😂
@user-gc4vt4yr1r
@user-gc4vt4yr1r 9 месяцев назад
Team bora akabiziwe mgunda
@user-on6mi9is8r
@user-on6mi9is8r 9 месяцев назад
Kipa wamchongo katuuza Simba Ali salimu ludi kazin
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m 9 месяцев назад
Acha hizo peleka kwenu yanga
@franciskasanga3491
@franciskasanga3491 9 месяцев назад
Huyu kipa mzur anahitaj muda
@marselinarweyemamu4034
@marselinarweyemamu4034 9 месяцев назад
Tunawashukuru wana yanga kwa upendo leo mmeonyesha uzarendo
@franccoz94
@franccoz94 9 месяцев назад
SIMBA WA BOVU MPAKA WANATUTAPISHA MASHABIKI WAO USAJILI N SAWA NA BUREE
@khamismgunya4519
@khamismgunya4519 9 месяцев назад
Kipa huyo mbovu
@EstherKisandu
@EstherKisandu 9 месяцев назад
Kabla hamjamlaumu sana kipa walaumuni na waliokosa magori ya wazi
@juliuslabarani8575
@juliuslabarani8575 9 месяцев назад
Hawa dynamos nawaonea huruma wakija kwa mkapa,,,,watakula nyingi ni wa kawaida sanaaaaa,,,makolo haoooooo makundi
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 9 месяцев назад
Baleke amenikumbusha kuna siku Kagele alikosa magoli ya wazi kama haya kuna moja goli kipa alitoka kabisa akabaki yy na goli lakini akakosa,hivyo tusimlaumu sana Baleke hizi mambo zinatokeaga tu
@MohammedShedafa
@MohammedShedafa 9 месяцев назад
Huyu baleke angeanza lingekufa jitu mapema tu lakini tuwasuburi dar es salaam
@user-gk6hr1pn7q
@user-gk6hr1pn7q 9 месяцев назад
Yaan kapombe makosa hayo yasijludie bro
@hassanshafii4059
@hassanshafii4059 9 месяцев назад
shabalala jana chini ya kiwNgo sana na kapomba
@allywilson4155
@allywilson4155 9 месяцев назад
Players are good but wamecheza na papara sana
@samwelpanga7313
@samwelpanga7313 9 месяцев назад
Kipa ni mzuri, tuwapongeze wapinzani, kipa wao, joshua mutale na owen tembo
@user-hp3ls6gb1g
@user-hp3ls6gb1g 9 месяцев назад
Daaaaaaaaaaaah kweliiiiiiiiiiiiiiiiii kabisaaaaaaa
@jbbrand73
@jbbrand73 9 месяцев назад
Yaani. Mpaka msemeeh😂😂
@jumakassim8718
@jumakassim8718 9 месяцев назад
😂😂😂 makolo haooo
@BoyPhotography_and_videography
@BoyPhotography_and_videography 9 месяцев назад
Mnyama💥
@mhandodanny4256
@mhandodanny4256 9 месяцев назад
Onana Hajitumi akipoteza mpira hakabi analeta ubishoo Kwenye kazi Management imuonye coz anaicost timu
@chingejotham3508
@chingejotham3508 9 месяцев назад
Anaboa kinoma huyu mwana..
@georgekalulu2545
@georgekalulu2545 9 месяцев назад
Shabalala ule mpira si ungepiga tu mbal mpaka unaupaka mafuta unanyang'anywa unataka kuchomesha. Daa zama zimeisha sasa
@raphaelchuche6281
@raphaelchuche6281 9 месяцев назад
#2 on trending
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 9 месяцев назад
Moja kashik nan
@denisimaliyaweni9183
@denisimaliyaweni9183 9 месяцев назад
Welcome simba Joshua mulatw
@user-vz4xj2ci2w
@user-vz4xj2ci2w 9 месяцев назад
hana kitu huyo hafai kwanza winga wamejaa simba
@aminata3702
@aminata3702 9 месяцев назад
Kisa nini
@barakadaprince3742
@barakadaprince3742 9 месяцев назад
Chamaaaaaaa😁
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 9 месяцев назад
Kapombe alikua anageuzwa tuu jana😅
@jumakassim8718
@jumakassim8718 9 месяцев назад
😂😂😂😂 umri kachoka
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 9 месяцев назад
Simba deserved 7 goals
@ElibarikMrema-zv7um
@ElibarikMrema-zv7um 24 дня назад
Simba mbovu
@user-js8qd6ch6g
@user-js8qd6ch6g 9 месяцев назад
Jameni Wana Kamati Hawa perwerdainamo
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 9 месяцев назад
Wafungaji na Keeper ndo wameboa kabisa hii match Simba wangeifunga tena kiurahisi kabisa, ila poa tu marudiano Simba atafanya yake
@samanyaswai
@samanyaswai 9 месяцев назад
Hakuna kipa hapo
@abdallahmdiliko8088
@abdallahmdiliko8088 9 месяцев назад
Timu HAINA speed. Onana na VIUNGO hawana body fitness.. speed.. UWANJA WANAUFINYA na pass ni fupi mnoo.huyu kocha MJANJA MJANJA TU.. anasaidiwa na UWEZO WA wachezaji binafsi.. Hana mifumo ya USHINDI.. IPO siku mutakumbuka maneno yangu..
@Hamidkaran
@Hamidkaran 9 месяцев назад
Aujui mpira watu wanakosa magori wenyewe unakuja kumsema kocha😹
@noelbryson7840
@noelbryson7840 9 месяцев назад
We kaa kimya, Hujui mpira mbabaishaji wewe..
@AdolfLyaheja
@AdolfLyaheja 7 дней назад
Mwamba wa Lusaka tutakukumbuka sana broo daah ila sio mbaya maana we ndo umeamuwa maisha mema broo.😢
@maulidhussein2022
@maulidhussein2022 9 месяцев назад
Mmepambana vzr hata mpinzani anaitaj kushinda
@LucasEvodi-xj1of
@LucasEvodi-xj1of 9 месяцев назад
Shomar mm naona mpira ushamkataa sjui kwann Yuko Bado simba
@janethjohn7053
@janethjohn7053 9 месяцев назад
Simba watulie golini
@AllyFrank-wh3hw
@AllyFrank-wh3hw 9 месяцев назад
Simba sports club
@deblacktz2981
@deblacktz2981 9 месяцев назад
HONGERA MTANI😂😂😅😅
@millardable4868
@millardable4868 9 месяцев назад
wachezaji kongore Sana mmecheza vizuri sema kipa Tu katuangusha sana
@julianashani9408
@julianashani9408 9 месяцев назад
Game ya Simba SC itakuwa ngumu sana
@Pattrices1
@Pattrices1 9 месяцев назад
Kweli kabisa kina Kapombe wamechoka Kabisa!
@LungwechanashonOtieno-zb4zj
@LungwechanashonOtieno-zb4zj 9 месяцев назад
Huyu keeper sio😢
@GodblessAkyoo
@GodblessAkyoo 9 месяцев назад
Kipa yupo.vizuri
@patrickmuvendi142
@patrickmuvendi142 9 месяцев назад
Kazi kubwa inafanyawa na inonga na chemalon lakini kapombe na shabalala ndo uchochoro.viongozi hilo suala liangalieni acheni kusifia wachezaji hawa uwezo wa kukaba ni mdogo tutateseka sana.
@MamajenifaMpare
@MamajenifaMpare 9 месяцев назад
Kali
@user-mo7ih5xr6b
@user-mo7ih5xr6b 4 месяца назад
VP dada
@MatronKibongoto
@MatronKibongoto 9 месяцев назад
Tuache kumulaumu kipa ndio kosa kafanya hata kwa Salim tulilaum hivihivi saizi munamuona bora, makosa yapo tu kwaaaaanza ndio mechi yake ya kwanza msimbazi
@fra9873
@fra9873 9 месяцев назад
,Good game
@kibokutiwanatanyika1540
@kibokutiwanatanyika1540 9 месяцев назад
Huyu mtangazaji ni SIMBA kweli, kwa maana simba wanapokuwa na mpira anatangaza kwa hisia kweli🙈
@alatupaeliassanga5303
@alatupaeliassanga5303 9 месяцев назад
😂😂😂😂 umeona eeh
@innocenthaulee
@innocenthaulee 9 месяцев назад
Mtanzania
@NicaTemba
@NicaTemba 9 месяцев назад
uzalendo uzalend uzalendo kwanza jamani
@UmayyaNkya-ze3ri
@UmayyaNkya-ze3ri 9 месяцев назад
Huyu wa leo ni baleke ama mugalu😅😅😂dahh sema wameupiga mwingi wachezaji wetu kwa mkapa tunawapiga 2 in shaa Allah tunasonga mbele nb: uto hatujauliza matokeo yenu atutaki kujua🤣🤣
@jozay50
@jozay50 9 месяцев назад
Balele kazingua sanaaaa leo kawa mzito
@MonikaGostaf
@MonikaGostaf 9 месяцев назад
Chama
@bukenyagodfrey4556
@bukenyagodfrey4556 9 месяцев назад
Kipa Lakred ametufunga goli mbili ndo mfumgaji bora wa leo
@rodgersmwagu239
@rodgersmwagu239 9 месяцев назад
kipa hamna apa
@khamisiramadhankombo
@khamisiramadhankombo 9 месяцев назад
Kocha kwakipindi chapili akuwa nakosa michezaji yenyewe aijitumi kama mwanangu shabalala nakapombe leo mmetuangusha mmecheza ovyo
@fabianjames8920
@fabianjames8920 9 месяцев назад
Wote wamecheza vizur Huo ni mpira
Далее
JOSHUA MUTALE SKILLS
5:15
Просмотров 4,5 тыс.
MBWADUKE: OHOOO... KI NINI TENA?
15:05
Просмотров 10 тыс.
Самый Безумный Спор 😱
0:42
Просмотров 2,1 млн
DO NOT Dunk Here ❌🏀
0:20
Просмотров 9 млн
DO NOT Dunk Here ❌🏀
0:20
Просмотров 9 млн
When Referee Makes a Right Decision👏
0:19
Просмотров 13 млн