Тёмный

Simba SC 2-0 Singida Fountain Gate | Highlights | Mapinduzi Cup 2024 - 03/12/2024 

Azam TV
Подписаться 2,8 млн
Просмотров 168 тыс.
50% 1

Tazama matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye mechi kati ya Simba SC dhidi ya Singida Fountain Gate.
Mechi imemalizika kwa Simba kushinda magoli 2-0
Magoli yamefungwa na Willy Onana na Luis Miquissone

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 64   
@ExcitedBarn-qn7qb
@ExcitedBarn-qn7qb 7 месяцев назад
Ongera sana Simba m amani kutoka nairobi
@azizimuhibu7771
@azizimuhibu7771 9 месяцев назад
Alhamdulilah rabil allamiyn,,namuona miquissone akirudi ktk ubora wake.🔥🔥
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 9 месяцев назад
Wenye kujua umuhimu wa mtu hao God Bless you Jux kwa kumvisha mwamba wetu
@TabithaPaul-q2g
@TabithaPaul-q2g 9 месяцев назад
Nguvu mpya kwa sasa❤❤
@aishasangali6096
@aishasangali6096 9 месяцев назад
Hongereni kwa mchezo mzuri
@ErifathJared
@ErifathJared 9 месяцев назад
Ally ulizingua kweli
@issufomabbetto321
@issufomabbetto321 9 месяцев назад
kafanha vizuri sababu chemaloni anapenda sana utani aliy salimo akafanha vizuri.
@AirinSumeno
@AirinSumeno 9 месяцев назад
Jifunze kwanza kuandika af urud hapa
@AirinSumeno
@AirinSumeno 9 месяцев назад
Yaan mpaka tukutane na utopolo watuambie wametufungaje gol 5😅
@willygwaikana
@willygwaikana 9 месяцев назад
Salim Ally alichofanya sio uungwana kumsukuma beki tegemezi wa simba, bahati nzuri Chemalone ni muungwana.
@AirinSumeno
@AirinSumeno 9 месяцев назад
Ally salim sijapenda ulivyofanyia chemalone wangu
@Nuru9568
@Nuru9568 9 месяцев назад
Yeah jana alikosea kiungwana haswa mtu upo nae timu moja
@francisphilipo5749
@francisphilipo5749 9 месяцев назад
Ali Salim yupo sawa golikipa lazima uwe mkali chemalone alitakiwa amrudishie golikipa mpira yeye akauacha ni kosa kubwa Kwa beko
@francisphilipo5749
@francisphilipo5749 9 месяцев назад
Hiyo hata ulaya ipo mechi ya widad mchezahi wao alifanya uzembe bado kidogo Simba wapate goli akafokewa sana
@AirinSumeno
@AirinSumeno 9 месяцев назад
@@francisphilipo5749 ila cyo kumsukuma wangeelekezan ili wasitoke mchezon hata hivyo malon n mwamba
@meshackjackson2838
@meshackjackson2838 9 месяцев назад
hata mi iliniuma sana
@RoseZakaria-o2y
@RoseZakaria-o2y 9 месяцев назад
Simba daima
@claudykinyamagoha8872
@claudykinyamagoha8872 9 месяцев назад
Simba nguvu moyaaa
@AminaLibisa
@AminaLibisa 9 месяцев назад
Singida walikua wanacheza rafu sana
@Paulo-y1s
@Paulo-y1s 9 месяцев назад
Sjapenda kweli
@eliasmbowe4075
@eliasmbowe4075 9 месяцев назад
🤔🤔
@Mathematixvibess
@Mathematixvibess 9 месяцев назад
Haikuwa siku nzuri kwa chemalon fondo
@amosikihegulo9830
@amosikihegulo9830 9 месяцев назад
Duu kapiga kazi sana aise
@fredykaitani595
@fredykaitani595 9 месяцев назад
🦁🦁🦁🦁NGUVU MOJA
@Dorineeisack
@Dorineeisack 9 месяцев назад
Ongereni wanasimba jamani Safi sana konde boy na onana nawote kwa ujumla
@MeckMsea-cx1ct
@MeckMsea-cx1ct 9 месяцев назад
Onana hatari sana konde unatosha bonge la bao
@mwanajumaraso4637
@mwanajumaraso4637 9 месяцев назад
Alhmdhulillah
@hasaniomari-m9y
@hasaniomari-m9y 9 месяцев назад
Chifondo anazingua
@Hasanisaidihasani
@Hasanisaidihasani 9 месяцев назад
Safi
@nyerere1259
@nyerere1259 9 месяцев назад
SALUM kipa wa mioyo yetu wanasimba
@AirinSumeno
@AirinSumeno 9 месяцев назад
Naomba bocco apingwe viboko 10
@eliasmbowe4075
@eliasmbowe4075 9 месяцев назад
👨‍🦯👨‍🦯
@MohamediHussein-o9b
@MohamediHussein-o9b 9 месяцев назад
Washazoe kugombana gombana kipa Na beki wake Kama manula alivyogombana Na Onana siku Ile ya 5G Kwa mkapa😂😂😂😂😂
@HammyDearmama
@HammyDearmama 9 месяцев назад
Ally salim cyo fear kabisa umefanya vbaya kwa mwenzio
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 9 месяцев назад
Bocco akubali mwili umechoka
@onetwoem1808
@onetwoem1808 9 месяцев назад
Jamani amna mtu anaongelea hat trick ya ngoma🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mtu aongee nae alizidisha unyama.
@AayanMukadam-o3u
@AayanMukadam-o3u 9 месяцев назад
Miquissone amerudi kwenye ubora wake
@aginsagins-jf4vz
@aginsagins-jf4vz 9 месяцев назад
Mmechelewa kuweka
@AminaLibisa
@AminaLibisa 9 месяцев назад
Ndio maana tumewakanda
@stevenmathias8657
@stevenmathias8657 9 месяцев назад
Nachojiuliza kwanini miquson hajashangilian why
@davidsalikoki6319
@davidsalikoki6319 9 месяцев назад
Aende tu ni zarau
@DBIRobotics
@DBIRobotics 9 месяцев назад
Hatuwezi jua,mpaka tumuulize
@bellenoe414
@bellenoe414 9 месяцев назад
Sio kila mtu anashangilia, hata bocco pia😊
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 9 месяцев назад
Mimi mwenywe huwa sishangilii
@teddymhagama611
@teddymhagama611 9 месяцев назад
Hata phiri juzi alivyofunga hakupiga saluti
@azpilicuetainternational1234
@azpilicuetainternational1234 9 месяцев назад
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@JosephZambo-ir7xf
@JosephZambo-ir7xf 9 месяцев назад
boko hana maajabu apumzike
@patonation0915
@patonation0915 9 месяцев назад
Boko ukapumnzike saiv unatupa plesh wanasimba
@DaudShadrack-l5x
@DaudShadrack-l5x 9 месяцев назад
Chemalone so mtu
@MsafiriYusuph-n5h
@MsafiriYusuph-n5h 9 месяцев назад
Boko boko tafuta kazi nyingine
@MrishoSuleiman-eg8im
@MrishoSuleiman-eg8im 9 месяцев назад
Afuzanini sasawe deus kaseke achakukamia mechi ww
@RamadhaniHamadi-qi3jf
@RamadhaniHamadi-qi3jf 9 месяцев назад
Anataka kuitwa simba anajua ni kituo cha wazee walemavu😅 na wachezaji wagonjwa😊😅ila kafeli
@NtabanaRichard-m6u
@NtabanaRichard-m6u 9 месяцев назад
Onana Somba somba
@AthumanSeleman-zz3im
@AthumanSeleman-zz3im 9 месяцев назад
Simba nguvu moyaaaaaa
Далее
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
Просмотров 148 тыс.
SIMBA SC VS COUSTAL UNION  MAGOLI YOTE
1:44
Просмотров 1,5 тыс.
Where The Ball Lands, You Get!
23:44
Просмотров 25 млн
Top 100 Legendary Goals In Football
23:21
Просмотров 345 тыс.
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
Просмотров 148 тыс.