Sasa hivi mnasema mnatengeneza timu ila mwisho wa ligi hammtaki mangungu .. sema safari hii Simba isipochukua ubingwa mfukuzeni mo coz viongizi waliojiuzuru ndo wamerudishwa kwenye uongozi
Kimsingi huyu kocha nimodogo mno kwa simba: harafu historia yake hajawahi kichukua kombe lolote A,kusini,,Kila timu aliyowahi kifunfisha ilishuka daraja:: sasa sijajua viogozi wameona nn kwake:: ngoja tuone mda utaogea:
Mweleweshe huyu dada kwani huja sikia viongozi wakisema wanatengeneza timu au masikio yako mabovu wametawala Africa wako nafasi ya ngapi Simba nafasi ya 6 Africa twambia yanga yangapi