Тёмный

HATA KAMA WACHAWI NA MAJINI WA KIJIJI KIZIMA ,UKIFANYA HIVI HAWATO KUKARIBIA...MUJARABU 

Sharifu Suleymana TV
Подписаться 126 тыс.
Просмотров 25 тыс.
50% 1

SHEIKH S NGUSURA
+255762664094
+255716447727
KARIBU KATIKA OFISI ZETU ZA BUGURUNI MALAPA MTAA WA GULAM NYUMBA NO 19

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 42   
@manasa2449
@manasa2449 Год назад
Shukrani sheikh Allah akujalie maisha marefu tunafaidika na dua zako
@saeedamarsaeed8630
@saeedamarsaeed8630 Год назад
Shukran saana Akhi kwa elimu yenye manufaa unayotufundisha Allah akulipe kheyr kwa uwezo wake Allahumma Ammiin yaarab 🤲🤲🤲🤲
@ziadanirere4457
@ziadanirere4457 Год назад
Djazakallah rihairani
@hadijajohn7434
@hadijajohn7434 Год назад
Maan shaallah shekhe unatusaidia sana
@muhamedyhakimu6563
@muhamedyhakimu6563 Год назад
Shukrani mwalim mungu akulipe mema akuinuwe daraja duniyani naahera
@hadijaismail3619
@hadijaismail3619 Год назад
Shukrani shehe Allah akujalie afya njema uzidi kutupa elimu yenye manufaa
@hassanware
@hassanware Год назад
Shukran sheikh jazakallaahu kheir.
@athumanikhamisi3377
@athumanikhamisi3377 Год назад
جزاك الله خيرا
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 Год назад
Asanteee sharifuu asantee
@deobigirimana45
@deobigirimana45 Год назад
Shukran sheikh Allah akupe mwisho mwema.
@chimenyamwatuwa7341
@chimenyamwatuwa7341 Год назад
Asante shehe
@BabuHaji
@BabuHaji Год назад
NAKUKUBALI SANA MKUU.
@nhamoabdalanze341
@nhamoabdalanze341 Год назад
Sheikh alhamdu linlah nashukuru kwa maelekezo yako ya dua zako za kinga Mimi kila siku nafuatilia vipindi vyako sheikh, Mimi kwetu Moçambique mocimboa da praia.
@sengayassin5293
@sengayassin5293 Год назад
شكرن جزير شريف
@NdeshaPaul-uz9bw
@NdeshaPaul-uz9bw 3 дня назад
Wengine wasiojua kiarabu na wale wakristu wasome nini?
@alinyamawi2968
@alinyamawi2968 Год назад
Assalaam alaykm warahmatullah wabarakaatuh Shekh ...nauliza je kisomo iko unaweza kusomea nyumba ya biashara pengine uliijenga na haingii watu ( wapangaji ) ...je inafaa...??
@fatumatwaha1553
@fatumatwaha1553 Год назад
Asalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh naomba kuuliza je wasoma kila siku kwa siku saba au wasoma kisha watia Maji mahali watumia hayo kidogo kidogo kwa siku saba
@msafiriduwiya953
@msafiriduwiya953 Год назад
Kuoga kunakokusudiwa hata jagi Moja linatosha kwa siku na huogei chooni yaani MFANO wa kujipaka MAJI hadi yakuchuruzike yaenee mwili wote hiyo ndoo ni NYINGI sana
@samiramawby1257
@samiramawby1257 Год назад
Kumbuka hana chochote wanataka kumdhurumu vyote wahindi walokuwa ombaomba wakapewa misaada ili wakae kwenye majengo yake akirudi wamlipe especially Tilapia hotel na viwanda vya Samak na hotel na appartments zote zilizojulikana kama Islamic hotel za dar na mwanza
@sengayassin5293
@sengayassin5293 Год назад
الحمد لله رب العلمين
@destineluna5768
@destineluna5768 Год назад
Mashallah
@Angel-do2lb
@Angel-do2lb Год назад
Baba kwa wa dini nyingine je
@swabraty1760
@swabraty1760 Год назад
شكرا
@samiramawby1257
@samiramawby1257 Год назад
Sheikh yule mtoto alokupa minyaa mwanza kwenye machafuko ya Askari kuua danguro la watoto wadogo shinyanga guest au city link unamkumbuka???mlikuwa pembeni ya fensi ya sanyenge ni mwana wa ALLAH MANAT SALAMA ALLAH RASURI akiluomba msaada wa ukweli utamkumbuka na utamsaidia ki halali???
@mwanakonyaume3611
@mwanakonyaume3611 Год назад
Sasa kwaivyo shekh ayo maji uliyasomea yakiisha kabla siku saba unasomea mengine
@hamzahazali-wx3pn
@hamzahazali-wx3pn Год назад
Assalaam alaykum shekh wangu naomba uliza ni aya zipi mbili katika quran tukufu ambazo zina heruf zote za quran
@aminahassan4087
@aminahassan4087 Год назад
Suratul fatih aya ya mwisho
@ziadaskitchen5060
@ziadaskitchen5060 Год назад
Mashaallah
@mrambasura6309
@mrambasura6309 Год назад
Nakufatilia lakini hapo lugha dolo
@AishaSaidi-om3xq
@AishaSaidi-om3xq Год назад
Shekhe mimi ninamatatizo makubwa nakupataje? Maana ata mwanangu amefungwa kizazi nisaidie shekhe
@selemanimsangi7805
@selemanimsangi7805 Год назад
Sheikh uko nje ya NCHI?
@aminaomar6269
@aminaomar6269 Год назад
sheikh naweza kumuogesha na mwanangu wa mwaka??
@hadijaismail3619
@hadijaismail3619 Год назад
Unamwogesha tu Haina shida ndugu yangu ni maji ya Dua km Kuna husda hazitompata
@rizikinyiro2263
@rizikinyiro2263 Год назад
Asamu also kamami ni konamme hajani owa si fai ksoma
@HassanAli-mk8mm
@HassanAli-mk8mm Год назад
Unafaa uogee chooni au pahali ambapo sio chooni sheikh
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Год назад
Si chooni
@mabrukitemba800
@mabrukitemba800 Год назад
MUNGU AKUFANYIE WEPESI
@hassanware
@hassanware Год назад
No bafuni ndio uogee
@G.r.e.a.t.I.Q
@G.r.e.a.t.I.Q Год назад
Kogea uwani au nje. Yaani, pasipo chooni.
@hadijaismail3619
@hadijaismail3619 Год назад
Haifai kuogea chooni kwani ni Quran tukufu
@egidenkeshimana7905
@egidenkeshimana7905 Год назад
Shukran sheikh 🙏🙏🙏
Далее
MKOMESHE MCHAWI AJUTE KUZALIWA KWA QUR,AN NO 1
14:30
kisomo cha kuangamiza majini na uchawi (yaasin mubiyn)
19:08
MAAJABU YA MTI UNAO WATESA WACHAWI (MGOMBA NO 2)
15:14
HUWEZI KUONEWA NA WACHAWI UKILITUMIA JINA HILI......?
14:01