Тёмный

SIRI ZA MAFANIKIO KWA KIJANA YEYOTE MWENYE MALENGO MAKUBWA MWAKA 2020. 

G Online
Подписаться 28 тыс.
Просмотров 36 тыс.
50% 1

Kuna msemo unasema "PROGRESS EQUALS TO SUCCESS " Kuwa maendeleo ni sawa na mafanikio. Linapokuja suala la kuweka na kutimiza malengo vijana wengi wanashindwa kutimiza/kufanikisha malengo au ndoto zao. Mwaka 2019 najua uliweka malengo, swali ni Je uliyafanikisha?, Je ulifikia mafanikio ambayo ulikuwa unahitaji kufika, kama ni hapana basi hakikisha mwaka huu 2020 unafanikisha malengo yako makubwa kwa kufuata na kufanyia kazi siri hizi za mafanikio ninazoshare na wewe , kufanikisha malengo yako makubwa. Angalia video hii hadi mwisho. Karibu.
.............................................................................
Download free Tubebuddy na install Kwenye computer yako au kwenye simu zote Android au iOS na iPad pia ambayo itakusaidia
1.Kurank videos zako
2.Itakuonesha Live subscribers count
3.Itakuonesha Milestones za channel yako na mengi, download sasa 👉 www.tubebuddy....
🔴 SUBSCRIBE MY CHANNEL 👇
www.youtube.co...
🔴Follow me on IG- / zahir11gome. .
🔴Twitter - / zahir11gomelo
🔴TAZAMA VIDEOS ZANGU ZINGINE AMBAZO UTAZIPENDA 👇👇
⚡JINSI YA KUTIMIZA MALENGO MWAKA 2020:Kanuni 3 lazima uzifuate kama unataka timiza malengo/ndoto yako 👉 • JINSI YA KUTIMIZA MALE...
⚡KAMA UPO SERIOUS KUBADILISHA MAISHA YAKO MWAKA 2020 FANYA HAYA: Usiweke New Year Resolutions 👉 • KAMA UPO SERIOUS KUBAD...
⚡SABABU 6 ZA WEWE KUPOTEZA MOTISHA/HAMASA: Acha ili ufanikiwe kufanikisha malengo na ndoto mwaka 2020 👉 • SABABU 6 ZA WEWE KUPOT...
⚡KAA MBALI NA MARAFIKI WENYE DALILI HIZI : Ndo chanzo cha kushindwa kufanikisha mengi katika maisha 👉 • KAA MBALI NA MARAFIKI ...
⚡TABIA 3 ZA MAFANIKIO ZA KUWA NAZO: Ili ufanikiwe katika malengo na ndoto zako mwaka 2020 👉 • TABIA 3 ZA MAFANIKIO Z...
⚡KANUNI 4 ZA MAFANIKIO KATIKA BIASHARA 2020 : Nilizojifunza kutoka kwa JACK MA 👉 • KANUNI 4 ZA MAFANIKIO ...
⚡JINSI YA KUFANIKISHA MALENGO YAKO 2020: Kufikia mafanikio, furaha, na kuishi maisha ya ndoto zako 👉 • JINSI YA KUFANIKISHA M...
⚡JINSI YA KUWA MJASIRIAMALI MWENYE MAFANIKIO NA KUTENGENEZA PESA NZURI KATIKA BIASHARA 👉 • JINSI YA KUWA MJASIRIA...
⚡TABIA (9) HASI ZA KUACHA 2020 ILI UTIMIZE MALENGO/NDOTO NA KUFIKIA MAFANIKIO KATIKA MAISHA 👉 • TABIA (9) HASI ZA KUAC...
🔴Background Music from ROSS BUGDEN-INTERSTELLAR - RU-vid link 👇
www.youtube.co....
#malengo #sirizamafanikio #gonline

Опубликовано:

 

8 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 88   
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity 4 года назад
⚡QOTD⚡ Ni kitu /jambo gani hasi linalokuzuia kutoweza fanikisha malengo yako na kufikia mafanikio? Niandikie 👇👇
@judithkidiwa7973
@judithkidiwa7973 4 года назад
Nmejifunza kwa kwel
@firdausgreen1391
@firdausgreen1391 4 года назад
Kutoa jiamini on what i need
@mwesigapius3074
@mwesigapius3074 2 года назад
Maamuzi na piasielewa nifanye mchongo gan nifanye mm naitaji kuwa dereva wa magali makubwa kama scania Ila bado nasita kwasababu iyo kaz sijui inalipa au laa
@waziriissa7018
@waziriissa7018 3 года назад
Dar iro somo rimenigusa Mimi kabisa Asante ⛪ sana uko sawa
@mzaliwajohn1395
@mzaliwajohn1395 4 года назад
good sana broo, naanza kuanzia leo. nimepanga kila kitu na malengo ya kutosha, kuanza ndo shida, ILA NAANZA LEO
@luganogodfrey7949
@luganogodfrey7949 3 года назад
Utajuaje Kama unapenda kaz flani maana watanzania wengi tunajichanganya Sana ktk kaz
@hajvennahkorofi6755
@hajvennahkorofi6755 3 года назад
Mungu hakuongezee ujuzii zaid Asante💓
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity 3 года назад
Asante
@erickstephano7756
@erickstephano7756 4 года назад
Asante kaka nimeipenda sana mim mwenyewe kuna biashara naipenda na ndo naelekea kuianzsha ila bado nina woga nifanyeje kaka
@laurentisayampindaisayampi3664
@laurentisayampindaisayampi3664 4 года назад
Elimu yako iko good nimeikumbali
@fredrickkahungya8482
@fredrickkahungya8482 3 года назад
Asante kaka . Yako Mambo mengi 1. Pale ambapo unafanya Jambo ukiwa na matarajio ya kupata hivi na ikawa tofauti muda mwingine unaweza kuhisi kuwa hiyo siyo fursa sahihi
@fanisaproducts9551
@fanisaproducts9551 4 года назад
Ahsante sana Zahir11gomelo *#burning** desire* nimejifunza mengi
@godfreyfrance97
@godfreyfrance97 4 года назад
Kaka asantee kwa somo zuri Mimi kinachonikwamisha n kuwa mwepec kutoa hela hasa kwa wanawake. Naomba ushaur
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity 4 года назад
Jiwekee misingi bora na nidhamu kwa pesa zako.
@marthakulanda2029
@marthakulanda2029 2 года назад
Kazi na yofanya na tumia muda mwingi na ripwa mshala mdogo na unacherewa sana
@hunterboy7713
@hunterboy7713 3 года назад
Shukrani sana
@daviesgamba8152
@daviesgamba8152 3 года назад
Ninachonifelisha ni usimamizi wa biashara inayotaka kuianzisha ivi karibuni,, coz mimi binafsi kwa sas nimeajiriwa.
@neemalyimo2039
@neemalyimo2039 4 года назад
Nashukuru sana kwa ushauri wako maana umenifungua akilii.
@alfakanyika2260
@alfakanyika2260 4 года назад
Nashukurusana ntafanyia kazi.
@adrianruben663
@adrianruben663 4 года назад
Asante brooo mungu aendelee kukutumia
@fficialeliactz1389
@fficialeliactz1389 4 года назад
Asante
@jdjdjdu8542
@jdjdjdu8542 3 года назад
Mimi nko n job buh mwanzo niliingiwa n motisha kuifanya.. Ila baada y mwaka nahisi kuchoka mitihani mingi cjui nifanye nn??
@wayofsuccess8083
@wayofsuccess8083 3 года назад
Kalibu
@maggehnew9729
@maggehnew9729 4 года назад
Woooh thanks
@estherhaule4994
@estherhaule4994 4 года назад
ahsanta kaka nashukuru
@mselemismail5736
@mselemismail5736 3 года назад
💥💥💥💥big more than big
@seifzongo320
@seifzongo320 4 года назад
🙏🙏🙏 burning desire ...
@maggehnew9729
@maggehnew9729 4 года назад
Hii Point burning desire nimeipenda pia👍🏼
@mwesigapius3074
@mwesigapius3074 2 года назад
Naomba unisaidie Mimi nataka niwe dereva wamagar makubwa kama scania au bus nawezaje kupata mafanikio kitokana nakazi ii nayotaka kufanya napia naitaji kutengeneza pesa kupitia kazii sasa sitaki kupoteza mda maana nataka nijue inalipa au ailipi tafadhali nisaidi naitaji ushauli wako
@gailamipawa8664
@gailamipawa8664 3 года назад
Ubarikiwe sana bloo m nina mapenzi na mpira yaani kuwa mchezaji Kama kazi yangu ya kuniingizia kipato ila nahisi umri unataka kuniacha Nina miaka 22
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity 3 года назад
Usikubali suala la umri, kuzuia malengo na ndoto zako.
@Allhy14
@Allhy14 4 года назад
Safi sana ndaishi kwa malengo from now
@kurwamkopi215
@kurwamkopi215 3 года назад
Mimi nipo kaka naweza kufanya kazi
@jacobphales7810
@jacobphales7810 3 года назад
Bro nimekuelewa ,,, God bless you,, sure God bless you
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity 3 года назад
Asante
@ashirunaabubakari4500
@ashirunaabubakari4500 2 года назад
Asante sana kakangu
@ashirunaabubakari4500
@ashirunaabubakari4500 2 года назад
Somo zuri sana
@ashirunaabubakari4500
@ashirunaabubakari4500 2 года назад
ila niulize swali
@safeniubwa4627
@safeniubwa4627 3 года назад
Nice
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity 3 года назад
Thanks
@floraelias2367
@floraelias2367 4 года назад
Bro mm kinachonisumbua sana ni aibu kukata tamaa mapema sana nifanyeje kuepukana na hilo
@mocomoco1836
@mocomoco1836 4 года назад
Zidi kuleta vitu vipya we ni zaid,ya mwalimu darasan
@joxhuajoxhuaibrahim2062
@joxhuajoxhuaibrahim2062 3 года назад
Naomba unisaidie mm ninakazi naifanya inaniingizia lakin siipend kazi ambayo naipenda sjna mtaji nayo maaana iyo ninayo ifanya najikuta SNA muudi kwaiyo najikuta siifanyi vizur
@yohanaemmanuel3515
@yohanaemmanuel3515 10 месяцев назад
Fanya endelea kufanya kazi huku ukikusanya mtaji ukiona mtaji umekua achana na hiyo kazi kafanye unayo ipenda baada ya kupata mtaji
@biaishasaid8494
@biaishasaid8494 3 года назад
Yani me bro chakwanza Ahsant kwa maudhui mazuri ila me kinachosumbua saaana ni viwili muhimu kwanza aibu pili English language inanishinda sijui nianzie wapi
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity 3 года назад
Kingereza unaweza kujifunza brooo, na si lazima ukae darasani kupitia platform hii ni darasa tosha tafuta niche mbalimbal kujifunza kingereza. Kuhusu aibu kama kweli unataka kufanikiwa ananza kujenga kujiamini mbele za watu.
@sidaryotv8821
@sidaryotv8821 4 года назад
Good
@mistytambilija
@mistytambilija Год назад
Nahitaji Katiba ya maisha
@neemalyimo2039
@neemalyimo2039 4 года назад
Mi kinachonikwamisha kufanikiwa huwa nikipata hela sijui inaishaje na nikifikiria sioni nilichoifanyia.Kaka naomba unishauri nifanye nini ili niweze kufikia malengo.
@julitherfelix3130
@julitherfelix3130 4 года назад
Kaka Mimi napenda duka la cosmetics lakini nafanya b'ness nisiyoipenda kwasababu mtaji wa cosmetics sina je unanishauri nini
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity 4 года назад
Safi swali zuri sana Julither Felix, Sasa nirahisi sana Kuishi na kufanya biashara unayoipenda, hebu cha kufanya weka lengo kuwa NATAKA NIFANYE BIASHARA NINAYOIPENDA MWAKA HUU sawa na liandike sehemu nzuri tu na uwe unalipitia kila siku kama Kweli Kama unania na hicho kitu, utafanya kazi kwa bidii katika hiyo biashara nyingine usiyoipenda na kusave pesa unayoipata ili upate mtaji wa kufungua biashara unayoipenda.Na si lazima uanze na mtaji mkubwa, anza kidogo na fanya kazi kwa bidii kadri utavyopiga hatua ndo unakaribia mafanikio yako.
@yakobokayuni6842
@yakobokayuni6842 4 года назад
Kaka uko Poawa Sana napenda sana maelekezo yako na this is my watsap Namba 0621004969
@Emmymgen
@Emmymgen 4 года назад
Tatizo langu ni mtaji ndio jambo linalo nikwamisha katika maendeleo ya mafanikio yangu
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity 4 года назад
Pambana na tafuta mtaji
@Emmymgen
@Emmymgen 4 года назад
@@GOnlinepositivity sawa but nipenjia yakupata mtaji maan nimeandika proposal budget ya biashara yangu nanimejaribu kutafuta watu wani support ila mpaka sasa sion mwanga kuhusu fanikio la ombilangu
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity 4 года назад
Hatakiwi kukata tamaa, proposal yako ya biashara uliyoandika imekataliwa haimaanishi kuwa ndo kila kitu, ndoto yako, malengo yako ya biashara yamekufa. Andika proposal nyingine kwa kampuni nyingine na huku ukiendelea kupambana. Hakuna njiani ya kupata mtaji zaidi ya kufanya kazi kwa bidii na kutengeneza pesa kupata mtaji na kuanzisha biashara yako.
@Emmymgen
@Emmymgen 4 года назад
@@GOnlinepositivity haija kataliwa sema wengi husema hawana pesa nawanaisifu proposal yangu
@priscapaulo2116
@priscapaulo2116 4 года назад
@@GOnlinepositivity 0788602178 wsp 0719614934 nakuomb nitafute kaka
@yusuphbonifacy4626
@yusuphbonifacy4626 4 года назад
Naitwa yusuph mm kinacho nikwamisha ktokuwa nasimamo na kazi bos anazingua anahamisha ofis mara kwa mara
@hamisimtanda4633
@hamisimtanda4633 3 года назад
Acha hiyo kazi kafanye Kaz yako utafanikiwa Mimi nimeacha ualimu nipo kwenye kazi yangu na nimefanikiwa Zaid kuliko niliowaacha
@mzaliwajohn1395
@mzaliwajohn1395 4 года назад
NATAKA KUA MUWEKEZAJI MKUBWA KWENYE KILIMO HAPa tz
@catherinegabriel2669
@catherinegabriel2669 4 года назад
Mimi ni muoga kuanza ila i promise mwaka huu ntafanya
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity 4 года назад
Anza kuchukua hatua
@kombomwazini7748
@kombomwazini7748 4 года назад
Nataka kuwa muandishi was habari nifanyeje tRNA naipebda sana
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity 4 года назад
Unaweza kuwa muandishi wa habari kaka. Pambana na fuata ndoto yako. Mipia nilikuwa na ndoto hiyo na hadi leo sijakata tamaa. Sijihusishi na wa tu wa tasnia hiyo na hata kujitolea kwani hapo ndo utan]kapojifunza, shiriki na mashindano mbalimbali yanayofanyika ya uandishi wa habari na utangazaji bila ya kusita, kwani mi nawajua wengi waliopitia huku na sasa niwaandishi an wasomaji wakubwa wa ha bari, na kutengeneza connections na watu mbalimbali. Haijashi nini unataka, jinsi gani utakipata? hiyo si kazi yako kitu muhimu ni kushikilia ndoto yako na kupambana bila ya kukata tamaa
@johnlameck9351
@johnlameck9351 3 года назад
Safi
@alfakanyika2260
@alfakanyika2260 4 года назад
Mafanikiozaidi or,
@melaniabarulas73
@melaniabarulas73 3 года назад
Natamani na napenda kufanya biashara ila sina mtaji
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity 3 года назад
For how long hili swala la kutokuwa na mtaji limekuwa issue kwako?
@fredrickkahungya8482
@fredrickkahungya8482 3 года назад
Biashara gani unatamani kufanya
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity 3 года назад
Swali nzuri
@stevenkilonzo5519
@stevenkilonzo5519 4 года назад
Ninakuwa na malengo yakufanya kitu tatizo linapo tokea napotezea hayo malengo
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity 4 года назад
Yaandike chini kwenye notebook, simu, au sehemu yoyote ambayo utakuwa unayapitia ili kujikumbusha malengo yako. Najua kichwa kina mambo mengi hauwezi kushika vitu vingi kwa wakati mmoja. So ushauri wangu kwako kuwa unaandika malengo yako sehemu nzuri na yapitie kila siku kujikumbusha nini unatakiwa kutimiza
@hagaigregory6571
@hagaigregory6571 3 года назад
@@GOnlinepositivity sawa brother tumekusoma
@maggehnew9729
@maggehnew9729 4 года назад
Napenda sana Videos zako. My goal ni kuwa youtuber mkubwa na 2020 Nitafanikiwa tu, pia Niko na Video inayofanana na hii, guys mnaweza kuangalia hapa ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-nSyiG7cyeW8.html
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity 4 года назад
Yessss
@maggehnew9729
@maggehnew9729 4 года назад
@G Online thank you so much. Yani umenipa moyo niendelee bila kukata tamaa
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity 4 года назад
@@maggehnew9729 keep going
@maggehnew9729
@maggehnew9729 4 года назад
Amani Longishu karibu sana, ntafrahi nikikuona. Just comment chochote nikuone ndugu 👍🏻
@allykaule7893
@allykaule7893 4 года назад
Kaka zahir naomba namba yako
@michaelpilly7449
@michaelpilly7449 3 года назад
Nice
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity 2 года назад
Thanks
@floraelias2367
@floraelias2367 4 года назад
Bro mm kinachonisumbua sana ni aibu kukata tamaa mapema sana nifanyeje kuepukana na hilo
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity 4 года назад
Flora Elias -Angalia video hii - ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-MpsItuUDrws.html
Далее
SIRI 4 ZA UTAJIRI KATIKA BIASHARA
12:21
Просмотров 36 тыс.
Oops 😅
00:10
Просмотров 2,5 млн
TABIA 7 ZITAKAZO HARIBU MAISHA YAKO/ACHA SASA
15:23
Просмотров 7 тыс.
BIASHARA ZINAZOTENGENEZA MATAJIRI WENGI
12:39
Просмотров 62 тыс.
HUWEZI KUFANIKIWA KIMAISHA BILA  MATATU HAYA....
50:09
Kanuni 5 za Kuongeza Kipato Chako
8:37
Просмотров 932
Oops 😅
00:10
Просмотров 2,5 млн