Nafurahi kwa kuludi tena ❤❤@🔥🔥🔥🔥kama naww ulisubili hii weka like hapa👇we miso misondo umepigaje hapo hilo zee nihatali sanaaa😂😂😂😂mzee wa inya nakuerewa
Nanyoosha mikono juu 🙌 Dakika 20 nimeona kama dakika 10 kwa utamu wa kazi hii 😂. Sasa niwaulize, Malikia atakuwa yule binti nyoka aliyepigwa kofi na baba yake!!, au huyu mtoto wa bibi anaye jitafutisha kwa Clam!? 😂 Weka like kwanza kisha comment tuelewane wenye akili kali kama Director Kakoso 👇
KEVIN NTABO ATEI from Kenya I'm proud of you Clam Vevo.. Snake boy is the content so far inafuatwa na Big boss, Best friend 😥❤️❤️.. Tunatarajia Mengi kutoka kwenu wakuu💪
Brother mie niliachaga kuangaliaga bongo move but this team munanitoa machozi na mnajuwa mpaka mnakera natamani isihishe mpaka mwisho wa Dunia maudhui maziri Hadi Raha this is another level 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌mpaka bongo move wawaonea wivu brother more life wazeee munajuwa kutuburudisha mpaka nyaaaaaa pwaaapwaapwaaaaaaaaaa👏🥰