Mi sijui niko wa mwisho wala wakwanza😂😂Nimechanganyikiwa na snake boy na nilikuwa nahamu nayo kwakwel kma unapenda snake boy 🐍 kma mimi gonga like tukisubir episode18😊❤❤🎉🎉
Guys nafikir ni vema pia kutambua uwepo wa Kila msanii humu Ili kuwapa motivation though Clam is a leading actor but supporters pia wametisha..hongera Sana Mtiba, Shahidi, Malkia na king clam him self plus wote mlioweza kukamilisha kigongo hiki ❤❤
Hey team clam..Leo saa tatu watakua na live match na steve mweusi pale TikTok..Tafadhali tusaidie clam apate ushindi..steve anaongea sana kwa mitamdao..nipeni likes zangu jamani..Natokea kenya ..
Gonna like Kwa snake boy episode ya 17 ya mwisho ndani ya mwaka 2023 tuombeane kheri na tukutane 2024 kweny majaaliwa ya uzima tukiisubir snake boy ep 18
Mimi nimfatiliaji mzur sana wa sneki boy ila kunakasehem kadogo mmefeli pale alipo jifunguwa kajifunguwa kuku muda ule ule kuku mkavu basi hata wangemfunika asionekane kote kibaki kichwa tu
@@denisjohn2005-f1i hahahaha clam na director wake n watu wanaosoma sana comment za watu na wanapenda kushauriwa ,naamin watasoma , na watazid kuongeza uhalisia❤️❤️❤️❤️
Happy new year team strong ulikua unategea snake boy ukiwa wapi tukutanw kwa comment please 🙏🙏🇸🇦🇰🇪 tuvuke mwaka apa ndani ya RU-vid 😂 tukitoaga ma stress za kina waiguru 😂😂😂💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞