Jamn jins kipara alivyo karbu na watu hawa😂😂😅 na mm pia nipo karbu nae sanaa sanaa 😅😅🙌🏻 gonga like kwake kipara nadhan mnanijua sinaga tabia za umbea umbea 😅😊
@HusseinNgendanyi ww ni Fala sana naanzaje kuishi maisha mafupi ju ya kuigiza tu kwa clam vevo kuwa serious na maisha ya watu ata mm hutazama ojo comedy ni kumpa tu mawaidha ju ya muda na unaongea vibaya
Oyaaa team strong ulikua unategea snake boy ukiwa wapi like apa watu wangu nwapenda saaana n tuliingojea kwa hamu n ghamu walai 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇰🇪💯💞💞💞 km wapenda snake boy usipite walai team strong tuko mbele 😂tukiwa hamam alaaah ama km Cha kwanza😂😂😂njoo utoe ukwiru huku😂😂
Oyoooo nimefurahi sana hiyo ndio snake boy jokaa fanya kaz yako aliambiwa asionekane na mtu sasa kipara ameona mchezo wote pengine baada ya kuvunja masharti ntiba atashindwa kukabiliana na nyoka mwisho wa picha wasaliti wote watakiona Cha moto kupitia snake boy
Clam anajuaaa , Hatimaye TUMEMPATAA KANUMBA BAADA YA MIAKA 10 , HONGERAAA SANA SASA JUMAPILI TULETEEE MZIGO MWINGINE WA NUSU SAAA TUTAKUWA TAYARI KUSUBIRI YAAANI LEO NIME ENJOY
Nimefurahi jamani huyu bibi kumezwa na nyoka😂😂😂.....weweee nasubiri huyo mwenye hana habari za umbea.umbea leo yamemkuta😂😂😂😂😂....jamani clam pambeeeee❤❤❤❤❤❤❤❤
Snak boy weweeeeeeee🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 jaman asanteni kwakutupa daika zakutosha❤❤❤ yani mwanzo mwisho ni moto💥kila kipande kina isha huku mtu hatamanii🎉🎉🎉🎉nawapenda team clam and direct❤🎉🎉🎉🎉 kama umefurahisha na ep 15 nipe like bs ata mbili❤❤❤❤❤