Тёмный

STEVE NYERERE AWACHANA 'MACHAWA' - "TUTAZALISHA MASHOGA WENGI, TAIFA LITAANGAMIA" |HARD TALK 

Global TV  Online
Подписаться 4,9 млн
Просмотров 16 тыс.
50% 1

STEVE NYERERE AWACHANA 'MACHAWA' - "TUTAZALISHA MASHOGA WENGI, TAIFA LITAANGAMIA" |HARD TALK
KWENYE HARD TALK ya kwanza kwa mwaka 2023 ya Mtumishi wa Mungu na Mwandishi wa vitabu Tanzania Lilian Mwasha, mgeni ni Mwigizaji Nguli na Mwnaharakati Steve Nyerere ambaye amefunguka mengi kuhusu machawa na maisha ya ndoa na mafanikio..
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Опубликовано:

 

22 янв 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 38   
@chancekambale3498
@chancekambale3498 Год назад
Steve"" anaongea pumba mingi. Hafikirie upande wapili. 1- kwamfano umempenda msichana anakuonesha Zarau anakufungisha ana danga nakukuima haki ya mtoto na wewe njo una mupa matimizi yote, unachoshwa na hayo una achana naye baadaye ana pitia magumu yamaisha kosa hapo niya nani? Maisha ya mwanadamu Nifumbo" watu wanapitia magumu tafauti"
@nicolenabintu2509
@nicolenabintu2509 Год назад
Dada mwasha nakuita mara tatu ,yani mpaka nashindwa ingia Sunday church jamani 😭 Steve Mungu da kweli akuweke Na akupe mwisho mzuri 🥰🙏🏿
@SayyedMusungu
@SayyedMusungu 4 месяца назад
Lily Leo umepatia. in love with the choice of your dress code.your no. One fun kenya
@peterkichochi7510
@peterkichochi7510 Год назад
STIVE ANA AKILI KUBWA SANA
@hijamwinyi3233
@hijamwinyi3233 Год назад
Sana but bila kuoa ni zinaa
@essaumakariusmbunda370
@essaumakariusmbunda370 Год назад
Nimekuelewa mzee mwenzangu
@mamirokongx195
@mamirokongx195 Год назад
Habari Lilian, samahani naomba email yako, Kuna ndoto natala kushare na wewe.
@hijamwinyi3233
@hijamwinyi3233 Год назад
Unazini steve
@ngowibeatrice1701
@ngowibeatrice1701 Год назад
Kasema kweli
@suzansimon5296
@suzansimon5296 Год назад
Da Steve umeongea point kwl😍
@bitecastory2137
@bitecastory2137 Год назад
Umeongea point sana kakaangu
@nicolausmavoa7909
@nicolausmavoa7909 Год назад
Mwasha mwasha unanipa rahaaa sana 😘😘
@jannyjmamdak2570
@jannyjmamdak2570 Год назад
Nime Enjoy kwakweli kumbe Steve Kuna muda unqongea maneno mazima
@charleslukumai7875
@charleslukumai7875 Год назад
Mtangazaji unapotosha. Chawa hasifii, wala hahamasishi. Chawa ni mnyonyaji, chawa hupenda pachafu. Sidhani ni sifa nzuri.
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 Год назад
I7I7 una Maswali Technical sana Big up sana
@ed3ezekiel388
@ed3ezekiel388 Год назад
Tunashughulika na muda wa watu .... fact bro 💯 %
@nancymasha6327
@nancymasha6327 Год назад
Dada Lili bwana asifiwe naomba no. Yako pliz
@michaelmgege4600
@michaelmgege4600 Год назад
Tusaidie doctor mwaka tena
@furahannko10
@furahannko10 Год назад
😍😍
@namsamson3443
@namsamson3443 Год назад
Huyu kaka leo kahubiri, kumbe watu wanamtukana bure ila ukikaa na kutulia na kumsikiliza Vizuri ana madini ya nguvu. Endelea kubarikiwa
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Год назад
😍😍👍
@mosesgasana7109
@mosesgasana7109 Год назад
Dah! Kweli nyani haoni kundule, wewe mwenyewe chawa😂
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 Год назад
Chawa sio kuadi Chawa zamani ilikuwa ikiitwa Mpambe, Kuadi ni mwingine
@loner_wolf
@loner_wolf Год назад
Kuwadi na chawa ndio hiyo hiyo kumbe, basi steve kumbe ni chawa pia zamani kuwadi sindiomaana yake 😂😂😂😂😂
@usanifumaandishi7519
@usanifumaandishi7519 Год назад
Ndio tunauliza kama una mtoto ili tusibebe majukumu yasiyotuhusu, nani anapenda kubeba mzigo wa mtu mwingine yeye anakula bata tu
@janethhendry6734
@janethhendry6734 Год назад
Yan m. Sipendagi unaongeaga Sana kuliko hata unaemuhoji
@mariajoseph9735
@mariajoseph9735 Год назад
Mbona muda mchache Lili
@reisezone4574
@reisezone4574 Год назад
LILIA MWASHA TUNAOMNA HUYU JAMAA BAADA YA MWEZI MMOJA UMELETE TENA KWENYE MAONGEZI KAMA DOKTA MWAKA AHAHAHA STIVU MUONGEAJI HUWEZI CHOKA KUMSIKILIZA
@charleslukumai7875
@charleslukumai7875 Год назад
Hao chawa akili zao siyo kwamba zinapooza, bali zinadumaa na mwishowe hufa kabisa.
@dayana5513story
@dayana5513story Год назад
Steve umegusa pale ninapopataka kusikia ubarikiwe
@nicolenabintu2509
@nicolenabintu2509 Год назад
Yani dah 🙏🏿
@shinipapaya846
@shinipapaya846 Год назад
Hadi toki ndio nini sasa ndani ya Tanzania yetu? Na hiyo miswanglish ya kufa mtu kwa kweli hii mitaara ya MKOLONI lazima tuikomeshe mashuleni 🤣🤣🙄🙄
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 Год назад
Chawa wa Rais sio Walinzi
@silverman6930
@silverman6930 Год назад
That’s the longest intro ever for the show … I’m tired already … try and be more economical when comes to time ….otherwise gets too boring …
@mzikimina3753
@mzikimina3753 Год назад
😅😅😅😅 dada. Baada ya hii interview bado uko wachafu 😅😅 apo kwenye uchawa nimesaau mwenye radio ni boss wako wa clouds yule mwenye uchawa ni head prefect tuu but afadhali iki kipindi unakifanyia uku maana ulivyokuuwa unarekodiwa na wachafu ulikuwa umepoteza freedom yako ya kufanya interview Coz vingi ulikuwa unaongea viko umo umo wachafu but ulikuwa unafunika kombe mwana haramu apite 😮😅
@ilungasalle
@ilungasalle Год назад
Bwege mwingine huyu hapa
@othumanlorenzo260
@othumanlorenzo260 Год назад
Sana hahahaaa
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 Год назад
Walinzi hawajiusishi na majibizano, Steve wewe ndio hukumuelewa mama vizuri
Далее
Hamster Kombat 20 July Mini Game
00:13
Просмотров 10 млн
MSAJILI TNMC KATIKA MAHOJIANO NA  AZAM TV
32:21
CHURCHILL SHOW S1E2 2024
22:20
Просмотров 277 тыс.
KWANINI WANAWAKE WENGI HAWAFIKI KILELENI
25:44
Просмотров 188 тыс.