@@ahz6907 ana akili sana, wengi wamesoma hawana uwezo wa kudeliver hayo madini ishu sio kusoma tu bro. Nenda ukasome tuone madini yako, kuna watu wamesoma kuzid hata yy lakini hawana kitu.
@@timothmwakakusyu4563 nimesemea akili yake plus experience ndo utofauti ulipo.sio kwamba ni special sana.hata wewe ukisoma na ukakutana na cases zikakupa experience ya mambo meengi katika maish huwezi kuwa sawa na yule aliyesoma tu. Kumbuka kila binadamu anazaliwa genius.
@@ahz6907 si kweli ndugu, sio kila binadamu anazaliwa genius ila kila binadamu ana karama yake. Hivi unajua maana ya neno Genius? Ukijua maana ya neno genius ndo utaelewa mambo, na ujue pia kutofautisha kati ya IQ na EQ, binadamu tuna utofauti sana. Huyu ni special sana kwa eneo lake, tuna wanatheolojia na wanasaikolojia kibao ila usitegemee kwamba uwezo wao wa kudeliver kile ulichokisoma uko sawa. Unaweza ukawa umesoma sana lakini Mungu hajakujalia uwezo wa kutoa kwa wengine wakakuelewa na kukufurahia, kuna wengine wanaposoma inakuwa faida kwao pekee. This is hard talk bro huwezi kuelewa kirahisi kama mambo ya delivarance huyaelewi kiundani
Am happy I found this Man here . Happy enough I met him also at KKKT buguruni last Sunday and He shared a word on that special Mass of our deceased brother Masue. It was the best speech ever met in a funeral Mass.
Aiseee Lilian hii interview ni bonge moja la interview kuwahi kufanya big up my sister keep it up you doing great watu hawajui mambo mengi sana ktk hii dunia ila hatujui kama hatujui mpk tujuzwe
I am always telling Weman that we are the managers of the love's feelings. because we are the receivers and produces of our relationship's love 💞💗💗💞 thank very much for your explanation doctor. you are the best 💋💋💋
🤔Fore play, fore play, fore play and different techniques may help. Tuache uvivu tuwe wabunifu kwa kujaribu mbinu mbali mbali kitandani zinasaidia🤔. Mapenzi ni mashirikiano ya watu wawili lakini mkifanya kwa dhati kwa kujaribu mitindo tafauti lazima mtatoshelezana tu🤔.
🤔Hii cheating kuna msemo wa Kiingereza unasema “forbidden fruit is the sweetest”. Yaani tunda lililokatazwa ndio tamu lao. Hii ndio maana mtu akitoka nje ya ndoa na kufanya mapenzi nje hupata shauku na mvuto mkubwa kimapenzi. Lakini pia harufu mpya na mapigo mapya pia huongeza michapuko ya kufika kileleni kimapenzi🤔.
Dr.Umenitisha Maana Mimi Nikiwambia Kwenye Hizi Vidio Zao Humu ???? Raha Yakula Nikutafuna Ndio Wawahili Wamesema Nyege Kunyegeshana ???? Wao Wanakuja Kutaka Kufikishwa Hajuwa Kuwa Nikufikishana
Huyu mwamba anafundisha San lkn bado hajajibu swali. Kuna contact zipo za kumfikisha mwanamke killelen hajazitaja, mwanamke hata Kama anamsongo wa mawazo lazma atafika kilele tu, labda atachelewa tu lkn lazma afike. Kikubwa umjue yy na contents zake. Very very easy.
Wajanja washajua bro, hujasikia maandalizi ndani ya mazungumzo kwamba lazima umwandae vya kutosha ili umshtue uwepo wake? Mengine haya ni elimu ya ziada itakusaidia, usiwe mgumu wa kuelewa 😆😆😆😆😆😆😆
Pia uwepowanguvu unahitajika kikubwazaidi kwanza mwanaume inatakiwa achelewe kufikakilele nahilowengilinawaangusha wanaume kutokana na vyakula mwingine Huwa anashusha Kwa dakika 2 huuni udhaifumkubwa namwanaume akiwahisana kufikakilele mwanamke atakuchukiasana nakukudharau kamawasipobadilika nakuachakula mikukuyakisasa tatizohilohalitaisha by op hamidu mkomwa
Nimemuelewa sana doctor. Inamaana asitokee mmoja wapo kati ya mke na mume akasema hanifikishi kileleni. inatakiwa aseme sifiki kileleni. Ndio maana akasema hakuna mtoto anaezaliwa haji duniani kukutegemea ww au kumtegemea mtu. Kila mmoja afanye juhudi ya kutafuta anachokitaka ili akipate. Kweli mkiwa mnanyanyua mzigo mzito watu wawili ukizembea kiunua ule mzigo utainamia kwako na utakuangukia utaumia wewe uliezembea kunyanyua.