Тёмный

SUMU YA NDOA PART 4 || NEW BONGO MOVIES 2022 

BUSATI TV
Подписаться 98 тыс.
Просмотров 23 тыс.
50% 1

Hakuwahi kuiona thamani yangu hata siku moja, Katika nyumba yake nilikiwa kama mateka. Hakuwahi kunifanya Mtu Mwenye furaha hata siku moja ...... Ndoa yetu ilijaa kashfa, manyanyaso na kila aina ya dharau ..... Naichukia ndoa yangu

Кино

Опубликовано:

 

21 сен 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 122   
@busatitv
@busatitv Год назад
Je Unapata Changamoto kupata Links zetu? Karibu katika group letu la WhatsApp 👉🏻 BUSATI FANS Bonyeza link itakupeleka Moja kwa Moja chat.whatsapp.com/EXedjPddrA9C1XIkEg36JP
@khamisally6924
@khamisally6924 Год назад
Mm napenda hilo grp
@busatitv
@busatitv Год назад
Bonyeza link hapo
@jsshshsh4562
@jsshshsh4562 Год назад
Mbona nikibonyeza inaleta loading to na haifunguki
@asmatabdallah1368
@asmatabdallah1368 Год назад
Alhamdulih yote yaliyomo humu wallah nime yapitia Inshallah Allah aki nijalia ndoa ya pili bas na mumba sana mungu mungu anipe mume mwenye kheri na mimi ❤
@busatitv
@busatitv Год назад
Inshallah 🙏
@busatitv
@busatitv Год назад
Mola hatakujaalia Mume mwenye hofu ya Mungu bila shaka itamsaidia kuwa na heri na ww
@Ukhty4338
@Ukhty4338 Год назад
Mashaallah mashaallah mashaallah wana busati, Allah awalipe tumejifunza mengi,nawapenda kwa ajili ya Allah.
@busatitv
@busatitv Год назад
Inshallah
@busatitv
@busatitv Год назад
Mungu akujaalie
@Ukhty4338
@Ukhty4338 Год назад
@@busatitv Allahuma Amiin
@shemsasaid384
@shemsasaid384 Год назад
Mashallah mashallah mashallah filamu ni nzuri ya maadili hongereni wanabusati😘😘
@busatitv
@busatitv Год назад
🙏🙏🙏🥰🥰
@lailahmohamed6749
@lailahmohamed6749 Год назад
Asante Sana kwa filamu yenye mafunzo mazuri. Mwenyezi Mungu awabariki nyote.
@busatitv
@busatitv Год назад
Asante sana Mungu akubariki
@user-vv1te9fu8q
@user-vv1te9fu8q 11 месяцев назад
Mashaallah movie nzuri na ina mafundisho ndani yake
@busatitv
@busatitv 11 месяцев назад
Asante sana
@allahkareem9111
@allahkareem9111 Год назад
Rashidi anadhambi nzito sana jinga sana hilo yaani linatenda dhambi juu ya dhambi pumbav zako
@busatitv
@busatitv Год назад
Yani ni hatari sana
@user-tx7yh9yb6e
@user-tx7yh9yb6e Год назад
Rashid 😅😅😅cku zote we hun busara
@busatitv
@busatitv Год назад
Sijui yupoje
@tausihamisi193
@tausihamisi193 Год назад
Nimejifunza kitu kizuri sana na washauri kaka zangu muwe wavumilivu pia subira iwe ngao kwenu na sis wanawake tujifunze kitu hapa
@busatitv
@busatitv Год назад
Asante sana kwa kujifunza .... 🙏🙏
@everlinekenga437
@everlinekenga437 Год назад
Ukisema chann mwenzako ywasema atakipata lini Rashid utatua hujui 🤣🤣🤣
@busatitv
@busatitv Год назад
Kabisaaa ... Siku zote Mtu ujua ubora wa Mtu baada ya kumpoteza
@fatmahaji7661
@fatmahaji7661 Год назад
Movie nzuri mnoooo🥰,,, hongera sn
@busatitv
@busatitv Год назад
Asanteeee sana
@rajeshrajesh-lp2oy
@rajeshrajesh-lp2oy Год назад
Shukrani saner 🙏 busati tv mnaichapa kazi tumepata mafunzo mazuri
@busatitv
@busatitv Год назад
Asante sana
@busatitv
@busatitv Год назад
Asante sana
@YoungVee994
@YoungVee994 Год назад
I love this channel ❤❤❤
@busatitv
@busatitv Год назад
Thanks so much 🥰
@mayaashassan3918
@mayaashassan3918 Год назад
Mashaallah mashaallah thabarakallah shukran sna kwa mafundisho yenu mazuri na Allah awazidishie kwa kipaji chenu mlicho nacho yaani mm najifunza wallah ttz wakina RASHID ni wengi wallah😟
@hamidudongo1879
@hamidudongo1879 Год назад
Your choice. Kuna wanaume wengi sana wazuri. Tatizo hatuoi au kuolewa kiislam. Mtu kuvaa kofia na kanzu sio necessarily kuwa a good Muslim .
@busatitv
@busatitv Год назад
Ni kweli kabisa wapo Wanaume wengi wenye Matatizo na Wapo Wanawake wengi wenye Matatizo .... Kikubwa ni kuishi katika misingi imara ya Dini @Mayaas
@busatitv
@busatitv Год назад
Upo sahihi @Hamidu
@adijaamur962
@adijaamur962 Год назад
Rashidi pole yako kwakweli kimeumanaa ime kulakwako
@busatitv
@busatitv Год назад
Imekula kwake
@zulfahussein6784
@zulfahussein6784 Год назад
MashaAllaah tabaraAllaah yaani wanabisatu wetu twawapenda bure MashaAllaah kwa mafuzo yenu ❤ ❤❤
@busatitv
@busatitv Год назад
Amin
@aminamdogo4388
@aminamdogo4388 Год назад
MA Sha Allah jazakallah Kher Allah awabariki nimejifunza sana San
@busatitv
@busatitv Год назад
Asante sanaaa @Amina
@adijaamur962
@adijaamur962 Год назад
Nime jifunzakitu nawapenda bure mieee🧕🧕
@busatitv
@busatitv Год назад
Asante sana
@hlimaa5182
@hlimaa5182 Год назад
Shukran 🙏🥰 sana wana Busati ambae ameiangalia hii movie 🎥 na kuzingatia kabisa basi atafaidi awe kwenye ndoa au atakapo ingia kwenye ndoa jazakaallah kheri in Sha Allah 🙏
@busatitv
@busatitv Год назад
Inshallah Mola awajaalie heri
@hlimaa5182
@hlimaa5182 Год назад
@@busatitv Ameen yarabbi Ameen 🤲🏼
@faridahnassoro8025
@faridahnassoro8025 Год назад
Nampenda cn bi khadija jmn 😘😘😘
@busatitv
@busatitv Год назад
❤️❤️❤️❤️ @Faridah
@everlinekenga437
@everlinekenga437 Год назад
Tamu sana hii movie wallah ♥️♥️
@busatitv
@busatitv Год назад
Asante sana
@faridahkavochi8079
@faridahkavochi8079 Год назад
Mashaallah tabarak Allah mafundisho mazuri sana
@busatitv
@busatitv Год назад
🥰🥰🥰
@mwenieliasa6517
@mwenieliasa6517 Год назад
😅😅😅mwenye asili yake kweli Aachi asili yaani jeuri moto rashidi😅
@busatitv
@busatitv Год назад
🤣🤣🤣
@mismona1271
@mismona1271 Год назад
Mashaallah mungu awakuzie kipaji chenu kwakweli najifunza mengi kupitia nyie
@busatitv
@busatitv Год назад
Asantee sana Kipenzi chetu, endelea kujifunza mana hapa ni nyumba ya elimu @Miss
@jamilanasio9789
@jamilanasio9789 Год назад
Aki hii movie inanikumbusha mbali sana lol, Shukran Kwa movie 🎥 nzuri🇰🇪
@busatitv
@busatitv Год назад
Pole sana lakini Asante sana
@latiffababy8150
@latiffababy8150 Год назад
Mumenifunza juzi 2 nlkwambia mume wangu ata mwenza
@busatitv
@busatitv Год назад
Hongera sana
@tumajunior6080
@tumajunior6080 Год назад
Mashaallah mafunzo mema kbs Allah abariki kazi yenu 🤲🤲🥰🥰shekh Othman 💪💪💪💪💪👌👌👌
@busatitv
@busatitv Год назад
Inshallah
@essambader4075
@essambader4075 Год назад
Masha llaha ongereni sana wapezi kwakazi yenu zuri sana mubarikiwe wote kwa mafuzo mema ❤ ❤ ❤ ❤ ❤
@busatitv
@busatitv Год назад
Je unaipa asilimia ngapi?
@aishaomar9621
@aishaomar9621 Год назад
Shukran jazila wanabusati Mungu awabariki hongereni Sana filamu nzuri Sana ina mafunzo ❤️
@busatitv
@busatitv Год назад
Asante mnooo tunakupenda sana
@juliusmwangi3568
@juliusmwangi3568 Год назад
LAKWANZA HONGERENI SANA KWA KAZI NZULI LAPILI INGEWEZEKANA HUYO RASHIDI MUNILETEE YEYE NIMUFUDISE KUISHI NA MKE,,,,AMENIUTHI SANA ,,,,,,,
@busatitv
@busatitv Год назад
Daaaah asante 🙏🙏🙏
@faudhiahassan9045
@faudhiahassan9045 Год назад
Daaa unajifunza hapo jmn hongereni sana kazi nzur
@busatitv
@busatitv Год назад
Asante sana Usiache kutazama movie zetu nyingine 🙏
@fatimasalimu5729
@fatimasalimu5729 Год назад
Kazi nzuri san
@busatitv
@busatitv Год назад
Asanteee Mnoooo
@jumakandy2075
@jumakandy2075 Год назад
Classic movie kazi nzuri sana big up busati tv🔥🔥🔥💯💯
@busatitv
@busatitv Год назад
Asante sana
@nailaty
@nailaty Год назад
Masha Allah ogena mzuri 😍
@busatitv
@busatitv Год назад
Waoooh 🥰🥰
@msemajitv
@msemajitv Год назад
Fantastic💪💪
@fatumamohammed2857
@fatumamohammed2857 Год назад
Mashallah shukrn sana ndugu zangu nmejifunza mengi kupitua movie zenu hongeren sana Allah awalinde daima awaongoze katika kazi zenu
@busatitv
@busatitv Год назад
Amin
@busatitv
@busatitv Год назад
Mungu akupe kila hitaji la Moyo wako
@mustafatsomba6178
@mustafatsomba6178 Год назад
The way I appreciate your movies my dears, it is unexplainable. Keep up the high quality work
@busatitv
@busatitv Год назад
Oooh thanks so much
@zeddydefirst888
@zeddydefirst888 Год назад
Masha Allah,,Amin yarrab 🤲
@busatitv
@busatitv Год назад
🙏🙏🙏
@joyceneema4986
@joyceneema4986 Год назад
Kaz zenu nzuri sana
@busatitv
@busatitv Год назад
Je umejifunza kitu?
@user-dq9bx1qf9e
@user-dq9bx1qf9e Год назад
Nampenda mzee kamba 3
@busatitv
@busatitv Год назад
Asante sana 🙏
@fatimamustafa1387
@fatimamustafa1387 Год назад
Movie nzuri sna pongezi
@busatitv
@busatitv Год назад
Asante saaanaa Mungu akubariki
@user-od6mu5yr4e
@user-od6mu5yr4e Год назад
Rashidi ajengewe sanamu posta🤣
@busatitv
@busatitv Год назад
Kwa wema gani eeeeh? 🤣🤣🤣
@amenamaashaallahyasheikh3457
Kazi nzuri sana
@busatitv
@busatitv Год назад
Asante sana
@eashaeasha9776
@eashaeasha9776 Год назад
Wanaume mujifunze hapa mke ukisha muacha kuna wengine watamchukua sasa ukubali matokeo nawala sio fujo😬
@busatitv
@busatitv Год назад
Kuna Mengi ya kujifunza kupitia hii filam
@elizabethmahenzo7220
@elizabethmahenzo7220 Год назад
❤❤❤
@busatitv
@busatitv Год назад
❤️❤️❤️❤️
@pendopascal1899
@pendopascal1899 Год назад
Nawapeda sana
@busatitv
@busatitv Год назад
Tunakupenda pia 🥰🥰
@fatumaomarali6640
@fatumaomarali6640 Год назад
Shukran sana ❤❤❤❤
@busatitv
@busatitv Год назад
❤️❤️❤️❤️❤️
@julianamaganga4803
@julianamaganga4803 Год назад
Huyo chinga mboni kakaa hivyo
@busatitv
@busatitv Год назад
Kakaaje Jamani eeeh
@salmarashid3492
@salmarashid3492 Год назад
Wa kwanza jaman
@busatitv
@busatitv Год назад
Weeee kweli?
@salmarashid3492
@salmarashid3492 Год назад
@@busatitv ndio
@bbrsssaad1282
@bbrsssaad1282 11 месяцев назад
Rashid kimemkuta
@nooroman2535
@nooroman2535 Год назад
MashaAllah
@busatitv
@busatitv Год назад
🙏🙏🙏
@busatitv
@busatitv Год назад
🙏🙏🙏
@mariamndugu1311
@mariamndugu1311 Год назад
🔥 🔥 🔥 🔥 ❤️❤️
@busatitv
@busatitv Год назад
🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️
@fatimasalimu5729
@fatimasalimu5729 Год назад
Mbon amleti binamu
@busatitv
@busatitv Год назад
Binamu mbona tumepost mpaka Mwisho
@jamilariteriteka
@jamilariteriteka 11 месяцев назад
❤ 🤝🤝🤝❤❤
@hafifahtn688
@hafifahtn688 Год назад
Asanteen ✋✋✋✋✋🦾💪
@busatitv
@busatitv Год назад
🥰🥰🥰🥰
@mwanamisirama1836
@mwanamisirama1836 Год назад
Rashid aona aibu🙈🙈
@busatitv
@busatitv Год назад
😁😁😁
Далее
HOUSE GIRL EP 52 || love story💞💕
24:13
Просмотров 10 тыс.
Parents' Breakfast Rescue Mission for Laptops
00:28
СДЕЛАЛА БРЕКЕТЫ ДОМА
01:01
Просмотров 1,3 млн
MACHOZI YA FURAHA PART 4 || NEW BONGO MOVIE 2023
21:24
Просмотров 2,1 тыс.
HOUSE GIRL EP 51 || love story💞💕
20:37
Просмотров 84 тыс.
ZULMA NA MADHARA YAKE OTHMAN MAALIM
32:10
Просмотров 215 тыс.