Unajua nu vizuri ukiajiriwa ukifanya kazi, ufanye bidii utoke ufungue kampuni yako uanze kazi nawe na uajiri watu.! Huyu kijana aliamua kuanza kivyake! Am proud of you harmonize. I will get your contacts and bring you to europe. Be patient😘😍u r on my list and we gonna talk more soon.
Harmonize... Kile Mungu amekupangia, kitakuwa chako daima. I swear you're so humble, you're patient and sincere. Your journey is teaching a lot!! I'm glad you're now independent and outstanding. May you shine forever. More love from 254❣️❣️
Aiseeh!😥 Ubinadamu ni kazi sana. Pole sana Harmonize na salute kwako! Umepitia mengi mno ambayo yanafanya ya sisi wengine tuone kumbe ni kama hatujapitia magumu hata! Keep going Harmonize🙏🙏🙏
Eti mwambie atume e-mail niconfirm kuonana na yeye,dah nyie maisha aya...pole Harmo...hapa hamna ata haja yakusema nisubir niskilize upande wa pili maana namjua ni muongo,atakuja na maneno kibao yakujikosha ili afute hii aibu lakini atagonga mwamba..we love you and we encourage you to go even far.MUNGU ni wetu sote.
Duh! He's very humble. Very talented. Keep praying and staying true to yourself and you will be where God intended you to be. Next time you come to the US I will make sure I attend your show and will bring many people with me. God bless you and be strong.
I'm a Zambian bt your story is so emotional😢...Surely, I think there's jxt something to why I've never loved Diamond Platnumz n I guess this is the damn thing...So sad man. Edit: Simba is 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 He deserves flowers while he's still able to smell em...because he has mentored so many talents who are now stars🏆👑
@@bodosam7798 ngoma gani sasa mko nazo. Mimi nikae chini nisikie sijui sipangwingwi. Una wazimu. Kina sauti sol, nameless wako sawa,Otile brown etc but ukweli ni kuwa nyimbo mob ni bogus tu hazibambi.
I used to judge kondeboy now I understand….as the saying goes never judge a book by it’s cover ….now we know who the devil 👿 is.May God continue opening your path and protect you now that you’ve given us all the issues u faced.
@@ahmedsdk6736 😂😂😂😂 situation aliyonayo mond n mbaya Zaid kuliko huyu aloongea ili aonewe huruma. Sikuzote mtoto wa kambo hanaga shukran n wachache wanaojua kumshukuru, ukimlea mtoto haijalishi umemleaje either kwa kipigo au kumdekeza hii haimaanish akikuwa akulipe hy😂😂😂😂 acha tuone
Listening to what this guy is saying, hurts most.. Watching in tears😭😭😭. Never knew what you went through bro but I know God is working something beautiful in your life.. Watching from Kenya. Hugs
There are no negatives in life, only challenges to overcome that will make you stronger. CONCERNED BUT NOT CONSUMED! Beautiful souls are shaped by ugly experiences. Keep going #jeshi #harmonize
This interview makes sense of what artustes go through with bad management. Diamond is jealous of anyone who is making it in life. Its a record label, your artists should blow up more than you if at all you have their interests at heart. I'm happy that JESHI held it down and is vindicated from all the paid gossipers on radio, tv and social media who tarnish his name on a daily basis. WCB should focus on their artists, stop following former artusts if at all you're confident about yourselves. #KondeGangGang @Harmonize milele.
The fact that you are still calling Diamond Bro shows the respect you have for yourself and to others. And this confirms how disciplined you are as a man. Mungu yupo na malipo ni hapa hapa duniani. Ipo siku.
Na huu ndio mfano mzuri wa kikulacho kinguoni mwako.. Ila bro wewe ni JESHI let no one tell you otherwise.. am proud ulifanya uamuzi mzuri kutoka Kwa hao wanadamu kupe..
Ni kawaida kwa mfanyikazi kula 40% na boss kula 60% tuulizeni sisi tunaoishi na commission ndiyo tunajua,kwa mfano umerediwa music bure,audio bure,mavazi bure,ticket ya ndege bure sasa wataka ukifanya show upewe ngapi??????
@@SalimSalim-bv3wb sikia stor yake vizuri alikubalian n yote kukatwa asilimia sema alitoka wcb maneno yalizid hao machawa wa diamond walikua wanamwambia diamond kua makin n harmonize atakupita kimziki bifu ndo lilianza hapo source ni kupitwa kimziki
Du Pole sana #Harmonize , sikujua ukweli Mimi shabiki wa mziki tu kawaida but niliwaza hivo kuwa umeleta jeuri sababu unajiba umemdharau Diamond kumbe ndo Vita ilikuwa Kali hivo mpaka nimeumia mazee but I'm happy because you still growing day after day Mungu hajakutupa so keep going man as you Sang #Never_give_up.
@@bolingomwana5963 thanks so much. Kwakweli naishi nje but hata alipokuja Minnesota siku enda, ila baada ya kutoa ya moyoni roho imeniuma. Ni kijana mchakarikaji aliyekuwa anapewa lawama for no reason😢😢
I was a big fan of diamond platnumz from kenya but from today i have switched gears to KONDE GANG, nilidhani harmonize alisaliti diamond kumbe it's all the way round. #TAG KONDE GANG FOREVER forever
I’m so sorry for the difficult time you've sailed through. I don’t know what to say, except that Keep the faith. Things are going to start looking up soon bro.....Don’t let anyone dull your sparkle, you're unique
@@jennytugara9470 kindly replay the video clip to comprehend what the dude went through before the intervention of the late Dr Magufuli, Tanzania President
Kaka napenda kukuakikishia Kama haya yote unayosema yanaukweli ndani yake na umeweza kuyavumilia kwa kipindi kirefu kesho yako Ni kubwa Sana naachilia baraka zote mungu awe nawe katika mziki wako, Amina
Roho imeniuma kuskia hii news kwa kweli! Harmonize wewe ni jeshi and we love your music baba. Endelea kupiga kazi baraka zinatoka kwa Mungu tu. Rizki yako iliandikwa tokea ungali tumboni kwa mama Kondeboy. Kweli wewe ni jeshiii🐘🐘💪💙💙 stay strong Konde🥰🙏
Duh!! I really respect your determination brother, I know God is with you. With that heart you will be the next Wizzkid of Tanzania, I respect and love you brother. Love and respect from CA
now its loud and Cristal clear konde boy pole sana kumbe umeyapitia mengi. i always know ur a polite guy. Thank God ur doing just fine haujaisha kimuziki bro.
Me team kiba ila pole sana mze umezidi kuinspire watu wengi kwa uthubutu wako na upambanaji wako keep it on mze mwisho nadhani watu ndo wataelewa kwanini Alikiba alikataa kumpa kiganja cha mkono mdomo thank you sir✌️❤️🇹🇿🇨🇦
May almighty God continue protecting you against all odds 🙏🙏🙏Kondegang....I love your honest and wisdom (mungu akatete nao wanao teta nawe,akapigane na wanao pigana nawe🙏🙏🙌)
Hiyo story ni noma manze, Daaaaah! Harmonize you've poured out so much that I felt tears in my eyes. If it wasn't for the late Magufuli we don't know how this could have ended. Big up Jeshi much love Kenya. Endelea kuhustle pekee yako tembo.
Félicitations bro ,Mungu aku shindiye bro ,kuna fasi uli imbaka matatizi yata kwisha lini, matatizo kila siku Maman.we pambana na Mungu aku saidiye, tuko nyuma yako .we love you .from DRC 🇨🇩🇨🇩
A guy is very humble, jamaa ni mvumilivu sana, and this is a true definition of JESHI .. binafsi interview imenitoa chozi kumbe jamaa amepitia fitna nyingi daah , don't give up man unanyota Kali sana !, God will be on ur side everyday 😥
Wewe ni JESHI......got my respect 🤝..umeyatoa yote ya moyoni daaah tz tuache uteam na hii ni mbaya.....dai will never recover from this....pambana konde boy...DONT GIVE UP💪💪
Harmonize has shown alot of wisdom since the whole scandle between him and Diamond started. He's remained silent no matter how many times Diamond pocks his nose. Diamond has had disagreements with so many artists in Tanzania including my favorite Ali kiba, meaning he's the problem. He believes that no one should be ahead of him in music career. He wants them to stagnant where there are as he remains at the top..
That's Capitalism. The best always succeed and if you can't keep up get out of the game. I understand your concern is all about his way of dealing with competition but that's business 😅.
Harmonize speaks to many souls, Souls that go through similar or more complex conditions away from music. God does not give your blessing to anyone. May somebody be inspired today to walk away from toxic people. Be it family, your boss or client.
Respect Brother, Mimi ni miongoni mwa wapenzi wa Diamond na WCB lkn sasa nawachukia. Naomba nawe usiwafanyie vibaya wasanii wadogo kama inavyoonekana sasahivi
Welcome back jeshi. Tuko na wewe. Unajitahid lakini tunajua wcb wanajitahidi sana kukuporomosha. Wala usiwaangalie endelea na kazi zako. Unajitahidi sana na tunaona. Na wao hawapendi maendeleo yako. Kila siku wao wanaku attack. Tumewachoka
Dah wewe jeshi kweli machoz yananibubujika na hiyi story wewe ni mvumilivu! Love from congo, sitawekaga kitu cha diamond kwenye cm yangu labda ahimbe na msani ninaye shabikia na sizani
kwa hii interview pekeyake, kaisambaratisha WCB yote na maubaya yao...God is on your side bro!! umeshachukua NUsu ya followers wote wa hao wanafiki..big up konde boy