😂😂😂😂 twawajua tu sio kuwasikia mama Bado wako mpaka miaka hii 2023/08/30. waambie mama Mafans wangu msambweni kote ujumbe kwenu kwanzia Ramis, Dargumbe, kikoneni, majoreni, fingirika, kingwende hoyeee, watu wa mkwiro kisiwa mziki kwa upole mpaka shika adabu bila kuwasahu watu was 00 yaani zero zero ukiingia magaoni
Allahamdullillah,nyimbo zakale za nipa raha tuu.mie msafiri abdulaziz nuru!!!allah atujalie uhai,uzima bado za leta raha.mie kipenzi wa taarabu sana!!!...👍👍👍👍🙏🙏🙏💯💯💯🇰🇪🇰🇪🇰🇪...
I guess im asking randomly but does anybody know a trick to log back into an instagram account? I was dumb forgot the login password. I love any assistance you can offer me.
Huyo ndo Khadija Yusuph mwenyewe katika ubora wake nampenda sana huyu dada anajua kuimba sana pia ana uwezo mkubwa sana wa kuimba, kutendea haki na kuzimiliki vizuri hadi nyimbo za waimbaji wengine
Jamaniii Nakumbukaa Mbali sana nikiwa bado kadogo Mitaaa ya Chang'ombe B ikifika Ijumaaa natoka shule jumamosi kuna harusi jirani tunakesha Wimboo huuu ndio ulikuwa the Best hakuna wakufanishwaa naoo
Huyo ndo Khadija Yusuph mwenyewe katika ubora wake nampenda sana huyu dada anajua kuimba sana pia ana uwezo mkubwa sana wa kuimba, kutendea haki na kuzimiliki vizuri hadi nyimbo za waimbaji wengine
Huyo ndo Khadija Yusuph mwenyewe katika ubora wake nampenda sana huyu dada anajua kuimba sana pia ana uwezo mkubwa sana kuimba, kutendea haki na kuzimiliki vizuri hadi nyimbo za waimbaji wengine