Тёмный
No video :(

TAHARUKI: MWILI WA MAREHEMU WATOA JASHO, MAZISHI YASIMAMA MASAA MAWILI, NDUGU WAFUNGUKA MAZITO 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 127 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 329   
@gaudencemihungo4348
@gaudencemihungo4348 Год назад
Baba wa marehemu mchawi, anajua kinachoendelea. Hiyo dhambi ya uchawi ya kumtoa mtoto kafara ili awe na nguvu zaidi za kichawi, itamtokea puani. Mungu hata nyamaza, damu ya kulwa itadai kisasi.
@officialmubytz1076
@officialmubytz1076 Год назад
Hizo ni dalili za kuchukuliwa msukule Mcheki amieli katekela wa promover tv
@africandarling6925
@africandarling6925 11 месяцев назад
Swadakta
@damianminsno1317
@damianminsno1317 11 месяцев назад
inaniingia akilini
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 Год назад
Subhanallah wamezika mtu ambaye hajafa yarrab Allah awasamehe
@aishachambo8663
@aishachambo8663 Год назад
Wamezika bado yuko hai jamani baba mbaya sana😢😢😢😢
@joycemageta4876
@joycemageta4876 Год назад
Atakua kamla nyama uyo
@happinessjohansen5707
@happinessjohansen5707 Год назад
Jamani kama mliona hali hiyo kwa nn msimrudishe hospital
@valeriamtenga3384
@valeriamtenga3384 Год назад
​@@happinessjohansen5707 Baba mtu Kagoma, anaelewa alichofanya pale
@tausimwaluvalile6491
@tausimwaluvalile6491 11 месяцев назад
Mimi sio Mungu !na Mungu ndio judge wetu,ilaa niaminini mimi baba wa marehem ndio alieua mwanae,kajilia chake 😭ndio maana alikataa daktari asifuatwe,lakini pia hao wazee wa Mila ni michawi menzake ilikuja kummalizia....Ila dhambi hiyo atalipwa hapahapa duniani
@user-vm9pf5gb7m
@user-vm9pf5gb7m 7 месяцев назад
Nimekuelewa jaman khaaaa
@edinakyaruzi9226
@edinakyaruzi9226 Год назад
Jamani itakuwa kazimia tu maiti isingetoa jasho au mate uyo angepelekwa icu jamani kwani nani aliethibitisha kifo chake kweli baba anawamini watu wa mila kuliko doctor
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Год назад
Hiyo tabia ya watu kuzika bila daktari kuhakikisha kuwa amekufa.Serikali iweke sheria iwe marufuku.huyo alikua amezimia tu.Aliyekufa hatoki jasho.Wafungwe hao.polisi fuAtia.
@upendosalimu2050
@upendosalimu2050 Год назад
Kabisa uyu alkuwa mzima
@rehemasumuley-yv3wh
@rehemasumuley-yv3wh Год назад
Wakamatwe wameuwa hao
@judyngowi391
@judyngowi391 Год назад
Wameona watakosa ubwabwa ulishaanza kupikwa
@chomasongidion6047
@chomasongidion6047 Год назад
Nimekasilika KBS
@neemareuben311
@neemareuben311 Год назад
Baba wa marehem anajua kila kitu anacho kifanyaa mbwa sana huyo baba hpo wana vita nzito ulimwengu wa roho aisee mmezika mgombaaa 😢
@halimamfaume1925
@halimamfaume1925 Год назад
Wewe Baba Mungu anakuona 😭😭 mbona unamzika mwanayo akiwa hai🤔 hii ni dhulma😢
@MsHn-cv3nd
@MsHn-cv3nd Год назад
M w g
@user-bo1we2gd5z
@user-bo1we2gd5z Год назад
Sio vizuri Baba anajua ukweli wote
@africandarling6925
@africandarling6925 11 месяцев назад
Yani kilichobaki Apo wakamnyoe huyo baba watu Moro wanajua vzr kwa bibi karembuani wakamnyoe biashara Ishe bila hivyo atamaliza huko mzima
@lvanyDaniel_pw7kk
@lvanyDaniel_pw7kk Год назад
Daaah harafu mmezika wajina wangu akiwa hai mmbwaa nyinyi hii dhabi mtailipa mamaee zenu😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@latifamubba100
@latifamubba100 8 месяцев назад
😅😅nachek kama mazuli mungu at walip
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 Год назад
Mungu wangu daaaa nyumban hapo nyumban Kwa DOCTOR KIYUNGU nimeumia sna pole sna family
@Zuuh4286
@Zuuh4286 Год назад
Subhanallah nn hii dunia inasumbua waja wake Mtu afe lkn tena baadae anatoa jasho 😢😢🙆🏼‍♀🤷🏼‍♀
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Год назад
Ushirikina
@Zuuh4286
@Zuuh4286 Год назад
@@sabihaibrahim143 duh 🥲🙆🏼‍♀
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Год назад
@@Zuuh4286 hakuna maiti anatoka jasho ishara ya kwanza maiti akikata roho mwili unapoa kwa dakika 5 tu Kwa sababu damu haitembei na kila kitu husimama
@shilashango4040
@shilashango4040 Год назад
Alikuwa kazimia tu huyo alizikwa yupo hai😢😢😢jmn baba marehemu anajua alikompeleka mwanae lkn hata kama mwanae wanawake wasinge kubali😢😢😢
@Zuuh4286
@Zuuh4286 Год назад
@@shilashango4040 Wangempeleeka hoc basi ama kuna ile njia ya kugundua kama binadamu ako hai ama laah wangefanya hivyo🥲
@hashunjauriah2776
@hashunjauriah2776 Год назад
Subhna Allah mtu kuzikwa angali hai ama kwli marwhemu damu yake bdo ipo na atairudia kwa kuwaangaisha Allah atusamehe sie hatujui tunacho fnya inna llillah waina ileh rajioun
@nuubaby
@nuubaby Год назад
Yaani mjomba nae jinga kbsa,Watu wenyewe huko hawajitambui,Mnashindwa kutoa taarfa haraka😭
@Muslim-gs6rn
@Muslim-gs6rn Год назад
Sasa kama mmezika mnataka nini 😮😮
@happylynguya3464
@happylynguya3464 Год назад
Wapumbavu tu, wangekuwa Karibu na vibao wangepata.
@gaspermodise9644
@gaspermodise9644 Год назад
baba wa malehemu kunajambo alilolifanya kwa mwanae kwanini akatae kumleta daktari baba mungu anakuona
@tamamoman9454
@tamamoman9454 Год назад
Baba mungu anakuona umezika mtu akiwa hai
@ivanamkapa2369
@ivanamkapa2369 Год назад
Kweli libabake ni lichaw
@EmmaJulias
@EmmaJulias Год назад
Kabisa why akatae mtoto wakee asipimwe mchawii mkubwa huyooo
@JaneDoe-hf3zy
@JaneDoe-hf3zy Год назад
Sasa nyinyi watu wote mushindwe na mtu mumoja SI mnge kataa
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 Год назад
Nye siku I vine msikubali kumzika hata kama Kasem baba mzazi mmemzika a Gali Hai Mweli jamani daaa!
@beautywithnay5974
@beautywithnay5974 Год назад
Mungu wangu
@hailinhelen4675
@hailinhelen4675 4 месяца назад
Duh hasbi allah waneema l wakil dunia hii watu hawamuogopi mungu kiasi hichi
@Official83640
@Official83640 Год назад
Ndy maana mnaambiwa msitangaze umauti mapema mkae kwanza kwa muda Astaghafilullah Allah atunusuru ya Rabbi na vifo vya ajabu😢😢
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA Год назад
Mmemzika jamaa akiwa hai....Mungu anawaona
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 Год назад
Huyo baba yake ndio kamuuwa jamani ha!
@jinnahsameer
@jinnahsameer Год назад
Hayo nayo makubwa sasa mtu anathema wanangangana kuzika makubwa🤔🤔😭😭
@simonitaagesti4765
@simonitaagesti4765 Год назад
sasa kazikwa vipi kama mapigo ya moyo yanadunda kwa nn msingempima hospital jmn
@joycesanga4378
@joycesanga4378 Год назад
Mmezika ndo mnakuja kwenye vyombo vya habari kwa nn mzishirikishe watu wengine na kwa nn msimpeleke kituo cha afya au asilale siku hiyo mnapeka wenzenu wazima wazima mbwa nyie kila nafsi itaonja mauti
@mymunalucas1097
@mymunalucas1097 Год назад
Baba anajua kwann kama anauchungu na mtoto wake wasmpleke hosptali? Mtihani wallah
@joycemartin9377
@joycemartin9377 Год назад
Baba kamla mwanae 😢😢😢 anajua ukweli wote
@MonicaRafael-gr9yx
@MonicaRafael-gr9yx Год назад
Ushirikina umezidi, tujifunze kuwa na ofu ya mungu.
@esterkessy6940
@esterkessy6940 Год назад
Baba anajua alichokifanya duh!!
@lilianalmas5911
@lilianalmas5911 Год назад
Kwakweli 😥
@mohamedrashid6578
@mohamedrashid6578 Год назад
Hajafariki. Kufa ni moyo kusimama
@sabinaonline6575
@sabinaonline6575 Год назад
Wamemzika mzima mzima
@rehemayona2223
@rehemayona2223 Год назад
Jaman, dumila ni nyumbani kwetu Ila kunawachawi hatali,uchawi ,upo, 😭😭
@EmmaJulias
@EmmaJulias Год назад
Mamaaaaaa kumbe dumilaaaaa uwiii ukoo Ni nyokoo
@rehemayona2223
@rehemayona2223 Год назад
Weee achaa to ni shida
@africandarling6925
@africandarling6925 11 месяцев назад
Mmhhh AISSEH mbona Mtihani sana uhuuu Jamani dooo AISSEH kuzika mtu hakitoka jasho mmhh wee baba wewe Apana
@mwanamwendy9265
@mwanamwendy9265 Год назад
Mmezika mtu mzima jamaniii
@noahchisanga9852
@noahchisanga9852 Год назад
Wamezika mtu mzima hawa
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 Год назад
Hakika wamezika mtu ambae hajafa
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 Год назад
Baba ake mchawi tu atasemej wazike mtu mzima na anatoa jasho
@lilianalmas5911
@lilianalmas5911 Год назад
@@faidhamyovela179 Kwakweli ety kwanini aseme wazike badala ya kumpeleka hospital
@khadijamwenda1851
@khadijamwenda1851 Год назад
​@@faidhamyovela179kuna mchungaji nilimskiliza dalili ya kwanza ya kutolewa msukule ni anapofariki halafu mwili wake utoe jasho...
@leokamil6284
@leokamil6284 Год назад
Badala waite madaktari wanawaita ati wazee wa kimila duh mtihani huu
@hanialsaadi7394
@hanialsaadi7394 Год назад
Mmmmh ko mmezik hvhv bila uhakika km kafariki au mzima jmn c angeitwa dokta ila baba wa marehem mmmmmh
@user-tn4rz8dr6m
@user-tn4rz8dr6m 9 месяцев назад
Kazi ya madaktari Nini ,Wai ndiyo wenye learn Wala Sio. Waganga wa Kasi, Daaa mbaya sana hiyo
@ramlajeffah9831
@ramlajeffah9831 21 час назад
Wangeleta tu daktari hao kilazima lazima
@babuloliondo74
@babuloliondo74 Год назад
Tanzania wanazika watu wakiwahai wengitu sasa kama jasho rinatoka kwanini msimuite dakitari
@AminaAhmed999
@AminaAhmed999 Год назад
jamani nyie mliokuwepo hata kama ni baba msingemskiza mngeenda hata kusthtaki police
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Год назад
Kabisaaa
@machakuroger7068
@machakuroger7068 Год назад
Wangempeleka hospitali haraka, alikuwa hajafa huyo
@ruthmwaisumo5091
@ruthmwaisumo5091 Год назад
Kuna kitu nyuma ya pazia baba anajua.
@magrethjohn7684
@magrethjohn7684 Год назад
Sasa mbona wamzike akiwa hai😢
@ramlatagalile6443
@ramlatagalile6443 Год назад
Ani Allah atusaidie🙏🙏
@user-qf5bo4ni5p
@user-qf5bo4ni5p Год назад
Haaa!!!mngemwita Gwajima wa ufufuo na uzima jamanii. Mbona. Wanashuhudia wapo misukule???
@magrethmanintveld5477
@magrethmanintveld5477 Год назад
Yesu wangu wamezika bado mzima 😢
@salhaali9284
@salhaali9284 Год назад
Nikweli alikua hai bado
@user-pk9uw4nt6v
@user-pk9uw4nt6v 10 месяцев назад
😊😊
@user-eu2dt5dj9b
@user-eu2dt5dj9b 9 месяцев назад
Jaman. Huyo. Mzm waite. Mchungaji
@damianminsno1317
@damianminsno1317 11 месяцев назад
mchawi ndugu bado hamfahamu tu,kwann msinge mwombea mkaita watu wa maombi na madaktari
@joycekalago532
@joycekalago532 Год назад
Huyo alizimia tu alitokwa jasho ishara ya kuzinduka jaman
@user-tf9ow5uv5c
@user-tf9ow5uv5c Год назад
Huyo baba kama nimchawi aliwapumbaza wasipate wazo la kumpeleka hospitll
@IssaTayari
@IssaTayari 2 месяца назад
Duh
@faridaabbas7199
@faridaabbas7199 Год назад
baba alimuua kwa njia ya kichawi naye mungu anamuona tu
@yohanajoseph5773
@yohanajoseph5773 10 месяцев назад
Mmezika mtu mzima sana mbona😅😅😅😅😅😅😅😅
@MariamKileo-mu8rv
@MariamKileo-mu8rv Месяц назад
Hao wazee wamila hyo vp wameenda kumnyonga amalizikie ety mila
@biommy6700
@biommy6700 Год назад
Subbhanna llah, likua ajafa uyo
@zayumar2955
@zayumar2955 Год назад
Duu kwann wasingemuwahisha hospital ili kupata uhakika jmn pengine wamemzika yu hai innalilah wynslilah rajiuun😢😢
@ElizabethEnock-ub5vv
@ElizabethEnock-ub5vv Год назад
Duh kweli huy baba anajuwa Kila kitu
@lailalaila8206
@lailalaila8206 Год назад
Wamemzika kichawi uyo angepata mganga mzuri hangemrudsha
@zakhiamsuya4922
@zakhiamsuya4922 Год назад
Hii ilishatokea nje ya nchi na walimuacha mtu yule kwa masaa 24 na baadae aliamka kumbe alipoteza faham ile yakuzidi ila mapigo yamoyo alkuwa yanapiga kwa mbali sanaa na walikuwa wanataka kumueka mochwari lakn hawakunueka mpka leo yule mtu n mzima
@Queen-be1uf
@Queen-be1uf Год назад
Basi mmemvika mzima. Yuko hai. Wapumbav mmeona ana sweat na anatoka mate ilikua mumpe first aid na mumwite doctor. Eti baba kakataa kataka azikwe labda kamuua huyo kataka afe kaona hakufa .
@mymunalucas1097
@mymunalucas1097 Год назад
Amemmaliza mwenyewe huyooo
@NeemaRassim-ql9sk
@NeemaRassim-ql9sk 8 месяцев назад
Polen
@mafurumatijo8803
@mafurumatijo8803 Год назад
Baba na mjomba wote mbulula
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA Год назад
Mjomba kamsikiliza baba mtoto hivyo kosa si mjomba
@restutarhamis4609
@restutarhamis4609 Год назад
Jamani
@greenermichael2057
@greenermichael2057 Год назад
Mngeungana mkampuuzia jaman mmezika MTU Yuko hai
@user-is3uh8os5b
@user-is3uh8os5b 6 месяцев назад
😢😢
@musamkembela1395
@musamkembela1395 Год назад
Hawa washenzi wote. Wafunguliwe kesi ya mauaji
@polycarptarimo5141
@polycarptarimo5141 Год назад
Mmh hapana hiyo sio sawa kwa nini Daktari hajaitwa
@rosekitunda1563
@rosekitunda1563 Год назад
Guuh,inauma sana
@user-xx2tq8jo5y
@user-xx2tq8jo5y Год назад
Mmmh maajabu haya
@lvanyDaniel_pw7kk
@lvanyDaniel_pw7kk Год назад
Baba mzazi wewe ni mchawi matako yako mmezika mtu alie hai matako yenu wote mlie husika na mauwaji
@mosesjackson_tz
@mosesjackson_tz Год назад
Africa ndo bara linaloongoza kuzika watu wakiwa hai🙄
@Liliana-mc2su
@Liliana-mc2su Год назад
Nngekuw mwanae au dada mt aaaah msingzika walah
@rasvegas8991
@rasvegas8991 Год назад
Afrikaa watu Wengi wanazikwa hai
@Boniphaceshayo5
@Boniphaceshayo5 Год назад
Nitamaa za michango au nini kimewakuta mmemuua mwenzenu alikuwa amezimia
@kiya0910
@kiya0910 Год назад
Huyo Baba mchawi aki
@leahmtuma5339
@leahmtuma5339 Год назад
Hakufa huyo alipata cardiac arrest, wamemzika mzima
@AgnessMassawe-xs6bz
@AgnessMassawe-xs6bz Год назад
Duh! Ngumu kumeza adi kiswahili kimejikataa 🤔("Marehemu amefariki")🤔
@happylynguya3464
@happylynguya3464 Год назад
He! huyo baba mchawi? Nahisi yeye ndie aliyemuua mtoto wake, na nyie wanachi ilitakiwa muonyeshe msimamo wa kumwita doctar au watumishi wa Mungu. Mmekatili uhai wa baba wa watu 😭 😭 😭 hata uko alikoenda atakuwa anawalaumu.
@majidkamuna6499
@majidkamuna6499 Год назад
Hakika huyo baba ake anahusika
@honoratamafala6968
@honoratamafala6968 Год назад
Badala ya kumkimbiza hospital.anasema azikwe tuu??huenda hakuwa na mama asingekubali mwanae azikwe akipimua.
@gallousgosbert4993
@gallousgosbert4993 Год назад
Alikuwa amezimia tuu kwanini wasingempeleka hospitali
@chrispinurio1020
@chrispinurio1020 10 месяцев назад
mmmmh
@edinahezron3243
@edinahezron3243 Год назад
Mmh! Jaman kwann wasimpeleke hosp chap jaman
@damarismulekitheka8221
@damarismulekitheka8221 Год назад
Baba mchawi bona akatae waende hos
@jhfgbn87hshswj17
@jhfgbn87hshswj17 Год назад
Jamani mmm wamemkatisha uwai
@sleeprelaxation8431
@sleeprelaxation8431 Год назад
wamezika mtu mzima, he was in a coma masikin.
@dianajohnson7268
@dianajohnson7268 Год назад
ndiooo, inasikitisha mno
@julianapatrick7911
@julianapatrick7911 11 месяцев назад
Au aliuawa
@LailaLaila-kg2qd
@LailaLaila-kg2qd Год назад
Uchawi tu ndio wameendekeza nawachukia wachawi mi 😢😢😢
@calistustitus4566
@calistustitus4566 Год назад
Tatizo hii dini ya kiislam imewazika watu wengi sana wakiwa hai, kwa sababu kuna mtu mwingine anaweza poteza fahamu siku 2 na kuzinduka. Ila wao waislam wanawai kuzika tu fasta hii dini ya ajabu sana sana. Sababu wangekuja daktari angepima. Kuna visa vingi kabisa mtu kupoteza fahamu hospital siku mbili na mwisho wa siku anakiwa mzima. Huu uaraka wa kuzika mapema kulikoni?
@hanialsaadi7394
@hanialsaadi7394 Год назад
Hapo udini unakujaje jmn, ko ulitaka wakae nae cku mbili au Tatu kusubiria km atazinduka au laaa, Hapo walichokose ni kutomwita dokta tu maswala udini Hapo hayahusiki coz tukifa wote tunaenda chini
@rahmaabdallah4514
@rahmaabdallah4514 Год назад
Mara ngapi nao madoctor wanatoa maelezo mgonjwa kafariki na anafika kuwekwa mortuary kumbe hakufa
@fatumajumanne5961
@fatumajumanne5961 Год назад
Ww uwe na stamara ya unachoongea wap umeona kazkwa m2 mzma ucchafue Dini.
@Mpakauseme
@Mpakauseme Год назад
Hao tena hawana mbamba
@fatumajumanne5961
@fatumajumanne5961 Год назад
@@Mpakauseme hujawah kuckia m2 anekufa akwa anatabasam
@user-ou7pg1tx9x
@user-ou7pg1tx9x Год назад
Dingi mbona huna huruma
@user-li7dc6ho5w
@user-li7dc6ho5w 5 месяцев назад
duuuuu!wamezika mtu akiwa hai asilimia mia, hapo kulitakiwa apatikane mtu wa kugomea kauli ya baba mzazi.asizikwe mpka tujue kauli ya docta....!jaman hakuwa na mkeee?
@mohamedmtulia3691
@mohamedmtulia3691 9 месяцев назад
Mzee kamuweka mwanae msukule
@user-jl3ck5mf8p
@user-jl3ck5mf8p Год назад
Duh kurwa mwenzangu jmn umezikwa ukiwa hai mungu awaraan wote walihusika na tukio hlo
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 Год назад
Mie nlijua katoka jasho hamjazika kumbe mmezika tayari duuh ingekuwa mkristo kingeeleweka tu
@zayanazayana5353
@zayanazayana5353 Год назад
Kwann mnamzika Mtu bl uthibitisho wa Doctor
@hallin9561
@hallin9561 11 месяцев назад
wananchi na ndugu hawana msimamo, wanazika mtu akiwa hai
@user-tf9ow5uv5c
@user-tf9ow5uv5c Год назад
Ukatili wa hali ya juuu mkafukue mweeee
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 11 месяцев назад
Marufuku kuzika bila ruhusa ya dakitari.washitakiwe..
@tatuhamady5838
@tatuhamady5838 7 месяцев назад
Mmemzika akiwa mzima baba kuna mchongo kaufanya
@marcoakyoo760
@marcoakyoo760 Год назад
Daah! 😢
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Год назад
Baba anajuw ukweli kwann akubali kuzikwa bila doctor kuhakikish 🤔 Pole kaka umekatishw uhai wako 😭
@Brasolebasoto
@Brasolebasoto Год назад
Hiii ndo Tanzania nchi yenye udongo wenye dhambi
Далее
Oh No! My Doll Fell In The Dirt🤧💩
00:17
Просмотров 8 млн
😭Телеграм УДАЛЯЮТ❌
00:50
Просмотров 55 тыс.
Majambazi Sugu Waliouawa Kariakoo Hawa Hapa
4:44
Просмотров 3 млн
Oh No! My Doll Fell In The Dirt🤧💩
00:17
Просмотров 8 млн