Тёмный

DOGO WA BODA ASHANGAZA WATU APAMBANA NA WEZI PORINI, ALITOA PANGA KUNIUA NIKAMUWEKEA MCHANGA MACHONI 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 212 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

2 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 753   
@viviankihiyo1076
@viviankihiyo1076 17 дней назад
Pole mtoto wangu. Mi nakushauri usifanye Tena kazi ya bodaboda, maana wameshaona sura Yako, wanaweza wakalipiza, kwakuwa Mungu amekuponya, watanzania tunakuchangia ulipe pikipiki na tafuta kazi ingine tafadhali kwa usalama wsko, ikibidi hama hata hapo unapokaa kwa sasa.
@mwajabumsami6388
@mwajabumsami6388 16 дней назад
Nimewaza kama weww
@JohaDomi-bg5yh
@JohaDomi-bg5yh 16 дней назад
Nimeumia jamani kama kaka yangu​@@mwajabumsami6388
@user-dl1ju4ge3x
@user-dl1ju4ge3x 15 дней назад
Kweli kabisa
@CoolLate-tm8vc
@CoolLate-tm8vc 15 дней назад
Kweli inaliza jmn
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 14 дней назад
Kweli kabisa
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 17 дней назад
Mchanga ni silaha moja matata sana. Hata mbwa alikukimbiza mkabidhi mchanga. Big up chalii kwa kupambana.
@HusnaMtitiko-yt4ru
@HusnaMtitiko-yt4ru 17 дней назад
Aise umeniambia hivi nikakumbuka tuliwahi kuvamiwa na nyuki shambani basi mama alisema inameni chini kimuweni mavumbi basi tulifanya vile hatukuzurika 👏
@auntmakochela4202
@auntmakochela4202 17 дней назад
​@@HusnaMtitiko-yt4ru Duuh 😢 MashaAllah nimejifunza
@MwanadiaSaid
@MwanadiaSaid 17 дней назад
JE DANGOTE
@user-ot2qw9fb7o
@user-ot2qw9fb7o 17 дней назад
Safi Sana bro
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 17 дней назад
duh huyu dogoni noma❤
@PendoMatemba-ql1ng
@PendoMatemba-ql1ng 17 дней назад
Wewe tajiri wa pikipiki mungu Anakuona leo Angepoteza maisha ungedahi nini? Siyo sawa bora msaidiane yeye Ajapenda kuvamiwa kweli mungu Anakuona haya maisha bhana
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 17 дней назад
Yaani mpaka mtu unaeza his kama nae anajua huo mchongo sababu pikipik mpya siku mbili TU alafu tukio Hilo boss anadai mmmh?
@PendoMatemba-ql1ng
@PendoMatemba-ql1ng 17 дней назад
@@mariamkibindo1741 hapa duniani kuna watu wanateseka kisirisiri huyo kabahatika kukutana na mwandishi wangapi wanaonewa kama yeye ni wengi mnoo kpz.
@kibasamohamedi8029
@kibasamohamedi8029 17 дней назад
😅😅😅😅
@user-eu6ql9zl7n
@user-eu6ql9zl7n 17 дней назад
Hatareeeee !Anajali pesa tuuu ila ukimaliza den lake achana nae kwanza hujui misingi aliyotumia huyo boss kupata pikpik yamkin ungekua kafara yke
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g 17 дней назад
​@@mariamkibindo1741yani hata mimi nimewaza hivyo hivyo istoxhe kapelekwa hadi sehemu ya tukio jambazi kalikuta linaungua moto bado anafungulia kesi huyu dogo
@sarahkinyashi6213
@sarahkinyashi6213 17 дней назад
Mungu bado anakupenda mwanangu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@user-nb6yh2bn9y
@user-nb6yh2bn9y 17 дней назад
Amen 🙏🙏🙏🙌🙌🙌
@JaliaMuro
@JaliaMuro 17 дней назад
Nimefurahi lkn pia namuonea huruma sana uyu kijana mdogo walivyomuonesha sura kuna watu wamebaki bado hawataridhika wataendelea kumuwinda vip kuhusu usalama wake
@user-bz7kg2lr3f
@user-bz7kg2lr3f 17 дней назад
Daah aisee umeongea point sanaaa yaan anahitaj ulinzi maana pia aliekufa anawatu wake
@MerryRenatus-ck4lz
@MerryRenatus-ck4lz 17 дней назад
Yaani Mungu amlinde mdogo wangu
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 16 дней назад
Hata Mimi nimeshangaa Kwann wamemuonesha Sura
@winniesimon850
@winniesimon850 12 дней назад
Huyu mtoto angeenda jeshi bila kupingwa. Wasn't easy. Una mungu kijana
@winniesimon850
@winniesimon850 12 дней назад
Unalindwa na Mungu my son. Una kitu utafika mbali
@SwabrinanurdhinSwabrinanurdhin
@SwabrinanurdhinSwabrinanurdhin 17 дней назад
Mnge mficha sura hii nhatari kwakwel Allah akulinde babaa 🤲🤲
@khadijazuberi3672
@khadijazuberi3672 14 дней назад
Amiin
@MsAisha-w4o
@MsAisha-w4o 17 дней назад
Piki piki ni bei gani jamani kwa atakae guswa na hili tueze kuchangia chochote hata ikiwa ni mia tano tano..umoja ni nguvu.. sis ni WATanzania .mngu atulinde..maisha ya boda boda yamekua hatarini sana kwa nyakati hizi..
@ahmedsaid5519
@ahmedsaid5519 15 дней назад
Hili ni wazi zuri sana
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 14 дней назад
Kabisa
@user-no7pz1bz4y
@user-no7pz1bz4y 14 дней назад
Kweli kabisa 😢
@user-no7pz1bz4y
@user-no7pz1bz4y 14 дней назад
Kuna watu hawana huruma jamani, yani mkaka wawatu kidogo athlete roho na majelaha hv lakn bado tajili anamdai😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@user-wh8vk7sc7v
@user-wh8vk7sc7v 11 дней назад
Atoe namba
@Maroo6Official
@Maroo6Official 17 дней назад
😂😂😂 Nimeinjoy Sana Ila Yote kwa yote nikwanguvu ya Allah
@ayoubmtumishi50
@ayoubmtumishi50 12 дней назад
Nguvu ya Yesu kristo hiyo
@EddahBure-te7ft
@EddahBure-te7ft 6 дней назад
​@@ayoubmtumishi50Yesu mwenyewe hakujitetea akauliwa kashindwa na huyo dogo kapambania uhai wake yesu kabaki jina tu ivyo wala si shujaa 😅😅
@5googleuuu727
@5googleuuu727 17 дней назад
Tumsaidie jamani. Anafaaa aende jeshini❤❤. Kikubwa tumsaidie. Brother wetu mdogo wetu😢 ila alihamundulih. Umetoka salama
@meshackthomas1341
@meshackthomas1341 17 дней назад
Ndo tujue Mungu akiruhusu ushindi Kwa anaemtaka. Huwa hazingatii wew. Unapambana na jitu la milaba minane ama kitugani tuweni na imani na Mungu alitupatia Akiri kama sehem ya vitendea kaz kujitetea💪
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 17 дней назад
InshaAllah
@sharifamahamudu182
@sharifamahamudu182 17 дней назад
Kabisa
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e 16 дней назад
Kabisaaa
@ConfusedAlien-xk3sh
@ConfusedAlien-xk3sh 17 дней назад
Mchanga fimbo nzuri sana😂hongera mwanangu wewe ni shujaa
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 14 дней назад
Lakini hawezi kuwa mpenzi kama mbwa analindda chake tu
@arafakiloli749
@arafakiloli749 14 дней назад
Subhanallah pole sana mdogo wangu...ALLAH azidi kukuhifadhi...pia shikamana na ibada
@LaurenciaKitauli-or8rr
@LaurenciaKitauli-or8rr 17 дней назад
Mungu ni mwema. Pole zake . Huyo ni jasiri ila tajiri yake hana utu. Askari wasitoe maneno ya kukatisha tamaa ,
@user-mi7cd8ch1b
@user-mi7cd8ch1b 17 дней назад
Asikari wa bongo wajinga sana badara ya kumpongeza wanakatisha tamaha uyo angekuwa nchi hi uku kwa wenzetu angepata tunzo na kupewa kaz ya jeshi,,Kwan ni jasiri sana, na mungu kampa nguvu alhamdulillah kashinda?
@sharifamahamudu182
@sharifamahamudu182 17 дней назад
Aslay wa bongo wenyew waoga
@gilliardgodfriend5745
@gilliardgodfriend5745 17 дней назад
Hii mbinu ya mchanga na kumvuta pua aisee😂🦁🦁🦁 we ni zaidi ya mjeda🎉
@naomikatharinaandrewmnkai6760
@naomikatharinaandrewmnkai6760 17 дней назад
😂😂😂kavuta pua ikapasuka. Asee huyu ni zaidi ya jambazi
@frezo8177
@frezo8177 14 дней назад
​@@naomikatharinaandrewmnkai6760ushaona pua ina achana aisee 😅😅 sio poa ana mbinu za kivita huyu janja
@naomikatharinaandrewmnkai6760
@naomikatharinaandrewmnkai6760 14 дней назад
@@frezo8177 apewe kazi dogo😂
@EddahBure-te7ft
@EddahBure-te7ft 6 дней назад
​@@frezo8177😅😅hafai kabisaa
@user-gx4vx5ru2u
@user-gx4vx5ru2u 17 дней назад
Hongera Sana shujaa hakika Mungu hajakuacha mkumbuke sana huyo Mungu aliekupigania maana hujapigana mwenyew Mungu atakupa pikipiki yako na ya tajiri pia
@MaryKalunde
@MaryKalunde 17 дней назад
Pole dogo, pia hongera kwa kupambania roho yako
@mayrfrimi4759
@mayrfrimi4759 14 дней назад
Dogo nimempenda sana, da! Hongera uko vizur, natamani awe dereva wangu, na umri wake, 19 yrs, hongera sana,
@user-xh7xf2ki3r
@user-xh7xf2ki3r 17 дней назад
Maa Shaa Allah hongera sana mdogo wangu kwa ujasiri pia pole kwa mashakil na iman utapata msaada kwa uwezo wa Allah
@mbwawafillingstation
@mbwawafillingstation 17 дней назад
Pole kijana wangu wewe ni zaidi ya mjeshi. Mpeni nafasi jeshini huyu
@bonifacemushijoseph9382
@bonifacemushijoseph9382 13 дней назад
Ingefaa mbona Awe kama Majaliwa... Serekali Ione pia
@Jamesmchinaa
@Jamesmchinaa 5 дней назад
Kaka yangu usiache kwenda kumshukuru Mungu Mungu anakupenda sana sana
@vero57
@vero57 17 дней назад
Huyu apewe kazi ya jeshi
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 17 дней назад
😂😂 kwa sabab gan sasa kumwaga mchanga machon au
@MauaDumba
@MauaDumba 17 дней назад
Ndio utaki au?au we ndio mtoa ajira
@JofreyMsigwa-ok7hv
@JofreyMsigwa-ok7hv 17 дней назад
Et kama majaliwa😂
@JofreyMsigwa-ok7hv
@JofreyMsigwa-ok7hv 17 дней назад
@@MauaDumba sijui
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 17 дней назад
Ni shujaa na bado mdogo sana🎉
@godfreyelibarikilaizer6178
@godfreyelibarikilaizer6178 17 дней назад
Pole sana hapa duniani hakuna alie salama hata asie na kitu lakini umepambana na ni msaada wa MUNGU tu hutabaki kama ulivyo wapo watakaosimama na wewe na utatoka kwenye shida pole
@user-wr7wp9sl2p
@user-wr7wp9sl2p 17 дней назад
Pole sana kijana....na hongera Kwa kupambania maisha yako
@hawasaid7151
@hawasaid7151 17 дней назад
Huyu boss hana utu kabisa angekuwa boda mwingine kuona panga tu angekimbia🏃 na kuacha pikpik lakn kijana wa watu mdogo kapambania pikipiki japo ilichukuliwa lakn kapambna mpaka dakka ili tu kuokoa usafir na uhai wake😢😢alafu unaenda kumfingulia kesi angekufa huyo ungemdai nan bas umpe hata muda wa kutafuta hio pesa unataka kulipwa haraka🙌
@JoycemsangiJoyce-go9su
@JoycemsangiJoyce-go9su 17 дней назад
Kwakweli we ni daudi umemuweza goliati hongera sana kijana
@hildegundembilinyi9042
@hildegundembilinyi9042 13 дней назад
Umri wa mwanangu daaa! watoto wetu Mungu awalinde watoto wetu wa kiume wanapitia changamoto
@user-ne2zv8km3x
@user-ne2zv8km3x 17 дней назад
Shujaa kapambania maisha..hongera sana. Mungu kakupa ujasiri.
@user-eu6ql9zl7n
@user-eu6ql9zl7n 17 дней назад
Na kweli ni Mungu tu kampa ujasir
@aishaabrahaman9957
@aishaabrahaman9957 16 дней назад
Achana na iyo kazi dogo tafuta kazi nyingine 😊
@GaudenciaMadirisha
@GaudenciaMadirisha 17 дней назад
Aisee hongera kwa kuonyesha ushunjaa 🙏🙏🙏
@garinchamkobe4582
@garinchamkobe4582 12 часов назад
Dr.Samia Rais wetu Kipenzi kijana huyu ni jasiri naomba Kijana huyu apelekwe CPP Akapewe Mafunzo ya Uaskari maana huyu ni Kijana Jasiri kabisa.MUNGU ambariki sana❤❤
@cyprianboniphace-oz5lw
@cyprianboniphace-oz5lw 17 часов назад
Pole sana dogo,mwenye piki piki awe muungwana,hii ni kama ajali.
@aaminaasljbgbvf745
@aaminaasljbgbvf745 10 дней назад
Ongera sana mdogowangu wewe nimwanaume kamili😢😢
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 17 дней назад
Mungu mwema hongera kwa ushindi huu mkubwa Mungu azidi kukulinda ❤❤❤
@PhinaEdmund
@PhinaEdmund День назад
Pole sana kaka Mungu amekupa nguvu.. Haikuwa rahisi ni mkono wa Mungu .umekuokoa.. Hao majambazi ya Babati Manyara wamekuwa wakiwavamia watu na kuwaua huo mkoa wa Manyara imeoza kinyama.. Makonda wakomeshe nchi imejaa majambazi..
@user-mi7cd8ch1b
@user-mi7cd8ch1b 17 дней назад
Hu wizi bado upo jmn aisee pole sana mwanangu,vijana fanyeni kazi sio pow kuiba mari za watu
@mariamzubeiri1723
@mariamzubeiri1723 3 дня назад
Hata goliath alipigwa na kijan mdogo sana Mungu abariki hawa ndugu zetu wa bodaboda changamoto ya kazi zao ni nyingi mno😢😢😢😢
@rosehaule6765
@rosehaule6765 17 дней назад
Mungu tusahidie na watt wetu wa kiume kupata kazi ninngumu maskin wana pambana pole kijana wngu❤
@mchungajimpigauzitv5703
@mchungajimpigauzitv5703 10 дней назад
Uanze kwenda Kansan Maana ni Mungu aliye kusaidiya
@ramadhanihudhaifani4376
@ramadhanihudhaifani4376 17 дней назад
Hongera sana,dogo! Umepambana kiume. Usijal kuhusu jino lililotoka.
@user-nb6yh2bn9y
@user-nb6yh2bn9y 17 дней назад
😂😂😂👍👍👍
@ArafaAmirAmir-ci7ld
@ArafaAmirAmir-ci7ld 17 дней назад
😂😂😂😂😂
@VictoriaMefya
@VictoriaMefya 17 дней назад
😢😢😢😢nimelia mwee eti tajiri anipe bike nyingine nifunge kwa 15 tutakuchangia utapata
@TonnyCaesar
@TonnyCaesar 9 дней назад
Jambazi likasema "Unaniua"😅 kumbe yakizidiwa hua yanaleta huruma 😂
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 11 дней назад
Mama samia amwangalie huyu kijana na ahame maeneo hayo bado kijana sana
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 17 дней назад
Boda boda washachoka hongera sana mdg angu mana mnauwawa sana wengine wanaacha watt" wadogo ona kama huyu n mdg sana" sana " miaka 19 ni mwanangu wa kwanza mtt anajitafutia lkn mnataka kumuua kisa pik pik jmn
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 17 дней назад
Sadkata wanawaonea kwa sababu ni wadogo ni mwanangu wa pili kwa kweli mibaba mizima haitaki kujituma kazi kuwakoromea watt wa wenziwao na huyo alieiba pikipiki huko aendako akapate ajali akose hiyo mali ya dhulma
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 17 дней назад
@@FatimaAli-of4gh Yan huwa wanawaonea mno mno
@JohaDomi-bg5yh
@JohaDomi-bg5yh 16 дней назад
​@@FatimaAli-of4gh😢
@MsAisha-w4o
@MsAisha-w4o 17 дней назад
Kijana anajua kujieleza ~maa shaa allah..mngu akujaalie afya njema..wezi sina hamu nao.
@user-ct2fb4ro9e
@user-ct2fb4ro9e 10 дней назад
Pole mdogo sana wangu ,ila huyo tajir awe na huluma Japan, huenda kawatuma yeye hao wezi nakuchangia 10000 naitwa mchemwa msongole nikiwa ileje mkowa wa songwe
@damianmcba9525
@damianmcba9525 7 дней назад
Mungu akuzidishie kk kwa uzalendo
@user-dq4ur9kk6h
@user-dq4ur9kk6h 17 дней назад
Wewe kaka Mungu Akusaidie sana kwakweli duh Mungu Alikupa nguvu mpya Yaani siyo kwa uwezo wako mdogo wangu ni Mungu tu Usiache kumuomba Mungu Usiache Kumtumikia Mungu Usiache Kumshukuru Mungu
@dannywillson5874
@dannywillson5874 17 дней назад
Huyo boss ni msenge anajali pikipik kukiko uzima wa mtu so angekufanya uyo dogo je angemdai
@user-eu6ql9zl7n
@user-eu6ql9zl7n 17 дней назад
Hapo sasa
@RahabuJoseph-sp5dz
@RahabuJoseph-sp5dz 10 дней назад
Au huyo boss wake ndie adui yake.kwanini kijana amevamiwa Halafu kanyang,'anywa pikipiki halafu bosi haelewi hjyo ni haki au ni sawa?
@regybahati5986
@regybahati5986 15 дней назад
Uende kanisan ukasali Umshukuru Mungu, ujikite kwenye Sala usiku na mchana umwombe Mungu akulinde.
@Juke995
@Juke995 17 дней назад
Huyo boss ana roho mbaya na hatofanikiwa 😢je kama angeuliwa huyo boda.......Unaweza kuwa mtu mkubwa ila haujui kupambana vitu viwili tofauti
@user-pe1qv1sn5p
@user-pe1qv1sn5p 17 дней назад
siri ya ushindi ni mungu kampa akili ya kupambana nakapata akili ya kutumia michanga mungu nimwema
@NyotaBalolane.
@NyotaBalolane. 16 дней назад
Mungu alikuwa upande wako usi ache ku mtukuza Mungu alikuteteya akakupa nguvu
@user-mo7un1fg4l
@user-mo7un1fg4l 10 дней назад
We tajili hunahuluma kbsaa je! Angepuoteza Maisha ungedai nini unaona. Kbsa kangolewa Jimi bilaganzi ww unadai chombo chako hunahulumaa.
@MageshotofuShotofufande
@MageshotofuShotofufande 11 дней назад
Nimefurahi sana, mungu awalinde kaka zetu
@ndagabwenekusaya223
@ndagabwenekusaya223 17 дней назад
Pole sana dingii ,askri anao wajue kupigana na ktu sio mwili ni mbwinu tu,na mbwinu zake kazitaja
@MwaliSuleih
@MwaliSuleih 4 дня назад
Hongera kijana ulijitetea xan kw Hali Kam izo Mungu azidi kkujaalia afya njema akulinde na zaidi mdogo wangu unahuzunisha xan lakin pia kw kua uko mzima ni jambo la kumshukru Allah kw xan ak zoezei la karatee pia ni muhim kw kua umeweza kujisaidia kw mtu mkubwa ukamshimda subhaana'Allah allahu Akbar jaman ashukuriwe mwenyezi Mungu kw kumjaalia ujasiri kijana huyu ak 😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@SiaCollins
@SiaCollins 17 дней назад
Big up kijana kwa ushujaa wako,,unekonesha wezi wa pikipiki
@isaselogistics7266
@isaselogistics7266 17 дней назад
huyu kamanda sana apewe kaz jeshin
@ibraton4071
@ibraton4071 17 дней назад
kabisa kamuua pekeake ahahahahaha
@serafinamalecela4728
@serafinamalecela4728 13 дней назад
Jeshini wanasema ajira hamnaaa😢
@elinapetro7136
@elinapetro7136 17 дней назад
Vijana wa chuga siowakuchezea mtoto mdogo lakini kapambana mungu atakusaidia utapata pikipiki nyingine namba tumeiona
@user-zj9uz6vz3g
@user-zj9uz6vz3g 14 дней назад
Ukibahatika kumlipa usifanye nae kaxi huyo bosi, hana utu
@ullujaffariyohani1186
@ullujaffariyohani1186 13 дней назад
Mbona Tanzania Ina Tisha jamani haya mambo yanatisha sana😢😢😢
@star100genius3
@star100genius3 13 дней назад
Huyo tajirii aache uboya, je huyo dogo angekufa Si angejifanya anaskitikia marehemu kuliko bike.
@JJKitomary
@JJKitomary 17 дней назад
Huyu kaka ni shujaa jamani afu Bado mdogo, umepambana sana mungu anakupenda sana siyo kazi rahisi.
@mankamushi4588
@mankamushi4588 3 дня назад
Huyu kijana ni shupavu mungu atuinue watanzania tumsaidie
@user-yk3we9vk6y
@user-yk3we9vk6y 15 дней назад
Mungu anakupenda sana kijana sifa na utukufu kwayesu tu
@AnnastaziaVicent
@AnnastaziaVicent 2 дня назад
Jamani pole sana lakini tafuta kazi nyingine tofauti na hiyo
@harymo173
@harymo173 10 дней назад
Ee mungu musaidie muja wako.. alafu wewe Boss mungu anakuona yaan mtuu kanusurika kufa alafu bado unamufungulia kesi mtu jamani hii Dunia sio poa kabisa...
@josephlorri431
@josephlorri431 12 дней назад
Kijana jasiri sana... anafaa kuwa jeshini...ila siku hz hata jeshi ni kujuana...vijana kama hawa hawapati nafasi
@amanimlengwa9202
@amanimlengwa9202 12 дней назад
Kama alichangiwa pesa hadi kuachiwadogo aliyekuwa ameonewa na serilali, huyu pia asaidiwe. Lakini mwenye pikipiki lazima achunguzwe
@valleliahkitundu
@valleliahkitundu 11 дней назад
Duh jmn pole sana jmn maumivu yote lkn boss bado haamini na anataka pikipiki yake, pole sana ndg yangu lkn wamekosea kukuonesha sura wamekuhatarisha zaid
@christaoman8890
@christaoman8890 17 дней назад
Mungu amekuokoa mwanangu pole sana
@machejostudiosmramba5365
@machejostudiosmramba5365 4 дня назад
Dah JAMAAA angu umepambana 💪💪 pole sana ndugu Mungu akutie nguvu na mm kwasababu napambana nitakutumia kidogo kitu kidogo
@KalebyHennry-ux7fj
@KalebyHennry-ux7fj 14 дней назад
Duuuu dogo pambana utakua Bora zaidi ila tajir hli swala lakipolisi
@barikimollel7890
@barikimollel7890 17 дней назад
Pole Sana Dogo Simu ya Huyu alieuawa haijapatikana isaidie kuwasaka Hao wezi sugu😢
@esterMahenge
@esterMahenge 3 дня назад
Uyu mchunga ngo’ombe nae ngo’mbe tu yaaaa😢🙆‍♂️pole kk
@user-es2yt1jc4i
@user-es2yt1jc4i 12 дней назад
Kaka hongera mi sio mtz ila ninamtoto mtz. Ndugu yako hongera saana kaka nakuombea tu pia namimi nakuombea
@ZawadiSaid-x6f
@ZawadiSaid-x6f 13 дней назад
Huyo tajiri mbona una soho ya hivo unamdaije huyo kijana?si ushukuru yupo hair cha kwanza
@NeemaKimario-ui3ir
@NeemaKimario-ui3ir 11 дней назад
Jamani milyad hayo waaambie wanawafunga macho maadui ni weng
@PhinaEdmund
@PhinaEdmund День назад
Mungu anakupenda sana pole sana mwanangu Maiko ww ni kama Daudi aliyetajwa Ktk biblia aliyepambana na dubu kumuua dubu aliyekuwa anampa kondoo wa baba yake YESE.. Itakusaidia jamani.. Huyo bro anayedai boda wakati kijana kuokoka kifo Embu kuwa na hofu ya Mungu.. Na utu pia.. Usimwongezee Maiko pain jamani.. Mwache apone hata apate kutibiwa.. Mungu atakufuta na kuzidi msamehe kijana utamwona Mungu atafanya kitu kwako.. Boda inapatikana jamani.. Uhai ulitoweka ndio basi
@user-sn9yp3sc2f
@user-sn9yp3sc2f 17 дней назад
Dogo hongeraa kwa kupambana,MUNGU awe nawe pukipiki utapata MUNGU yupo hamwachi mja wake
@Sweetnaah
@Sweetnaah 17 дней назад
Ila mngeficha sura ya huyu kijana kwa usalama wake jamani hamjui zamira ya yule alobaki 😢😢
@StellaWaillu
@StellaWaillu 17 дней назад
Kweli kabisa, Mungu amlinde.
@Sweetnaah
@Sweetnaah 17 дней назад
@@StellaWaillupia wangetumia hata namba nyingine kwenye kuchangia jamani yaani kijana hatarini sana kuwa makini
@StellaWaillu
@StellaWaillu 17 дней назад
@@Sweetnaah Umeona ee!
@magrethmbuma3045
@magrethmbuma3045 17 дней назад
Boss kuna kitu anacho😢Munguu atusaidie kwa kweeeli ubinadamu umeishaa uuwii
@magrethmbuma3045
@magrethmbuma3045 17 дней назад
Yaaani wanaume wamaana wanashindwa kufanya kazi wanakaba watoto wadogo Jamanii
@mtazycomedy
@mtazycomedy 11 дней назад
Huyu mwamba akir yake kubwa sana ila boss nae achunguzwe
@TynahChitamu
@TynahChitamu 16 дней назад
Pole sana aiseee uyo aliyeiba pikipiki ndio tatizo ofu yangu kama utaishi salama ungeweza ungeama io sehemu ukaenda kuishi sehemu nyingine majaribu yatakuwa mengi mungu akuepushie
@SebastianSteven-pt8kh
@SebastianSteven-pt8kh 6 дней назад
Pole sana dogo ila serikali ya mama samia naomba muoeni huruma huyu kijana aliekuwa anahangaika kwauminifu siokwa wizi kwan hatamkimpatia pkpk anaongeza pato lataifa kwakununua pertoli namegineyo
@paulinajuvence-rn7rz
@paulinajuvence-rn7rz 6 дней назад
Ningekua mimi Boss ningemsamehe tu huy mtoto kwakweli
@julianaouma9230
@julianaouma9230 10 дней назад
Pole brother tajiri 😭hana uruma haangalii maisha
@AnnaKipetha
@AnnaKipetha 3 дня назад
Pole sana mungu akupe wepesi!
@lampadshigonko3006
@lampadshigonko3006 9 дней назад
Dogo... Umri unaruhusu... Asahidiwe tunamtaka jeshini huyu... Tena kitengo cha komando
@amanlenatus9067
@amanlenatus9067 17 дней назад
Uwe makini kwa atakae kupigia maana wabaya wako wamezipata namba zako
@MashakaZacharia-if9pm
@MashakaZacharia-if9pm 17 дней назад
Dah pole sana vijana wapambane waache wizi wa boda Sasa ona kaangukia jehanamu
@hawajohn749
@hawajohn749 17 дней назад
Mungu akutie nguvu na akuongoze na akufanyie wepesi Kila hatua
@LamarOmary
@LamarOmary 6 дней назад
Mngeficha sura yauyukijana aisee vipiusalamawake kwa majamazi walobak mungu akulinde mdogoo akuepushe namikono mibaya nauyotajiri munguanamuona atalipwa na mungu ana utu
@ChristopherCosmas
@ChristopherCosmas 15 дней назад
Daaa mungu akutie nguvu mdogo wangu na pole sana
@donaldmpagaze9803
@donaldmpagaze9803 5 дней назад
Pole saana dogo Maiko Mungu atakurejeshea
@abedysteven4930
@abedysteven4930 17 дней назад
Nmekubali goliati alikufa kwa nguvu za mwenyez mungu!! Allah akujalie upate Tena kwa wepes amen!!
@eliaisack156
@eliaisack156 12 дней назад
Huyo boss wa pkpk awe nautu amuache tu hiyo dogo
@ntihaboseadonis8746
@ntihaboseadonis8746 11 дней назад
Polesana kaka daaaa!!!!!!
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 17 дней назад
Pole sana mwanangu! Mungu anakupenda sn,wewe ni Shujaa,mwenye piki2 kuwa na huruma.
@Lanihsarumu
@Lanihsarumu 15 дней назад
Pole Sana mtoto wetu mungu akulinde popote ulipo mwizi likaliwe na majoka na huyo alikimbia na boda boda afe Kama kifo kibaya nawe tajili TUNAKUOMBA msamehe mtoto Bado mdogo amejitahidi kupambana msamehe
@WinnieMapunda
@WinnieMapunda 12 дней назад
Kijana Shujaa sanaa big up
Далее
Каха бизнес-класс
00:48
Просмотров 1 млн