Тёмный

TANGAZO, ONGEZEKO LA SAFARI ZA SGR DAR - MORO 

TRC RELI TV
Подписаться 79 тыс.
Просмотров 9 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

30 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 19   
@justinealistides5146
@justinealistides5146 Месяц назад
Hongera sana TRC mwenyezi Mungu awape uwezo wa kuitunza, kuiendesha kwa tija na kutoa huduma bora.
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 Месяц назад
Safi Sana TRL sasa nitapanda ya kutoka Dar Saa 3 asubuhi nikavinjari Moro siku za Weekend🎉🎉🎉
@user-mo7iq2fd8g
@user-mo7iq2fd8g Месяц назад
hongern san #Trc kw jitihada hizi, kongole kw #MamaSamia kukamilish mradi wa ujenz wa #SGR moja kati manufaa ya mradi wa treni ya umeme n kupunguz kiwango cha 'carbon" ambayo nd tatzo kubwa kidunia jana nilibahatika kupand treni ya umeme hapa china, ni usafr makini sana...kam nchi tumepiga hatu huko, haya mambo tulikua tunaon t kw wenzet ila sas n 'physical kwetu well done🎉🎉
@raphaelmwamakimbula9642
@raphaelmwamakimbula9642 Месяц назад
Hongera na Asante sana Kwa kuendelea kurahisisha usafiri na usafirishaji Tanzania♥️💯🇹🇿👏
@nasibugunda7927
@nasibugunda7927 Месяц назад
Tushazoea kuchelewa kuwahi aaaaah
@bakarijumakupaza4351
@bakarijumakupaza4351 Месяц назад
Safi saaana TZ 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@zobakazizi7637
@zobakazizi7637 Месяц назад
Station ya morogoro bado wana changamoto ya kufanya zoezi la kupanda treni liwe la starehe. Wanachelewa kufungua mlango na kukagua tiketi.
@oscarboniface9690
@oscarboniface9690 Месяц назад
Asante sana TRC
@epsilonshila1170
@epsilonshila1170 Месяц назад
Hii safi sana
@user-gb2lf1hh9k
@user-gb2lf1hh9k Месяц назад
Nice🎉
@zobakazizi7637
@zobakazizi7637 Месяц назад
Hii imekaa vizuri sana.
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 Месяц назад
Hapo sawa
@YusufSasamalo-uz4ii
@YusufSasamalo-uz4ii Месяц назад
Hapa safii sana
@athumaniamiri880
@athumaniamiri880 Месяц назад
Vizur
@magorymara5515
@magorymara5515 Месяц назад
Tunashukuru kwa tarifa tunawaomba kama kuna maeneo watu wanakatiza kwenye reli na hakuna kingo ya kuzuia basi wekeni ili msije mkaleta majanga hasa maeneo ya Pugu
@Nick16697
@Nick16697 Месяц назад
Imeanza kuwalipa sio, kesho kutwa mtwambie kampuni inajiendesha kwa hasara...
@fauzishabani2622
@fauzishabani2622 Месяц назад
hakuna matata tz
@faustinluambano2958
@faustinluambano2958 Месяц назад
Hii treni isimamishwe
@nasibugunda7927
@nasibugunda7927 Месяц назад
KWANINI SASA?
Далее
Склеил девушку-курьера ❤️
01:00
#SGR: TRENI YA UMEME TANZANIA   (Film)
23:56
Просмотров 1,5 тыс.
Склеил девушку-курьера ❤️
01:00