You ga so energy amazing performance najua Uwezo wako siku nyingi so bado hujanionesha kuna vitu keep it up bro from zenji kama unamkubali mpemba mmoja gonga like kadri uwezavyo
Tatizo la wasanii wa Wabongo, ile ngoma kali ( Yake na Rubby) ndio performance inakua mbaya zaidi , ambapo labda ndio watu ndio hutaka kuiona zaidi aki perform . NImeona kama kufanana fulani na Jux , kama utajitahidi ubunifu zaidi kwa stage na better choreography nadhani una weza funika zaidi , jitahidi kwa hilo man. Hint nyingine, yes watu wanapend amuimbe live, ila kikweli huwa hawawezi na wala hawa sound vizuri, cha kufanya , arudi studio to re record hizo vocals zisound kama live, halafu atumie mick ya kuvaa, ili aweze concentrate kwenye dancing zaidi huku aki Lipsync , hiyo akichanganya na better choreography , ata funika zaidi, kingine tumia hot chicks wanaojua ku dance au mix them na madume, na yeye awe na a main female dancer waki dance haswa kwenye hiyo ngoma yake na Ruby , pia aje kitofauti , aache kuimbisha watu, hiyo kila mtu ana fanya .