Тёмный
No video :(

Tazama LIVE Goodluck Gozbert akiimba NIPE, afurahia Gospel kupigwa Club, amtaja JPM 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 22 тыс.
50% 1

Staa wa Muziki wa Injili Tanzania Goodluck Gozbert amekaa katika Interview ndani ya AyoTV na kuongelea furaha yake pale Gospel inanpopigwa Club na mengine

Опубликовано:

 

30 авг 2018

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 24   
@mancankwee5740
@mancankwee5740 6 лет назад
Me nimekujua kupitia IPO SIKU YANGU ❤❤👌👌
@dennischarles8524
@dennischarles8524 6 лет назад
So humble,that's why Almighty God is lifting you up
@ziakaitala6465
@ziakaitala6465 6 лет назад
Goodluck anajibu kama yesu alivyokuwa akiwajibu wanaomuuliza kwa kumtega
@loverobath7317
@loverobath7317 5 лет назад
laiti wangetokea watu 100 kama wewe duniani natumaini tungefika mbali ..upendagi sifaa mtumishi iyo ni sifaa kuu ya mtoto wa Mungu Gob bless u so much
@elizamchuka8796
@elizamchuka8796 6 лет назад
Hongera kk nakukubar sana
@zahararajabu4169
@zahararajabu4169 5 лет назад
Sauti yako mashaallah
@eagletv447
@eagletv447 6 лет назад
Dahhhhh Nipe nimeipenda
@zuhuraseifu2530
@zuhuraseifu2530 5 лет назад
mm naitwa zuhura seifu ni muislam ila kwa anaxhokifanay huyu kijana sina budi kumpongeza ...hongera sana mungu akuzidishie..
@elishajackson6555
@elishajackson6555 5 лет назад
Hatareeee blaza goodluck God bless you
@rosembuya5155
@rosembuya5155 5 лет назад
Hongera sana kaka God bless you in every single moment of your life nakukkubali sana
@eliarichard9218
@eliarichard9218 5 лет назад
safi sana barikiwa.
@joshuamkupi6893
@joshuamkupi6893 6 лет назад
Ingia hapa uone vile Goodluck alivopokea tuzo yake nchini Kenya
@mpundujeanine315
@mpundujeanine315 5 лет назад
Nivizuri nyimbo kupigiwa mahali popote Mungu naye atende kazi yake
@eliarichard9218
@eliarichard9218 5 лет назад
daah unajibu vzr sana
@lilianmwakapala3658
@lilianmwakapala3658 6 лет назад
mungu akubariki kaka
@marthawiliam8883
@marthawiliam8883 5 лет назад
Mungu aikuze hekima ndani yako
@jacksonelias4185
@jacksonelias4185 5 лет назад
goodluck mung akubark San I'm Jacky mwimbaj
@mecksondeoneclassic8635
@mecksondeoneclassic8635 5 лет назад
Hongera kaka Goodluck wafanya vizuri Mungu akubariki sana but natamani itokee neema nikaimba nawewe
@joelmwita7476
@joelmwita7476 5 лет назад
PW bro nakuelewa
@shulisumo2962
@shulisumo2962 5 лет назад
Hakika unaweza na unatuwakilisha vyema vijana wezako hasa kwenye mziki wa injil
@dicsonipaschal5333
@dicsonipaschal5333 5 лет назад
nakupenda Sana Kaka gooluck
@neemalkiswaga6126
@neemalkiswaga6126 5 лет назад
,😂😂😂😂umenijua Kwa nyimbo gani💃🤣🤣 bs hiyo hiyo kila MTU na wimbo wake hahahaha napenda sn Mungu akupe hekima.mimi nimekujua Kwa wimbo WA IPO siku yangu
@goodluckj9072
@goodluckj9072 6 лет назад
Kama huna ubaguzi nisapoti na mimi, bonyeza picha yangu nimevalia nyekundu upande wa kushoto alafu fanya ku subscribe na mungu akupe haja ya moyo wako
@salmahassan7235
@salmahassan7235 5 лет назад
napenda sikumoja nimbe na goodluck
Далее
Goodluck  Gozbert - Nipe (Official Music Video)
5:17
Просмотров 3,2 млн
Mathias Walichupa - Amen [Official Music Video]
3:51
Dr.Ipyana in RWANDA
34:23
Просмотров 33 тыс.
Israel Mbonyi - Nina Siri
11:11
Просмотров 57 млн
Dr.Ipyana - NAWEZAJE KUNYAMAZA//NAMNA HII SIJAONA
15:41