Тёмный

Tazama Padre mpya mzawa wa Kisiwa cha Mafia alivyopokelewa kama Mfalme katika gari la Wazi 

Jugo Media
Подписаться 172 тыс.
Просмотров 20 тыс.
50% 1

𝐖𝐄𝐙𝐄𝐒𝐇𝐀 𝐔𝐓𝐔𝐌𝐄 𝐖𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐊𝐔𝐏𝐈𝐓𝐈𝐀 𝐌-𝐏𝐄𝐒𝐀 𝐋𝐈𝐏𝐀 𝐍𝐀𝐌𝐁𝐀 𝟓𝟎𝟓𝟒𝟔𝟑𝟓 𝐉𝐈𝐍𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐍𝐄𝐓𝐖𝐎𝐑𝐊
Follow this link to join my WhatsApp group: chat.whatsapp....
Tumsifu Yesu Kristo, Napenda Kukushukuru kwa Kuwa Mdau Mpendwa wa Jugo Media. Tunapenda kukutaarifu kuwa Tumeandaa Group Maalum kwa Ajili ya Kupokea Taarifa Mbalimbali za Kanisa, Misa Live, Vipindi vya Kanisa nk kutoka Jugo Media. Kama ungependa Kuungana Nasi Tunaomba Ujiunge kwa Hiari Kupitia Link Hiyo Juu. Mungu Akubariki Daima
KAMA UNGEPENDA KUPATA TAARIFA KUHUSU KANISA KWA NJIA YA WHATSAPP TAFADHARI TUMA UJUMBE KWA WHATSAPP UKISEMA NIUNGE KISHA JINA LAKO KWENDA NAMBA +255757560764 au BONYEZA LINK HII wa.me/+2557575...) (SAVE HII NAMBA KWANZA, ANDIKA JUGO MEDIA) UBARIKIWE SAMA
KAMA UNA HABARI NA UNGEPENDA KUSHIRIKI PAMOJA NASI TAFADHARI WASILISHA KUPITIA WHATSAPP NO +255757560764 AU BONYEZA wa.me/+2557575...)
Tafadhali Subscribe, Like, Comment na Share tone hili la upendo kwa ndugu jamaa na marafiki.
𝐉𝐮𝐦𝐮𝐢𝐤𝐚 𝐧𝐚𝐬𝐢 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐦𝐢𝐭𝐚𝐧𝐝𝐚𝐨 𝐦𝐢𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐲𝐚 𝐊𝐢𝐣𝐚𝐦𝐢𝐢:
Instagram: / jugo_media
Facebook: / jugomedia2019
𝕄𝕒𝕨𝕒𝕤𝕚𝕝𝕚𝕒𝕟𝕠:
JUGO MEDIA,
Sokoine Drive, Posta
P. O. BOX 34014,
Dar es Salaam.
For Bookings and other Enquiries
Phone Number +255757560764/657790405
#jugomedia #kanisakatoliki #familiatakatifu #wawata #uwaka #viwawa #australia #unitedstates #canada #america

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 40   
@user-gy4gc4ek8p
@user-gy4gc4ek8p 11 месяцев назад
Hogera sana fr Paul Mungu aendelee kukutunza na kuchipusha kile alichoweka ndani yako. Utume mwema baba
@sabinakushoka9737
@sabinakushoka9737 2 месяца назад
Hongera sana na utume mwema
@user-pj7be5nv5v
@user-pj7be5nv5v Год назад
Hakika Padre Paulo amefungua ukurasa mpya kisiwa cha Mafia na kuongeza hamasa ya kupata mapadre wengi zaidi.Hongereni sana wanamafia kwa zawadi ya kumpata padre.
@mamamfugaji9065
@mamamfugaji9065 Год назад
Mmempokea vzr,ni hamasa kwa vijana wengine wa Mafia waingie upadre 🎉❤
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 Год назад
Hongera sana.Mungu akakuongoze ktk utume wako
@anodearsulusi7536
@anodearsulusi7536 Год назад
Hongera umekuwa kwenye historia ya kisiwa Cha mafia
@salvatorymogesi6476
@salvatorymogesi6476 Год назад
Mungu wetu awe taa na mwanga wa njia yako kwenye utume wako Baba yetu 🙏🙏🙏
@kuryatvfilm1161
@kuryatvfilm1161 Год назад
Mwenyezi Mungu akupe ufunguo wa kufungua Pemba yote kumjua kristo
@s0phialwassa574
@s0phialwassa574 Год назад
Raha sana na Mungu awabariki sana kwa ushirikiano mlioonyesha katika mapokezi hayo, ni moja ya historia kwa huko mafia
@rutasitarakyaruzilonginus3673
Hongera Padre, hongereni Wakristu wa Mafia. Mungu Mwenyezi awalinde mueneze upendo kama Bwana wetu Yesu Kristu alivyotuagiza, upendo na amani kwa kila jirani, huduma za kiroho, afya na elimu.
@stemarcely7493
@stemarcely7493 Год назад
Nimefurahi sana jamani....hongera kwa wazazi wake na wanapemba wote...hakika hii ni historia nzr sana
@sarafinafranci8481
@sarafinafranci8481 Год назад
Hongereni jamani.
@poncegk5263
@poncegk5263 Год назад
Safi sana, inatia moyo, Mungu akutangulie
@evodirudo4813
@evodirudo4813 Год назад
Mungu akutangulie ktk utume wako Baba padre
@rosecyril93
@rosecyril93 Год назад
Hongera sana Pd Paul. Hongera wana Mafia pia ukristu umekua sana.Zamani miaka ya 70 tulikuwa wakristu wachache mnoo.Kama familia 10.
@user-et7cx2in8e
@user-et7cx2in8e Год назад
Hongera father
@adolphchilumba7999
@adolphchilumba7999 Год назад
Ongereni sana wapendwa wa MUNGU
@user-bl6dn7iv2r
@user-bl6dn7iv2r Год назад
Hongera sana Padri,Mungu Akubariki sana
@sr.jovithavincent4119
@sr.jovithavincent4119 Год назад
Aminaa Mungu atukuzwe
@maurogisbert6895
@maurogisbert6895 Год назад
Hongera sana Baba Mamboleo Paul
@maurachorobi7683
@maurachorobi7683 Год назад
Furaha kubwa kisiwa Cha mafia na mbinguni pia
@mosesmajogoro863
@mosesmajogoro863 Год назад
Honger sana 💪💪💪Rev.
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Год назад
lsaya 56 10 Walinzi wake ni vipofu, wote pia hawana maarifa; wote ni mbwa walio bubu, hawawezi kulia; huota ndoto hulala, hupenda usingizi. 11 Naam, mbwa hao wana choyo sana, hawashibi kamwe; na hao ni wachungaji wasioweza kufahamu neno; wote pia wamegeuka upande wazifuate njia zao wenyewe, kila mmoja kwa faida yake, toka pande zote. 12 Husema, Njoni, nitaleta divai, Na tunywe sana kileo; Na kesho itakuwa kama leo, Sikukuu kupita kiasi
@mamamfugaji9065
@mamamfugaji9065 Год назад
Cha kudeka sasa Pd.Paul😂hongera baba kwa kuandika historia Mafia.🎉
@clementinakabaka7447
@clementinakabaka7447 Год назад
Hakika hakuna lisilowezekana kwa Mungu baba of Chunga kundi lako usiache hata mmoja kati ya hao wakapotea na kuikosa mbingu!
@niyomugabojohn8329
@niyomugabojohn8329 11 месяцев назад
😂😂😂hii kanisa letu nalipenda saana, Ina upumbafu mwingi zaidi😂.kupokea mtu hivi ni ugonjwa wa akili, Kwa mwenye kupokea na kupokerewa💃🕺
@abuayman8184
@abuayman8184 Год назад
ظلمات بعضها فوق بعض
@user-yx9pd4nq1q
@user-yx9pd4nq1q Год назад
Hakika m ungu ni mwema..mavuno ni mengi watenda kaz ni wachahe
@mafiatv5479
@mafiatv5479 11 месяцев назад
lkn huyo kijana katudhalilisha allah amuongoze
@yahyashpasha7210
@yahyashpasha7210 7 месяцев назад
Nakwmby Ovyo hawa hichi kisiwa sio cha Makafiri wakae wakijua
@mafiatv5479
@mafiatv5479 7 месяцев назад
@@yahyashpasha7210 hiki kisiwa cha waungwana, sio cha makafiri, makafiri washauleta ukafiri mafia
@kessikahawamango4114
@kessikahawamango4114 Год назад
Ukrito wenu mwisho Chumbe Pemba hamuiwezi kuipandikiza ukristo hata siku moja. Mutajenga makanisa wataabudu watu wawili na popo tu.
@leonardchoma3765
@leonardchoma3765 Год назад
Ukristo hautufundishi kuwasema vibaya wengine hata kama wanakuchukia.Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristo ni Mungu wa ajabu sana.Ipo siku huko huko Pemba atakuja kutoka Padre au mchungaji ukabaki unashangaa. Ndivyo ilivyotokea hapo Mafia
@magrethmbangama1199
@magrethmbangama1199 Год назад
Ata hao wawili Mungu yupo na anaweza kufanya jambo,usishindane na mkono wa Mungu
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Год назад
Ikiwa ukiristo umeingia mpaka uarabuni aliko tokea mhammad wenu itakuwa pemba?!tatizo huko pemba mnajivunia uchawi tu na kutumika shetwani ndomana hamtaki injiri ya Yesu iingie kuwatoa matongo tongo mnataka mbaki gizani na dini yenu ya mashetwani ya uislamu
@barikimfugale7001
@barikimfugale7001 Год назад
Unaongea ukiwa kama nani ndugu yangu wote tunamwabudu Mungu mmoja tu na safari yetu ni moja
@mcback4384
@mcback4384 Год назад
​@@barikimfugale7001hakuna Mungu mmoja kati ya uislamu na ukristo labda kama huzijui Imani hizi mbili, kama ni hivyo basi tumia Quran kuanzia leo huko kanisani
Далее
IMENIUMA SANA by Zabron Singers (Official Video)
5:05
Israel Mbonyi - Nitaamini
12:58
Просмотров 26 млн