Тёмный
No video :(

Tazama Sugu alivyojimwambafai mbele ya Mwana Fa "Mnishukuru nimewafungulia milango kwenye uongozi 

Mwananchi Digital
Подписаться 1 млн
Просмотров 40 тыс.
50% 1

Tazama Sugu alivyojimwambafai mbele ya Mwana Fa "Mnishukuru nimewafungulia milango kwenye uongozi

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 52   
@FrankMichael-tg4vz
@FrankMichael-tg4vz Год назад
Daah jongwe🙏🙏
@johngibson3089
@johngibson3089 Год назад
Asante SUGU. Ninakukubali sana
@athumanimanzabay1894
@athumanimanzabay1894 Год назад
Big up jongwe
@dicksonexavery726
@dicksonexavery726 Год назад
😂😂😂 duuh kweli Mr 2 proud ❤❤
@ismailmshana2828
@ismailmshana2828 Год назад
Brother sugu nakukubali unaongea sleigh Kama uko marekani
@kifanyaliwengi2281
@kifanyaliwengi2281 Год назад
Thank you jongwe
@othumanomari1589
@othumanomari1589 Год назад
Very good Mr president of mbeya The king deiwaka💪💪🇹🇿🇹🇿
@Nyanda506
@Nyanda506 Год назад
Huyu jamaa huwezi nuna ...😂😂😂😂
@msamimmari7178
@msamimmari7178 Год назад
Mr 2 proud
@estasiashiringa1038
@estasiashiringa1038 Год назад
It is what it is🤗
@boazambokile2587
@boazambokile2587 Год назад
😅😅😅😅😅 Rasi wa wangu wa mbeya bora kabisa huna baya taita 🎉
@RozinaMsongela
@RozinaMsongela Год назад
Umekoment Mavi
@hoseastephen4508
@hoseastephen4508 Год назад
2 Proud
@babagwamaka1105
@babagwamaka1105 Год назад
❤❤❤
@kingj9346
@kingj9346 Год назад
Let the guy speak his mind please! nandicho waafrika wengi tunakosa, bado tunaogopa kusemwa. It's a good character by the way
@gwantadibusta
@gwantadibusta Год назад
😂😂😂😂 Sugu mhuni sana
@masoudmasasi1801
@masoudmasasi1801 Год назад
hahahahhaaaaa
@chizashungu1236
@chizashungu1236 Год назад
Jongwe.
@Aidansimwanza
@Aidansimwanza Год назад
Mr president
@fadhilisimwinga8114
@fadhilisimwinga8114 Год назад
mr 2 jogweee
@kambamazig02024
@kambamazig02024 Год назад
Kwa mila na hashima za watanzania , mtu huwa haombi kushukuriwa kumbuka usemi "Tenda mema, nenda zako" Hakuna haja ya kujigamba na kuonyesha kuwa wewe ati ndiye wewe!
@michaelthobias9967
@michaelthobias9967 Год назад
Hujui mziki warapu wasanii wa rap majigambo nimoja ya art
@henrickmbilinyi6231
@henrickmbilinyi6231 Год назад
Ushamba umekujaa ..
@isayakihongile4921
@isayakihongile4921 Год назад
Punguza makasiliko hii ni Sanaa mwache ajimwage
@d15355
@d15355 Год назад
@@michaelthobias9967 sababu ya maigambo ndio maana hiphop inakwenda kufa kama ilivokufa taarabu sababu ya majigambo na kudharauriana na kutukanana.
@joshuamchau
@joshuamchau Год назад
Huyo ni 2 PROUD ; kama hujui
@iviejustified8109
@iviejustified8109 Год назад
Open minded Go farther master Mr Suguu
@allyismail455
@allyismail455 Год назад
Too proud 🤣🤣
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 Год назад
watu wafupi huwa wanakera sana😂
@jeffhard5773
@jeffhard5773 Год назад
Hasa Kama wanajua
@milazoomilazoo4494
@milazoomilazoo4494 Год назад
Tunamjua 2pac wewe ni sugu na co muanzilishi WA hiphap masifa ni mengiiiiii
@nzurisanatv2285
@nzurisanatv2285 Год назад
Mwanamke wa ubande wa kulia, she doesn't have patients
@theleo3899
@theleo3899 Год назад
Acha sifa wew utafikil rap uligundua ww and ure so radical chadema chadema ccm ccm ovyo
@d15355
@d15355 Год назад
stop bulshit sugu you are just normal rapper,kuwepo zamani tuna ku appreciate for that pia stop using profane words like 'nigga'' 'shit' you are too mature now bro, watu wamekuja kusikiliza music na wameku respect so ondoa ishu za chadema sijui ccm deal na ishu ya entartainment iliyokuleta hapo sio siasa wameandaa hilo tamasha ili kusahau ugombanishi huo utokanao na siasa, pia hakuna asiyejua majina yako umeyataja lakini kuna mawili umeyaacha sa sijui umeyasahau au umefanya makusudi kuyaacha kumbuka jina lako la kwanza official lilikua ni 2 proud ukimwiga 2pac mwaka huo 96' ulipoona watu wamelistukia halina mvuto tena ukalifupisha Mr 2, nalo hujalitaja hilo, ulipoona nalo halina maana ukalibadili kimya kimya ukaanza kujiita Sugu, anyway you are not special na hii ndio maana miaka ile ulipokuja ushindani wa kweli toka kwa J, ukakimbia kumwogopa Njgga J wakati huo ukaacha mziki sababu ya kumuhofia J, usidhanie wote ni watoto kwamba hatukuwepo kipindi hicho, kuhusu ukongwe kwani we hauwajui jamani kuna Kwanza Nia,Hardblasters ya kina J etc kuhusu umilionea sasa hapo sijui utamshika nani masikio akusikilize wale mabraza wa Kwanza Nia waliondoka miaka mingi Europe uliwahi kujua kua uliwazidi kipato?? your english also still not cnnected ila wale mabraza wa KU Crew ndio wanaume sababu enzi hizo walikuwa wanaimba na kufree stlye kwa ngeli tu sio kiswahili we hujawahi kufanya hivyo Sugu, sikuchukii nakukubali na mpenzi wa kazi zako lakini punguza sifa za kijinga kwani utastahili ulirudie jina lako la kwanza 2Proud bro.
@bongomastory791
@bongomastory791 Год назад
Acha makasiriko kaka😅😅
@meshack3266
@meshack3266 Год назад
Acha ujuaji wewe msibani tu wanaleta siasa
@AdamMemba-ij6xr
@AdamMemba-ij6xr Год назад
Hujui chochote kuhusu hip hop. Usijifanye mkongwe wa mtandaoni. Uliza kwanza uhalisia ndo uchapishe maandishi Yako.
@d15355
@d15355 Год назад
@@AdamMemba-ij6xr bwege kweli wewe sijui nini sasa kati ya hayo niliyoyasema? wacha kukurupuka sijasema mimikuwa ni mkongwe ila kwa sugu wakati anaanza nilikuwa namwona, halafu mi enzi hizo kwa taarifa yako nilikuwa sisikilizi nyimbo za kibongo sababu hiphop ya bongo imenikuta tayari nasikiliza na kuimba magoma yangu ya viwanja kama kina ice t,public enemy,queen latifa, dabrat etc na hadi tepu za miaka hiyo bado ninazo nimezitunza hadi leo magazeti ya source ya miaka hiyo ya 90 nnayo hadi leo sasa sijui unaposema najifanya una aanisha nni? sina maana kujua hivyo vitu vyoote eti mimi ndio mjanja, la hasha ni mtoto wa leo anapofungua simu au tv anakuta nyimbo ya diamond ataijua na kuimba nyimbo hizo za wakati wake sasa elewa miaka ya mwanzo ya 90 kulikuwa hakuna rap ya bongo bali kulikuwa na rap ya nje,ukitoa hiyo ukifungua redio ni pepe kale,sikinde ,bongoman,au hadija kopa ndio waliokuwa wanatawala wakati huo,hivyo mi kujua hiyo miziki ya nje na kuipenda haimaanishi im the baaddest nigga alive!! no! sababu hadi bolingo kaseti nilikuwa nazo pia so usikurupuke bro, sugu kakosea kwanza katukana hadharani pia katoka nje ya context hakutakiwa ailete ishu ya ccm na chadema hapo sababu leo hivyo vyama vipo na kesho vinaweza visiwepo,leo yuko chadema kesho anaweza akatibuana na wenzake akakimbilia act wazalendo.
@King-Buda
@King-Buda Год назад
Imagine unapoteza muda kuandika gazeti la kijinga havi kisa Chuki na husda
Далее
Friends
00:32
Просмотров 207 тыс.
Средневековый киборг
00:39
Просмотров 534 тыс.
USO KWA USO MWIJAKU NA ALIY KAMWE WAKUTANA
4:31
Просмотров 1,6 тыс.
Kaunti ya Lamu na Garissa wazozania mpaka
3:50
Просмотров 4,6 тыс.
Salama Na SUGU Ep 50 | UJIO WA UMRI PART 1
32:38
Просмотров 110 тыс.